Kila lakhery jamani team yangu pendwa yanga Africa mungu awatie nguvu na awaondolee mabaya yote yaliyoko nyuma yenu mbele yenu kulia kwenu kushoto kwenu ameen nawapenda sana kila nikiwaona nyie akili yangu inavurugika sana hata kama nipo mbali mungu awabariki siku ya tarehe 26 ameen
@@UzalendoNaUtu Niliangalia sana!!! Wala sina wasiwasi na yanga ni swala la mda tu!! Na uchawi una mwisho wake....mashabiki wa yanga hawanaga hasira za kipepo!!!
Hakika kwa sasa Yanga ni timu kubwa na inayoendeshwa katika misingi ya Professional Football club.. Mungu azidi kuibariki ifike mbali zaidi.. Daima mbele nyuma mwiko..
The power fully team hamjambo amaHatujambo soote lakini eee eee apo vipi lakini wananchi eee again apo vipi lakini. Tunaona mbona swaffy amaSio.heee wachatu eeee wachatu.Okay Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi iwe none Stop none stop Twendeee kazi all 😅
Yanga raha sana naipenda yangasc 💚💛🔰
All the best guys,tunajua munaweza,mungu awatangulie jamn,make wonders 4 us,tuna iman kubwa na ninyi,God bless them,,,AMEN
MUNGU ni mwema kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
Nawapenda sanaa wachezaji wetu mungu awalinde tupate ushindi💚💚💚💚
Napenda umoja wenu timu yangu. Mungu ibariki Yanga yetu
Kila lakhery jamani team yangu pendwa yanga Africa mungu awatie nguvu na awaondolee mabaya yote yaliyoko nyuma yenu mbele yenu kulia kwenu kushoto kwenu ameen nawapenda sana kila nikiwaona nyie akili yangu inavurugika sana hata kama nipo mbali mungu awabariki siku ya tarehe 26 ameen
Ameen🤲🙏
Ameen InshaAllah
Vipi, ulipata bahati ya kuangalia Mpira jana? Au nikuache tu? 🤐
@@UzalendoNaUtu Niliangalia sana!!! Wala sina wasiwasi na yanga ni swala la mda tu!! Na uchawi una mwisho wake....mashabiki wa yanga hawanaga hasira za kipepo!!!
@@mamboshepea8888 😁😁 leo hii na nyie mnalaumu kuhusu uchawi?
God bless Young's African sports club
Naipenda yanga daima mbeleeeeee tulipotoka never turn back
Mungu ibariki TANZANIA Mungu ibariki Yanga 🙏🙏🙏🙏
Kila la kheir chama langu💛💚💛💚
Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiii tupo pamoja 🟢🟢💚💚
Shekhan is going to be fire this season
All the best Muhimu wachezaji wetu watambua mechi ni ngumu wanapaswa kujitoa asilimia 100 kiwanjani na kucheza kwa maelekezo ya mwalimu.
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kikubwa point 3💚💚💛💛
Yanga nilidude li kubwa sana❤❤
Sana
Yanga To International
Mona.simuonimzize
MUSONDAA🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Fashionable
Hizi jezi za mazoezi ni🔥🔥🔥
Mungu awabariki chma langu
Jezi za mazoezi mbn nzur sana
I love this club 💚💛🖤🔥
Nakuomba M/Mungu Ijaalie Timu yetu ushindi na njia sahii yenye Mafanikio Inshaallah
Mungu barik yanga
Jaman hyo jez mbn nzur hv
Mungu ibariki yanga
Kila La Eli 🎉🎉🎉🎉🎉
My team 💛💚💚💚💚💚
Yanga sc Raha sana
God bless yanga🙏🙏
Nimefurahi sana kumuona mkude hapo😍👍🏿👍🏿
Inshallah munguu atubalikiii tupateee matokeo ❤❤❤❤❤
Matokeo
AMINA 🎉🎉🎉🎉🎉
Good to see African players living the life in Africa. That Velar.........
Jitihada ndio msingi wa Ushindi, mengine tumwachie Mungu.
Kila la kher 🙌🙌🙌
Mungu awape upendo na mshikamano zaid na zaid 😢
Wapiganaji wetuakamanda wetu piganieni benders ya yanga na Tanzania daima mbele 💛💛💛💚💚💚
Tunawapenda sana wa chezaji wetu benchi la ufundi na Vio gozi wetu uwongozi wote kwa ujumla daima mbele 💚💚💚💛💛💛
Allaa awatangulie ❤🙏🙏🙏
Hakika kwa sasa Yanga ni timu kubwa na inayoendeshwa katika misingi ya Professional Football club.. Mungu azidi kuibariki ifike mbali zaidi..
