Huyu jmaa yupo vzur big up sana LAKINI USHAURI WANGU ajitahid sana kua creative asitumie maneno yaleyale mana watu wakizoea misamiat yake watamchoka sana!!!!awe mbunifu na kua na misamiat mipya
Beni umewakamata watu mbya style yko hii kma unakumbuka nilikuwa mtu wa mwanzo sana kukuunga mkono na kukusanuwa kwmba unatakiwa ukomae nayo itabamba na kweli imebamba ila ogopa kesho na kesho kutwa wakiikinai. so umiza kichwa baba la baba ikitoka hii uje na nyingine kali zaidi. walikuwepo wakina bambo na wengine kaza broo. nakusanuwa kwa mara nyingine mnama
Huyu jmaa yupo vzur big up sana LAKINI USHAURI WANGU ajitahid sana kua creative asitumie maneno yaleyale mana watu wakizoea misamiat yake watamchoka sana!!!!awe mbunifu na kua na misamiat mipya
Kwenye hii. Kweli mr beneficial ana advance sanaa. Kaka kama kawa . Kaza hela yote . Usilegeze wala usicheke na boya yeyote . Utafika mbali sanaaaaa.
Pambana baba la baba pambana la hela yote haikatai haikatox nakukubali mbaya mbovu broooooooooo👊👍
Gonga like zako kama umemuona janjaro
H
kama unampenda mr beneficial gonga like
Kama unamkubal Mr beneficial. Gonga like
Xaan baba la baba
Anatisha kiku***
Dwasi
Gasto Geness good
Patrick Francis utajua mwenyewe
😂😂😂😂bunge linge kuwa la machizi khaaaaa yaani ww chalii ya r mungu anakuona pamba na ela yote
Hii kongamano wangekua wanarusha pia kwenye TV mojawapo za bongo ingewatangaza sana
nakubali zimbaaa chafuaaaa tuko pamoja sanaa
Yaani nikimuona tu Mr Beneficial moyo wapata nafuu
Nice
Masikhara hayo mkuu
Mmetisha san
James David Kawonga Jr hahahaah same as me bro.
Mambo ni fasi aduasi chalia araaaa
Jamaa anazidi kuadvance....well done beneficial
Umetisha
sssfgj
Yan mm ndo shabiki number 1 wa huyu jamaa
Me 2 ,me 3
gonga like kam lotee aise
Me 3
Mimi nasikitika kwanini wanakupa dk chache jamani wasio jua kuchekesha wanawapa mda mrefu
Pambana ya hela yote
my
m
Kama umemuona Dogo Janja gonga likes nyingi!
254 beneficial you good, from Kenya we salute you
254 ndio nn
Nadhan mimi niadhirika sana na comedy za Wakenya hasa Churchill...hizi me naona hamna kitu aisee
Daaaaaah safi sana endelea kumbambana hela yote
Hakuna zaidi yako mr well done
hii rangi haivutii hata kidogo badilisheni bhanaaaa
Umetisha Baba la Baba nimekupenda bure
Umetisha laana baba la baba pambania hilo kombe dingili. Like mingi kwa jamaa anajua
Atar saana
Deo tarimo
Vpi
Kama umemeona dogo janja like kama yoteee!
Nimemuooooona
niaje umetisha
Good to him
Bernado Baran NAKUKUBALI KAMA YOTE
Hosea ng'wavi ,nimemuonaaaaa
Mr Beneficial nakukubali sana Mzee Baba.
Namkubali sana jamaa. Kuna jamaa alikuwa anjulikana kwa jina masawe namuweka sawa na uyu
Beni umewakamata watu mbya style yko hii kma unakumbuka nilikuwa mtu wa mwanzo sana kukuunga mkono na kukusanuwa kwmba unatakiwa ukomae nayo itabamba na kweli imebamba ila ogopa kesho na kesho kutwa wakiikinai. so umiza kichwa baba la baba ikitoka hii uje na nyingine kali zaidi. walikuwepo wakina bambo na wengine kaza broo. nakusanuwa kwa mara nyingine mnama
Asibadilishe, with this accent he his representing a culture.
Adam Makoye g
Adam Makoye Umeshauri vyediiii...
