Bora uzindukane usiifate dunia tu ina mwisho wake na pesa vile vile rudi kwa Mola wako wengi walikuepo na umaaruf na sauti nzuri na nyororo lakini leo hawapo weshafika mbele ya haki, tahadhari usighururike na pumzi hapo ulipo tena bora urudi na uombe msamaha kwa Mola أنا الله غفور الرحيم
Sio mpenzi wa taarab. Lakini hii nyimbo ilikuwa moja kati nyimbo pendwa marehemu Mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza. Kila siku nikifika hapa, ni kama namuona akiimba kila jumapili akifanya usafi na kunikimbiza 😂kwa kukanyaga alipo deki!!! Akisimama na kushika mfangio kama MIC, na kuimbaa.. Namfata nakumjoin mpaka nikaijua nyimbo.. Ahsante Mwanahawa Ally kwa kunipa kumbukizi ya marehemu Mama yangu.. Alikupenda sana. ❤❤
Namsikiliza mwanangu Mwanahawa Ally nikiwa k'koo mtaa wa Amani na Jangwani. 16-07-2023 Saa 9:58 Am Taarabu nzuri zilianza kupotea Mwakan 2009 kushuka chini Gonga like km wamkubal Mwanahawa Ally
Wanao skiza hii nyimbo 2024
Tupo
Tupo
Mimi hapa from Washington 🇺🇸 with love ❤
Tupoo
Ww umebugi sio wanao sikiza plz wanaosikiliza
Tunaosikiliza hii nyimbo 2024 mko wapi❤❤❤❤
Npo hapa 😊
❤❤❤
Jangombe
Kitambo Sanaa ❤❤😂
wanaosikiliza hii nyimbo 2024 like hapaa 🙌🏾
Tupo .tarehe 30.4.2024
Tupoooo❤❤
Tupo
Kama bado unasikiliza hii nyimbo 2024 like hapa
Wapenzi wa TAARABU TUJUANE APA kwenye LIKE ~🔥🔥~~2023~~☑️☑️
Tupo pamoja 2023
Tup
Wanao sikiliza hiyi Taraab mpaka huyu mwaka2021 gonga like
@Faustine Mahola ndio kbs❤️❤️❤️🥰
pc
Npoo nasikiliza mwaka 2024 nyimbo haichuji
Wanaoskilza wimbo April 2024. gonga like
Nyimbo hii naipenda Sana Allah azidi kumbariki mwana mama huyu
Wanaosikilza hii nyimbo 2023 naombeni like zangu
😂👍 12/5/2023.
14/05 🔥🔥🔥
Nipo hap
🔥🔥🔥26/5/2023
3/6/2023
Tunaosikiliza hii nyimbo 2024 gonga like hapa
Bora uzindukane usiifate dunia tu ina mwisho wake na pesa vile vile rudi kwa Mola wako wengi walikuepo na umaaruf na sauti nzuri na nyororo lakini leo hawapo weshafika mbele ya haki, tahadhari usighururike na pumzi hapo ulipo tena bora urudi na uombe msamaha kwa Mola أنا الله غفور الرحيم
2020 tupo hapa
tupo hapa 2020
2020 tupo
Wanaosikiliza 2021 like jaman
Hiz ndio zilikuwa nyimbo unasikiliza na kuburudika
🎇🤷♂️💞
Nzuli
Sio mpenzi wa taarab. Lakini hii nyimbo ilikuwa moja kati nyimbo pendwa marehemu Mama yangu alikuwa anapenda sana kusikiliza.
Kila siku nikifika hapa, ni kama namuona akiimba kila jumapili akifanya usafi na kunikimbiza 😂kwa kukanyaga alipo deki!!! Akisimama na kushika mfangio kama MIC, na kuimbaa.. Namfata nakumjoin mpaka nikaijua nyimbo..
