DSM, DODOMA TRENI ZA MJINI, MZIGO WA KUBEBWA NA SGR NI WA UHAKIKA , "TUNASHINDANA NA YEYOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • DSM, DODOMA TRENI ZA MJINI, MZIGO WA KUBEBWA NA SGR NI WA UHAKIKA , "TUNASHINDANA NA YEYOTE

КОМЕНТАРІ • 20

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 2 роки тому +4

    Nasikia hizo TREN za umeme behewa moja litakuwa na power bank maan nchii Haina umeme waziri mjanjamjanja umeme wa mgao

  • @EddieMorsVlogs
    @EddieMorsVlogs 2 роки тому +3

    Is President Suluhu already failing? If Magufuli was still alive this project would have already finished.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +4

    Hamna kitu ushunzi mtupu mmekuwa wanasiasa sasa TRC hiyo commuter train miaka nenda . Treni ya mwakiyembe tu mnashindwa kuiboresha .

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 2 роки тому +1

    Mlikuwa sawa wakati uleeeee lakini kwa sasa mmmh......mwendazake angekuwepo tren za umeme Dar moro zingekuwa tayari kabisaaaa

  • @carolyneogall8967
    @carolyneogall8967 2 роки тому +2

    Mungu saidia nchi yetu

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 2 роки тому +1

    Jengeni waTZ wanasubiri kwa hamu sanaaa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому +1

    Washenzi maneno mengi huo mradi hauwez isha 😂😂

  • @eddiemsongelanzi5395
    @eddiemsongelanzi5395 2 роки тому +2

    Haya ndio mambo muhimu Kwa vizazi vijavyo miundombinu Hii ita wapa mchango Mkubwa kibiashara JPM ATAKUMBUKWA DAIMA tuache wivu usio Na maana Kwa kuona wivu WA BUSARA umetoka Kwa usie mpenda ni wivu sumu huwo muangalieni MAMA anavyo kuja na muelekeo wake please fanyeni anavyo taka sio kumletea mizengwe

  • @ezekielmubofu234
    @ezekielmubofu234 2 роки тому +2

    Semeni itaanza lini sio kila kukicha porojo tu

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 2 роки тому +1

    MTENDAJI WA HAPA KAZI TU RIP. WASEMAJI BILA VITENDO WA KASI NI WENGI SANA!

  • @paulgitau6055
    @paulgitau6055 2 роки тому +5

    Storry Tu hapa Tanzania,tazama Kenya washamaliza sgr zao na tram trains na balabala zao za magorofa nchi ya Kenya wamesha ijenga kabisa,hapa Tanzania ni mudomo Tu.

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 2 роки тому +2

      Mambo ya Watanzania haiwahusi Wakenya

    • @devanse9718
      @devanse9718 10 місяців тому +2

      Mambo ya Watanzania ni ya watanzania bhn acha kuleta polojo hapa😅😊

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 роки тому +7

    Hawa ni maneno tu. Haya tangu nimeanza kuyasikia ni miaka mingi. Semeni tu. Magufuli ndiye alikuwa akisema anatenda. Nyie ni porojo.

  • @drewthekidd620
    @drewthekidd620 2 роки тому

    I thought all was well in Tanzania the increased investment and increased GDP what's wrong

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 2 роки тому +1

    Wakwanza leo

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 2 роки тому +2

    Magu tungemuamini but sio kwa Sasa, story nyingi kazi kzibo!

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 2 роки тому +2

    Story as usually!

  • @ramadhanikayoza3592
    @ramadhanikayoza3592 2 роки тому +1

    😂😂😂

  • @eliassospeter
    @eliassospeter 2 роки тому

    BERNAD CHAMRIHO YUKO WAPI❓