True
Daaah uyu mwamba me nikimuonaga tu hata kama ajaanz kuchekesha me tayar mzee wa yechu yechu
nic
Nakubaliii....... Mzee
Kabla hujaongea watu wameishaanza kufurahi yaan wanakukubar sana piga kazi baba tuzidi kucheka tuuuu
Daaaa Bob unajua kama lack dube
Bablaiiii keep on moving
yoo the song is traight firee mamong'oo s/o Jambo Squad
BONGONYOOO ndo kitaaa daaah msela huyu kwel chuga chugani
Oya Chali ya r hongera sana dume
Dogo siku hizi upo vizuri sana big up
Nakukubali sana tuwakilishe chuga moko iyo aikatai aikatox 🙏🙏🙏 may god bless u
Dah aliempa uyu hii aidia amshukulu sana maana ndokaja kuteka hii comed yan nfulu kucheka😂😂 anytime
Umetisha sana broo ila unapokuwa kwenye steji jaribu Ku move usisimame sehem moja
hahahahaha wabunge wenye maneno yasoeleweka hahahaha yule mmama aliesema ukipanua watatamani
nimemuona dogo janja
Uko poa sana jikubali utakubaliwa arifuu
Kama unakubali vichekesho vya chalii ya r bonyeza like yako
Mr ben mtaani kwetu kuna Dada anAsema akikuona Anabanwa na haja
@@allenelia8070 vp
@@allenelia8070 haha 😂
Arifu nakupa big up sana chaliangu
Hyo ndo ilkuaga Cheka tu sio sa hii
Sikiliza chuga dance eeh... Machalii ya sanawarii
Umetisha kinyama boy sela
Jamaa anajua sana
Nice sanaaa
Hi
nakubr uko vzr bro
Customer care wa chuga,oya dingii haipatikani👏👏👏👏
Pambana ya hela yote
Mr Beneficial you are an international Comedian
Penda sana wa kwetu r,chuga
Umetisha baba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆🏻♂️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kanichekesha anajua
Ilo vibe aloingia nalo ni kama lote
Kali kama yote ....tisha
wanimanya hiyo nikichaga kabisa
Kipareee
Hyu jamaa anajua aise my god be with her
Nakuelewa dingii ni yech yech
Yech Yech Mr Bene
Hii umejitahidi sana katika standup zote ulizofanya
This is the kind of comedian in Tanzania
umetisha laana baba la baba
Hicho kinachochekesha hapo hata sikioni watu bana
Keep it up Mr.B...Unatxha knyama yan
U S A umeisoma io hahaha
Jamaa anajua
kaza buti unajua sanaaa
Ni kisanga ya ela yote dingii: nime ku manya laana
Pambana ya erayote aikataiaikatux
Hiyo kweli afrika tungesonga
Good sana charii ya R umetisha kinyama
kama unamkubal my benefcial
young boy hongera
Nampenda sana bene anajua sana
Kule regular kwan mnateseka#u guy ur soo funny
Hii wimbo ni gani MTU anisaidie
Jambo square mag'o ng'o
@@makinijohnnie4053 asante bro subscribe pia comedy zangu osam comedy apo UA-cam
big up bro
Nkkbali kaka
2024 nafurahi
yaani kwa swaga zako za kichuga umetishaa
😂😂😂bro umetishaa unawezaaa
Machali wa A city n kwereeeee joh haikatai jomba
Huyu kijana ni shiiiida
Kama umemuona JANJARO like hapa
Namuona janjaro kwa mbaliiiii
Janjaro amekuwa mhudhuriaji kweli wa cheka tu
Naona ameamua kupunguza stress za uwoya kwa Style hii
nimeweka vmacho kodo lkn sijamuona
Kuanzia Leo Mr b ww ndoo utakua unamaliza mb zangu
kaka uko juu
Hahahaha! Wanasororoa uwiii miye mbavu. Zangu chalii nakufaaa
Tixha xanaaaa chariiiii
Mtoto bangi ww😂😂😂😂😂
Aaaaaaaaahahahaha,,,,,Kichuga kitamu Sana Jombaa
*VERY TALENTED*
Umetixha kwa miondoko hyo umeweza
USA umetisha mzeeee baba
hongera nakukubali mkuu
kaza mzee baba umetisha
Nakukubali sana mr beneficial
tatizo ni apo fyasi na apo fasi yaani fyasiade na fasiade
We
hizi clips za black &white..hazivutii hataaa kidogo...
Mbona ipo poa tuuuuuuuuu
😂 😃😁😁😁😁Upend ww baba
Raza Murad watu wengine wanataka kutukanwa tu alitaka awekewe rangi ya njano blue au?
nimeangalia zaidi ya mara kumi
Uko vizur sna👏🤣🤣