Yesu ndiye NJIA YA kweli na uzima ya kwenda MBINGUNI hebu MWAMINI YESU na uokoke na Ulithi uzima WA milele na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlNIKWELI HALI YETU NI MBAYA SANA LAKINI HATA MUNGU AMEKATAZA TUSIIBE NI DHAMBI KUBWA SASA HEBU FIKIRIA UNAENDA KUMTAPELI MTU ANA MGONJWA NA USHASEMA MAISHA YETU MAGUMU JE KUSUDIO NI NINI ?? KWAMBA YULE ALIE TAPELIWA ASHINDWE KUMUHUDUMIA MGONJWA MATOKEO YAKE MGONJWA AFE JE HII NI SAHIHI??
Hakuna anaewakilishwa na huyo anaejiita ostadh kwanza hatumjui ktk viongozi wanaowakilisha uislamu Tz,Dini ya uislamu itabaki km dini ya uislamu na Allah tutaendelea kumuamini kwaio still we are proud,huyo baba na mambo yake amekosea na dini ya uislamu haifundishi hayo mambo.
Ht yule aliyekamatwa Kigamboni na Kkoo pia alisema ostadh anachangisha pesa za misikiti na madrasa kuja kubanwa kumbe mkristo pyuu sasa hatushangai kwa hili pia
Jamaa anajua mchongo mzima yatakiwa uwasaidie kuwapata wenzake na sijawahi kuona Ostadhi wa kuwatapeli waginjwa Jamani Dunia hii kunawatu watakosa pakukaaa kesho kwa Mungu 🙏🏼
Huyo wala si Ostadh wala Dini hajasoma, Naomba ahojiwe Anafundisha wapi????? masheikh wake kina Nani waliomfundisha, Usikute hata si Muislam HUYO NI VITA TU YA KIDINI... KAMA YULE Jamaa aliekamatwa Kigamboni alikua si Muislam Ila akivaa Kanzu na kupita miskitini kuomba Michango ya Msikiti WAISLAMU TUWE MAKINI TUAMKE.
Huyo jama ana kesi mbili,1-kuuchafua uislamu-2-kuua watu kwa kusudia kwa kujifanya yeye ni daktari tena muhimbili. Angalizo-uliinzi uzidishwe kidogo sehemu muhimu kama hizi.
Dah maisha hàya jmn had kot unavaa na unaingia hospita wakat kuna madokta wengi wanafahamiana hata kama n mgeni ungetambulishwa lkn hukuogopa kabisa baba jasir Sana ww
Kama tunavyosadiki kwamba huyo sio dokta bali alidanganya kama dokta, Basi pia tusadiki sote pasina shaka kwamba huyo si ustaadh bali pia anajaribu kudanganya juu ya hilo.
Yaani hata huyo alietaka kutapeliwa nae ni muislamu kwahiyo amepangwa na yeye kuichafua dini ya kiislamu sindio? Acha kuwa na akili fupi na kuweka udini huo uislamu wako autokupeleka mbinguni na wala ukristo wetu hautatupeleka mbinguni isipokuwa bila ya kuyatenda matendo mema kama tulivyoamriwa na M/nyezi MUNGU.
