Hii ni kwelii asilimia kubwa Tusihukumu wale wanaohubiri barabarani .....Yupo kijana mmoja alikosa pesa ya matibabu ya baba yake akajiambia moyoni nitaenda nihubiri nipate pesa za matibabu na alifanya ivyo Mimi nikiona mtu anahubiri namuombea na namchangia na nikiwa na nafasi yakusikiliza natulia nasikiliza hata kwa dk5.....
AMEN! Be blessed so much Pastor Mmbaga.
Asante Pastor Mmbaga kwa neno takatifu.
Barikiwa
Amina
Amen
Hii ni kwelii asilimia kubwa Tusihukumu wale wanaohubiri barabarani .....Yupo kijana mmoja alikosa pesa ya matibabu ya baba yake akajiambia moyoni nitaenda nihubiri nipate pesa za matibabu na alifanya ivyo Mimi nikiona mtu anahubiri namuombea na namchangia na nikiwa na nafasi yakusikiliza natulia nasikiliza hata kwa dk5.....
Barikiwa
Hakika ninabarikiwa na mahubiri Yako pastor sanaaaa barikiwa zaidi
Na pr. Wakati mana ambia shemashi au eld. Na jumbe ni wakala hapo nae ni aje
Amina
Amen