TAG YATOA SABABU NZITO ZA KUACHANA NA MCH MAGHEMBE YAMTANGAZA KANEMBA "TULIMUONYA SANA IKASHINDIKANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 333

  • @iwishtv7907
    @iwishtv7907 7 годин тому +24

    Mchungaji Maghembe ni Mchungaji wa kweli wa Mungu!

  • @sethnjacob1432
    @sethnjacob1432 Годину тому +3

    This man is a politician.
    Leadership means allowing different opinions and hambly avoiding discussions on such opinions.

  • @FiollaIsaya
    @FiollaIsaya 8 годин тому +16

    Magembe Ni mchungaji wa kweli kabisa Mungu ampe kanisa

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 8 годин тому +13

    Watu ni wa Yesu na sadaka watu huwa wanatoa kwa hiari kwaajili ya kumpenda Yesu.

    • @DinuZeno
      @DinuZeno 7 годин тому

      @RoseMayige-gn9qb Saaaaaafi

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 7 годин тому +12

    Magembe Mungu anamtumia kwa viwango vya juu sana tutazid kumfuatilia anayo injili ya kweli sanaa

  • @aggyparty2990
    @aggyparty2990 2 години тому +5

    Kunamchungaji hapo alikuwa mchungaji msaidizi kwa magembe huyo mwenye suti nyeupe simtaji jina ameinama kwa uoga 😢haya jamani viva magembe

  • @glorymagoti9568
    @glorymagoti9568 5 годин тому +11

    YESU tusaidie..watu tuelewe kuwa hakuna atakaeenda mbingun kwa tiketi ya kanisa😭😭😭bali ni mahusiano binafsi na Yesu kwa kufuata sheria, kanuni,taratibu na Amri za MUNGU...tuwe macho hizi ni nyakati za Mwisho..MUNGU TUSAIDIE..Amen

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 3 години тому +6

    T.A.G awana tofauti na katoriki yani limekufa kiroho kabisa, msipokubari maonyo hakika mtasambaratika. mmejaa kiburi mnajiona lakini hali ya waumini wenu mnajua ni wapagani

    • @stephanompagama8694
      @stephanompagama8694 Годину тому

      TAG ni nin? Na katoriki ni nin?
      Hatutoenda mbinguni Kwa tiketi za makanisa kama majengo au taasisi bali Kwa kutenda matendo mazuri na matakwa yake

    • @olsolasindila694
      @olsolasindila694 Годину тому

      Katoliki???? Unaijua lakini. Mpaka uwe timamu.

  • @MohamedIsmaily-e5b
    @MohamedIsmaily-e5b 7 годин тому +9

    Tena nawasihi sana kama kweli mmekufa kiroho chungeni sana msije mwattack Mtumishi wa Mungu maghembe kwa Mabaya maana sasa mtakufa kimwili pia na tutawazika.Mungu awasaidie.

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 6 годин тому +9

    Mchungaji magembe ndo anastahili kuwa askofu wa TAG Tanzania na dunia yote

  • @GodlistenTsere
    @GodlistenTsere 8 годин тому +11

    Hamtetei mwili wa kristo bali kanisa la jengo,jina na utukufu wa mwili ila hamtapunguza chochote kwa magembe hata kidogo aliyemtoa ni yesu hiyo kanisa imejaa uchafu wa kila aina

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 8 годин тому +18

    Mch Maghembe yuko sahihi

  • @tygadaclassic3488
    @tygadaclassic3488 9 годин тому +18

    Vile hampendi kuambiwa ukweli,magembe alisema mmekufa kwani uongo,nani asiyejua, ?? Kama mlivyomchukia mzee kulola eti hamueshimu lazaro, 1982 mkamfukuza alipotoka iringa mkutanoni!?yan kwa kifupi TAG tumeoza, kwaya zimejaa uzinzi, vitambi tu kwa viongozi wetu 😢😢

    • @FloraKenyunko
      @FloraKenyunko 8 годин тому

      Acha uongo hakusema TAG imeoza alisema assemblis imeoza,

    • @tygadaclassic3488
      @tygadaclassic3488 8 годин тому +2

      😂😂😂ukweli unauma, ?

