KIPANYA ASHANGAZWA KASI YA SGR DAR DODOMA ”SERIKALI HAIKUPI HELA INAKUPA HUDUMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 7 годин тому +1

    Wewe ni kiongozi in the making ukiwa waziri utafa sana keep it up Masoud

  • @erickmorro8852
    @erickmorro8852 10 годин тому +9

    Ni kitu kizuri, kinasaidia na kusave muda na gharama. Zaidi ya hapo ni environmental friendly 👏🏿🌍☘️

    • @ifonlyiknew619
      @ifonlyiknew619 8 годин тому

      Labda Muda ila Sio Garama..Nauli Sh Ngapi Unajua..?

  • @fikirinyanda6805
    @fikirinyanda6805 10 годин тому +8

    asante Jpm

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 10 годин тому +13

    Magufuru oyeeeeee ,Samia oyeeeeee

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 9 годин тому

      Oyoooo mungu amuweke pema pmoja na wema amuhurumie Ameen

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 8 годин тому +4

    Sio serikali tu bali tumshukuru J.P.M kwa maamuzi magumu alioyafanya wachache walie wengi wafurahi

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 годин тому +7

    Huduma safi kumbe zinazaa uzalendo

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 11 годин тому +2

    MashaAllah MashaAllah!!!

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 8 годин тому +3

    Magufuli angekwepo axaiv tungeshafka Mwanza na SGR Kodi zetu cjui znapotelea wap Toka 2021 tunaambiwa na TRA wamevunja record ya mapato lakn ukizunguka nchi nzma miradi inasua sua

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 6 годин тому +1

    Nyongelea mbali kabisa!
    Shubaamiti

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 9 годин тому +3

    Nakukubali masudi unaga uchawa .

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 8 годин тому +2

    Wazee magariyenu pigeni kapuni hayana Kasi ya SGR.😅😅Tanzania kama Mbele USA.Kama kweli Tanzania tumeweza kupiga hatua Watanzania hawana Michongo Ya Rushwa JAMANI HHEE TANZANIA TUNAWEZA KWANI WAZUNGU NI NIKITU GANI TANZANIA KAMA ULAYA ..TUNAWEZA MAGUFULI NA MAMA SAMIA NAWAPENDA SANA

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 4 години тому

    Asante Magu

  • @rashidalihamad7228
    @rashidalihamad7228 10 годин тому +12

    Poleni chadema watu wanataka mambo kama hayo sio siasa za kipuuzi

    • @giztony2009
      @giztony2009 9 годин тому +3

      Acha usengeee

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 9 годин тому

      @giztony2009 huenda pengine wewe ni msenge na ndio maana unasema Hilo neno. Haya nimekusikia msenge ila nivyema ungelijaribu kumwambia baba ako maana anaoneka hakukufunza adabu so kwanza ungelimwambia baba ako na mama ako waache usenge.

    • @blackity10
      @blackity10 9 годин тому +1

      Choko wewe ni ccm peke yao ndo wanalipa kodi

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA 9 годин тому +1

      Ni magufuli sio ccm .

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 9 годин тому +2

      Izi ni kodi za wanachi sio kido za lisu Wala samia izi ni kodi zetu Sasa chadema na CCM wanausikaje apa

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 3 години тому

    Yeah 🇹🇿!

  • @boneyme9433
    @boneyme9433 8 годин тому +1

    Sema Kaka☕🍰

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 10 годин тому +2

    Watu lazima wakubaliane na mabadiliko ya teknolojia. Waliokuwa wanauza camera Kodak na nyinginezo wako wapi? Lazima tukubali mabadiko
    Sivyo mabadiko yatatubadili.