Daima mbele nyuma mwiko..
“Mashamba matatu…mbuzi 100” 🤣
Let's Go Wananchiiiii 💯💥🌟⭐💫🔥💚💛
Yani, sina, cha, kusema, nawatakiya, ushindi, mwema💪💚💛💚💛💯💯
Mchezaji wa uto ana Ist
Nani mwengine kasika Aziz k anasema Benjamin nkapaa
Kiukweli yanga inatufraisha Sana kwa habari na tuvitu vitu aisee
Maandarizi mwema chama rangu ra yanga,💚💚💚💚💚💚💚💚
❤YANGA❤
The power fully team hamjambo amaHatujambo soote lakini eee eee apo vipi lakini wananchi eee again apo vipi lakini. Tunaona mbona swaffy amaSio.heee wachatu eeee wachatu.Okay Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi iwe none Stop none stop Twendeee kazi all 😅
Baada ya Keki sasa😂😂😂😂😂
This is yangaaaaaaaa
Kila la kheri YANGA 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤗
Yanga raha sana
Young leo tumefel wap jamn☺️☺️
Msalimie sana Mudathiri
May GOD bless our team so that we can win the match
YANGA BINGWA 💚💚💚👈
Jamani anaelewa anieleweshe , hivi matangazo ya kidijitali waliyahamisha au sielewi jamani mi Niko Kenya nijuzeni tafadhali
Kwahiyo azizi anatamba na gari ya hamisa😂😂😂 plate no zipo kichwani😂
❤❤❤❤ kazi mbele
Yanga Raha Sana piya ni timu Bora Sana naipenda yanga ❤
Mungu awatangulie timu yangu pendwa.
Nilichokiona azizi anatumia gari la hamissa
Mmmmmh lile gar la hamisa kwan
Chama anaongea jaman😂😂🙌
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Gol 3 yanga chukuen
Chama😂😂😂 mchokoz et Mbuzi miaa
Chama ako ana enjoy kua na wachezaji wazuri kama Zouzoua Aziki ....😂😂😂
All the best my team
Yanga bingwa
Tunaamini kwa uwezo wa Allah tutashinda mechi zidi ya all-hilal wananchi daima mbele nyuma mwiko💛💛💛💛💚💚💚🙏🙏
Congratulations wachezaji wetu mungu awatie tupate point 3 mechi ya kwanza na mpira pia tuwaonyeshe Amina❤❤❤❤
Daima mbelee nyuma mwiko
Mbn kibwana anapanda boda sio sawa hiiii
HAYA MASIFA NDOMANA MKAKANDWA WAZEEE WA HARUA HARUA 😂😂🔥😂😂😂😂😂😂
Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉
Yes, We Are Young Africans...
Mungu awatangulie kwa kila jambo
sijaluona gari la Nkane na kibwana jmn💚💚😂
Mungu ubariki timu yangu ya yanga ushindi mnono
Nawakubali saaaan wananchi wangu wazeee wa jangwani nawaombea kila la heri 🙏
Ushindi uhakika... Kila la kher❤❤❤
Mungu awaongoze
Maisha ya Max Nzingeli ni simple sana
safiii sanaaa penda Sanaa timu yangy
🎉🎉🎉🎉
daima mbele nyuma mwiko
Jaman tufanye dua kwawachezaji,
Nimoja ya furaha kubwa kuiona team ikishirikiana
Gari kali nimeona la Hamisa mobeto tuu hiyo range aliyompa Ki Aziza kwenda nayo mazoezini...
Mungu awatangulie
💚💛💚💛
Kila heri kwenu 🎉🎉
Mungu tupe ushindi mkubwa maadui zetu washangae
anasa tu zinawatafuna huyo Aziz ki kawa fala kakalia starehe bongo
Dube day 👍🏽💚💚💙💙🇹🇿
Gari ya aziz ki. Si gari ya mobetto hiyo
The club above All In Tanzania
I love you young
Kama wachezaji wa laliga vile 😂😂😂 mmetisha sana
Iyo EDG YA AMISSA MOBETO
YANGA bingwa