Niliwahi ibiwa SIM hospital ya mnazi mmoja Zanzibar chumba cha VIP tukaamua Tu tuondoke na mgonjwa tukatibiwe sehemu nyingine sikujui ni namna gani mwizi aliingia ndani
Huyu jamaaa ana connection na baadhi ya watu mpeni viboko aongee vizuri wako wengi hata walinzi wa hapo wanajua pili Ina maana madaktari wengine hawajamuona mpaka akaingia wodini na yupo uniform hawajawahi kumuona
Jamani acheni uwongo hiv huyo kama cyo dactar mbona hicho kitambulisho kama cha serikali ? Jaman tucfanye dini ikawa ndo kichaka ka maovu tuka zichafuwa dini zetu
ninaamini kazi ya polisi wetu jaman, huyu ndani ya siku tatu tu atakua maelezo yake yamenyooka vizuri hapo kabisa angekua karibu na mbagala huyu akaonana na trump huyu dishi lingemkaa sawa wala asingeyumbisha maneno
Hiyo muhimbili yenyewe pia haijajiorganise vizuri. Itakuwaje mtu apite gatini bila kukamatwa. Wekeni katarasi lenye picha za madaktari hapo gatini. Na kama dokita yeyote anahama mnang'oa picha na kuweka kielexo cha kuhama kwake. Tuache uzembe na organisation mbovu, mbovu. Kuwani kusasa zaidi.😂😂😂🎉😂😂🎉🎉🎉😮😮😂
Hi ni hatari kwa usalam cz kama Kunakwamba kwa siku zijazi watafikia atua ya kufanya procedure ya injection Kwa patient wakati Hana taaruma iyo unatola hospital mguu kushoto mguu kulia kumbe Kuna mzembe m1 kapiga lak na 40
aulizwe maswali ya dini kama ataweza kujibu hata sura yake aina ya sauti yake haoneshi kama ni ostadhi msenge mmoja huyo kashindwa kutafuta rizki y halali
Aliyetuletea dini sijui alitushikia wapi? Hakuna uhusiano wa dini ya mtu ama shughuli zake za kidini na maovu yake! Mimi sio Muislam ila sio sawa kuoanisha maovu ya mtu na dini yake!!!
Innalilah wainnailah rajuun lenki za kidini hua azitaniwi mmemuona uyo jamaa eti anasema yeye anafani ya uostadh Aya gani inasema uostadh ni fani huyo ni muhunitu na kwanini akuulizwa maswali ya faniyake alioitaja?
Watu kama hawa watakuwa ni wengi wanaambizana maana hawezi tu kutoka huko bila kujua njia ya kuingia hapo mtu wakawaida lazima uogope, haojiwe vizuli aseme kunawatu apo hospital yuko nae mpaka hicho kitambulisho anamjua mtu anaechongesha hawezi mtu tu apite na baskeli awe mfalume njozi ajuwe kama anataka nembo ya hospital ya muhimbili siokweli.
Mimi najiuliza Mbona Uzazi wa saizi umekuwa mgumu sana, mara inabidi afanyiwe operation kuzaa kawaida Daah Mungu tusaidie Wanao Kumbe Wake zetu wana pigwa visu kwa Ajili ya Madokta Fake😭😭😭
Yesu ndiye NJIA YA kweli na uzima ya kwenda MBINGUNI hebu MWAMINI YESU na uokoke na Ulithi uzima WA milele na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Uyo aseme vzr icho kitambulisho kakitolea wapi wamfinye kdg tu atasema mbona
Angekua mkristo huyu ostadhi tungejuta na am proud😂😂
Yaaaan Kama ulikuwepo mwenye nilikua nawaza Hilo kua Angelia mkristo hzo comments 🤔🤔🤔🤔
Sema hatutaki tu kutafakari,hali ni ngumu, wanaume wanafanya wawezavyo kulisha familia na maisha yaende
Kaka matapeli awaish wapo miaka na miaka pia ali yetu yakimaisha niivyo ivyo miaka yote
Kwakweli
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlNIKWELI HALI YETU NI MBAYA SANA LAKINI HATA MUNGU AMEKATAZA TUSIIBE NI DHAMBI KUBWA SASA HEBU FIKIRIA UNAENDA KUMTAPELI MTU ANA MGONJWA NA USHASEMA MAISHA YETU MAGUMU JE KUSUDIO NI NINI ?? KWAMBA YULE ALIE TAPELIWA ASHINDWE KUMUHUDUMIA MGONJWA MATOKEO YAKE MGONJWA AFE JE HII NI SAHIHI??
HALAFU HUYO TAPELI ASITUHARIBIE DINI USTADH HASWA HAWEZI KUWA TAPELI HUYO NI TAPELI TU KAMA MATAPELU WENGINE
Ila sio kutapeli
Dj walete am proud to be Muslim, Ostadhi huyo apo anawawakilisha
😂😂😂😂
ana uostadhi gani unajua maana ya uostadhi
Hakuna anaewakilishwa na huyo anaejiita ostadh kwanza hatumjui ktk viongozi wanaowakilisha uislamu Tz,Dini ya uislamu itabaki km dini ya uislamu na Allah tutaendelea kumuamini kwaio still we are proud,huyo baba na mambo yake amekosea na dini ya uislamu haifundishi hayo mambo.
