TAHARUKI! KIJANA ALIYEPOTEA MWILI WAKE WAKUTWA KWA MGANGA, MABOMU YATUMIKA KUTAWANYA WANANCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 220

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 місяці тому +27

    Uchaguzi ukikaribia kunakuwa vitu vya ajabu ajabu 😢😢😢
    Pole kijana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +3

      Kweli kabisa, viongozi wachawi tupu

  • @ommyshopangi9543
    @ommyshopangi9543 2 місяці тому +26

    Mliombee sana hili Taifa....kuna namna limewekwa bond kuzimu!!!!

    • @storytownTv
      @storytownTv 2 місяці тому +4

      Af umeongea jambo la kwel kabx nadhan mzimu wa nyerere ,magu na mkapa huwa unashangaa sana

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 2 місяці тому +3

      Kweli kabisa hili ndio jibu halisikwa haya yanayoendelea, Yesu Aingilie kati

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j 2 місяці тому +5

    huu ni mwisho wa dunia nawambia kweli kabisa nyakat za mwisho upendo wa watu utapoa nd hivi sasa Mungu atusaidie😢

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 місяці тому +13

    😢😢😢 mmmh huyo mganga atakua kufukia watu wengi sana hapo

    • @florangido202
      @florangido202 2 місяці тому +2

      Auliwe tu
      Huyo ni Shetan Live 😮😮😮

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +2

      Wam'binye mpaka aseme. Waganga wote wangepigwa marufuku ni ushetani tupu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +8

    Mtuakitekwa Harudi tena😭😭😭tunauliwa kama mbuxi siyobinaadam ilamachoxi yawatu na dam zawatu.zitawajibu.lnshaallah

  • @Wiliam-n9k
    @Wiliam-n9k Місяць тому

    Mama sana

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 місяці тому +8

    Maadili ya kazi kwa watumishi wa serikali inatia mashaka!

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon 2 місяці тому +1

    Daah poleni san ndugu zangu

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 2 місяці тому +3

    Haya mambo ya kuzimu kabisa,roho ya mauti ndio upo kwenye anga duuuu Yesu Kristo tuokoee

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 місяці тому +6

    M/MUNGU Ilaze roho ya marehem mahalii pema peponi pole kwa familia ilibidi raia wange wauwa wote wawili hatali sana

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp Місяць тому

    Daa! Nyie wanyaturu mama zangu meacha kufuga mbojo sasa mnaua watu nakuwazika

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 Місяць тому

      Huyu mganga ni msukuma,muhamiaji,matukio mengine kayafanya kijiji Cha pili na kwetu huko dom

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 місяці тому +3

    Mungu wangu tunaelekea wapi sasa

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 2 місяці тому +1

    Nchi hii imejaa maovu, imejaa machozi, viongozi wanafeli majukumu yao. Maovu ni mengi. damu nyingi isiyo na hatia inayomwagika, humlilia mungu. Hii huleta laana ktk taifa

  • @obed_artz5418
    @obed_artz5418 2 місяці тому

    Hivi kwanini police wanawaachia hawa waarifu baada ya kuwakamata na wanajua wameshaleta taharuki ktk jamii wananch wakichukua hatua basi wasilaumiwe wawaache wafanye kimachostahili.

  • @HidayaJamali-v1g
    @HidayaJamali-v1g 2 місяці тому

    Sbhanallah inallih wainalahi rajikhun

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭😭 Mungu tusaidie🙏🙏🙏🙏

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому

    Jamani jamani😢😢😢

  • @yonahmsyani3232
    @yonahmsyani3232 2 місяці тому

    Mungu atusamehe sisi waja wake.

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 місяці тому

    Wananchi wema chagueni watu wacha Mungu. Wewe mama unayelia usililie polici akusaidie lia ukimtaja Mungu wa kweli akusaidie. Viongozi tzn yote machawi kwanza ni mauaji. Uongozi wa kuua ndipo utawale matokeo ndiyo hayo. Tumwombi Mungu tu. Make sasa raia tuko matekani babeli

  • @MayaAlamari
    @MayaAlamari 2 місяці тому

    Subhanallah
    Innalillah wainaillah rajoon

  • @RashidRamadhani-b5o
    @RashidRamadhani-b5o 2 місяці тому +1

    Hamna askari hapo ndugu zangu ni wahuni watupu

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 місяці тому

    Jamani singd yetu mbona imearibka mimi nipo singd kijji cha itaja nimepotewa na mdgo wangu toka 16 mwezi 6 nahaptikani tumemutafuta sehemu mbali mbali hatumupti na haujui yuko wap mpka Sasa tunaumia sana

