Mama umeongeya point nzuri unakuta lim2 linamogonjwa yake linaona lisife mwenyewe tamaa zako zinakuponza vijana waa2000 mungu awasaidiye na atusaidiye sotee ameen
Wanawake bhana! Mnapenda kuonekana wema! Hivi hili wimbi la mabinti kutembea na mababu zao na ndoa nyingi zimevunjika na hamsemi! Pili, vijana wamegeuka kuwa mashoga ila hamjaongelea! Mm naona hilo la vijana ni wachache kuliko mabinti wanaotembea na wababa na Babu zao na mashoga
Hatutaki pesa wala unafuu wa maishaa , tunachotaka sisi ni mapenzi tu afu mashangaz hawanaga kona kona simu moja kaja geto, tofaut na vile virusha mateke ukikigusa nguo tu unakula kofi kama kina uwa mbu😅
Shida wanawake wakipata vihela kidogo wanakua na maneno mengi. Akitongozwa anazani kijana wa kiume kafata pesa. Kwanza wenyewe ndo hawana adabu, akikozoea kidogo tuu tayari kashakueleza changamoto zake za ndoa na mahusiano, sasa anataka nn kama sio huduma nzuri… Wenyewe ndo wanajirahisisha kwa vijana wadogo bhana. Ni ngumu mno kijana kumtongoza mamama anaejiheshimu.
Ukitaka kujua tunakizazi kinaumwa angalia comments, kwa kweli ni aibu sana Mungu tusaidie, na mama zetu nao unamvuriaje Nguo mwanao, pia kijana unalalaje na mama yako, mama si yule tu alikuzaa, jiulize mama yako mzazi akalala na rafiki yako utajisikiaje, hii niaibu kubwa sana.
Ni kweli mnayoyasema. Lakini na nyinyi msidharau waume zenu na mridhike mapenzi ya waume zenu. Mtengeneze mumeo akuridhishe. Pia kwanini km mnajua ni vijana wadogo kwanini mkubali?😂
Nyie wenywe mishangazi mnapenda kupelekewa moto sasa nenda kapelekewe moto nababu mwenzio ila kuhusu vijana kutofanya kazi iyonimbaya ila mahusiano hayana umri
Ndugu mtangazaji hivi wewe ukikutana nalimshazi lenye linamvuto kwekweli tena likuvuti ki hisiya kwaiyo utaliacha kweli.same time ni maelewano tu mkijielewa ni lazima mjiachiye na jingine sio kwa vijana tu kuna mishangazi mingine michokozi.
Hiki kizazi tulichonacho ni kizazi cha ajabu sana,vijana tujitahid kutafuta maisha tutengeneze familia zetu.Hii tabia ya kuendekeza mishangazi ni ujinga. mtapakwa mafuta😂😂
Issue ni kwamba wanawake ni wengi na wanaume ni wachache pasipo kujali ni kijana,mbabu au babu na matokeo ndiyo maana vibinti vidogo a.k.a watoto wa elfu mbili hawapati wa kuwaoa na matokeo wanawataka mababu ili wapate vitu vizuri
Kwa utafiti wangu nilioufanya wanawake wengi wanaouza Soko la usiku ali maarufu Soko Malungu Kigoma Mjini wanawawatafuta vijana wadogo hasa Bodaboda ili kuwarahisishia kuwabebea biashara na kuwabeba kuwapeleka majumbani wakati wa usiku. Wengi mpaka wamezaa nao. Kwahiyo please balance story kawaulize Bodaboda pia 😂😂😂😂
Kumbe nilifikiria wanawake wa Tanga tu ndio wanaume zao wanawategemea. Waume kazi kucheza bao(Thumna) wabawake wafanye biashara. Kumbe hata kigoma wapo mamwinyi vijana😂😂😂😂😂 Vijana waachieni Mashangazi pesa zao. Ebu kuweni kama wamasai wana utamaduni wa Age system. Acheni kuwavua nguo Aunt zenu ni aibu.
