nakupenda sana makonda sijui nikwambie nini maana unajielewa sana sana Mungu akupe maisha marefu sana maana wewe ni mkweli siku zote na wantanzania ukiwambia ukweli hawa unakuwa adui sioni kosa lako apo wewe ndie kaka mkuu wawa kuu wa mikoa yotè
Nimeamin watu hatueleweki ni jua au mvua. Juz nimesoma coment tumemponda Leo tunamsifu. Tuzidi kumwomba Mungu atuondoshee hii mitihani peke yetu hatuwez🙏
Saafi saana Makonda,hua nakuelewa sana we jamaa,hao wanaokusumbua na maswali ya kichoko ni mashabiki wa Sacco's ya Mbowe tu,upo sahihi na umeeleweka sana
Makonda yuko sawa kabisa kwani kama Mr tembo anaumwa na amejificha ukasema nimemwona tembo amejifucha nadhani anaumwa kunakosa kwani makonda alijuwaje mtoto wa Fulani anaumwa kama siyo watu wakaribu na Fulani kumwambia kunatembo tumeambiwa anaumwa.na yeye akatuma watu wakachunguze wakamwambia nikweli timemwona tembo anaumwa mwisho tembo akachuliwa akatibiwa mwisho tumwombee mungu akapona unadhani nani. atashukuriwa yule aliye mficha au yule aliye towa tarifa na tembo akatibiwa mwisho we akapona waziri yuko sawa kujibu vile kulingana na kazi yake na mkuu wa mkoa alikuwa sawa kusema vile mbona wanao ficha watoto walemavu tunawasema na kuwaonesha mitandaoni jamani tuweni wawazi
Makonda keep it up.... wanakuelewa taratibu watanzania wapogo ivyooo. Mlitaka mbowe na familia yake awaambukize wake zenu ndio muweke hadharani? Watanzania janga hili halijui wewe ni nani ndo mana hata familia za hadhi ya akina mbowe wameupata..... tuache unafiki.
Mi c support mwanasisa yeyote kwakua wote wanatetea masilahi yao...angalia maisha ya watoto wao wanayoishi Kama sio ya ctarehe......c ccm Wala upinzani....
Hapa ndiyo naiona logic ya kusikiliza pande mbili ili kubalance story. Kama story ingeishia kwa malalamiko kutoka kwa family ya Mbowe bila kumsikiliza Makonda tunge muhukumu bure. Kumbe kama Makonda asinge sema kijana angeendelea kusambaza kirusi mtaani, Kama kweli anawajali watanzania kwanini hakujiweka karantini kama Isabella?
Hata kama mtaona Mh.MAKONDA kakosea kusema na kutaja jina hadharani sawa. Naomba pia mjiulize kwanini familia ya mgonjwa ilimficha ndani hadi aliposema Mh.MAKONDA ndipo ikakili nakuamua kujiweka kwenye Karantini?. Hivyo basi kwa upande wangu naona Mh.MAKONDA kafanya jambo jema kwetu wakazi wa Dar.
Mama waziri ...we tuachie makonda atutajie acha kuleta siasa alichofanya makonda ni kitu cha maana ...tena kwa hili mngekua mnataja majina ili watu wajue nilishakutana na huyo mgonjwa achukue tahadhari .. we unadhani unajua wangonjwa hao wa corona walikutana na watu wangapi mpk kufikia kwenu .... au mnataka huu ugonjwa uendelee kwa kasi
Me binafsi waziri sjamuelewa hapo kwakwel namuona Mh Mkuu wa mkoa yuko sahihi kwani kasemea mkoa wake na halafu huu ugonjwa siy wa kuficha wasilete mzaa kwa hiyo mtu akiumwa aogope kusema au kusemewa mwisho wa siku afie ndani na kuusambaza ugonjwa eee Mwenyezimungu tunusuru waja wako
Alichosema wazir wa Afya ni kwamba si ruhusa kumtaja mgonjwa kwa jina kwamba anaumwa kitu Fulani si taratibu za wizara ya afya,ugonjwa ni siri ya mgonjwa na Tabibu
Kwa maoni yangu Mh: Ummy Mwalimu yuko sahihi kwa mujibu wa kanuni za wizara ya afya lakini pia Mh: makonda naye yuko sahihi, kwa Mujibu wa ulinzi na usalama wa wananchi, ni lazima tujue Mh: mbowe ni "PUBLIC FIGURe" ambaye watu wengi huweza kumfuata na kuzungumza naye hivyo ni rahisi kuwaambukiza wengine.