Ahsante Mwanahawa Ally kwa kunipa kumbukizi ya marehemu Mama yangu.. Alikupenda sana. ❤❤
Mashallah nyimbo haichuji mpaka 2022 ni motroo alooooh
Hya 2024 naomba like zangu
Naupenda sanaaa
Wanao skiliza wimbo 2020 nipen likes zangu
Nyie ndio wachawi wa UA-cam tumefika sangapi 2020
@@isaacanzuruni4913 hahahahaa
Leo hii nimefungua nayo mwaka mpya
Tupooooo👐
Naipenda sana jaman hii taarab
Nani bdo yuko 2020 agonge like twende sawa
Nipooo
Penda xana
Huyu bimkubwa anajua sana yani
old is gold ukisikia zilzipendwa na zinapendwa ndio hiz ujumbe unaishi mpaka leo,safi saana kwa kweliii
Mwanahawa uko vizur kuimba una sauti mashaalah
Wenye tunasikiliza 2021 gonga like twende pamoja
🥰Nipo
@@fatmamussa1161 asante
Woyooo
Wanaosikiliza nyimbo 2019 gonga like tujuane
pamoja dada
Tupooooo🙌
Pamoja san
Pamoj San bimkubwa
Vip
Mane ya hekima inatumika kwenye taarab.....safi sana.
2024 bado nipo😂...who else
2020 niko apa nasikiza mwanahawa nyimbo hainiishi hamu😍😍😍🎸
Wanangu wanao fahamu jina mchiriko weka like hapa .... Hili ngoma sikiatu watu tumecheza hoooo camp nyarugusu 😔😔😔😔😔 maisha yanahenda Mbio sana
Mamahuyu mwanahawa ally yukowapi huyu jamani, nakumbukambarisana.
Acha kujisifu. ..kaa tafakari uwache fahari🔥🔥☄
Mungu humjali kumshukur yy utamjalije bigup
Jamani ee zamani waliimba tunawakubali
Mwanahawa ally huna mbaya
Khneesa Jumaa duuh...!
Ongera mama yanyu kwa nyimbo nzuri sanaaaa...
TZ Music and the voices never lied.
Mwanamke hulka na njema asili 🔥🔥
Ngoma tam sana hii 1/1/2020
The guitar is also singing along....jamani. It was like National Anthem in wedding ceremony.
Asante mama unatoa kitu toka rohoni nimeikubali
2023 bado ina bamba,,,,mwanamke hulka. Unaruka rukaaa unataka makubwa.
smart song am listening here in Dubai it remaids me home east Africa am real love this song
Mohamed Ali umeonaeeeee
yap
Naipenda bule jamani nimekumbuka tz
Wanao skiliza naomba like
Tunaosikiliza Mwanamke Hulka Mpaka 2021 like Twende Sawa Show love ❤️
Nyimbo nzur sana
Iko poa sana
Yuko vizuri
Naupenda sana huu wimbo💔
Mpka 2023
Noma sanaaaa! Huyo ndo jembe gumu amelima mashamba mengi sana
Ok
Am locked 2021,,nani yuko apa jst hi as you pass
Kwake huna tenda amekuupuuza sasa yuko kwangu nambeleza Santaaaa naipenda xana tu 2019 mpo,,,
Mie naupenda Sana wimbo huu
Wanaosikiliza kipindi tukijiliwaza na corona19 like twende pa1
Tu
Listening from dubai...my favourite taraab...
Mwanamke hulka😘😘favourite song ever
Yani kitambo sana hii nyimbo I like
Tarehe 1/1/2020 niko hapa
Phanny Shigg's tupo pamoja
Yaani 2024 still napata raha ya Huu wimbo❤❤❤❤❤
Santaaaa unaruka ruka wataka makubwa ..bakubali maaa
2023 and its still a Baaaaaang!!!!
Unapashwa mpasho upashikeee. Penda sn hii taarab.
Zilipendwa tamuuu haziishi hamu ,
MWANAHALIMA MWACHILI hamu kama zote
@@kolethatom9208 😂😂😂😂😂.
