VILIO VYATAWALA NYUMBANI KWA ALIYEKWAMA KUMZIKA MWANAYE, AKOSA SH5 MIL KULIPA DENI'TUMEUZA KILA KITU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @zakiaferuz4561
    @zakiaferuz4561 День тому +3

    Mama yetu rais Samia tunakuomba msaada wako kwa watz wasiokuwa na uwezo kiuchumi hasa wenye shida ya figo,moyo angala upande huu mh rais.Mungu akubariki mama🙏🏿

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 День тому +5

    Jamani selikari walisema maiti zisizuhiliwe wapewe ndugu wakazike 😭😭😭

  • @umranim5854
    @umranim5854 День тому +2

    Mungu awafanyie wenyepesi na awape subira katika mitihani

  • @WilliamNestory-r4x
    @WilliamNestory-r4x 22 години тому +1

    Mungu akutie nguvu Mama yangu kijana mwenzangu pumzika kwa amani

  • @annethjohn9180
    @annethjohn9180 День тому +3

    Mungu nisaidie nipate pesa ili niisaidie familia yangu,umasikini ni mbaya sana aisee 😢😢😢😢

  • @NeemaKija-t8t
    @NeemaKija-t8t 20 годин тому +1

    Pore sana mungu akupe mwanga

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 23 години тому +1

    Inauma 😢😢 polen

  • @SalomeMichael-j7k
    @SalomeMichael-j7k День тому

    Poleni sana Mungu awatie nguvu familia

  • @erizabethchanga636
    @erizabethchanga636 16 годин тому

    Duu poleni sanaa😢😢

  • @BibiRaphael
    @BibiRaphael День тому

    Goli la mama millions 5.Wapiga kura wanazuiwa maiti kwa kukosa pesa millions 5 jamani. Mama Samia wasaidie watu wa namna hii jamani

  • @gracemwakalukwa-zz3ke
    @gracemwakalukwa-zz3ke День тому +1

    Ustawi wa jamii Jambo likionekana lina ukakasi wanaongea Kwa uzuri ukiwa na mgonjwa na unachangamoto kama ya iyo familia ndo utajua rangi yao vizur shida madaktari na wauguzi wanakua wanakua namna ulivo angaika na mgonjwa wanafanya makusudi wakitegemea Ndugu na jamaa zako watakuja kukusaidia nauku awajui background ya mwenye mgonjwa ..

  • @gililwise
    @gililwise День тому +1

    WaTZ tushikamane endapo mwenzetu ana changamoto kubwa tuchangishane hata alfu moja ili kusaidaia matibabu .maana serikali imeshindwa

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 День тому +1

    Hivi hawa wanaofanyaga birthday za mamilion wako wapi wawasaidie watu kama hawa

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 День тому

    Inauma sana ila mungu yupo daa mungu awape subra

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl День тому

    Jamani inauma sis maskini tutaugulia nyumban na nitafia nyumban tunamuomba mungu mwisho uwe mwema.

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 22 години тому

    Namukumbuka sana hayati magufuli alikuwa anasaidia watu kama Hawa sasa kama wamekatalia maiti wazike wenyewe sasa

  • @KatambaSteven-s2x
    @KatambaSteven-s2x 18 годин тому

    Serikali isaidie hilo suala

  • @JacklineGodfrey-y8y
    @JacklineGodfrey-y8y День тому +1

    Moyo unaniuma jamn haya mambo yakuzuia maiti dah sisi masikin

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 23 години тому

    Samia futa mambo ya kuzuia Maiti inaumiza sana😢

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 День тому

    Hivi mnavyo ng'ang'ania mwli wa marehemu mtu kafariki jamani si unyanyasaji huo nakumbuka UMMI MWALIMU WAKATI WA UONGOZI WAKE HILO ALILIKEMEA LA KUZUWIA MWILI WA MAREHEMU ĶATOKA NA MAMBO YAMEISHIA HAPO