𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐎𝐅 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Mzee Yusuph-Nakula Kwa Nakshi Naksh (Official Video) produced by Mzee Yusuph
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- #MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital
(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Modern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazim...
Safina Modern Taarab: ffm.to/safinam...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Sitowahi kuusahau wimbo huu maishani mwangu...marehemu mume wangu aliupenda sana❤❤old is gold
Bado moto 2024
Saaana
Yeah
Hii ngoma ndo niliingia nayo kumchkua wife aaah ilo vibe usiulize
2023 bado nasikiliza nyimbo zako mzee Yusuf ❤❤
😂😂😂😂😂❤❤❤❤😅😅😅😅
Nyimbo tamuu balaa Hasa nkiwa na wangu mume jamn kupndana raha♥️🥰🥰🥰
CONGRATE'S KAKA WEWE NDO KING AMPLIFIER MFALME MZEE YUSSUF🎉❤
Old is gold.. wangapi bado twaskiza huu utamu.. 2023..
Mimi hapa 🖐
Masha Allah tabarakkallah
Mimi
This one was bae
Mm hapa
Labda aamue mola lkin kwa zenu hilaaa
MI nilidhani naupenda mm tu😃😄😀💯
Nakumbuka mbali sana
Aaah nikitamani masalaa aah kimwana hunitayarishia
Aah au chapati na chila aah hapo ndio ninapomzimia
Sifa na tabia zake Mungu kamtunukia umbile na sura yake kidole namdatishia wenye kuumwa na waumwe
Wenye kuchomwa na wachomwee 👌🏽
Hii nyimbo buana ndani kwangu udi nmevaa kanzu swafiiiii naiona pepo ningali duniani
@@couragetv3314 Kanzu au msuli
@@duhrurhhddhheud8575 Kanzu... ata mie naipenda sana mpk mke wangu anajua asaa
Utamu utamu yakale dhahabu kweli❤❤❤❤❤
Mzee hii nyimbo alitunga usingizini maana imekamilika
Huyu ndio mfalme wa taarab 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💃💃💃💃
❤ 💯
❤❤💯💯
Mzee ii nyimbo kaitendea haki
Huu wimbo unanikumbusha mbali at sisemi
Mzee mzee nakuita mara mbili mzee wangu huu wimbo ulijua kuutunga na kuuimba asa pale ninapolisikia gitaa solo la kaka yangu fikilini urembo uwa namkumbuka sana jamaa anajua kulichalaza gitaa
Hii nyimbo hunikumbusha kakaangu kipenzi mohammed ❤mungu ailaze roho yake pahala pema peponi
Pole sana 😢
Aaah woteeee 2024 🎉
Here😅😅
17/11/2024 Nasikiliza bado ya moto kweli cha kale dhahabu
I missed dis...jamani inanikumbusha mbali sana...R.i.p mark #kidum ulinifanya nikapenda taarabu I mic u luv continue resting in peace ooooh I wsh u were here😭😭😭..... love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ummy werever ua tutafutane