Ukiona kijana anataka umlee huwa inategemea mwanamke umejiwekaje? Mwanamke unaejiheshimu kijana anakusalimia tena kwa adabu. Ukimpenda Mungu mpaka wakubwa wanakuheshimu tena kwa adabu.
😅😂Hao walo itisha hiki kikao wanawivu TU na vijana mbona vijana wengi wanaenda kuowa mashangaz ya kizungu huko hamsemi kwnn tukiowa hapahapa mnaitisha vikao hahaha 😂 waacheni vijana wajimwae mwae😅
Hebu watazame jinsi walivyojipaka madude ya KIKAHABA WANATARAJIA NINI 🤷🏿♂️ WAACHE UKAHABA KWA VIJANA WETU, VIJANA WANAONA MVUTO WA NGONO KUTOKA KWAO WASISINGIZIE MAMBO MENGINE 😊
Mama Hata Bila Aibu ..et ana kufuata Mlikutana wap kama Sio mkorofi Okokeni wa-Mama Muwe Na Adabu Tu zeni Ndoa zenu Tunzeni siri za nDoa zenu Vaeni Vizur ..Acheni Ujinga
Msituchambe nyie mi shangazi wakati sisi ndo tunawapa furaha baada ya changamoto zenu kwenye ndoa msituzoee na nyie pambaneni kutatau changamoto za ndoa
bwana hatuhitaji msaada kutoka kwenu.sema nini nyinyi mnazani tunataka pesa kwa sabb nyinyi ni wamimi wachoyo pia wabinafsi.sisi tunakuja kwenu tunahitaji kuma zenu tu mana kuma zenu ni nzuli sana
Mama umeongeya point nzuri unakuta lim2 linamogonjwa yake linaona lisife mwenyewe tamaa zako zinakuponza vijana waa2000 mungu awasaidiye na atusaidiye sotee ameen
Wanawake bhana! Mnapenda kuonekana wema! Hivi hili wimbi la mabinti kutembea na mababu zao na ndoa nyingi zimevunjika na hamsemi! Pili, vijana wamegeuka kuwa mashoga ila hamjaongelea! Mm naona hilo la vijana ni wachache kuliko mabinti wanaotembea na wababa na Babu zao na mashoga
Umeongea point Mkuu
Mishangaz Yenyew Mirembo Mna tutongoz Wenyew Reo Mnaanza kutupigia Kelele Mnipige mniuwe Siwez Kuachana na Mshangaz Wangu Bana
Hatutaki pesa wala unafuu wa maishaa , tunachotaka sisi ni mapenzi tu afu mashangaz hawanaga kona kona simu moja kaja geto, tofaut na vile virusha mateke ukikigusa nguo tu unakula kofi kama kina uwa mbu😅
Uzuri wa mwanamke mkubwa ana upeo mkubwa sana wa kukushauri maisha ili upate maendeleo na sio hanasa kama wasichana wa 2000 .
Mishangaz jiheshumuni hakuna kijana mwenye akili yake atakusumbuweni.
Ila mkivaa ovyo watakuja wahuni wakusumbuweni.
Duuuh!😂😂😂 hili taifa usipocheka una lako jambo😂😂
😂
Hata mziki unaopigwa ni wa vijina mbona, dj weka msondo ngoma
😂fala kweli
😂😂😂😂
😂😂 jinga
Hivi Wamama hao ndio wanaosumbuliwa au wao ndio wanautaka kutoka kwa vijana?? Ili kupelekewa Moto wa SGR,??
Hata nyie wanaume zenu wanawacheat😂😂, alaf mkija kwetu mnatuambia shida zenu. Sisi vijana wala hatuwacheat tukiingia kwenye mifumo ya mashangazi imeisha iyooo😂😂😂😂😂😂
Daah ila wemxhangazi mwenye rasta mzuri hatari naomba no zako bac
Shida wanawake wakipata vihela kidogo wanakua na maneno mengi. Akitongozwa anazani kijana wa kiume kafata pesa. Kwanza wenyewe ndo hawana adabu, akikozoea kidogo tuu tayari kashakueleza changamoto zake za ndoa na mahusiano, sasa anataka nn kama sio huduma nzuri… Wenyewe ndo wanajirahisisha kwa vijana wadogo bhana. Ni ngumu mno kijana kumtongoza mamama anaejiheshimu.