Ht yule aliyekamatwa Kigamboni na Kkoo pia alisema ostadh anachangisha pesa za misikiti na madrasa kuja kubanwa kumbe mkristo pyuu sasa hatushangai kwa hili pia
Ustadhi kwa lugha ya kiarabu ni mwalimu yaani kwa kiingeleza teacha haihusiani na dini
Ndugu zangu Waislamu, muwe mnawatoleo sadaka za kuwakimu kimaisha maostadhi Jamani mmeona Sasa!!
Muumin wa kweli ahawez kuww tapelii huyu ustadh wake ni wa utapeli rabla
Ila watu wana roho jamani, unaendaje kumtapeli mtu anauguza jamani😢
Jamaa anajua mchongo mzima yatakiwa uwasaidie kuwapata wenzake na sijawahi kuona Ostadhi wa kuwatapeli waginjwa
Jamani Dunia hii kunawatu watakosa pakukaaa kesho kwa Mungu 🙏🏼
😂😂WACHUNGAJI WANATAFUTA PAKUTOKEA BAADA YA KUPIGWA KWENYE BANDARI😂😂
Ww haujielewi ,Elimu ni kitu kizuri sana,mkasome kwanza
Ostadh ana ndevu wala sijda hapana kwakweli
Hakuna kazi ya ustadh msichafue Imani za watu Kama ametumwa aseme
Mbaya sana,
Afungwe tapeli mkubwanhuyu hapo wapo wengi sana adi wa dada wapo atasema ty wapo
Huyu afungwe maisha acheze na maisha ya watu hatari aweza ku sababisha maisha ya watu kuwa hatarini au ametumwa
Huo upangaji wa matokeo 😂😂😂😂 eti fani yangu ostadhi
😂😂😂ayaaa Sasa Hali mbaya jamani hayaa huyoo hajasomeaa Badoo Hawa waliosomeaa tunaelekeaa kubayaa wajombaa😂😂😂😂
Ustazzzzz
Mh ustadh 🤔🤔🤔🤔 jaman jaman haya tukazane kumwomba MUNGU maana nawasio ijui din sjui watasemann.
😮usidhalau kaz yako ,maisha magum sana
Huyo wala si Ostadh wala Dini hajasoma, Naomba ahojiwe Anafundisha wapi????? masheikh wake kina Nani waliomfundisha, Usikute hata
si Muislam HUYO NI VITA TU YA KIDINI... KAMA YULE Jamaa aliekamatwa Kigamboni alikua si Muislam Ila akivaa Kanzu na kupita miskitini kuomba Michango ya Msikiti WAISLAMU TUWE MAKINI TUAMKE.
Kumbe kuna vita ya kidini, waislamu mnachafuliwa😂😂😂poleni sana ndugu waislamu kwa vita hii
Ila hii nchi jmn😂😂😂😂yaan kila kukicha vituko jmn,,kuna muds najaribu kuwaza hv waandishi wasingekuwepo hya mambo tungekuwa tunayajulia wap😢😢
Nchi ipi duniani isiyo na vituko?
Ofu ya mungu haiwezi kaa ndani bila ya ushirika wa roho mtakatifu ndani ya mwanadam yeyote
Daaah MEDICAL DOCTOR HUYO😂 hivvi anajua hata what is anatomy kweli 😂
😂😂😂
😂😂...anatomy chuoni....uyo maan ya biology 2 kashailia maandaz😅😅
Anatomy wapi mbali? Sarufi tuu
Hujaskia akisema is the study which deals with human structure na their functions.😂
@@Werema3760 😅😅😅😅 cjamskia mie🙌🙌
Duuh so poa kabisaà Aisee 😅😂😢😊
Duuuuh 😮makubwa haya jamani yani huyu lazima awe na mtu wanajuana hapo hospital huwa wanafanya nae huo mchezo 😢😢😢😢😢😢
Huyo jama ana kesi mbili,1-kuuchafua uislamu-2-kuua watu kwa kusudia kwa kujifanya yeye ni daktari tena muhimbili. Angalizo-uliinzi uzidishwe kidogo sehemu muhimu kama hizi.