Millard Ayo Unatumiwa, Usijifanye Kumhoji Huko Makonda Kulikuwa ni Random, Wewe Unatumia Kihuni Na akina Wahuni Sabaya etc. Wewe Iko Siku Hao wanaokutumia Hutawaona. Je Ni Wagonjwa Wangapi Amewataja Wagonjwa! Huyu Mpumbavu Ni Wangapi Umewataja zaidi ya Mbowe? Millard Ayo Wewe Endeleza Umalaya wako tu!
Sawa makonda anamakosa yake ni kama amefanya uzalilishaji nikosa kisheria ila pia amefanya sahihi bila ya ivyo watu wengi wangeangamia kwa kujificha wangonjwa na kama ingekua kila MTU anaficha kama mbowe tungekua wapi Tanzania kuna wakati Siasa haitajiki kabisa katika maisha ya kihsalama ..baki nyumbani okoa maisha
Wabongo kwa unafiki juzi mlimponda kwenye comments zenu leo mnamwita bright man duuh aisee..viongozi endeleeni kufanya yale mnayoyaona yana faa maana cc raia wenu ni kama popo
Mimi binafsi binafsi Kama Mimi namkubali makonda "MAKONDA BABA LAO" hampambi MTU,MAGONJWA YA MLIPUKO SIYO YA SIRI KAMA MTU BADO KAJIFICHA NDANI YA JAMII KUNA HAJA YA KUMTAJA ILI KUWALINDA WANAOMZUNGUKA,". IPO HIVI ATA ANGESEMA RAIS BADO WANGE LALAMIKA ,"MAKONDA BABA LAO"
Sasa mnaopinga kumshutumu makonda je uyo mtoto wa mbowe sio mgonjwa au kwa vile kamtaja makonda wacheni chuki binafsi mbona alikuwa anauguzwa ndani baadae ndio ametolewa baada ya kutajwa
Makonda yupo sawa sana sasa huyu wa mbowe alikaa ndani half akamfichua sion kam kuna tatizo ila kama angekuwa ameenda karantin half kamtj sasa hapo tungesem makonda ana shida!!!!!
Juz kwel watu waliponda xana lkn ni ufaham tu ndio mdogo, kwel mh mkonda some time anazinguw lkn ktk hili nampa hongera kwa huzijuw kayaokoa maisha wa watu wangap katka mzuko huo.
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Achen kuficha ficha ndio maana maambukiz yana zidi 'coz kama mbowe kachanganyika na wa2 hiyo c atar lakn makonda alivyo itaja familia ya mbowe nan asie na akir una fikir ata mkaribia mbowe
Sasa hapo tatizo nn jamani ukimwi mfichi na corona kwani mtu umeupata makusudi watu mnakosa uelewa hapa inavyoonekana watu wakiwaona ndugu zao na dalil za corona watawaficha mm naona bora tu kusema hakuna siri hapo huu si ukimwi jamani
Kama alipewa Taarifa ya Mtoto wa Mbowe Kuwa Mgojwa akiwa Kama Nani? Mkunga au Daktari? Na kama alikuwa na Nia Njema Kwanini Taarifa Hizo asimpe waziri wa Afya? Millard Ayo wewe Malaya Utakuja Kushitakiwa Utozwe Fine Uuze Vijikamera Uchwara Hivyo, Mpaka Vichupi Ndio Utajua Kutumiwa Kuna Mipaka, Acha Kutumika.