    • @tygadaclassic3488
      @tygadaclassic3488 8 годин тому +1

      ​@@FloraKenyunkoila si kweli TAG tumeoza, au ni kanisani kwetu bas😂😂😂

    • @alphasamwel
      @alphasamwel 8 годин тому

      Matendo ya Mitume 23:5 (KJV) Paulo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni Kuhani Mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.

    • @tygadaclassic3488
      @tygadaclassic3488 7 годин тому

      ​@@alphasamwel Paulo naye alimkemea petro mbele ya watu wote,hata askofu mkuu akifa naye anakemewa hakuna njia mbadala❤❤

  • @VictoriaShija-l2h
    @VictoriaShija-l2h 7 годин тому +14

    MAGHEMBE ndio yuko sahihi

  • @LucasKaik-xt8qe
    @LucasKaik-xt8qe 2 години тому +2

    Aseee TAG wanafki sanaa, hamtaki kuambiwa ukweli kiukwelii kanisa la TAG limeozaa kabisa

  • @ellyjohn2939
    @ellyjohn2939 Годину тому +2

    T.a.g haipendi ukweli viongoz wameshupaza shingo huyo magembe ni mtu wa Mungu msije mkaingia katika shida kwa ajili yake

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr Годину тому +2

    Mzee unaenda mbali sna,labda hijuw unaye mchafua

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 7 годин тому +7

    Mchungaji Magembe yupo sawa T A G hakuna kitu

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 годин тому +9

    Niseme tu kwamba hakuna sababu ya kulumbana takianeni amani tu kazi ya Mungu iendelee.

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 2 години тому +2

    Magembe viva magembe, ukweli unauma hawa viongozi wameshiba hela na sadaka zetu, mnaambiwa ukweli mnakuwa wabishi makanisa, mengi ya TAG YAMEHARIBIKA na yamekufa sana

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 8 годин тому +9

    Kwani TAG hamuwezi kuchangia ujenzi wa kanisa lingine au msikiti,lakini pia Iko wapi hekima?kama watumishi wa MUNGU mnalumbana kwenye vyombo vya habari mmeshindwa kuyamalizia kanisani

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 7 годин тому

      Udini

    • @youtubeyangahjcom
      @youtubeyangahjcom 6 годин тому +1

      TAG wanafiki sana
      Yaani Wana roho mbaya mno!
      Hata mitaani wanajionaga wao ndo wamiliki wa Mungu tena wanajiona wao ndiyo wako sahihi kabisa

  • @ellyjohn2939
    @ellyjohn2939 Годину тому +1

    Mimi ni mshirika wa t.a.g lakini hapa tumekosea hakika magembe ni mtumishi wa Mungu alie hai na Mungu atakuwa na magembe

  • @maryr4033
    @maryr4033 3 години тому +3

    Mchungaji Maghembe kimbia usigeuke nyuma wamelikabidhi kanisa kwa jicho moja . Mungu ataaawaacha wasipotubu!

  • @DismasVenance
    @DismasVenance 2 години тому +2

    NYIE TAG HAMJAACHANA NA MAGEMBE. BALI MAGEMBE NDO KAWAACHA NYI NA DIN YENU MBOVU IMEKUFA SIKU NYINGI SANA. NA MIMI NI TAG ILA NDO NAONDOKA MAGEMBE. NASHAURI WACHUNGAJI WENGINE WA TAG TOKEN KAT KAT YAO MKATENGWE NA HAWA TAG WA DINI. NI MDA UAMSHO SASA. TAG IMEKWISHAAAAaaaa

  • @MhinaLwassa
    @MhinaLwassa 3 години тому +4

    TAG hamjui maana ya kanisa. Mna dhahebu hamna kanisa. Ndo maana mna katiba zenu siyo biblia. Katiba yenu inasema , sadaka za TAG zitumike TAG, huo ni ubinafsi. Maipotubu, mtamchungulia Magembe mbinguni.

    • @DanielMtalima-dg7qv
      @DanielMtalima-dg7qv 2 години тому

      Nikwel kabisaa T A G mjichunguze anachosema mchungaji magembe ni sahihi, ondoen udini na udhehebu, mbaki kwenye msingi wa kanisa kwa mtazamo wa YESU,mzee magembe uko sahihi songa mbele na na uamsho YESU anarud, kulichukua kanisa lake.

  • @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc
    @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc 8 годин тому +11

    Sio yeye asemae kuwa limekufa bali ni Roho anenae ndani yake.