Ukitaka kujua tunakizazi kinaumwa angalia comments, kwa kweli ni aibu sana Mungu tusaidie, na mama zetu nao unamvuriaje Nguo mwanao, pia kijana unalalaje na mama yako, mama si yule tu alikuzaa, jiulize mama yako mzazi akalala na rafiki yako utajisikiaje, hii niaibu kubwa sana.
Mapenzi AYANA ivo broo.mtume alioa mshangazi kwaiyo nae alioa mama yake
Shida Mekapu zimezidi Sana Pia Hazina Umri wote Wanapaka Nawashauri Punguzeni Kujipodoa
Serikali itoe ajira badala ya kuwapa wanawake pesa za vicoba. Ndio maana vijana wengi wanazifuata hzo pesa za vicoba hukohuko kwa wamama
😂😂😂😂😂Nayonayo ukouko hadi kieleweke🙌
Tutazifata hata kwenye mzinga wa nyuki 😂
😂😂😂😂
Sema mishangazi kama Mizuri. Sana inavutiaa Kinoma Nikipita Kigoma Nasaka limosa..Sema Mapenzi sio Ukosefu wa Adabu
Ni kweli mnayoyasema. Lakini na nyinyi msidharau waume zenu na mridhike mapenzi ya waume zenu. Mtengeneze mumeo akuridhishe. Pia kwanini km mnajua ni vijana wadogo kwanini mkubali?😂
Huyu kweli Mariam sungura😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa hivi Ngoma drooo , unataka shooo toa michuzi😂😂😂😂😂😂😂
NISAWA MSHASEMA NI VIJANA WADOGO.NILAZIMA WALELEWE KWANI SHIDA HIPO WAPI
Nyie wenywe mishangazi mnapenda kupelekewa moto sasa nenda kapelekewe moto nababu mwenzio ila kuhusu vijana kutofanya kazi iyonimbaya ila mahusiano hayana umri
Kwa maoni yangu mapenzi hayachagui umri mkubwa au mdogo acheni fikra potofu
😂😂 Ukute yupo hapo ukumbini. "Juma ngoja nikitoka hapa nakupigia uje. unawajua hawa lakini. Unawajua?😂😂😂
Ndugu mtangazaji hivi wewe ukikutana nalimshazi lenye linamvuto kwekweli tena likuvuti ki hisiya kwaiyo utaliacha kweli.same time ni maelewano tu mkijielewa ni lazima mjiachiye na jingine sio kwa vijana tu kuna mishangazi mingine michokozi.
Hiki kizazi tulichonacho ni kizazi cha ajabu sana,vijana tujitahid kutafuta maisha tutengeneze familia zetu.Hii tabia ya kuendekeza mishangazi ni ujinga. mtapakwa mafuta😂😂
Hii ni safi sana! Chukueni vijana wadogo muwatunze na nyie mtaenjou nao
Issue ni kwamba wanawake ni wengi na wanaume ni wachache pasipo kujali ni kijana,mbabu au babu na matokeo ndiyo maana vibinti vidogo a.k.a watoto wa elfu mbili hawapati wa kuwaoa na matokeo wanawataka mababu ili wapate vitu vizuri
Ajira furusa n fnyu ndo amaana vjana wanataka kulelewa
Ngoja nifanye safari ya kwenda kigona
Hivo Milivo hpo Na mlivovaa Lazima Mtongozwe
Mabint sahv hawatak wadogo wenziwao wana mababu walioshiba na hela ndio vijna nao wakahamia kwa mijimama😊
50 kwa 50 sasa imegeuka 30Me kwa 70Ke. Tarstibu tutafika
Ona sura zao,wanapenda vijana balaa
nadhani shida kubwa ipo kwa hao mishangazi ..... kuna namna wanawahamasisha hao vijan kuwafata
Bac wengine hata salamu hawapewi barabarani wanatembelea upepo wa wenzao tu
Sasa kigoma unataka kulelewa, wakati unaweza chuma mawese ukapika, ukala tena bure
Ao wana nyegee amna lolote ndio wana ongoza kuwa waume zao ilioi wabakii na maliii
Na mimi nataka jishangazi 😅
Nenda Kigoma😂😂
Sasa kama wadogo wenzao wanasumbuwa wafanyaje, Sasa nyie wanawake kwa Nini msifiche Siri