Thus why ur a regional commission, that's fact bro Makonda , Hawa jamaaa sometimes wanajifanya hamnazo Kila kitu wanapinga , jamani tuuache kujifanya mavimpire., Hacha watukane mwisho wa siku mwenye macho , hata dar siku full adabu , hakuna Yale Mambo yazamani, ya Mimi nani..., Piga kazi confidence man.
Ndugu yangu sijajua uelewa wako juu ya Sheria maadiri na utu na taratibu zinazoendesha mambo yetu ya kila sku km taifa. Km ungekuwa unajua ,hakika usingempongeza huyu mdudu. Kifupi ni kwamba hata wazuri mwenye dhamana kamshushua kusomi na kumzodoa. Kifupi huo unaoutetea sio uchapa kz. Haupo ktk vitabu vyovyote vile vya mafundisho ya uchapa kz.. Kuchapa kz kunakoshushia watu heshima utu na kutoa Siri za watu kwenye majukwaa ni ushambenga na utoto km utoto mwingine. Labda nikwambie kitu ambacho alipaswa kufanya1alipaswa kuwasiliana na wazuri au wahusika wa sfya ambao wangeweza kwenda alipo mtoto na kufanya taratibu zote za kimamlaka kumweka karantinii. Kwamfano , kulikuwa na urazima gani wa kuhusisha mtoto wa mbowe na siasa za chadema.hv huyu mtu anawezaje kuwahadaa a Kili kiasi hk
Emmanuel moshi,taratibu za wizara ya afya haziruhusu lazima tuzingatie taratibu na miongozo,ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na tabibu,kwa mfano daktari akamtangazia mgonjwa kua anaumwa ugonjwa fulani kisha mgonjwa huyo akamshtaki Daktar akiwa na ushahidi Daktar anakua na kesi ya kujibu coz kakiuka maadili ya kazi yake,

Makonda acha kutuletea siasa,sisi tumesoma udaktar more than five years tunaelewa taratibu zetu za Kaz huwez kuropoka kama ulivyomtaja mtoto wa Mbowe.. that's why Mr President akachagua watu Makini wa kuzungumzia swala hili la covid 19 tena Makonda usituchanganye kabisa kwenye professional yetu tuache
Ipo hivi... Taarifa juu ya Afya ya mgonjwa itabaki kuwa siri yake mgonjwa tu na Si vinginevyo na hamna mtu anaruhisiwa kutoa taarifa juu ya Afya ya mgonjwa isipokua akiruhusu mwenyewe iwe hvyo. LAKINI narudia tena lakini.. Taarifa juu ya Afya inaweza kutangazwa kwa public hata bila idhini yake mgonjwa endapo Lengo la kutangaza ni njema kwa afya na usalama wa Jamii. Kwa maana ya kwamba kama afya ya mgonjwa itaendelea kufichwa eti sababu mgonjwa hayupo tyr ijulikane Bas itaenda kuleta madhara makubwa kwa Jamii. Kwahyo hamna maana ya kuufanya siri taarifa ya mgonjwa Kama itakua na impact mbaya kwa afya ya Jamii. Kwahyo makonda yupo sahihi. 0712058189
Juzi ametoka kuongea kua mkoa wake Kuna much know wengi sana alisema yeye mwenyew kwa mdomo wake kua anaeruhusiwa kutangaza wagonjwa ni wazir mkuu,wazir wa afya na rais tu Sasa yeye ninan ....naomba nijibu tafadhar
@@zyelezyeleboy9757 yy ni mkuu wa mkoa na mwenye kiti wa kamati ya ulinzi na usalama, pia anaweza kuwajibika Kama mkoa wake haufanyi vzr katika Mambo mbali mbali
Kuna msemo usemao "fikiri kabla ya kutenda" kiongozi anabeba dhamana ya watu hapaswi kupayuka,sasa huyu bwana anakoelekea ni kubaya mno . MITHALI 22:3 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa
Wewe ulicho ongea mwanza sicho ume jisuuza haukuwa sawa lakini Leo umeongea Na wewe achana Na afya kuzungumza kuhusu afya ni um mwalimu Na uongozi wake Na siyo weww unayumba makonda
Dc huko vizuri xan piga kazi tunaelewa mungu akubariki hakutie nguvu
Mi naona yupo sawa tu sema sisi binadamu tu uwa tunakuza mambo sioni cha ajabu hapo kawaida tu yupo sawa mkuu wetu piga kazi baba 😍😍😘
nakupenda sana makonda sijui nikwambie nini maana unajielewa sana sana Mungu akupe maisha marefu sana maana wewe ni mkweli siku zote na wantanzania ukiwambia ukweli hawa unakuwa adui sioni kosa lako apo wewe ndie kaka mkuu wawa kuu wa mikoa yotè
Makonda nakupend sana bro kiukweli mti mzur haukos kupigw mawe mungu akubaliki san
Kama unaamini kuwa watanzania ni wanafiki gusa like apa.