Mwanaidi r.i.p
Auntie leah r.i.p
Shemeji zangu upande wa Mark I mic u
Shemela mwangi
Irine mghoi
Woiii I mic u u were there wen I was wth Mark I mic
Grace mummy mic u
Continue resting in peace mark
Pole sana paula
All Hail Mfalme Mzee Yusuf 👑
Jamani ubaya haujengi nahautowasaidiya😂😂😂watajibeba nabado tenaaaa
Mm nikila kinakshi nyiye roho mwaumiya 😝😝😝 tenaaaa nabadoo 😛😛😛 mutajibebaa
2024 August im here,,mashalah!!
Nimekumbuka mbali sanaaa😭😥😭
Hadi raha😘😁😁, kupendana raha jaman😁😁sitaki msinisogeleeeeeeeeee
Acha tu yaani 😂😂😂
Mzee fundi sana huyu
Kwetu hamzimi hamuwashi nnakula kwa nakshi nakshi
Anavyolalamika sasa
Chuzi limekolea haonjeshwi mtu😍😍😍
Hapa ishi fashion yoyote kwa mzee yusuf 🔥
sauti ya kiume.khaswaaaaaaa
Funga mwaka🔥🔥🔥
Rahaa jamani kupendana asikwambie mtu ❤️❤️
Tangu Nikiwa Form Six 2009 Mpaka Sasa Naiskiliza ❤
Old is gold
Ubaya haujengiii....na hautiwasaidia...jueni hafi starring hadi mchezo kuishia
Mtibwiriko,,,,hoii vipaji hudumu.watu wala kws nakshi nakshi👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏😁😁😁👁️👁️👁️💪💪💪💯💯💯
My favorite taarab❤️
Napenda nyimbo za mzee Yusuf kama damu yangu
Asante mzee Yusuf Bado moto
Hii song ❤pambe ila niya long time
bado pambe
Bado naisikiliza 2023!
2024,bado tamuuuuu
Kiukweli huuu wimbo unanipa raha sanaa❤❤❤❤
The guys behind the piano 👏
2025 and still rocking
Jaman kupendana raha yani utamu utamu 😂😂😂🥰
Mfalme atabaki kuwa juu tuuuh
mimi nikila Kwa nakshi ni Nini nyinyi mwaumiaa .napenda Sana huu wimbo 🔥🔥💕💕
Mi na hani tunaishi Kwa Raha katika Dunia 😊😊😊☺️☺️💓💓💗
Hizi ndio Taarab sasa mzee
Umbile na sura yake😁😘😘, wenye kuumwa na waumwe😘
Wenye kuchomwa na wachomwe
Wimbo wa miaka yote
Taarab yangu pendwa kila siku lazima niisikilizee
Katka nyimbozote ikaimba
Ina nikumbusha mbali sanaa
Wow classic.❤️
Masha Allah Masha Allah aah mtoto huyu Masha Allah
Dah poa nakumbuka mbali sana
Saidi Mzee ndio mlis wa doct love ap
Eeh mayeee!!!
2023 Bado naiskiliza ❤❤❤
Bado naendeleya kuisikiza nyimbe tamu Mzee yusuf
Kabisa mzee yussuf 💕💕👌👌👌👍 👍 mm nikila kwa nakshi nyiye roho mwaumiya 😝😝😝😝😝
Wapiiii baba yusufuu jamanii nakumbuka mbali mm😭😭😭
ameumbika kinashki....2025 mpoooo
beauty this one
Nipe nnachotaka kwako honey.. nipeeeee.. hii nyimbo we acha tu.
One of my favorite jams
Kwa mungu fitina maleshi❤
My all time favourite ❣️
Sensabikaa na mzee yusuph 😘😘😘
1st Jan 2025 still a hit hauchakai huu wimbo
Wallah....😀😀😀 safi saana!
2023 Tunakula kwa nakshi nakshi....yes King🤣
July 2022 bado ya 🔥🔥🔥🔥 video ya tunatazama jaman ipandishen watu wa old sie
Sana MashaAllah haijawah kuchuja🔥🔥🔥
Leo tarehe 26/10/2024 nausikiliza sasa hivi ni saa nane na dakika 7
I love your music ❤
My favourite song ❤
Really
Ili zee linajuwa kuimba
Nakula kwa nakshi aichuji jaman
Moto mzee Yusuf mwisho
Safiiiii❤
Nakula kwa nakish nakish
Nec song 👌👌👌🤣🤣 tenaaaaa natenaaaa kwarahazenu 👍👍👍
Sauti inatoa nyako pangoni
Hata mtafte timing....hampat kituuuuu....
This song❤🙌
War hi ni Moto sana tbt to rimembar
Jana semwa mengi kuusu mapenz haya ya sio ya msingi 🥰🥰🥰🥰
Yanasemwa mengi kuhusu mapenzi haya
Yasiyo na msingi lengo kutuchafulia
Dah mzee2024 nimeenjoy saan
Thenk you soo mach nec song 👌👌 mzee yussuf💕💕💕💕
Love so much❤❤❤😂
2024❤👌🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🔥🔥👌
king 👑👑👑
Wow 💃💃💃
Wimbo mtamu
Weee kiboko
❤❤❤😢😢👌👌🔥🔥😋😋😋😋love it😅
Bado naksiklza 2023