Ninashukuru sana kwa nehema ii, niko Congo nina omba ushindi wa Zambi, natuombeye Inji yetu ya Congo Mungu atupiganiye maana ndiye tumaini letu ya mwisho.🙏🏻
Andante Sana pastor yaani unavyoelezea kwa kweli napenda mafundisho yako Na kupitia wewe nimemjua Mungu zaidi Na imani yangu ikazidi so ninapoona notification ya mahubiri tv mbio nafungulia nisikize Ila tu nilipata Sio wewe unahubiri lo 🏃🏃naktoka mtandaoni sababu maelezo yako Na wale wengine si Sawa.
Pastor nihitaji maombi kwa ajili ya ndugu zangu wanne wote wamekua waraibu wa pombe na madawa za kulevia.kwa kweli ni chukizo kwa mzazi anapoona wanawe katika ile hali.
MUNGU naomba anisamehe maana nimimi nmemjibu mtoto wadadaangu kwamaneno aliyonitolea makali sana!naakayatuma kwenye cm yamume wangu kiukweli nilivyochukua cm nikasoma namimi nilipanick nkamjibu naomba MUNGU anisamehe sana naanipe hekima yakuingia kwenye maombi.
Naomba uniombee nipate kazi ya kudum maana hata ninapopata mtu wa kunifanyia connection nipate kazi lakini mwisho wa siku kazi hiyo Huwa naikosa sijui shida nini
Ninashukuru sana kwa nehema ii, niko Congo nina omba ushindi wa Zambi, natuombeye Inji yetu ya Congo Mungu atupiganiye maana ndiye tumaini letu ya mwisho.🙏🏻
Bwana Yesu asifiwe
Pastor nina itaji naomba unisaidie kwamaombi
Magonjwa ya niache Katika Jina la Yesu Amen 🙏
Mungu akutendee makuu
Andante Sana pastor yaani unavyoelezea kwa kweli napenda mafundisho yako Na kupitia wewe nimemjua Mungu zaidi Na imani yangu ikazidi so ninapoona notification ya mahubiri tv mbio nafungulia nisikize Ila tu nilipata Sio wewe unahubiri lo 🏃🏃naktoka mtandaoni sababu maelezo yako Na wale wengine si Sawa.
Pastor,Mungu azidi kukutumia zaidi, Mahubiri yako hunibariki sana ila naomba uombee dada yangu mdogo maana ameingilia ulevi sana
Nabarikiwa sana hakika mungu kakupa upeo mkubwa sana wa ufundishaji nabarikiwa sanaaa napata amani ninapo kusikiliza
Mimi ni kizazi Cha Yes na familia yangu Amina
Ubarikiwe sana ,Mungu akutendee mema ,siku zote za maisha yako ,postor mmbaga kupitia mahubiri yako nimemuona Bwana Amen
Amen
Tunashukuru sana kutulisha neno la mungu tunabarikiwa Sanaaaa nakupata vinzuri nipo Dubai
Ubarikiwe sana mchungaji MUNGU azidi kukutumia kwakazi yake,hakika somo hili limenigusa sana
Live from Nairobi Kenya 🇰🇪 nabarikiwa Sana namafundizo ya pastor
Mtumishi wa Mungu, Mungu akulinde Sana, na akutumie kama apendavyo yeye, mafundisho haya yamenivusha ng'ambo nyingine kiimani kabisa.
Amen May God bless you pastor abundantly you and your family in Jesus name 🙏
Mungu akulinde mtumishi
AMEN AMEN PASTOR NAOMBA UNIOMBEE FAMILY YETU IPONE KIROHO IN JESUS NAME NAOMBA NAAMINI ❤️❤️❤️❤️❤️🙏
EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA MWANANGU DAN APONE KIFAFA KWA KUAMINI MUNGU AUWRZI KUPITA MAOMBI YANGU USINIPITE BWANA SIKIA KILIO CHANGU MUNGU 🙏🙏🙏
Amina pastor mafundixho manzuri tangu ni mahubiri tv maisa yngu iko xawa kiroho
Amen
Amina pastor- zidi kubarikiwa.
Amen amen ubarikiwe sana
Mungu aniepushe na madeni pastor
Pastor nihitaji maombi kwa ajili ya ndugu zangu wanne wote wamekua waraibu wa pombe na madawa za kulevia.kwa kweli ni chukizo kwa mzazi anapoona wanawe katika ile hali.
Amen thenkyou God
Pastor naomba kwa ajili ya ndugu zangu tadei na beni wamekuwa waraibu wa pombe
Ameeeen ameeeen sanaaaa
Naomba. Kuimarika katika imani. Nistikiske. Nisimame imara
Mungu akutendee muujiza
Amina
Aminaaa
Amen Amen
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Naomba maombi yako mchungaji maana najiona hata mimi niuzao wanyoka!!😢
🙏❤
Mchungaji Bwana asifiwe natamani kujua zaidi kuhusu Lilith
Mahubiri TV hupokei cm Nahitaji Kitabu Kipya .AHADI ZA MUNGU KWANGU
MUNGU naomba anisamehe maana nimimi nmemjibu mtoto wadadaangu kwamaneno aliyonitolea makali sana!naakayatuma kwenye cm yamume wangu kiukweli nilivyochukua cm nikasoma namimi nilipanick nkamjibu naomba MUNGU anisamehe sana naanipe hekima yakuingia kwenye maombi.
Naomba uniombee nipate kazi ya kudum maana hata ninapopata mtu wa kunifanyia connection nipate kazi lakini mwisho wa siku kazi hiyo Huwa naikosa sijui shida nini
Soma Zabur 16 yote kila ukiamka. Kwa siku 7
Amen
Amina
Aminaaaaaa