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому

    😭😭

  • @eunicemaganga4350
    @eunicemaganga4350 2 місяці тому +3

    Eeeh Mungu litazame taifa hili la Tanzania tunaelekea kubaya tusamehe Mungu pale tulipokukosea kama taifa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому

      Kweli tuombe toba Kwa nguvu zote, haiwezekani kila Kona watu wanapotea na wanakufa

  • @VantinMassawe-dh2xf
    @VantinMassawe-dh2xf 2 місяці тому

    Jamani

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 2 місяці тому +3

    USHIRIKINA UMEKITHIRI MNO.

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 місяці тому

    Pole

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 місяці тому +8

    KITENDO Cha Serikali kuwapa LESENI hawa Waganga ni jambo baya sana,na hawa Waganga hawana faida futa maleseni Yao yoteeee,Kwa sababu wakati anafanya kazi yake Serikali haipo utajua anachokifanya ???

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +1

      Kabisa wapigwe marufuku

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 2 місяці тому +1

      Juzi walijazwa kwebye treni wakiebda Dom

    • @BIGBOSS-hl3bu
      @BIGBOSS-hl3bu 2 місяці тому

      Hao ni watu ambao siku zote ni wachawi aliojificha kwenye tiba za asili

  • @mariammkenga2017
    @mariammkenga2017 2 місяці тому

    Nimeumia sana 😢😢😢

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 2 місяці тому +2

    Dunia simama nishuke😢😢

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 місяці тому +1

    polesana jamani

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 17 днів тому

    Tanzania tumezidi tunalaana. Tuna kila kitu lakini tuko maskini. Kwa sababu yakuabudu miungu

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 місяці тому +5

    Yaani sasa hv unatembea barabarani wenzio wanakupigia hesabu ya tufigo twako jamani.tujifiche wapi sasa?

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 місяці тому +4

    Kiukweli inaumiza sana Tanzania USHIRIKINA UMEKITHIRI MNO

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 2 місяці тому

    Muuweni huyo mganga mbona ni rahisi sana tuu

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 2 місяці тому

    Hv hao waganga wa kienyeji wa kaz gan pigen ua hawafai ndo wanasababisha watu wanapotea ovyo

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 місяці тому

    Irunde maana yke n wingu,yan hio singida,Moja police hawana lolote wapigaji tu mwisawa anyampaa,hao wagaga n noma,

  • @japhetsamson773
    @japhetsamson773 2 місяці тому +5

    Huyo mganga anatafuta nn polisi akati mlitakiwa kuwamaliza mapema

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 місяці тому

    du mbona twarudi kule tulipotoka jamani haya matukio yalipungua sana

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 2 місяці тому +1

    Naomba kuuliza swali jamani!
    Hiv nyie mnaowalilia polisi mna akili timamu kweli?
    Hiv kuna tofauti gan kati ya polis na wahalifu??
    Wa kumlilia ni mmoja tu na ndiye alipizaye kisas cha kweli na mtetezi wa kweli aitwaye Mungu Mwenyezi!
    Polisi+wahalifu=
    Mwenye jibu anipe.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 місяці тому

    Waganga wa Iddi Amini mama samia hao kutoka kizimkazi kwao

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 2 місяці тому

    Waganga wakienyeji selikali kwanini inawakumbatia waganga wakienyeji ndio chanzo cha watu kutekwa na kuuwawa selikari iliangalie sana swala hili

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima 2 місяці тому

    Jamani matukio ya kuuana kutekama yamezid tumechoka jamani

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 2 місяці тому

    Vita iishe nikachukua mahindi choma 😢😢😢

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 місяці тому +2

    kweli kabisa jamami poleni

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 2 місяці тому

    Tusipige kula kwanini tanzania imekua hivi magufuli baba mungu mrudishe tunaisha uku

    • @JacobSanday-u9h
      @JacobSanday-u9h 2 місяці тому

      Magufuli mwemyew alikuwa anapoteza watu

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 місяці тому +2

    aitakuwa nawatu kweli mwanangu

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 2 місяці тому

    Jamani Jamani

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 2 місяці тому

    Hakuna kupatikana Kwa haki hapo wananunua hizo viungo wao Ndiyo wateja

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 2 місяці тому

    We jamaa unayeshuhudia upo sahihi li maviongozi baadhi ya serikali kuna muda yanashirikiana na hao wanaharamu wauaj na yenyewe yauwawe maana auwaye kwa upanga naye atauwawa kwa upanga!😢