Zamani raha💃💃💃🔥🔥🔥
Nyimbo mzur na saut yake
Usilete haree haree hilo nalo neno haya bhana ulivyo kasoro hujui kupendwa kuntuuu!;
Humjui mungu kamshukuru wewe utajuaje 2020 gonga like twende sawaa
12/09/2021 miss home TZ, from Abudhabi
2021 full respect,gonga makopakopa ❤❤❤
Mama kama mama mashairi ya kistadi na ujumbe ulioenda shule🎉
nyimbo zako nimzur❤ Obrigada ermazinha
Tunao kula eid el fitr 2020 na taarab ya mwanahawa Ali tujuane 👌👌
11/11/2021 still my favorite song💕💕
Wimbo mzuri , tengenezeni video please.💓💓💯
Ipo
Eee bana eee huyu mama taarabu zake hatari fire kwani yuko wpi?kipindi hicho 200 na 2001
Daaah huwa nakumbuka mbali sana nikisikiliza hizi nyimbo za zamani.
#Jukebox #TBT # Terabyte.
Siuchok huu wimbo jaman dah
Dada kwa sauti tu duu 2020 wangap wanatazama
🌹🌹Nimekumbuk mbali mno my mam💋💃💃
Zarina Qasim mamb
Wapiiii lango la jiji enziii Ile rahaaaa
Baraaaa
Kweli mwanamke hulka
Namsikiliza mwanangu Mwanahawa Ally nikiwa k'koo mtaa wa Amani na Jangwani.
16-07-2023
Saa 9:58 Am
Taarabu nzuri zilianza kupotea Mwakan 2009 kushuka chini
Gonga like km wamkubal Mwanahawa Ally
I love this song♥️♥️♥️♥️
Nice things are found in TZ, Karibu.
❤😊
Wangapi wanaangalia 2021 like zangu
Oyooo 😘😘😘🔥🔥
Hizi ndiyotaarabu ungekuwa msichana ningekutafuta ulipo Sasa wewe mama yangu shikamoo unatisha hiyo sauti
5/6/2022 mwanamke hulka bado ipo pambeeee👌👌👌❤️❤️👯♂️👯♂️👯♂️👯♂️lini utakumbuka kumshukur mungu🙏🙏🙏🙏
Tupo ndg penda sana hii taarabu
Asantaa... Wewe ndie Mama Lao.. Wakipita kushoto tunapita kulia.. Wataelewa Tu! Ningekutuza Soda Mamangu uko mbli tu! Hatari lkn Salama..😂🤣...Wewee...! kuja Sasa..!🔥🔥🔥
Usione kakonda ukadhani halii, namlisha wali na nyama kilo mbilii😂😂
Ngoma karii
😂😂😂
Balaaaaaa
Nc, Lin utakumbuka kumushukulu munguuuuu!!!!
anakondeshwa na we usionafadhili mwanamke katili dah kweli mama
2021 tu wapi jamani??
Tupo
❤big love mama mwanahawa ali
Ujumbe mzito sana watu wazima walikua wanafanya mziki shule sio burudani
2020 One of my favourite song ever💕
Mwanamke hurka upo shoga mzanzibar og💪 wavisiwani tujuane 2020 kwa raha zangu hapa ninajichezesha mwenyewe na ata nasahau kama kuna korona
Nipo 2021
Good song never die! 2021
wanao sikiliza wimbo hu 2021 like zangu apa
Lini utakumbuka kumshukuru mungu
Hainiishi Hamu ngoma imetuliaa palapake
kama unasikiliza hii nyimbo gonga like hapa 2019
Rukia Hamud lini utakumbuka kumshukuru mungu
Ck zote
Old is gold
2019 usimuone kakonda namlisha wali na nyama kilo mbili hahhaaa
Mama mwanahawa unajua
2024 bila kupoa nakubalii bi mkubwa
Jamn 2021 mpo
2020
MAREHEMU PILLY AMIR BIBI YANGU KIPENZII MUNGU AMUWEKE MAHALA PEMA PEPONI INSHA'ALLAH 🔥🔥😢
Wanaosikiza after karantiniii...
Hii tarabu inanikumbusha mbali sana
Mwanamke hulka na njema asili
Thank you for coming to Comoros.
Penda sana