Kama mwana f a mshamba tuu anatafuta kiki kwenye kitu siliaz
Siyo kidoga tunaweza pata tuzo kwajili ya unafki
Mh.makonda wee ni msema kweli daima ndo maana wanakuatack ila mungu atakulinda bro
Nimeamin watu hatueleweki ni jua au mvua.
Juz nimesoma coment tumemponda Leo tunamsifu. Tuzidi kumwomba Mungu atuondoshee hii mitihani peke yetu hatuwez🙏
Wati wanafiki tu kotekote
Aisee muheshimiwa nabii hakubaliki nyumbani kwake leo nimeamini hongera muheshimiwa
Saafi saana Makonda,hua nakuelewa sana we jamaa,hao wanaokusumbua na maswali ya kichoko ni mashabiki wa Sacco's ya Mbowe tu,upo sahihi na umeeleweka sana
Makonda yuko sawa kabisa kwani kama Mr tembo anaumwa na amejificha ukasema nimemwona tembo amejifucha nadhani anaumwa kunakosa kwani makonda alijuwaje mtoto wa Fulani anaumwa kama siyo watu wakaribu na Fulani kumwambia kunatembo tumeambiwa anaumwa.na yeye akatuma watu wakachunguze wakamwambia nikweli timemwona tembo anaumwa mwisho tembo akachuliwa akatibiwa mwisho tumwombee mungu akapona unadhani nani. atashukuriwa yule aliye mficha au yule aliye towa tarifa na tembo akatibiwa mwisho we akapona waziri yuko sawa kujibu vile kulingana na kazi yake na mkuu wa mkoa alikuwa sawa kusema vile mbona wanao ficha watoto walemavu tunawasema na kuwaonesha mitandaoni jamani tuweni wawazi
Asante sana Makonda,umeliokoa Taifa.
Makonda keep it up.... wanakuelewa taratibu watanzania wapogo ivyooo. Mlitaka mbowe na familia yake awaambukize wake zenu ndio muweke hadharani? Watanzania janga hili halijui wewe ni nani ndo mana hata familia za hadhi ya akina mbowe wameupata..... tuache unafiki.
Asante sana mkuu, tumekuelewa zaidi ya sana kwenye hili, CHAPA KAZI.
Makonda mungu akubaliki sanaaaa
Mi c support mwanasisa yeyote kwakua wote wanatetea masilahi yao...angalia maisha ya watoto wao wanayoishi Kama sio ya ctarehe......c ccm Wala upinzani....
Hapa ndiyo naiona logic ya kusikiliza pande mbili ili kubalance story.
Kama story ingeishia kwa malalamiko kutoka kwa family ya Mbowe bila kumsikiliza Makonda tunge muhukumu bure.
