TAZAMA VITUKO VYA WASHIRIKI WA MBEYA KWENYE MCHUJO WA CHEKA TU COMEDY SEARCH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 629

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 10 місяців тому +7

    Eliud anaroho nzuri sana, Mungu azd kukusimamia Eliud wetu❤❤

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 роки тому +27

    Ila coy mzungu ni mtu na anajua alipotoka namkubali sana coy he is a real man,father and Brother naingalia nikiwa iringa aje tu na huku

  • @asibumwande7896
    @asibumwande7896 3 роки тому +3

    Mwamba elidy nakubali brooo we mkali mungu akubresss sana

  • @georgelyego6256
    @georgelyego6256 3 роки тому +171

    Kama wewe umekuja kucheki hii video coz ya kucheka tu naomba like yako

  • @ungwamwangaza7297
    @ungwamwangaza7297 3 роки тому +13

    Dhh uyo kaka mwenye ako na Da Neema nime penda alivyo sema❤️😍😍

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 роки тому +11

    Huyo msenge aloambiwa akalete chakula mimi kaniumiza mbavu kabisa ... The guy is naturally funny aisee😁😁😁😁🤦🏾‍♂️

  • @thomasponera6018
    @thomasponera6018 3 роки тому +16

    Safi sana mwanzo mzuri Coy Mzungu, Mungu awabariki mpate wachekeshaji wenye vipaji haswa

  • @inspiringmediarecords4391
    @inspiringmediarecords4391 3 роки тому +160

    Ushawahi cheka kwasababu mtu hachekeshi??😂😂tujuane kwa likes

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 3 роки тому +2

    Asante sana Éric Mungu akubariki kwasababu ulifanya ile ambayo kristoyesu anayo itaka yani nilazima kujitowa kwaajili ya mwengine 🇺🇬🇨🇩🇨🇦

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 3 роки тому +7

    Kuna jamaa alipoteza kila kitu kwa stage😂😂😂

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 роки тому +7

    Wasafi n kiwanda cha sanaa Africa 🌍

  • @creatymnyanga3237
    @creatymnyanga3237 3 роки тому +9

    Wazo ni zuri sana kwa utafutaji wa standup comedian. Ila kwa upande wa programme production haikuwa poa kwani ni copy and paste ya programme production nyingine. Hakuna ubunifu mpya kabisa!!

  • @bighead8184
    @bighead8184 3 роки тому +1

    Uwezo kuchekesha unazaliwa na kipaji. hata ukiwa hana experience atakuchekesha. Mimi sijafurahi hata moja. Comedians ni kazi nguvu sana. Nice show

  • @bibahwabae3066
    @bibahwabae3066 3 роки тому +14

    Baba Levo alivyo seriously utazan sio yeye Yule chzi 🤣🤣🤣🤣

  • @official_bhachuri5684
    @official_bhachuri5684 3 роки тому +5

    Sina chakusema juu ya broo mungu ampe moyo huo huo maana kwenye dunia hii yupo peke yake

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 роки тому +10

    Yan hpo majaj wanacheka sio kwamba wanachekeshwa ila wanahuzunika to😂😂😂😂😂

  • @NeemaMlahagwa
    @NeemaMlahagwa Місяць тому

    Jaman eliud mungu azd kukuinua🙌

  • @tumatijr_9142
    @tumatijr_9142 3 роки тому +6

    mchekeshaji anaenda kuchekesha afu anachekeshwa yeyeee😆😆

  • @malickkasuga4805
    @malickkasuga4805 2 роки тому +1

    nimecheka sanaa sio kwa ubaya nimependa program iwe endelevuu

  • @michaelnyello-nh6uk
    @michaelnyello-nh6uk Рік тому

    Eliud ni mwamba yupo tayari kujitoa kwa ajili ya mwingine big up bro

  • @salimomary6279
    @salimomary6279 3 роки тому +3

    Hapo ndo ushamfikisha baba levo 🤣🤣🤣🤣

  • @godfreymlula6466
    @godfreymlula6466 3 роки тому

    Mm binafsi nimependa uyo jaji na majaji wote pia kwakulipa wema wa uyo jamaa aliekua tayali kubaki yeye na kukubali mwanamke aende kiukweli kwangu mm imenitoa machozi kabisa ameonyesha kuwasapoti wanawake wanawake wanaweza mwanamke ni Tai mungu awabariki wasafi kanzi nzuli sana