    • @amanimakombe7141
      @amanimakombe7141 7 годин тому

      Maghembe kkuutoka TAG nikasababisha kaanisa la TAG liharibike viongozi mujitafakari sana

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x 6 годин тому +1

      wanashindwa kutofautisha roho aliyendani ya mtu akinena na mawazo ya mtu akiongea.

  • @MariamMangula
    @MariamMangula 3 години тому +4

    Ni kweli magembe yupo sahihi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +4

    Magembe kasema ukweli n a unauma.Mapastor wengi wa TAG wengi unafiki umezidi na ujanja wa kutuchukulia sadaka kwa manufaa yenu Si wote .Lakini wengi wao.TAG ya sasa haina tofauti na makanisa ya akina Mwamposa nk.Inasikitisha.
    Makanisa yatakuja kufa kama Ulaya😢😢Biashara imezidi.Acheninkutumia sadaka zetu na pia acheni kufanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe .TAG inakuwa kama Chadema😢😢

  • @violethbagila905
    @violethbagila905 Годину тому +1

    Mchungaji wangu Magembe endelea Mungu Yuko na Wewe TAG kumbukeni mahubiri siyo kuchafua Bali yeye ni sauti ya Mungu rudini magotini Kwa toba. Siyo maneno matupu.

  • @MaryMgeji-x9z
    @MaryMgeji-x9z 3 години тому +1

    MUNGU tusaidie na ufanye njia mwenyewe mahali pasipo na njia amen..

  • @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc
    @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc 9 годин тому +14

    Maneno yake ni hakika na kweli.ili afike anapopaswa kufika nilazima atoke kwenye meli iliozama.

  • @maryr4033
    @maryr4033 3 години тому +3

    Hawana aibu Kusema watoto wamesoma na Sadaka? Subirini Mungu akiwaacha Kama mtaziona Sadaka Bali mtamtumikia mungu wa jicho moja.

  • @obbynomwa7143
    @obbynomwa7143 7 годин тому +2

    Usiombe proganda kama hii ikukute,ukiwa na msingi mbovu kwa Yesu ndio kwa heri yako,
    Luka 21:28 Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia. And when these things begin to come to pass, then look up, and lift up your heads; for your redemption draweth nigh.

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 19 хвилин тому +1

    Tamaa tu ya mali inawaponza nimekumbuke na lile andiko linalosema et Daudi ameua makumi elfu na mfalme ameua maelfu yake ,,mfalme akamchukia Daudi ndo haya😢😢

  • @kentz186
    @kentz186 8 годин тому +5

    We Listen, We Don't Judge😊

  • @valelianonyato-gx5bq
    @valelianonyato-gx5bq 7 годин тому +5

    Huyo anaongea kitu siyo kweli magembe huwezi kumchafua mtachafuka wenyewe ninauhakika na Mungu yani anapokemea dhambi mnasema kageukaje badala yakumshukulu Mungu ili muombe mludi kwenye mstali mafundisho yake yote ni safi mbele za Mungu mlitaka awe ana lemba dhambi

  • @SifaMtasha
    @SifaMtasha 7 годин тому +3

    Chondechonde washirika msianze kujiachia sasa kuvaa mavazi ya hovyo kisa Baba Magembe kaondoka oohooo... shaurizenu nampenda sana Magembe Bwana awe nawe huko ulikoenda injili isonge mbele tag ni km chama tu km makamu askofu alivosema piga kazi baba Mungu akutangulie

  • @Stephano-g3g
    @Stephano-g3g 5 годин тому +5

    TAG ya Leo ni tofauti Magembe yuko sahihi, ukweli unauma Iisahihishe kama ni kanisa la kipentecoste

  • @YohanaMchala
    @YohanaMchala 7 годин тому +5

    Magembe yuko vizur, mwacheni mzee acheni maneno ya kumuumiza

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 2 години тому +1

    TAG rudi magotini.Magembe ni mtumishi wa Mungu mwenye Roho wa Mungu.

