Nimeishi maisha ya mateso sana, kuna muda nilikosa hata chakula, haikua rahisi; Msanii OBBY ALPHA
Вставка
- Опубліковано 19 лис 2022
- Sikiliza nyimbo za Obby Alpha kupitia link hizi
• Obby Alpha- Washangaze...
• Obby Alpha- Hivi ni kw...
• Obby Alpha - Ombi lang... - Наука та технологія
From Dar.
Mungu amemuinua. Azidi kuimarisha vipaji vyako kwakweli.. Umegusa wengi Alpha.
Jamani hongera sana Mdogo wangu endelea kumtetea Mungu usibadilike
Barikiwa Sana Obby Mungu aendelee kungariza Nuru za uso wake katika Kila hatua unayo ipiga na njia unayopita🎉
Hongera sana OBBY. Swolwezi ZAMBIA
Obby alpha ❤️❤️❤️faka ya mungu mung amekuaamini pepelusha bendela ya yesu kiristo
OBBY stay blessed my brother, you are blessing my Soul with ur Songs
my favorite song is KAA NAMI, l'm in Love with the song.
keep On in CHRIST🖊️🤞
Kaka Obby umehubiri sana katika hii interview. Hongera kwa huduma. Usiinue mbawa tu mtumishi, kunakikubwa kwako, ila cha Bwana. Barikiwa sana.
Mungu akubarki xanaa maana hii nyimbo imentoa mahal
Obby your my favorite man of God popote ulipo mungu aniinue sana
Nimekuja baada ya kusikia nyimbo yako mpya bora kushukuru, wewe kaka Mungu akuinue zaidi amen 🙏🙏
From Tanzania Exactly kuna wat Tunapt alipopit! Sem nn Anatuwek gado sanaa. Mung azd kukubarik
Obby Alfa, uko vizuri sana brother. Big up sana 💪🏾💪🏾
Kijana anaimba nyimbo nzuri Sana Kama unishangaze ni nzuri sana kwakweli
Ubarikiwe mtumishi kwa nyimbo za ujumbe
More blessings my brother I like your works❤❤❤
Wooooow!!!Historia yako imenigusa sana bro.Tangu nikuone kwenye video ya ombi langu umetokea kunivutia sana uimbaj wako na message yako.Nakuona mbali sana kaka ndani ya muda mfupi.Mungu azidi kukubariki na kukupa kibali zaidi.
Barkiwa
Uyu jamaa apewe tu sifa zake kwa ukweri maana daaa!! hii nyimbo ni noma Sana
Obby mungu akuongezee
Amen san kaka obby alpha mungu ni mungu wa nyakati na majila yake
Kaka obby mungu akubariki zaidi nami natamani sana jamani lakini mungu yupo
Kutoka Dubai. Yn hii nyimbo mi mwislam lkn naipenda sn
Obby mungu azidi kukutunza na kuipigania huduma yako na ifike mbali na watu wamujue yeye to
waoo hongera sana kaka nakusikiliza nikiwa tanzania hapaa naitwa chris masongs mim piy nimuimbaji wanyimbo zainjili nahimani ipoo siku namim piy ndafikia hapoo hasantee
Du uyu kijana namkubari sana kama uu mwimbo wake ni bora nimshukuru mungu umenigusa sana unaweza baba sbgu
Watch from Istanbul Turkey 🇹🇷 🦃 Pamoja sana
Nipo America, Richmond Virginia.. wimbo wake ume kua baraka sana kwangu.
Mungu Akubariki sana sana wimbo wa ombi langu umenigusa sana na watu wengi. Mungi akupake mafuta mabichi kijana wetu. Hii interview nimejifunza mengi
I love Washangaze and Ombi langu..... Keep it up Mr.Obby
Wow u re an evangelist brother, u. Preach the gospel..Lusaka Zambia is watching
You are the best my brother go
Yuko very humble! Mungu azidi kukubariki Obby! 🙏🏾
Nipo usa, naitaji namba ya obby
Brother uko vizuri Mungu wa mbinguni akibariki
Nice natizama kutoka india 🇮🇳 ubarikiwe
Mimi nko lindi kaka ila naomba kufanya colabo na obby naitwa ivanny namtumikia Mungu katka uimbaji🙏
Hongeraaa sanaà kaka Kila atua dua
From Kenya 🇰🇪 natazama nikiwa saudia Arabia tuko
Where are the
United States uwa nawafatilia sana kwa kazi yenu zuri
Zimbabwe
Mungu akubariki sana,,yaani wimbo wako unanibariki sana,yaani kazini naimba nyumbani naimba nipo ndo wimbo wangu wa siku
Yupo vizuri Mimi kama Mimi namkubali
From Burundi tupo online waje tujiconect nawao
Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake
Uimbaji wako unanibariki sana, unaandika vizur sana. usibadilike
All the way from Denmark.
kupitia kwako vijana wengi wata mujuwa mungu❤
Mm Niko arusha kijenge mwanama
He is talented, God bless you brother.watching from Arusha tz
Mbeya
Tanzania
natazama tokea hapa
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi mnoo..hongera sana mkuu
❤
Sweden tunakupata vizuri
mm nipo Saudi
School mate💯🙌
Obby ubalikiwe sana ❤❤
Tanzania
Canada 🇨🇦
Mungu atamfungulia mengi historia yake inafanana n yangu leo nimeamini mapacha sio mpaka wafanane matendo na maisha sema 🥺
Broo katika watu ambao na wakubalii hata kama unijui bro nakukubalii obby by dg tito
Barikiwa Sana kazi yenu njema
Bahrain huku nakufatilia
Dah akika mungu mwema 🙏🙏🙏
❤❤ pambana kk uko vizuri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 my brother 🙌
Nacheki nipo Oman
Nasikiliza nipo Oman
Everyone has a sad story so nikupambana tu wengi hunywa maji ya Moto na kulala
Kenya
Mwadhimishe bwana
Mungu Azidi kukuinua
Ubarikiwe sana
Tanzania njombe
ongela
Am Tanzania mkowa wa songwe
Dah history yako imenigusa pia blood by m boanerge
mimi kutoka Mozabique
Inakua ❤❤❤❤
Nlijua mkenya
Ngoma nimeipenda
Pole Kwa changamoto ulizozipata
God bless u so much for the touching story brother 🙏🙏
Nackilza kutoka Dar
Keep it up
Creez favors natanani kujuwa jina rako haris
Anaitwa Obby Alpha Mwalupogo
@@fabianomswima nashukuru sana
God blessed
AISE NINAONA
Story yako inanifunzaaa mnooo😢
❤❤❤❤
Kaka nakubali
Shida IMO kwa kila mitu
Kulala bila chakula nikawaida
Na toka Congo DRC
Obby alpha
🔥🔥🙌
Texas Dallas USA 🇺🇸
Oman
Natizama nikiwa Dubai
America
Mimi NIPO tanzania wilaya mbozi mkoa songwe kata ya shiwinga
Aki mungu amekupakipaji ya uimbaji Bora usiingie illuminati ndo ujulimane bro najua utadanganywa na wale wameingia ukue maarufu pliz we mwenyewe umeimba song ynye inasema unashukuru god kw kidogo uliopew so ridhika tu
Drc
Nampenda sana obby
Obby,balikiwa.
Kutoka Dubai nakujek sana..