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 3 роки тому +25

    Nembo ya mtaa mo town Sanya🔥🔥

  • @violetpaulsen1741
    @violetpaulsen1741 3 роки тому +2

    Jmn huyo kaka ana upendo sana nimetokwa na machoz

  • @elizamaiko7789
    @elizamaiko7789 3 роки тому +6

    😂😂😂😂😂baba levo nakupenda Sana

  • @josephmanyama435
    @josephmanyama435 3 роки тому

    Nakubali sana Jose wa mama Jose safi sana wajina unakipaji sana man piga kazi

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 роки тому +3

    Hizi comedy nazo .😂😂😂Mbona una kipara🇰🇪🇰🇪

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 3 роки тому +2

    😅😅😅Denis kaomba aondoke mwenyew aisee... pesa hii daaa

  • @masinzamark7051
    @masinzamark7051 3 роки тому +2

    Mo town bro uko juu huwa wanipinga sana from 254

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 3 роки тому +2

    Zembwela sijawai kumuona akicheka, kwaiyo ukitaka kumchekesha inaitaji kazi kubwa sana

  • @Richesfam
    @Richesfam 3 роки тому +22

    😂😂😂 The host njo anachekesha
    Mbona hawa watu awachekeshi

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 6 місяців тому

    Haha haha 😂😂😂 huyu wa chakula 😂😂😂 aisee dah

  • @sellinakapama4375
    @sellinakapama4375 3 роки тому +3

    Kipindi kizuri sana! Safi Sana Wasafi TV kwa kutupa burudani tosha!

  • @adrianobihabwa3464
    @adrianobihabwa3464 2 роки тому

    nakubali sana koi mzungu , anatia falaja , wengine kqmq madam lita na kwq konde boy

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +5

    Mama mchungaji ameziajiri mbavu zangu kwa muda🤣🤣🤣🤣🙌

    • @SandeMwikuyu
      @SandeMwikuyu Рік тому

      We jamaa hautaiona mbingu😂😂😂😂

  • @Its__de_leo
    @Its__de_leo 3 роки тому +25

    Daaah coy is really genius by that way he make decision good up bro

  • @estamathew5167
    @estamathew5167 3 роки тому

    Hawachekeshi,,,yaan hadi m ninaeangalia naona aibu 😁🙈🙈 cjui kwann tuu mmmh

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 3 роки тому +8

    Daaah uyo jamaa alio poteza netwek hahahha

  • @rb3176
    @rb3176 3 роки тому +2

    Habari zenu ? Mzuri...Mumekula ? ndio..
    Aya kalete chakula basi😂😂😂 Hii kali wadau😂😂😂😂

  • @serah6098
    @serah6098 Рік тому

    Nime poteza Kila kitu naomba ni ndoke tuu😂😂😂😂

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 3 роки тому +1

    Chiff dguje anaheshima sana I like that

  • @momylaviel
    @momylaviel 9 місяців тому +1

    Eliud ana roho nzuri sana jamanii

  • @gemstoneofficial1438
    @gemstoneofficial1438 3 роки тому

    Dakika 32 huyo mzee katisha Sana hachekeshi lakini ndo amenichekesha kuliko wote🤣🤣🤣🤣

  • @frankblessy2482
    @frankblessy2482 3 роки тому +5

    From Kenya I silute Eluid, his a really Gentleman

  • @supermaestrograndmasteramo8466
    @supermaestrograndmasteramo8466 3 роки тому +1

    Mwanza Lin au mmeisha toka by king killer

  • @rizickmtama2121
    @rizickmtama2121 3 роки тому

    Baba levoo asitoe saana machooo anawatishaaa

  • @WivianRich
    @WivianRich 3 роки тому

    😁😄😄😄hapo kwenye Gari hata mi ntapata lifti😁😁😁😁

  • @philomenagathoni2861
    @philomenagathoni2861 3 роки тому

    Coy your judgement is promising you never demoralize anyone, God bless you, ( wanjala Toka Kenya )