  • @paulshadrackntemi3307
    @paulshadrackntemi3307 3 години тому +2

    Wazeee kama akina Mch Magembe ndio hazina ya Kanisa, Ila nyie akiwaambie ukweli mnakataa.
    Ni kweli T.A.G ipo ICU, siku hizi uzinzi, uasherati umezidi, kwaya na praise team ni majanga yanayofanyika.
    Mungu atusaidie sanaaaa
    Naombea kanisa langu liwe salama

  • @Ernestirene195
    @Ernestirene195 3 години тому +3

    Magembe yuko sahihi. TAG ilianzia rohoni sasa inamalizia mwilini. Imekuwa Dini tu.

  • @shillahmbogo5556
    @shillahmbogo5556 9 годин тому +10

    Mzee Mhiche acha Uongo.Hizo Taarifa ni za Uongo

    • @Youth-for-Jesus
      @Youth-for-Jesus 3 години тому +1

      hatari mtupu uongo had madhabahuni

    • @DismasVenance
      @DismasVenance 2 години тому +1

      TAG MMEKUFA MIMI NI MCH. WA TAG NAMI NATOKA ACHE UDINI. ETI HELA TAG KACHANGISHA. HELA NI YA MUNGU NA HELA IMEENDA KUJENGA UFLME WA MUNGU. TAG UBINAFS SANAA NA KATIBA NI MBOVUUU

    • @DismasVenance
      @DismasVenance 2 години тому

      NATABIRI MPASUKO WA PILI TAG TENA UTAITETEMESHA NCH NA DUNIAN KWA UJUMLA

    • @LightnessMushi-d4k
      @LightnessMushi-d4k Годину тому

      NNAWAOMBA SANA WA TAG WENZANGU MSIENDELEE KUONGEA UBAYA WA MZEE MAGEMBE,KILICHOMTOA TAG NI KUTOKUKEMEA DHAMBI HADHARANI IKIWA NI MZEE WA KANISA INAKUWA KIMYAKIMYA NA KIONGOZI HAPIMEI KWA UWEZO WA PESA ANAPIMWA KIROHO CHAKE PIA,VIONGOZI AMBAO HAWAMTII ROHO MTAKATIFU NDIO WANAOLIANGAMIZA KANISA,MWISHOWE WANALIPELEKA KANISA KIMWILI,WENYE KUMTII ROHO MTAKATIFU WANAONA WAKAE PEMBENI

  • @CHRISTHOLINESS
    @CHRISTHOLINESS 6 годин тому +5

    Watumishi, mtumishi anapoondoka siyo ugomvi!

  • @jamestocta3075
    @jamestocta3075 8 годин тому +6

    Nipo na magembe. T.A.G msipuuzie hayaa,, jiulizen hayo yanayosemwa ni ya kwelii?? jitengezeni upya

  • @EdwinMbwilo-fj6bf
    @EdwinMbwilo-fj6bf 6 годин тому +5

    Mimi ni TAG Tunduru christian center, kama ninyi viongozi hamtamsikiliza Roho Mt hakika tutapoteza sifa ya kuitwa kanisa la kiroho. Pascal kassiani amepiga kelele sana na vitu anavyotuonyesha Roho Mt lakini viongozi hamtaki kukubali. Yesu awaponye viongozi wetu mpone.

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 8 годин тому +4

    Mambo ya Mungu hayapelekwi kwenye mitandao. Huku ni kwenda kimwili. Acheni kuwapa watu faida.Jamani tuyasolve kimya kimya.

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 9 годин тому +6

    Mzee magembe yuko sa hihi sana, shida anasema ukweli

  • @LelemaBuyagu-s5m
    @LelemaBuyagu-s5m 5 годин тому +4

    Mi nakubaliana kabisa na maghembe TAG hii ya leo imekuwa dini tu

  • @MarcoDamian-pn3pd
    @MarcoDamian-pn3pd 3 години тому +2

    Kelele za nabii Yeremia ziliwakela nani apige kelele za uamsho kama magembe MUNGU IPONYE TAG YANGU.

  • @amosimbwambo2821
    @amosimbwambo2821 2 години тому +1

    Umesema kweli Maghembe Ana msimamo wake.na ni.wa kipekee.hawezi kuyumbishwa na.nyie ambao mkionywa.mnavimba kiburi.yule ni.mtumishi wa.Mungu mwenye misimamo yenye.Nguvu za Mungu Wa Kweli Wa.Mbingu Na Nchi.

