@MahubiriPrMmbaga Asante muchngaji Mimi Ni muadvantiste Hapa mujini goma ila tunashida ya amani Basi mutuombeye huko muliko Tanzania tunaimani mupo nasi kwasala nakuimba hata ikiwezekana kufunga kwa maombi tuchangiye jumaine yetu yakisabato 👈
Amen. Pastor I humblely request since the majority here are requesting prayers kwa ajili ya kupata Kazi, nami nikiwa mmoja wao nina request kwa niamba ya dada zangu na ndugu yangu ambao wamehangaika kutafuta kazi ila bado hawajafanikiwa ata ile ya kushikilia i request utufanyie maombi kwa pamoja kwa ajili ya kufunguliwa milango ya ajira🤲🤲🤲
Mtumishi samahani, Mimi nina swali nje na maada, kidogo, je Dhaka ni nini? Na Dhabihu ni nini? Nimesoma katika kitabu cha Malaki 3:1-10. Nimekutana na na hilo neno naomba nisaidie nielewe.
Amen nimebarikiwa sana somo nzur sana asante mungu kwa somo la leo na kibali ulichonipa kusikiliza somo hili amen
Amen Amen. Barikiwa kwa somo hili mtumishi wa Bwana.
Amen asante kwa somo nzuri akika nimebarikiwa,be blessed pastor mmbaga
Muchungaji pasteru tupo nakufata kiusawa Asante kwa hudumahiyi Mimi Ni espoir Mimi naketi mugini goma congo R.D.c
Natumaini unaendelea vyema Mungu akulinde nabaya yote vitaa viishe kwa amani na sifa zimrudie Mungu
Mungu awalinde ndugu zetu huko Goma
@MahubiriPrMmbaga Asante muchngaji Mimi Ni muadvantiste Hapa mujini goma ila tunashida ya amani Basi mutuombeye huko muliko Tanzania tunaimani mupo nasi kwasala nakuimba hata ikiwezekana kufunga kwa maombi tuchangiye jumaine yetu yakisabato 👈
Mungu akuone kwa jina la yesu @@MuhindoFabrice-t4r
May the Almighty Father give us wisdom to understand and live by His wonderful bread of life
Pastor ungana nami katika maombi yangu, tuombe kwa pamoja nipate ajira!!
Janeth nawafatilia MUNGU aendelee kukutumia zaid Amina
Amen. Pastor I humblely request since the majority here are requesting prayers kwa ajili ya kupata Kazi, nami nikiwa mmoja wao nina request kwa niamba ya dada zangu na ndugu yangu ambao wamehangaika kutafuta kazi ila bado hawajafanikiwa ata ile ya kushikilia i request utufanyie maombi kwa pamoja kwa ajili ya kufunguliwa milango ya ajira🤲🤲🤲
Mungu akutie nguvu pastor
Amina someone limenifunza Mambo mwema namazuri MUNGU WA mbinguni azidi kukutumia
Amen 🙏 🙏 🙏
Mungu please help me
amen and amen
AMEN
Amin
Kindly pastor pray for me njia za kazi sifunguke ,na ndoa yngu
Hakik nmebarikiw Kwa somo hil MUNGU awe nasi katik kil hatua yetu ya ukristo.
Aminaaa
Pastor niko nakutafuta sababu niko na kidogo chakumtolea mwenyezi Mungu kama mchango kwa kazi ya Mungu lakini sijuwi jisi yakukupata
Mtumishi samahani, Mimi nina swali nje na maada, kidogo, je Dhaka ni nini? Na Dhabihu ni nini? Nimesoma katika kitabu cha Malaki 3:1-10. Nimekutana na na hilo neno naomba nisaidie nielewe.
Hello @pastor I am from Kenya,can't get the access to the number that is supposed to receive my tithe kindly help
Pastor nina kupata kwa Njia gani ya mawasiliano
Ninayo changamoto nzito nahitaji ushauri wako
+255755932283
Amen