Kumbe kama Makonda asinge sema kijana angeendelea kusambaza kirusi mtaani,
Kama kweli anawajali watanzania kwanini hakujiweka karantini kama Isabella?
makonda upo sawa kabixa bila ww kusema akafanya sili dodoma mbowe angeeneza sana ugonjwa huu mungu tulinde sanaaaa.
Safi sana mhe Makonda
Hata kama mtaona Mh.MAKONDA kakosea kusema na kutaja jina hadharani sawa. Naomba pia mjiulize kwanini familia ya mgonjwa ilimficha ndani hadi aliposema Mh.MAKONDA ndipo ikakili nakuamua kujiweka kwenye Karantini?. Hivyo basi kwa upande wangu naona Mh.MAKONDA kafanya jambo jema kwetu wakazi wa Dar.
Mama waziri ...we tuachie makonda atutajie acha kuleta siasa alichofanya makonda ni kitu cha maana ...tena kwa hili mngekua mnataja majina ili watu wajue nilishakutana na huyo mgonjwa achukue tahadhari .. we unadhani unajua wangonjwa hao wa corona walikutana na watu wangapi mpk kufikia kwenu .... au mnataka huu ugonjwa uendelee kwa kasi
Uko vzr makonda achana na wasiojielew piga kaz baba tuko pamoja na mungu akutie nguvu.
Filmina Maga : ovyooooooooooo, wewe ni mpumbavu kama Bashite, una support ujinga,🤮🤮🤮
Madawa yameishia wapi minaona siasatu apo fala wew toa siasa ap umemuona mboetu apo we mzima? Kasome kwanza ndotutakuelewa
Ila kiukweli ukiangalia kwa undani Makonda hana kosa
Me binafsi waziri sjamuelewa hapo kwakwel namuona Mh Mkuu wa mkoa yuko sahihi kwani kasemea mkoa wake na halafu huu ugonjwa siy wa kuficha wasilete mzaa kwa hiyo mtu akiumwa aogope kusema au kusemewa mwisho wa siku afie ndani na kuusambaza ugonjwa eee Mwenyezimungu tunusuru waja wako
Sasa mnaficha ugonjwa ili watu waendee kuambukizana pol makonda yupo sahihi mtu akipatikana namagonjwa awekwe waz wengine wanaeneza ugonjwa kwa maksud
Alichosema wazir wa Afya ni kwamba si ruhusa kumtaja mgonjwa kwa jina kwamba anaumwa kitu Fulani si taratibu za wizara ya afya,ugonjwa ni siri ya mgonjwa na Tabibu
Kwa maoni yangu Mh: Ummy Mwalimu yuko sahihi kwa mujibu wa kanuni za wizara ya afya lakini pia Mh: makonda naye yuko sahihi, kwa Mujibu wa ulinzi na usalama wa wananchi, ni lazima tujue Mh: mbowe ni "PUBLIC FIGURe" ambaye watu wengi huweza kumfuata na kuzungumza naye hivyo ni rahisi kuwaambukiza wengine.
Umefika wakati wa MTU kumkataa MTU soo kikichobaki ni kubaki mungu,,,,,,jah one love,
Makonda acha kutuzuga akuna alie sawa kwa%100 kubali kushindwa mzee babaa..
Makonda ni mchochezi mnawakamata kina Esther Matiko. Katika chapa kazi ni huyu Dada. Keep it up.
Big up jembe piga kazi mti wa matunda ndo unapigwa mawe
Mbowe ni muuuaji nami siku zote na sema ni wakala wa shetani
mama ako ndo muuaji
Kama wewe uliondondosha komente hi kamamtotowamboe anacorona mbowekaukosa ? Nakamahajaukosa yupohospto gani mstudanganye sawa
Kuna corona za aina mbalimbali, nyingine ikikupata hauumwi, ila unajikuta tu kuropoka vitu vya ajabu ajabu !!