  • @kizitokalumunacharles
    @kizitokalumunacharles 4 години тому +1

    Wokovu kazi kweli kweli hii sasa sio kuonyana ktk Kristo bali ni vijembe vya kidini. Mungu tusaidie sana kweli hizi ni siku -za mwisho. Injili ya kuwavuta watu kwa Yesu wamjue sisi wenyewe tunawazuia wasije kwa Yesu

  • @annastaziamasaka3595
    @annastaziamasaka3595 7 годин тому +3

    Ukiona mwenzio ananyolewa,....
    Magembe anahubiri injili ya kweli,acheni kumchafua mtumishi wa MUNGU.

  • @Emanuellupoja44
    @Emanuellupoja44 7 годин тому +4

    Mzee namkubali sana Mungu amtumie sana

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 4 години тому +2

    Mimi ni Mch wa EAGT Nimemsikia Magembe nimegundua Magembe nimtu wa Mungu kabisa kuliko huyu anayeongea kwakujihami

    • @godwintarimo8477
      @godwintarimo8477 3 години тому

      Simnataman tuwe namigogoro, najua mmefurahia sana

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 9 годин тому +6

    Maajenti ni weng sana sana ndan ya kanisa. Mmefika mahali pa kutetea kanisa? Badala ya kumtetea Yesu then mnafika mahal mnasema na kufananisha ccm na tlp na kanisa.
    Ungesoma barua yoteee

  • @MarcoDamian-pn3pd
    @MarcoDamian-pn3pd 3 години тому +2

    Kumbe kuna mahari pa kuungana ili kuficha uovu pale ukisema ukweli umekengeuka namshukuru Mungu kwani mbinguni halijaandikwa dhehebu so kila abilia ni kuchunga mzigo wake YESU ANARUDI

  • @MohamedIsmaily-e5b
    @MohamedIsmaily-e5b 8 годин тому +9

    Maghembe yuko sahihi hata hapo mlipo wapo wengi wanampenda maghembe na wengi wapohapo watahamia kwa maghembe Mimi namuombea Maghembe afanikiwe zaidi kiutumishi.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 години тому +2

    KWANI WEWE NDO MUNGU ? WA KUJAJI MWENZIOO?. SIKU INAKUJA AND IS SOON WHEN EVEN YOU WOLL BE JUDGED BY THE OWNER OF CHURCHIES.😮😮

  • @EmmanuelMwasongwe
    @EmmanuelMwasongwe 6 годин тому +3

    Daaaaaaaah hii hatariii sana kwa kanisa la T,A,G

  • @NethrinePaul
    @NethrinePaul 7 годин тому +5

    Mimi ni TAG lakini sijapenda naomba mngesolve kimya jamani tunaomba mnawafaidia maadui

  • @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc
    @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc 9 годин тому +6

    Nikweli kabisa limeoza.

  • @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc
    @SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc 8 годин тому +5

    Sunasikia kabisa hao ni washilika wa tg sio wa YESU.

    • @JescaNassary-q2j
      @JescaNassary-q2j 6 годин тому

      Wewe nawe washirka wa Yesu ndo wamesajiliwa na sheria gani hapa inchini? Hujui sheria kaa kimya.

  • @timotheosanga6119
    @timotheosanga6119 5 годин тому +2

    Bwana Yesu asifiwe wanakanisa najua humu tupo kanisa zima sasa. Nini maoni Watu tunafikiri kwa akili zetu lakini Roho ni yeye yule kwa wote.
    Ukweli ni kwamba
    Kanisa ni taasisi na taasisi inamisingi yake na ili kanisa lisivurugike ni lazima kusimamia misingi yake kwa namna yoyote.
    Swala na kuifata biblia kanisa limechukua misingi toka biblia labda kama kuna vitu vingine.

  • @IddoMbogo-c2u
    @IddoMbogo-c2u 24 хвилини тому +1

    Naona kanisa linarudi kwenye Dini; Huyo mzee haondoki mwenyewe.

  • @DinuZeno
    @DinuZeno 8 годин тому +4

    KWANINI MNATUFANYA SISI WASHIRIKA HATUNA AKILI? HIVI NYINYI TU NDO MNAAKILI? SISI MNAOONGEA NAO NDO VIONGOZI TUJAO KWA NINI MIOYO YENU HAIKO WAZI?