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 роки тому

    Mi namkubali Zembwela tu✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

  • @chembeakhalifan7828
    @chembeakhalifan7828 3 роки тому +2

    Uyu mzee baada ya kuchekesha anatoa nasaha hahahahah

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 роки тому +1

    Zembwera saruti kwako nilijua tu lzm umukumbatie neema😁😁

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 3 роки тому

    Neema. Nimekupenda sana. Next time tufurahishe sisi wahanga wa hisia. Wakati Eliud alipoanguka chini....nilitamani ungemuinua na kum hug sana kwa sababu ya kile alichofanya yeye kwako. Hongera sana.

  • @mototv1599
    @mototv1599 3 роки тому +43

    Anaechekesha mwengine aibu naona Mimi😂😂😂🤣🤣

  • @Echital
    @Echital 9 місяців тому

    Eliud this clip testimony ❤

  • @musamgulila577
    @musamgulila577 3 роки тому +1

    Jo master hachekesh bana labda lkn uwezo mdogo sana

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 Рік тому

    😂huyo bb revo kanivunja mbavu.

  • @nyimbozangu3684
    @nyimbozangu3684 3 роки тому +1

    Kwamba kachiri on dis one nakukubali kinoma noma an

  • @asibumwande7896
    @asibumwande7896 3 роки тому +3

    Big nimemwelewaaaa sana

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +1

    Baharia hasaa tena wanchi kavu😂😂😂kaza baba mzaramo wa mbeya ulojitokeza 😂😂👻

  • @giddyyunky7025
    @giddyyunky7025 3 роки тому +1

    Nice session like kama zote😁

  • @queencharles3987
    @queencharles3987 3 роки тому +1

    Yaani nacheka kwakuwa sielewi kinachoendelea kweli kuchekesha kazi aise 😂😂😂😂😂😂😂 Et naona kama sukar ya zuchu yote kama amelala nayo yeye 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @Kingkadir24
    @Kingkadir24 3 роки тому +12

    Huyu interviewer hapo nje mnafki sana😂😂😂💔💔💔💔

  • @n.mohamedmeme1636
    @n.mohamedmeme1636 3 роки тому +1

    Jameni kinyambe iko na kipaji 🤣😂😂

  • @peteralmas8311
    @peteralmas8311 3 роки тому +1

    Mwamba mtu imara nakukubali saana mzee baba

  • @kelvin254-x9k
    @kelvin254-x9k 3 роки тому +2

    No.0991---😄😆😅sema blackout 🌚.....pole bro tha is always next time👊🏿

  • @KHALID_NGWEMBELE
    @KHALID_NGWEMBELE 3 роки тому

    Daah najikuta naona aibu mimi aysee😂

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 3 роки тому +2

    Ma judge wiki ongea waki hoji ndio raha yake hahahhaha Safi Sana kutoka Dubai pamoja sana

  • @hashimmahdi4101
    @hashimmahdi4101 3 роки тому +1

    Dah, mpaka naona aibu Mimi mtazamaji kwa haya mambo

  • @bensonhamis3303
    @bensonhamis3303 3 роки тому +3

    Hili zoezi gumu mno😄

  • @mussamivache4986
    @mussamivache4986 3 роки тому +11

    Mwaisa mtu mbadi yuko wapi jmn🤣🤣🤣❤️

    • @kingcicero1708
      @kingcicero1708 3 роки тому

      Kwani wa wapi uyo jamaa? From Mozambique 🇲🇿 hapa

    • @alextanzania
      @alextanzania 3 роки тому +1

      @@kingcicero1708 wa Mbeya - Isengo

  • @rehemamustafa4095
    @rehemamustafa4095 Рік тому

    Hekima ni kitu kikubwa Sana Elihudi Mungu azidi kukubariki

  • @petermaingu6454
    @petermaingu6454 3 роки тому

    Ann nimejifunzaa kituu kikubwaa saana kutokaa kwa eliudi kama katika maishaa yako yotee lengo lako nikufanikiwaa tuu hutakujaa kufanikiwaa kamwee lazima tuwaze na hekima naa busara pia