Jamani hiz comment usipovunjika mbavu basi huna bandama😂😂😂😂😂
Kwa utafiti wangu nilioufanya wanawake wengi wanaouza Soko la usiku ali maarufu Soko Malungu Kigoma Mjini wanawawatafuta vijana wadogo hasa Bodaboda ili kuwarahisishia kuwabebea biashara na kuwabeba kuwapeleka majumbani wakati wa usiku. Wengi mpaka wamezaa nao. Kwahiyo please balance story kawaulize Bodaboda pia 😂😂😂😂
wanawake wakubwa ndo wanataka vijana hakuna kijana anayemta mzee
Ss tumeanza kukosa adabu eeeh wakt mnataka ududu wenywe😅😅😅
Serikali inacoment nini kwa mashangazi, hakuna uhusiano kati ya mapenzi na umri
Jamani mapenz ukosefu wa Adabu 😂😂😂
mapenzi sio ukosefu wa adabu bana
Huwezi kuwa na mapenzi na mama zenu siyo adabu kabisa
@@Mariam-ke4ogMbona wennyew wanaolewa na baba zao hamsemi
Wakikubali mbona hawasemi
Waambie kaka
Sindo hapo
Waangalie walivyojiremba kuvutia ngono sasa VIJANA HAWANA SHIDA ILA SHIDA NI HAO WANAWAKE WASIOJUA UMRI WAO UNATAKA NINI 🤷🏿♂️
WANAJIVUA NGUO WENYEWE
Kumbe nilifikiria wanawake wa Tanga tu ndio wanaume zao wanawategemea. Waume kazi kucheza bao(Thumna) wabawake wafanye biashara. Kumbe hata kigoma wapo mamwinyi vijana😂😂😂😂😂 Vijana waachieni Mashangazi pesa zao. Ebu kuweni kama wamasai wana utamaduni wa Age system. Acheni kuwavua nguo Aunt zenu ni aibu.
Mashangazi matamu sana,,, ndo maana tunayapenda 🎉
mishangazi wanapenda kwenda kwa .mpalange ndio vijana wanacho kifata na sio pesa.
Wanawake ndo wana wafuata vijana wadogo wakisema boda wangu kumbe ndo anae mfikisha mliman
Mmm na kigoma hayo yapo nchi imeisha
Tatizo mashangaz nao mda mwingine hawanakitu wanategemea vitoto
Nazani hawa wamama waongee na Watoto wao wasichana waache mara moja tabia yao ya kutembea na waume za watu na kutembea na vibabu
Ata mimi ningekuwa huko ningewatongoza ni wazuri sana
Aisee mishangazi mizuri halafu watamuuuu...... Natafuta lishangazi jaman
Ukiona kijana anataka umlee huwa inategemea mwanamke umejiwekaje? Mwanamke unaejiheshimu kijana anakusalimia tena kwa adabu. Ukimpenda Mungu mpaka wakubwa wanakuheshimu tena kwa adabu.
Umenena wanasema mashangaz wanatongozwa wakat mashangaz ndio wanaonyemelea vijana na kuwalubuni,maadili yamepolomoka kabisa
Wanaume fanyeni kazi hakuna vya bure
Mabinti wenyewe wanaringa kama mshangazi umekubali pigandoa
Kwani kukataa dhambi 😅😅
Wanapigwa mistari wanalainika wenyewe halafu wanalalamika😂
@@ahz6907 😄😄
Kama mm Kuna mshangazi hapo nimeuelewa😅
Mpunguze kujilemba sana😂😂😂
Sitaki kusikiliza ushauri wa kipuuzi kutoka kwa MASHANGAZI, MASHANGAZI ndio chaguo langu
Wewe William mashangazi tena
We tena una kilemba mwislam, unasema tunamkosea mungu wakati mtume wako katoka na jishangazi, bi ainsha😂😂
Nooo, hauko sahihiii umekosea mnoo
Mnavyojikoboa macho na mdomo hyo
😅😂Hao walo itisha hiki kikao wanawivu TU na vijana mbona vijana wengi wanaenda kuowa mashangaz ya kizungu huko hamsemi kwnn tukiowa hapahapa mnaitisha vikao hahaha 😂 waacheni vijana wajimwae mwae😅
Tatizo mnatutega ndioomana tunaomba 😅😅
Umasikini ndyo unao watega acha fujo 😏😏😏
Mnategwa wapi hamtaki kufanya kaz.
