Binadam binaadam binaadam hivi mnashida gani mnahukumu bila kujuwa nnachohukumu acheni hizo figisu waungwana mungu ndo anajuwa kila kitu iwe riya iwe vyenginevyo sisi tuombe kher tuwache hukumu hukumu ni kwq mungu tu
Wewe unasema ni ria hujui dini nenda darasani ukasome upya elim Haina Mwisho fata Watu wema walio tangulia pia walikua Wana jionyesha Kwa Kutoa na kufanya mema hiyo ni jambo linalo wasukuma Wengine waweze Kutoa
Maashaallah uwondiyo upendo wakweli. Mkonokwamkono adi peponi❤❤Allahu akibarr
Masha Allah ❤❤❤ wifey material she's best may Allah protect you guys❤❤❤❤❤ she' did good thing in her life ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akuzidishie upendo akunusuru na hassad za kila kiumbe salha wangu umeona mbl zawadi hiyo kubwa kuliko kila kitu
Masha'allah from 🇺🇸
Sadaka jaria❤❤❤❤❤❤
Mashallah Allah akuzidishie ulipotoa Allah akuzidishie mara dufu ulipotoa
Allan awalipe kher masha Allah❤
Mashaa Allah tabaraka rahmani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm mnipetu nambayake huyo dada sarha anisaidie naumwa. Niende hospitali. Tafadhali kamaunaisomah sms muusika mfikishie hilo bihidhinillah lnshaallah🤲
Pole Sana. Mola akuwekee wepesi ktk tiba ya maradhi yako.
Kama una snapchat yupo kule
@mapishiwithsabrina87 sina ndugu. Asante
@@sadikiissa7756 Amyn yarabiaalamyn🤲
MashaAllah tabarakallah
Nakukubali saana Hirs piga chini ngungai
Mwenye nzimungu hakuripe ami
Amin
MashaAllah ❤❤❤❤❤
Allahu ya alam
Binadam binaadam binaadam hivi mnashida gani mnahukumu bila kujuwa nnachohukumu acheni hizo figisu waungwana mungu ndo anajuwa kila kitu iwe riya iwe vyenginevyo sisi tuombe kher tuwache hukumu hukumu ni kwq mungu tu
Jambo jema Mashallah
MashaAllah
Mashallah
From 🇧🇮 mashaallah
Wewe unasema ni ria hujui dini nenda darasani ukasome upya elim Haina Mwisho fata Watu wema walio tangulia pia walikua Wana jionyesha Kwa Kutoa na kufanya mema hiyo ni jambo linalo wasukuma Wengine waweze Kutoa
Ndo mana ufunguo wa pepo na moto hakumpa mtu mana husda hizi za roho mbaya za kibinaadam dhulma zingepita tu
Takbeere
Hiyo ni ria kunamatajiri wangapi wanafanya sadaka kubwa hawajitangazi ria haifai na mungu haipendi ria ria maana yake kujionesha unapofanya jambo
Hata ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia wakushoto usione ria ria ria haifai kujionesha haifai tuwache ria tunakumbushana
Atalipwa kwa nia yake acha kuhukumu
Kikubwa nia yamtoaji mtuataasemenini nia ndiyo inaangaliwa. Allah amlipe heli. Piasiyombaya anaamasisha nawengine wafanye memapia wasijisahau kwani matajili wapo wamejisahau
Wataje hao majiri,Acha roho ya umaskini wewe umetoa wapi?Hiyo ni saprai ya mke wake
Hii.nayo ni.habati ayo
Ubunge nect
Usanii mpaka kwenye misikiti?
Usaniiii gani jeng n wew ndugu
@AmourAmour-ux3nm umeona wapi mke anamkabidhi mume mskiti umeona wapi nyumba ya mungu watu wanapeana zawadi 😂😂😂
@AmourAmour-ux3nm tumejenga misikiti hatukujitangaza na tumeacha waislamu wanaswali sio ya mtu mmoja
Unajina zuri sana fatma mashaaah ila unaonekana hulitendei haki jina lako