Well done mheshimiwa ulikuwa ukitimiza majukumu yako ya kiusalama
Mimi sio mwanasiasa ila kwa upeo wangu nilivyokusikiliza siku ile ubungo tulikuelewa vizur hukua na nia njema
Millard Ayo Unatumiwa, Usijifanye Kumhoji Huko Makonda Kulikuwa ni Random, Wewe Unatumia Kihuni Na akina Wahuni Sabaya etc. Wewe Iko Siku Hao wanaokutumia Hutawaona. Je Ni Wagonjwa Wangapi Amewataja Wagonjwa! Huyu Mpumbavu Ni Wangapi Umewataja zaidi ya Mbowe? Millard Ayo Wewe Endeleza Umalaya wako tu!
Upo sawa kaka achana na wapumbav wanaoleta siasa kwenye gonjwa kama hili ....
😀😀😀😀 daaa bongo hii jamani daa sasa anyway lakini
Sawa makonda anamakosa yake ni kama amefanya uzalilishaji nikosa kisheria ila pia amefanya sahihi bila ya ivyo watu wengi wangeangamia kwa kujificha wangonjwa na kama ingekua kila MTU anaficha kama mbowe tungekua wapi Tanzania kuna wakati Siasa haitajiki kabisa katika maisha ya kihsalama ..baki nyumbani okoa maisha
Wabongo kwa unafiki juzi mlimponda kwenye comments zenu leo mnamwita bright man duuh aisee..viongozi endeleeni kufanya yale mnayoyaona yana faa maana cc raia wenu ni kama popo
Kwani walimponda wote
Pauli makonda nambar 1 in Dar es salaam
Ipo siku tutaelewana.....kwamba Mungu ni wetu sote....
Sasa maswala ya kuficha mgonjwa corona ili iweje wakati ni janga la dunia nzima maana corona sio malaria au magonjwa ya zinaa acheni siasi
Gud saana. Kumbe ulifanya saafii
Makonda upo sahihi bro, huu sio ugonjwa ni janga
jacton kogoya kwann ummy hataji majina ya wagonjwa
Mimi binafsi binafsi Kama Mimi namkubali makonda "MAKONDA BABA LAO" hampambi MTU,MAGONJWA YA MLIPUKO SIYO YA SIRI KAMA MTU BADO KAJIFICHA NDANI YA JAMII KUNA HAJA YA KUMTAJA ILI KUWALINDA WANAOMZUNGUKA,". IPO HIVI ATA ANGESEMA RAIS BADO WANGE LALAMIKA ,"MAKONDA BABA LAO"
Mh je ww ukienda kupima ukimwi ukagundulika unao alaf dokta akakutaja hadharani utajisikieje?
Hujui unachoongea @Emmanuel Mwambambale
Asante Makonda Mungu akulinde nahao wabaya wako chapa kazi
Mbaya Ni yeye makonda ungekuwa unaenda kutajwa hadharani ungefurahia Bora ungetumia njia nyingine Kama una akili
Makonda nakukubali Ninja wetu wa DSM 💯🇹🇿
Jinsi ulivyofikisha ujumbe haikuwa nzuri
Sana mkuu wa mkoa mi nimekupata sana upo vzr sana swala la kikazi nakupongeza
Mh makonda upo sahihi kwani watanzania wengi angeambukia corona ni kweli watu wengi hawana uelewa wa covid 19. Tunashukuru kwa hilo mh makonda.
Sasa mnaopinga kumshutumu makonda je uyo mtoto wa mbowe sio mgonjwa au kwa vile kamtaja makonda wacheni chuki binafsi mbona alikuwa anauguzwa ndani baadae ndio ametolewa baada ya kutajwa
Makonda uwaziri unakungoja piga kazi baba
Mbna ummy hataji majina ya wagonjwa?
Jukumu gani hilo lakumuanika m2 aradhani hacha masifa piga kazi apunguze kiherehere😂😂😂
Yuko sahihi makonda fahamu hilo
Nakubali kazi yako RC
Hahahaaa "nimewaokoeni acheni ujanja ujanja" safi sana mkuu.