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum Рік тому

    Aisee Ninacheka kwasababu Hawachekeshi 😂😂

  • @meshack3266
    @meshack3266 3 роки тому +3

    Mtu imala bhana hapo kwa kinyambe hahahah

  • @ommymp9058
    @ommymp9058 3 роки тому +1

    Ila kuchekesha kazi sana

  • @janesmbuzi3935
    @janesmbuzi3935 2 роки тому

    Coy mzungu has a free heart.. he is really trying to see good in them

  • @professormacomplexa7422
    @professormacomplexa7422 3 роки тому +5

    Inaitwa Stand Up Comedy. Sio mchezo😃

  • @frenkindagalafrenki7700
    @frenkindagalafrenki7700 3 роки тому +1

    Kwel kabis baba levo

  • @mahamedabdi1881
    @mahamedabdi1881 3 роки тому +7

    Tanzania hatowezi Comedy tuwaachie wakenya Comedy za Kenya utacheka tu 😆🤣😄

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 3 роки тому +2

    Uyo jamaa mpishi nime cheka sana yani hahaha

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 роки тому +5

    Nimempenda huyo aliyecopy jolmaster 🤣🤣🤣

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 3 роки тому +3

    😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣zebwela nakuolewa

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 3 роки тому +3

    Jamani mimi kwa ushauli naomba muwape washiliki mda waku weza kufanya kile wana choweza hata waki weza kuigiza kama mtu mwingine

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 3 роки тому +1

    Hakuna Kazi Ngumu Kama Kuchekesha...Tena Unamchekesha Usiyemjua Nn Kinamchekeshaga Akiwa Kanuna 😅😅😅

  • @worldchanneltv1809
    @worldchanneltv1809 3 роки тому +2

    Ila kuwa mwanaume kazi kinoma

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo9427 3 роки тому +3

    Sema huyo dadaa ziro kabsa na kisuruari chake

  • @ElnestJohn-nh6yy
    @ElnestJohn-nh6yy 6 місяців тому

    😂😂😂😂 zebwela kapendwa

  • @joyron104
    @joyron104 3 роки тому +9

    Zembwelaaa...umezdi fhambi kwel😂😂😂

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum Рік тому +1

    Sijamaliz Kuangalia, mtanipa feedback kama kuna aliyechekesha 😂😂😂

  • @abdillahyabdilkadir4670
    @abdillahyabdilkadir4670 3 роки тому

    Kinyambe ameweza

  • @novusengineering_tz4523
    @novusengineering_tz4523 3 роки тому +6

    Shikamoo standup comedy hahaha
    Kumbe co rahisi

  • @annanelson7571
    @annanelson7571 3 роки тому +1

    Huyo kinyambe jamani😂😂😂

  • @emmanuelytunduma8127
    @emmanuelytunduma8127 3 роки тому

    Mbeya kwa wahuni wabishi watata nakubali sana

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 3 роки тому +2

    Oya wanangu zembwela ni kauzu zaidi ya dagaaa uyu jamaaa hanatakiwa kuwa usalama wa taifa.😎😎😎 kwakweli🤠🤠

  • @yusuphmohamed2816
    @yusuphmohamed2816 3 роки тому +19

    Hey wasafi me cjawah kukoment hat cku moja ila huyo jamaa na uyo dem hapo wameniliza 4sure😭huo cyo msaada bali ni upendo

  • @emmanuelmeela3065
    @emmanuelmeela3065 3 роки тому

    Duu,wee jamaa unayehoji unafiki sana😆😅

  • @Mzunah
    @Mzunah Рік тому

    Cjawai comment naishiaga kulike tuu lakin uyu dada wa kwanza kabisa
    Na historia yake apana mwee

  • @joharichaima4309
    @joharichaima4309 3 роки тому +4

    Nyie mi nampendaga baba levo akiongea ata kawaida tu nacheka

  • @syntaxerror9217
    @syntaxerror9217 3 роки тому +3

    Yaan apa utacheka sio sababu washiriki wanavichekesho hamna ila wanachochekesha kinachekesha🙄🙄😂

  • @rahmabrazil7632
    @rahmabrazil7632 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂nacheka juu watu hawacheki 😂😂😂