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha 8 годин тому +1

      Binafsi nashangaa sana na kupata wakati wakujiuliza maswali mengi. Ni nini kugombania fito? Je kuna Mungu mwingine? Tofauti na Mungu alieziumba mbingu na nchi?

    • @DinuZeno
      @DinuZeno 7 годин тому

      @OscarGregorymosha YAANI MIONGONI MWA VITU VINAVYODHOHOFISHA KANISA NI PAMOJA NA KUDHARAU MAONI YA WENGINE KWA KUJIVIKA UKUBWA. KWANI UAMSHO NI WA KIROHO AU KIMUUNDO? UNAZUNGUMZIA SADAKA ZA WANA TAG KUJENGA KANISA MAALI PENGINE KWANI INATAKIWA SADAKA IFANYE KAZI GANI? WATU WANAFANYA KAZI KWA MIKONO YAO WENYEWE KWA KADRI MUNGU ALIVYOWABARIKI NA WANAPELEKA KWA MUNGU KWA NINI MASWALI NI MENGI? MNATUDHOHOFISHA.

    • @mhelezijoackim-kl9vb
      @mhelezijoackim-kl9vb 3 години тому +1

      Inashangaza sana mtumushi wa Mungu mwimbaji Dinu Zeno, Yesu atusaidie

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 21 хвилина тому

    Inamaana Roho wa MUNGU akileta ujumbe wa kusema juu ya kanisa tusiseme eti kisa viongoz wetu watatuchukia?😢😢

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 6 годин тому +2

    Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo,nguvu na hekima hivyo uamusho pasipo kuwa na hekima ni utovu wa nidhamu mbele za Mungu hivyo mzee magembe ata kama wengi mnamtetea ni kwamba roho wa Mungu lazima iendane na hekima na busara

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x 6 годин тому

      ndio maana alitumia hekima kuandika barua na kuaga, sasa hiki kinachofanyika ndio hekima?

  • @deodominicus6433
    @deodominicus6433 7 годин тому +7

    1. Umesema mlimfanya kuwa kiongozi wa maeneo mbalimbali ya uongozi yani ninyi sio Mungu
    2. Unasema tag hamwezi kufanya promoshe kwa kanisa jingine ukifananisha chama cha siasa na dhehebu, sasa sijui ninyi ni wa TAG au ni wa Yesu,,
    3. Unainadi sana TAG kuliko yesu n.k.
    Tag sisi tubadirike tuna kiburi cha kiroho kinatutafuna. Na ili ukwepe kwenye janga hili lazima ujiondo, mkiendelea kubisha watu wanapo wakosoa badala ya kujitafakari haya shauri yetu, mimi pia ni TAG lakini mhuuu!!!

    • @dyno4tz
      @dyno4tz 2 години тому

      ❤Sahihi kabisa.

  • @MrDickson-l7q
    @MrDickson-l7q 34 хвилини тому

    Nyie waroho na hela soma isaya 56:9:11
    Ezekiel 34:1:5
    Nyinyi mmeitwa hadi mbwa biblia iyo mmetabiliwa na nabii isaya mzee yuko vizuri

  • @theopistakilasi5428
    @theopistakilasi5428 3 години тому +1

    Naona kuna endelea kuchangamka, alichokianzisha MARTIN LUTHER kinaendelea kutafuna. Hakika dhambi ya unaguz ni mbaya sana.

  • @FrankMichael-us4dr
    @FrankMichael-us4dr 2 години тому +1

    T A G nilikuwa naiona inajitahidi kuwa na msimamo kumbe sio tag kumbe alikuwa magembe ndo mwenyemsimamo kusimamia imani kwa usahihi.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 6 годин тому +2

    Ni kweli,wakati Fulani ktk baadhi ya mahubiri yake, Magembe alikuwa anamponda sana Moses kulola,nashangaa,na yeye " amepita mle mle -- Lucifer sio mchezo,ukitangaza msimamo,utakujaribu kwenye msimamo huo huo -- ndio maana Yesu alimuonya Petro,kuwa makini na anayo yasema "

    • @georgenkya1905
      @georgenkya1905 5 годин тому

      Ungemsikiliza magembe leo katoa sababu za kwanini amejitoa.

  • @olsolasindila694
    @olsolasindila694 Годину тому +1

    Magembe kuna jambo kalinusa sio bure.