  • @RehemaJustine-co2kp
    @RehemaJustine-co2kp 6 годин тому

    Eti jamani! Naomba mnijuze,yule Masood anayetangaza wasafi na kina kitenge, ndiyo huyu? Maana wa kule anaonekana kijana,ila huyu ni mzee! Hii imekaaje? 😳🤕

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 годин тому

    SGR ukweli safi.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 8 годин тому

    Wanyongwe kweli kwasababu wauwaji

  • @Billionare_Mentor
    @Billionare_Mentor 9 годин тому +1

    Ila muongee kwa kufanya tafiti mfano serikali ya Canada mtoto analipwa na mzazi pia inapotokea kama wazazi hawana kazi. Ni fedha ya kujikimu nadhani ni kati ya serikali inayofanya vizuri sana maana hauwezi kupata hichi kitu hata marekani

    • @viralvideostz8250
      @viralvideostz8250 8 годин тому

      Na unajiita billionaire mentor 😂

    • @am2323Diaspora
      @am2323Diaspora 8 годин тому

      Hapo ni pakubwa sana. Ndio tofauti ya developed countries na developing countries. Lkn walau wawasaidie watu afya

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 7 годин тому

    Afu msikosee jina Ni DODOMA sio DODIMA lekebisheni 🤦

  • @KheriKhatibu
    @KheriKhatibu 7 годин тому

    Wewe ni MTz halisi

  • @kamangate
    @kamangate 9 годин тому

    Hawa waandishi wetu wa habari ni changamoto sana. Dodima ndio wapi?

  • @footrespect532
    @footrespect532 11 годин тому +1

    Mnachapia sana siku hizi😂

  • @frankmalimi5863
    @frankmalimi5863 10 годин тому

    Mimi Frank Malimi ningependekeza miradi mikubwa mikubwa kama hii tuwaombe wakubwa wetu watuwekee ulinzi wa JWTZ kwa kuilinda kwa.kufungua kambi sambamba na reli.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 10 годин тому

    Ata mimi nanyonga pia

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 11 годин тому +1

    Dodima au Dodoma 😂😂

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 10 годин тому

    Sio tu kupunguza gharama na muda tu bali na serikali itapata pesa nyingi sana kupitia mradi huo.

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 9 годин тому

    Ata mimi uwa nawaambia watu kama mtu ajawai kuiyona treni wala ajawai panda atachukulia poa sana

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 9 годин тому

    Wewe Kipanya wewe ! Police wafanyeje? Kuwa na akili Kazi ya mahakama ni Nini? Acha huwa utani kuwapa police majukumu ya kutoa hukumu inamaana wewe unajitoa ufahamu siyo? Kipanya wewe ni mtu wa jamii yetu unaye fahamika usitoe maneno mzito yenye hatali,

  • @jonasikigodi7345
    @jonasikigodi7345 11 годин тому +1

    Sio DODIMA ni DODOMA

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 годин тому

    Sawa Dar Dodima😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 10 годин тому

    Who is kipanya

  • @dereva0
    @dereva0 11 годин тому +1

    DODIMA NDO WAPI MKUU KUMBE KUNA RUTI MPYA TOFAUT NA DODOMA NA MORO

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 10 годин тому +1

      🤣🤣

    • @dereva0
      @dereva0 10 годин тому

      @NuruJuma-zv3yz 😂😂

    • @paulkale4934
      @paulkale4934 9 годин тому

      Sio Ruti ni Route

    • @dereva0
      @dereva0 9 годин тому

      @@paulkale4934 nimeongea kiswahili we panya najua kiingereza mpaka naumwa yani😁😁😁

  • @ferozjussab1909
    @ferozjussab1909 11 годин тому

    Hela inatoa serekali ya uk ,shule bure,Maziwa bure ,kodi na pesa kama huna kazi kila wiki za kutosha kwa wiki

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 11 годин тому

      😢😢😢

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 10 годин тому

      Na Kodi munazolipa ni kubwa so nilazima mulaghaiwe kwa namna hiyo

  • @Albert_Oganga
    @Albert_Oganga 10 годин тому +1

    DODIMA? 😂

  • @HusnaMTITIKO-w3p
    @HusnaMTITIKO-w3p 10 годин тому

    Nauli yake kiasi gani

  • @Cheffhood
    @Cheffhood 11 годин тому

    Naamia dodima tukutane huko

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 7 годин тому

    Si ulikuwa unamponda magufuli wewe

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 годин тому +1

    Sawa Dar Dodima😂😂😂😂😂😂😂😂😂