Yuko sawa maana muhimbili Wana calendar adi utibiwe unazungushwa, apewe shavu tu ata la mochwary
Mmmh sasa sie ambao kila tunaemuona tu na koti jeupe tunamuita daktari tutapeliwa kwa kweli
Eti fani yang ustadh 😂😂😂😂 yan hata nuru usoni hana
Ndo ostadhi wenu huyo,mkamtoe jela😂😂😂
Nuru gani wakati umeshaiona sura yake😂😂
@@IsraelKisaila hatuwezi kushughulika na mtu muongo muongo sura haijakaa kiibada kabisa et ostadh
@@omariaman7818Sura ya kiibada inakaaje? Huyo ni Ustaadhi bana😂😂
Hakuna fani ya ustadh
Namshangaa et Fani yostadh😂 ila kapendezea Sana kuwa daktar😂
Dah maisha hàya jmn had kot unavaa na unaingia hospita wakat kuna madokta wengi wanafahamiana hata kama n mgeni ungetambulishwa lkn hukuogopa kabisa baba jasir Sana ww
Mussa Marwa ! Mhhhhhh kuna kitu nyuma wenyewe tunajuana huyu ni ustadh wa mchongo ! Ila Allah atamlipa kwa nia yake
Yupo tangu 2021 na akatae mleteni kwangu na akatae siyo siku ya sita huyu tangu 2021 August alikuwa ana fika mpaka MOI HUYO
Jamaa anakaaa bunguruni kwa myamani Wala hakai mbagala kwa ni bunguruni
Kama lengo lenu zuri Allah awe nanyi ningekuwa tajiri huyu mtu ningemsaidia eeeh Mungu nipe mahela ya halali ya rabbi l allamini
Eti ustadh mmmhhhh. Nahilo jinala ustadh nifeki
Daahh,, nimebidi nirudie tena kusikiliza,, ila ostaz unachekesha,, Wee ni Doctor muhimbili,au Umepelekaa dawaa za Suna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Usiropoke usicho kijua hakuna dawa za suna
Ustadhi gan mpuuzi ww huo ni mchongo wa makafir kuchafua uislamu
Unauzalilisha uislamu, allah atakuadhibu ucpofanya toba ya kweli
Sio muislamu....Hana hta nusu ya kufanania kuwa muislamu. Sura yake imekosa nuru ya uislamuu😢😢😢
Ila n ostadhi😅😅😅
@@mrh2812😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
Kabisa wallah eti fani yng ni ostadh anadhani waislam hawajulikani
@@mrh2812 aaaah ostadh wa mchongo
Ni kweli kabisa sura yake imekosa nuru ya uislam
Jaman baba kibonge kama uyo,kazi niya utapeli tu,shida kubwa kwa wagojwa😢😢😢😢😢😢
Jirani yangu jamani loh
@@hyacintagugu7 kweli 😭😭😭😭 so mimi n'a ona wivu kwa muke wake n'a watoto wake aki
Maisha magumu
Ostadh bhana..aibu.
Kama tunavyosadiki kwamba huyo sio dokta bali alidanganya kama dokta,
Basi pia tusadiki sote pasina shaka kwamba huyo si ustaadh bali pia anajaribu kudanganya juu ya hilo.
Kweli kabisa
Utata," ustaay" kisha mwizi aandike hiyo " name tag ' Jina la kweli 😳😳😳
Huko ni kuchanganyikiwa au 😳😳😳😳🙆
Yaani hata huyo alietaka kutapeliwa nae ni muislamu kwahiyo amepangwa na yeye kuichafua dini ya kiislamu sindio?
Acha kuwa na akili fupi na kuweka udini huo uislamu wako autokupeleka mbinguni na wala ukristo wetu hautatupeleka mbinguni isipokuwa bila ya kuyatenda matendo mema kama tulivyoamriwa na M/nyezi MUNGU.