  • @FloraKenyunko
    @FloraKenyunko 8 годин тому +3

    Mungu alisaidie kanisa ila kubalini aondoke na mungu awabariki,magembe hawezi kuondoka na fedha za kanisa msimchafue

  • @gloriamselle2105
    @gloriamselle2105 7 годин тому +4

    Anyways...😂😂😂we listen we don't judge.

  • @obedmlanga3227
    @obedmlanga3227 6 годин тому +2

    Msingi ni YESU na kwenda mbinguni sio structure ya uongozi
    Yesu kristo yu hai , na kweli itabaki kuwa kweli jina la BWANA libarikiwe

  • @ShalomNissitv
    @ShalomNissitv 5 годин тому +2

    Mnahitaji kutetewa na mtu au Mungu.

  • @MtumishiWaMungu-c6m
    @MtumishiWaMungu-c6m 8 годин тому +4

    TAG ni chama cha Dunia si Mbinguni.Mnawavisha washirika Michango na kila jpil mnabun michangango na wengi wa washirika wanamadeni ndan ya kanisa kama wamekopeshwa.Mnawatangaza mpaka madhabahuni!.wezi nyie mtokambali na anaowaongoza.Jaman TAG ukitoa 10% unapewa na risiti na kutangazwa umetoa

    • @maryr4033
      @maryr4033 3 години тому

      Hatari!!!! Ndo mmefika huko! Wakristo amkeni!!

    • @MtumishiWaMungu-c6m
      @MtumishiWaMungu-c6m 3 години тому

      @maryr4033 unajua maaskof wa TAG ni wajinga na wapumbav!.wanavyo fikir Neno linavyosema kwa habar ya KURA wanafikil kupijiwa Kura ni Jambo la Heshima kwa Mungu kuliko Punda kuongea kwaajil ya usalama!!.uwaskof mkuu niupumbav wa wanadamu Mungu aliamua kuukubal kwa sabab ya Neema yake.Leo mtu kama Magembe TAG wanadiliki kusema analisema vibaya Kanisa!!!!,Ametembea na Mungu miaka mingap;!?.Nilithan mtokambali na wajinga wenzie wangienda Pekupeku kwa Magembe labda Bwana anaNeno.Wao wanaangalia uwaskof!!.Huduma ni Tano na Magembe anachunga Huduma 4 askof ni shemac2 kibiblia,leo Askof amamjadili mwenye Fimbo.Mungu Awahukumu!

  • @AsimweGasto-lu7zm
    @AsimweGasto-lu7zm Годину тому

    Mungu aukumuye siri za mioyo yetu anajua kweli yote lakini baba Mungu akutunze

  • @PaulSanga-m3p
    @PaulSanga-m3p 3 години тому +1

    Hiyo ndiyo shida hakuna washirika wa TAG .washirika ni wa Mungu

  • @Stephano-g3g
    @Stephano-g3g 5 годин тому +3

    Magembe hataki majungu kasema TAG imekufa tayari amekuwa ni mwasi? Kukemea dhambi ni uasi?

    • @esdoryboniface8557
      @esdoryboniface8557 3 години тому

      kati ya TAG na mch maghembe yupi ni mkemeaji mzuri wa dhambi?

  • @MAJIYAUTULIVU.BIBLIA
    @MAJIYAUTULIVU.BIBLIA 4 години тому +1

    Mli SIKILIZA Mungu mlisikiliza watu....
    Mzeee unaonekana unakisas kikali sana.....

  • @AggyGolden-j1d
    @AggyGolden-j1d 9 годин тому +2

    Kanisa ni YESU sizani Kama Kuna ubaya Tag wakishiliki kujengwa kwa zehebu jengne linalo muubili YESU

  • @KennedyUrassa-e2w
    @KennedyUrassa-e2w 29 хвилин тому +1

    Sasa mimi nashindwa kuelewa ni magambe ameondoka Tag au mumemuondoa? Askof mkuu na msaididizi wake wote wanamshambulia mtu mmoja inaonekana magembe ni tishio

  • @Kulwa-nn3fr
    @Kulwa-nn3fr Годину тому +1

    Mzee mhichee naona unatetea dini ya T.A.G tuu kwani mzee magembe anaposema kanisa limekufa ni kweli au siyo kweli? na siyo T.A.G tuu bali ni makanisa yote ya kipentecoste Tanzania
    Hivyo Mimi naona mzee mhichee ukweli unaujua sema hapo unatetea dini yako

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 8 годин тому +3

    Asante makamu askof mkuu kwa kutoa ufafanuzi mzuri

    • @emmanuelngunyale3639
      @emmanuelngunyale3639 8 годин тому +2

      hakuna ufafanuzi mzuri kaa angalia hali ya kanisa la TAG ni mbaya

    • @YohanaMchala
      @YohanaMchala 7 годин тому +1

      Kwa hyo unatetea uozo

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x 6 годин тому +1

      wataka vyeo, nafasi ipo wazi.