Hv huyo mama anadhani kugonga kokoto ni rahc ? 😂 Cc hatutaki kugonga kokoto tunataka tugonge hivo vngne
Wadada wengi hawajatulia ndio maana wanafatwa mashangazi ili wapate utulivu
Mshangazi,hataki mbaba limkeree, kujiachia mshangazi asee balaa ucpime,n full kujiachia,aaa,hella yke baba,kelele tena,hana mda huo,
But na nyie wamama mna entertain hizo mambo pia
Acha tuwatongoze uzalendo unatushinda
Anae amini vijana oyoeee
Mna uhakika hawa ni mashangazi? wamenoga kuliko watoto wa 2000 😂
Ila wazir😂😂😂😂🎉
Et mshangazi 😂😂😂😂
Mapenzi sio kukosa heshima
Wanataka mishangazi
😂Wadada kimbilio wazee
😂Wakaka kimbilio mashangazi
What next in B😂NG😂 ?
Cha muhmu mpunguze wanao left
Hebu watazame jinsi walivyojipaka madude ya KIKAHABA WANATARAJIA NINI 🤷🏿♂️
WAACHE UKAHABA KWA VIJANA WETU,
VIJANA WANAONA MVUTO WA NGONO KUTOKA KWAO WASISINGIZIE MAMBO MENGINE 😊
Huo ni ukosefu wa adabu kabisa huwezi kuwa na mapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri
Mtume Muhammad c tu alioa lishangazi Bali mbimbi.
Aitwae bi.khadija
Kwani tatizo nini?
Mnatukalia uchi tunaachaje kuwa sumbua
Vijana wanataka mserereko😅
Mapenzi hatana umri acheni siasa mchwara
Sio mushangazi tu hata mibabuzi iache kuvitaka vibinti
Mie nasoma comment za wanaume tu 😅
Sasa vijana wa 2000 tumefanya nini?
Fanyeni mazoezi ya ngumu kama wakinabibi
Mishangazii
❤
Mama Hata Bila Aibu ..et ana kufuata Mlikutana wap kama Sio mkorofi Okokeni wa-Mama Muwe Na Adabu Tu zeni Ndoa zenu Tunzeni siri za nDoa zenu Vaeni Vizur ..Acheni Ujinga
hata mtume mke wake alikua mtuj mzima
Mitego ya mishangazi hutoki
Msituchambe nyie mi shangazi wakati sisi ndo tunawapa furaha baada ya changamoto zenu kwenye ndoa msituzoee na nyie pambaneni kutatau changamoto za ndoa
Kumekucha hii inchi nitaifa la vioja
Udhalishaji sasa huoo
Mbnatutega sana
Balaa nakwambia
Mteremkoooooo
Hahahaha😂
bwana hatuhitaji msaada kutoka kwenu.sema nini nyinyi mnazani tunataka pesa kwa sabb nyinyi ni wamimi wachoyo pia wabinafsi.sisi tunakuja kwenu tunahitaji kuma zenu tu mana kuma zenu ni nzuli sana
Kauli tu inatoa picha halisi ya mtu alivyo hata kabla hujamwona.
Kabisa Edina. Yaan hapa hakuna mwanaume kwa kauli hii hata akioa basi mke wake tunamhurumia@@edinamwinuka-tg3ws
@@edinamwinuka-tg3ws exactly
Mama leti nakutafuta