Nyie siku zote huwa mnakimbiliaga kwenye udini siku zote mkishaharibu
Kwa kumtazama tu huyo sio ustadhi
Allah atusamehe jmn
Ustaadhi, halafu unakuja kutapeli watu, shame on you!
Namham uyu kaka nitapeli alimtapeli ndugu kua atampakazi akatoa pesa apate na wapo wengi anawenzake
HII NI MIPANGO.... MBONA TAPELI MWENYEW ANAONGEA KWA KUJIAMINI SANA NA SURA YAKE INAONYESHA HII NI MOVIE KABISA...
😂😂😂😂😂ungesema ata muuza nyama
Uyo sio ostah nyau tu Tena maostadh tutamchapa viboko
Niliwahi ibiwa SIM hospital ya mnazi mmoja Zanzibar chumba cha VIP tukaamua Tu tuondoke na mgonjwa tukatibiwe sehemu nyingine sikujui ni namna gani mwizi aliingia ndani
Lol,na wala sio Ostadh 😅 msicheze na vyeo vya watu jamani
Huyu jamaaa ana connection na baadhi ya watu mpeni viboko aongee vizuri wako wengi hata walinzi wa hapo wanajua pili Ina maana madaktari wengine hawajamuona mpaka akaingia wodini na yupo uniform hawajawahi kumuona
Yaani huyo kaka anayehoji ni muhaya😂😂😂😂nmecheka lafudhii
AMINIEL sio muhaya hiyo ndo ongea yake.
akuna ostazi kamawewe mpumbavu na atotokea mbinuzako zakitoto sana mtafute aliyekupa ilokoti mwambie astazi anapatikana madrasa nasio hospitari umefeli na autafaulu mpakadunia anaiasha
Wapo wengi mbwa Hawa, wanatapeli kila sehemu
Umetutia aibu sisi waislam wallah Musa. Ni aibu Sana.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jmn jmn aibuu
Duniani kuna mambo😅😅
Hahahahaha uyu jamaa duh ila muacheni tu make anatia huruma hahahahaha
Ostadh gani mpuuzi wew
Jamani acheni uwongo hiv huyo kama cyo dactar mbona hicho kitambulisho kama cha serikali ? Jaman tucfanye dini ikawa ndo kichaka ka maovu tuka zichafuwa dini zetu
Mzee mwongo mwongo mjanja mjanja anajibu kimtwgo mtego😅😅
Huyu ndo aliijibu TEC😂😂😂😂
Hapana hawez kua ustdh
ninaamini kazi ya polisi wetu jaman, huyu ndani ya siku tatu tu atakua maelezo yake yamenyooka vizuri hapo kabisa angekua karibu na mbagala huyu akaonana na trump huyu dishi lingemkaa sawa wala asingeyumbisha maneno
Waisilamu wenzangu munavyo muona uyu ni kweri ni hostazi kwer watu muliyo somea sekolojia😂
Mungu atunusuru jamani yani mtu una umwa unasema uende hospital utibiwe una kuta daktar feki daah
Poleni sana dada
Uyo ajpata mngoto vizur,akitandikwa vizur atasema ukweli wite
Hiyo muhimbili yenyewe pia haijajiorganise vizuri. Itakuwaje mtu apite gatini bila kukamatwa. Wekeni katarasi lenye picha za madaktari hapo gatini. Na kama dokita yeyote anahama mnang'oa picha na kuweka kielexo cha kuhama kwake. Tuache uzembe na organisation mbovu, mbovu. Kuwani kusasa zaidi.😂😂😂🎉😂😂🎉🎉🎉😮😮😂
Ustadh gani tapeli 😂😂 shenziii
Hi ni hatari kwa usalam cz kama Kunakwamba kwa siku zijazi watafikia atua ya kufanya procedure ya injection
Kwa patient wakati Hana taaruma iyo unatola hospital mguu kushoto mguu kulia kumbe Kuna mzembe m1 kapiga lak na 40
ustadh hadi kuwa Dr 😂😂😂😂😂
Wapo wengi sàna mataper hasa kwenye ma benk ndio wamezidi saiz
Ostadh kama ostadh😂😂😂😂