    • @maryr4033
      @maryr4033 3 години тому +1

      Utumbo tu!!! Kipofu aongea na vipofu

  • @HarunPatric-f6d
    @HarunPatric-f6d 8 годин тому +2

    Ameen nafurahia kuwa na dini yenye misingi ya kweli

    • @emmanuelngunyale3639
      @emmanuelngunyale3639 8 годин тому

      pole kwa hiyo misingi ya kuchukuliana na uovu

    • @dyno4tz
      @dyno4tz 2 години тому

      Pole Mbinguni Hakuna dini Zaburi 11:3 ukikataa kuongozwa na Mungu hata ujisifie una dini Nzuri namna gani haisaidii mwisho wake ni hasara katika moto wa milele sasa tafakari nini maana ya kuongozwa na Mungu na upate majibu sio kuongozwa na watu.

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 3 години тому +1

    Msifanye kanisa kuwa eneo la magombano wekeni imani ya kweli

  • @DonatusBernard
    @DonatusBernard 8 годин тому +2

    Mungu awasaidie, ila hili nilihisi lingetokea maana mlikuwa na kiburi kuona kanisa la TAG ni bora kulikuwa makanisa mengine ya kipentekoste

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 20 хвилин тому +1

    Mm nilisha liona hili kanisa la tag kugeuka dini mnaangalia Mali elimu na maendeleo mmetoka rohoni mko kimwili sasa Mali mali Mali mali

  • @kelvinjeremiah7863
    @kelvinjeremiah7863 9 годин тому +3

    Mzee kaongea kweli ila Sasa TAG imekuwa dini kama dini nyingine tu

    • @qulasulle-hp1ni
      @qulasulle-hp1ni 8 годин тому +1

      Huu ukweli hawaukubali na Wala hawajioni

  • @MtumishiWaMungu-c6m
    @MtumishiWaMungu-c6m 8 годин тому +2

    Roman na TAG mm nachagua Roman au Andazi.TAG ni sakosi,Michango na Vikundi na mtazamo wa Biashara na Uzinzi umegubika TAG.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +1

    Mimi nitamfuata Magembe.A n asema ukweli mtupu Mnaogopa kupoteza hela😮

  • @MrDickson-l7q
    @MrDickson-l7q 37 хвилин тому

    Mchungaji magembe hana hata kosa TAG imeoza hata unacho ongea hapo unaongea utumbo tofaut na mahubili ya mzee wetu

  • @ebenezerlawuo6667
    @ebenezerlawuo6667 5 годин тому +1

    T.A.G nalo litakuja futwa nalo suala la muda tuu,😅😅😅, maghembe ataaenda kuanzisha ministry yake labda. Lakini baadaye tutakuwa na dini 2 tuu ya uyahudi na ya Nuhu, haya ya kipagani yatatoweka.

  • @AsimweGasto-lu7zm
    @AsimweGasto-lu7zm Годину тому

    Mungu hana dini wa dhehebu Mungu ni mtakatifu na anahitaji tuwe watakatifu

  • @Amosbenard6321
    @Amosbenard6321 10 годин тому +6

    Tafuteni kwa Bidii kuwa na Amani na watu wote na huo Utakatifu Ambao hapana mtu Awezaye Kumuona Mungu pasipo kuwa Nao.

  • @UAMSHOTV
    @UAMSHOTV 2 години тому

    Shida yenu hampendi ijiri ya kweli mmetaguliza sadaka za waumini

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 Годину тому

    Magembe anahubili kanisa limekufa yaani ukristo unaenda kufa badala yake yanabaki matumbo tu..
    Nyinyi hamuoni!?
    TAG ni kijisehemu kidogo sana cha kanisa.
    Kanisa linakufa.