Wa kwanza ku comment leo, nipeni like zenu.
Makonda nimekupata km NI kweli usemayo
Like zitakusaidia nini?
Makonda anaona mbali Sana
Acha ujinga ww
😂😂🤣kuna ni wajinga sana dah
Big up kwa hili
uko sawa makonda
Makonda yupo sawa sana sasa huyu wa mbowe alikaa ndani half akamfichua sion kam kuna tatizo ila kama angekuwa ameenda karantin half kamtj sasa hapo tungesem makonda ana shida!!!!!
Kelpeace Da senior mbn ummy hataji majina ya wagonjwa?
Mheshimiwa waziri usiri wa mgonjwa na Dk sio kwa Ugonjwa huu wa Corona
Kote tuko Sawa ila sio kwahilo
Uwazi na Ukweli ndio tiba
Juz kwel watu waliponda xana lkn ni ufaham tu ndio mdogo, kwel mh mkonda some time anazinguw lkn ktk hili nampa hongera kwa huzijuw kayaokoa maisha wa watu wangap katka mzuko huo.
Daah makonda uko sawa sanaaaaa
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Makonda ulikuwa sawa,
Ila ulikosea kuvuka mipaka. Ulipaswa kufikisha taarifa ngaz za juu.
Maana utaratibu ulisha tolewa.
wee fund sana makonda big up bro
Kabisaaa
Makonda juu
Mhe. RC kama mbowe alikuwa na mgonjwa nyumbani ungetumia njia nyingine kumfikishia ujumbe. Siyo kuzunguka ukimsema hadharani.
Hata Marekani Watu wanafanya Self Quarantine Labda awe amezidiwa. Pumbavu Huyu Millard anauza Utu Mpaka Matako zake!
Achen kuficha ficha ndio maana maambukiz yana zidi 'coz kama mbowe kachanganyika na wa2 hiyo c atar lakn makonda alivyo itaja familia ya mbowe nan asie na akir una fikir ata mkaribia mbowe
Uko sawa mkuu
Sasa hapo tatizo nn jamani ukimwi mfichi na corona kwani mtu umeupata makusudi watu mnakosa uelewa hapa inavyoonekana watu wakiwaona ndugu zao na dalil za corona watawaficha mm naona bora tu kusema hakuna siri hapo huu si ukimwi jamani
Kama alipewa Taarifa ya Mtoto wa Mbowe Kuwa Mgojwa akiwa Kama Nani? Mkunga au Daktari? Na kama alikuwa na Nia Njema Kwanini Taarifa Hizo asimpe waziri wa Afya? Millard Ayo wewe Malaya Utakuja Kushitakiwa Utozwe Fine Uuze Vijikamera Uchwara Hivyo, Mpaka Vichupi Ndio Utajua Kutumiwa Kuna Mipaka, Acha Kutumika.
Makonda katowa Siri ili watu wafahamu
Thus why ur a regional commission, that's fact bro Makonda , Hawa jamaaa sometimes wanajifanya hamnazo Kila kitu wanapinga , jamani tuuache kujifanya mavimpire., Hacha watukane mwisho wa siku mwenye macho , hata dar siku full adabu , hakuna Yale Mambo yazamani, ya Mimi nani..., Piga kazi confidence man.
Ndugu yangu sijajua uelewa wako juu ya Sheria maadiri na utu na taratibu zinazoendesha mambo yetu ya kila sku km taifa. Km ungekuwa unajua ,hakika usingempongeza huyu mdudu.
Kifupi ni kwamba hata wazuri mwenye dhamana kamshushua kusomi na kumzodoa.
Kifupi huo unaoutetea sio uchapa kz. Haupo ktk vitabu vyovyote vile vya mafundisho ya uchapa kz..
Kuchapa kz kunakoshushia watu heshima utu na kutoa Siri za watu kwenye majukwaa ni ushambenga na utoto km utoto mwingine.
