KUMBE MCH MAGHEMBE ALIANDIKA BARUA HII NZITO TAG WAISOMA HADHARANI MBELE YA WASHIRIKA "AENDE SALAMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @VictoriaShija-l2h
    @VictoriaShija-l2h 19 днів тому

    MCH magembe anafaa sana

  • @ISAYADUDAI
    @ISAYADUDAI 19 днів тому

    Yesu aliwai kusema angalieni makaha wasiwatangulie ktk ufalme.Yesu alimaanisha unaweza ukatangulia ila usifike .ukapotea njia poleni TAG Mungu hawarehemu.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 19 днів тому

    Jamani tujitafakali huyu baba magembe ni mtumishi wa mungu ametumikia kanisa pia amatusaidia wengi jamani shetani asiwavuluge mungu atusaidie

  • @EnthusiasticAgilityPuppy-fw1nd
    @EnthusiasticAgilityPuppy-fw1nd 16 днів тому

    Mna matatizo kweli.kweli

  • @wilbardBinyenzi
    @wilbardBinyenzi 19 днів тому

    Tag, ilikufa miaka mingi

  • @gloryfidelis102
    @gloryfidelis102 19 днів тому

    Kubarini Mungu awaponye,Mungu anaongea

  • @jacksonwilliam5093
    @jacksonwilliam5093 19 днів тому

    Nyie hamkubari ukwelii kweli kbs kanisa la t a g linaelekea kufaaa viongozi wetu msipo simama Kama viongozi kemeeni dhambii sio kufundisha tu watu kuwafundisha utiajii tuu basiii hpn

  • @kulwasokolo
    @kulwasokolo 19 днів тому

    Naomba munjitakasa sana mana mutapasuka zadiyapa

  • @noeldstanford9578
    @noeldstanford9578 19 днів тому

    Duh hatari sana

  • @jacksonwilliam5093
    @jacksonwilliam5093 19 днів тому

    Me naona mchungaji magembe Yupo sahihi kbs analisaidia kanisani kukaa tayari na kulionya kanisani Ila nyie uingozii wa juu mmekalia kukusanya michangoo tu kila kukicha kukemea DHAMBI hamkemei tunapakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Tubadilike kemeeni dhambii acheni michango michango

  • @CharlesSomeke-p8m
    @CharlesSomeke-p8m 17 днів тому

    Hivi wakati magembe mnampa hilo kanisha lilikua na watu wote hao

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 19 днів тому

    Ndo shida ya kutumikaa chini ya taasisi Bora Cassian aliyekata kutumikaa chini ya hudumaa

  • @mtalemwadenis1500
    @mtalemwadenis1500 19 днів тому

    Hamna lolote hoja zenu za ulongo mtupu
    Mbona hamkumuita?
    Mnamdanganya kwa vyeo ili asiseme neno la mungu lililobora kwa watu wake

  • @VictorIshengoma-v4y
    @VictorIshengoma-v4y 19 днів тому

    Uchawi ni roho ngumu sana kuishinda

  • @IsakaEndru
    @IsakaEndru 19 днів тому

    Sadaka mmeona mwenzenu anakuza kanisa watu wanaokoka nyie mnataka mle2 kilaini

  • @CharlesSomeke-p8m
    @CharlesSomeke-p8m 17 днів тому

    Maeno ya askofu mbona kama ya mtu wa mtaani kabisa

  • @mtalemwadenis1500
    @mtalemwadenis1500 19 днів тому

    Hamna lolote mbona hamkemei wachungaji na watu wanaojiita manabii??
    Kanisa linaangamia kwani hamuoni
    Angalia vitendo wanavofanyiwa watu wa Mungu kwa miujiza ya ajabu, mnaushauli gani kwa serikali??

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 19 днів тому

    Mnataka kanisa lake tu. Sisi washirika anatubariki sana na tutamfata kokote alipo.

  • @paulmakanza7146
    @paulmakanza7146 19 днів тому

    Jamani, let us be honest, kiroho tupo pabaya sana. The church has lost her prophetic and apostolic role

    • @ScolasticaSatiani-l8c
      @ScolasticaSatiani-l8c 19 днів тому

      Upo sahihi kabisa naukijifanya wa rohoni sana lazima ulambe KIKAO
      Hakuna kanisa litakalo mpeleka mtu mbinguni tulijue Hilo na HUKUMU ni juu ya Mungu mwenyewe hivyo Kila mtu amtumikie Mungu vile anaoma inafaa bila ya kutenda dhambi na kufuata Neno la Mungu ktk kweli yote inatosha