Ndugu zangu uyo mama alietaka kumtapeli amefariki Leo asubuhi mgonjwa wake ambae mama yake mzazi
Tunashukuru kwa kumkamata..ila BG UPP SANAA jamaa ni mbunifu🤙biashara inataka ubunifu
aulizwe maswali ya dini kama ataweza kujibu hata sura yake aina ya sauti yake haoneshi kama ni ostadhi msenge mmoja huyo kashindwa kutafuta rizki y halali
Baada ya kipigo kizito maelezo huwa yanatolewa katika mstari mnyofu😊😊🤣🤣
Kivumbi leo😂😂😂😂
Jamaa na kaaa bunguruni kwa myamani nyuma plan hospital
Wewe siyo muislamu Wewe unatk kuichafua
Mchafuliwe ili iweje! Kwani nyie wasafi
😅😅mochwari kaja na baiskel
Weh kazi ipo
Du kwel atar lak na nusu inakutowa roho da kwel I nchi ngumu sana
Hiyo imeandaliwaaa
Sio Ostaz huyo n mwizi aseme tu,
😂😂😂kube ata tz kuna njaa kama hapa Kenya 😂😂😂
Huyu sio Ostadh ni mhuni mmoja, watu wenye dini utawajua kwa vitu vingi sio janja kama huyo
Km doctor aombe ajira tu sio kutapeli umeona sasa utaenda jela
Aliyetuletea dini sijui alitushikia wapi? Hakuna uhusiano wa dini ya mtu ama shughuli zake za kidini na maovu yake! Mimi sio Muislam ila sio sawa kuoanisha maovu ya mtu na dini yake!!!
Ni sawa, hata na mimi sii muislami, lkn ishu ya dini kaileta ye mwenyewe muhojiwa
@@engineertarimo7345lakini kaulizwa shughuli yako ni nini ?
@@engineertarimo7345 ww sio muislam
@@edwardkasubi5135 hajauliswa shughuli yako ameulizwa fani yako
@@omariaman7818 ulidhani angejibuje au wewe ukiulizwa fani yako ni nini utajibuje ?
Huyo sio ustdh mwizi2 usidhalilishe maustadh ustadh gan huyo hata alama yakuingia msikitini hana sura ngumu hiyo nuru haina
Innalilah wainnailah rajuun lenki za kidini hua azitaniwi mmemuona uyo jamaa eti anasema yeye anafani ya uostadh Aya gani inasema uostadh ni fani huyo ni muhunitu na kwanini akuulizwa maswali ya faniyake alioitaja?
Watu kama hawa watakuwa ni wengi wanaambizana maana hawezi tu kutoka huko bila kujua njia ya kuingia hapo mtu wakawaida lazima uogope, haojiwe vizuli aseme kunawatu apo hospital yuko nae mpaka hicho kitambulisho anamjua mtu anaechongesha hawezi mtu tu apite na baskeli awe mfalume njozi ajuwe kama anataka nembo ya hospital ya muhimbili siokweli.
Imesukwa na wanasiasa hyo kunajambo wanatafta ukisikiliza na kumuangalia tu unaweza kugundua kitu
USICHOKIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA,YAANI KOTI LA BUCHA UNAINGIA NALO MUHIMBILI😂😂😂😂😂
Mimi najiuliza Mbona Uzazi wa saizi umekuwa mgumu sana, mara inabidi afanyiwe operation kuzaa kawaida Daah Mungu tusaidie Wanao Kumbe Wake zetu wana pigwa visu kwa Ajili ya Madokta Fake😭😭😭
Njaa kaliii😂
Maisha magumu Kaka umepambsna kiume kuliko kufa njaa mbona wao ndiokabisa nchi imeoooooza wadudu wanatoka sasa
Jamani kuna haja ya kuwalipa vizuri maustaadh wanaofundisha madrasa unaona sasa hii ni aibu jamani amkeni😢😢
Sio ostadhi huyo
Ostadhi hawezi kufanya ivo
Huyo ni tapeli tu kama wengine
@@khaijakadija2082Huyo ni Ustaadhi kasema Mwenyewe mnabisha nini?