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 2 місяці тому

    Taarifa zenu hazija kamilika hujasema hili tukio limetokea wp

    • @yohanaemanuelylazaro5109
      @yohanaemanuelylazaro5109 2 місяці тому

      Sasa we umekamilika nn wakat unaanza c wamesema mtinko makuro ckiliza vzur WEWE uache shobo

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 місяці тому +2

    Tanzania yetu 😢ht sijui Inaelekea wapi kila kona watu wanapotea

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 місяці тому

      HIYO NI VITA YA KIMAMLAKA... WATU WANATAKA NA WAO WAKALIE KITI KWA KILA AINA YA MBINU...

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 місяці тому

    Duuuh polelen Kwa familia

  • @RoseKaiza-g2j
    @RoseKaiza-g2j 2 місяці тому

    Eee mwenyezi mungu tusaidie umebaki wewe tu ndio kimbilio letu

  • @pendobundala-t7f
    @pendobundala-t7f 2 місяці тому

    Mbn kla kukcha matukio yanazd jmn, mungu tusaidie waja wko

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp Місяць тому

    Makuro kwa wajomba zangu jamani kueni makini.naogopa

  • @williamngalla1068
    @williamngalla1068 2 місяці тому +1

    Ferdinand irunde anafaa kuwa mtangazaji wa BBC

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 2 місяці тому +4

    Mmh dunia imefika ukingoni.

    • @phare_tz
      @phare_tz 2 місяці тому

      Uongozi haupo makini tu

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 місяці тому

    Tuna shida gani sisi wabongo? Uchawi unaabudiwa. Kama hatumjui Mungu. Poleni ndugu na jamaa

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 2 місяці тому

    Wanya2ru na niny mmeanza ushirikina😢

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 2 місяці тому

    Tuseme kwamba usalama Kwa sasa ni mdogo, maana matukio yamekua ni Mengi

  • @NgemeWalwa-f6u
    @NgemeWalwa-f6u 2 місяці тому

    Kweli kabixa kwa mfano lamad watu wanapotea hafu hawaonekani

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 місяці тому

    Waganga wa kienyeji wapigwe marufuku wasipewe leseni.wanaagua nini na ndio wanaoroga watu

  • @MKOLOSAIZENGO-o7f
    @MKOLOSAIZENGO-o7f 2 місяці тому

    Tanzania tanzania TANZANIA

  • @Saum-o1w
    @Saum-o1w 2 місяці тому

    Wanyaturu mwatendawore jmn, sokontoni jmn😢😢 mnaua Vijaya Taifa la kesho " tuungane kuwaua mi nipo tayar

  • @TausiEme
    @TausiEme 2 місяці тому +2

    jamani poleni sana ,ubinadamu kwa sasa hakuna binadamu ndio wapo,serikali ishike mkondo wake ! kaa sivyo twaelekea pabaya Tanzania

    • @JeremiahKaliwa-h1w
      @JeremiahKaliwa-h1w 2 місяці тому

      Mbona serikali inaachia waharifu Bora wananchi wajichukulie Sheria mkinon serikali imeshindwa kaz

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 2 місяці тому

    Kumbe waganga ndo wanaua watu afu mnasingizia serikal

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 2 місяці тому

    Tumekwisha

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 місяці тому

    Huko vijijin watu wanapotea sana kama hiki ni Kijiji kimoja tu watu 6 je mikoa mingine Sehem ambazo hakuna hata mitandao😭😭😭

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 місяці тому +2

    Tunakoelekea binadam 😢😢😢

  • @DeusdedtBernard
    @DeusdedtBernard 2 місяці тому

    mtanikumbuka RIP JPM

  • @SalumuBakari-w8r
    @SalumuBakari-w8r 2 місяці тому +5

    Awa askari wanaumiza wananchi sana

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 2 місяці тому

      Kwa akili za kisoda unataka police wafanye nn😢

    • @emmanueljohn7253
      @emmanueljohn7253 2 місяці тому

      Nachoamini polisi wana kazi ngumu sana kuliko jamii inavyowachukulia​@@nancolower_8032

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 2 місяці тому

      Chadema mnakazi Sana

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 2 місяці тому

      Askari wameingiaje hapo sasa wewe ukiruhusu kila mtu ajichukulie sheria mkononi kutabaki na mtu nchini hapa!? Taratibu zipo sio kuchoma nyumba au kuua mtu

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 2 місяці тому

      ​@@nancolower_8032wafanenini wenae kaamjinga kwanini mualifu anakamatwa Kisha wanamuachia ngoja apotee ndugu yako

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 місяці тому

    Huyo mgaga ilikuaje akawa mzima hadi kafika police,anyampaa hp mmejichanganya ilikua n kua tu,mtu amenyofolewa mnaremba mgg aseee utasikia uchunguz bado,unaendelea

  • @chalesimtundu7633
    @chalesimtundu7633 2 місяці тому

    Ndo haya ya simiyu

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 місяці тому

    Huyo mkuu wa kituo jina lake nani??

  • @promisetenson7258
    @promisetenson7258 2 місяці тому

    huyo mkuu wa kituo cha polisi kumuachia mhalifu alafu kuanza kutembelea piki piki ya mhalifu ni kitendo cha aibu polisi huyo amepoteza sifa.

  • @BedaKunguluche
    @BedaKunguluche 2 місяці тому

    Polisi mnatakiwa kujitafakari,naona maadili ya Polisi yamepotea

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 місяці тому

    Jamani askari shida ni nini? Utatumiaje pikipiki ya muhalifu! au ndiyo rushwa yenyewe!

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 2 місяці тому

    Jeshi la polis limeshindwa kuwakamata watekaji? Mungu tusaidie tukimbilie wapi kwa matukio haya

  • @phare_tz
    @phare_tz 2 місяці тому

    Apo kwenye uchunguzi sasa

  • @STAZIUSMAGOMA
    @STAZIUSMAGOMA 2 місяці тому

    sasa mwili umekutwa kwa mganga lkn alivyopotea watu bado wakasema polisi wamemchukua ni ujinga tuu

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 2 місяці тому +1

    washamuuwa jamani

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 місяці тому

    Ni muda wa waganga wa kienyeji kuuwawa

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 місяці тому

    Ila police yani pkpk tena ya uharifu anatembelea

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 2 місяці тому

    Selikali haijawahi shindwa hili swala nyuma ya pazia mnahusika kila siku watu wanapotea na kuuliwa

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 2 місяці тому

    Huyo mganga auwawe na yeye!

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 місяці тому

    Ivi awa wachawi wameluhusiwa nini kufanya uganga wao?

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 2 місяці тому

    Dawa katibatu

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv 2 місяці тому

    Washa moto uwakeeeee

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 місяці тому

    Uyo mganga. Muuweni chap

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 2 місяці тому

    Yan Tena WATUMISHI wa serikali wanahusishwa?!!! hatar sana!

  • @adammapuyanga8818
    @adammapuyanga8818 2 місяці тому

    mbona kama nchi haipo kwenye amani

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 2 місяці тому +1

    Mungu tuongezee manabii kama Mwamposa

    • @AshrafuJuma-l3l
      @AshrafuJuma-l3l 2 місяці тому

      Uyo.mwamposa sio nabiii.uyo.ni.mwizi tuuu

  • @ramadhansadallah9894
    @ramadhansadallah9894 2 місяці тому

    Nilikuepo pale sio poa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 місяці тому +1

    Ee Mungu okoa Nchi yetu Ya Rabbi tunakwisha jaman watoto kwa wakubwa mganga ana cheni huyo sio peke yake ashikiliwe vizuri atoe ushirikiano

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +1

      Abinywe mpaka awataje wote aliowaua. Kwa nn serikali inakumbatia wachawi? Wapigwe marufuku

    • @uziasinkamba7380
      @uziasinkamba7380 2 місяці тому

      Wapo wanachama ambao Wana masrahi na huo utekaji ndiyo maana hawafuatilii,Mungu atusaidie Kuna Siri kubwa sana ya kichawi hapa tz

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 місяці тому +1

    Things r getting real.nasty

  • @LloydsTech
    @LloydsTech 2 місяці тому +1

    Mh Gondwe unasema timu ya jeshi la polisi ambao uchunguzi huwa haukamiliki

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому

    Magufuli ndio aliweza ,saizi wanafanya kma nchi yabibi yao Wapiga ramli wte wakamatwe.Wanga wanaotumia viongo vyawadamu.

  • @JAMILAJAFAR-jk8iu
    @JAMILAJAFAR-jk8iu 2 місяці тому

    Waganga wengine hawana akili afungwe tu sio wote wenye akili hizo

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 2 місяці тому

    Hv na nyie wananch mtu mnamufahamu alafu mnamuacha hv hv au kawachezea Kijiji kizima