Labda nikwambie kitu ambacho alipaswa kufanya1alipaswa kuwasiliana na wazuri au wahusika wa sfya ambao wangeweza kwenda alipo mtoto na kufanya taratibu zote za kimamlaka kumweka karantinii.
Kwamfano , kulikuwa na urazima gani wa kuhusisha mtoto wa mbowe na siasa za chadema.hv huyu mtu anawezaje kuwahadaa a Kili kiasi hk
Wewe msenge sana Makonda huna lolote
Makonda kama kaongea ukwel hivi
uko vizuri makonda
Kumlinda mgonjwa so kumdhalilisha,halafu haifai kuleta siasa kwenye ugonjwa.
Attu Nelson kwann ummy hataji mjina ya wagonjwa?
Emmanuel moshi,taratibu za wizara ya afya haziruhusu lazima tuzingatie taratibu na miongozo,ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na tabibu,kwa mfano daktari akamtangazia mgonjwa kua anaumwa ugonjwa fulani kisha mgonjwa huyo akamshtaki Daktar akiwa na ushahidi Daktar anakua na kesi ya kujibu coz kakiuka maadili ya kazi yake,
Emmanuel moshi,taratibu za wizara ya afya haziruhusu lazima tuzingatie taratibu na miongozo,ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na tabibu,kwa mfano daktari akamtangazia mgonjwa kua anaumwa ugonjwa fulani kisha mgonjwa huyo akamshtaki Daktar akiwa na ushahidi Daktar anakua na kesi ya kujibu coz kakiuka maadili ya kazi yake,
Sijui kama neno la ipo siku linatimiaga,likitimia ndipo tutajua ukweli watu
Jpm akitoka hiki kiburi cha madaraka kitakwisha.
Makonda uko sahihi sana
Makonda acha kutuletea siasa,sisi tumesoma udaktar more than five years tunaelewa taratibu zetu za Kaz huwez kuropoka kama ulivyomtaja mtoto wa Mbowe.. that's why Mr President akachagua watu Makini wa kuzungumzia swala hili la covid 19 tena Makonda usituchanganye kabisa kwenye professional yetu tuache
WATANZANIA TUBADILIKE KILA WAKATI MNAMSHAMBULIA MAKONDA HATA AKIFANYA JEMA. HIZO SABABU ALIZOTOA NI ZA MSINGI SANA.MAKONDA PIGA KAZI TUNAKUELEWA.
Mkuuu upo sawa kabisaaaa
Makonda upo sawaaaaa
Big upo
Ipo hivi... Taarifa juu ya Afya ya mgonjwa itabaki kuwa siri yake mgonjwa tu na Si vinginevyo na hamna mtu anaruhisiwa kutoa taarifa juu ya Afya ya mgonjwa isipokua akiruhusu mwenyewe iwe hvyo.
LAKINI narudia tena lakini.. Taarifa juu ya Afya inaweza kutangazwa kwa public hata bila idhini yake mgonjwa endapo Lengo la kutangaza ni njema kwa afya na usalama wa Jamii. Kwa maana ya kwamba kama afya ya mgonjwa itaendelea kufichwa eti sababu mgonjwa hayupo tyr ijulikane Bas itaenda kuleta madhara makubwa kwa Jamii. Kwahyo hamna maana ya kuufanya siri taarifa ya mgonjwa Kama itakua na impact mbaya kwa afya ya Jamii.
Kwahyo makonda yupo sahihi.
0712058189
Siri ya nn acha zako
Malizia kusoma mwehu wewe
@@sireagle1786 inama zen jichungulie uta muona mwehu
Haukuwa na kosa Mheshimiwa uko sahihi.
Ndo ataje mtu acha mkumbo
Kam ni wajibu wak kwann asiend na timu yak kimya kimya na kumpeleka qarantene had atangaze siyo vzur jmn tusfate mkumbo
ila hakutakiwa kutaja jina,kaenda kinyumbe ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
Maongez yako na nia yako kwa sasa haikua sawa sawa mwanzo ulikua lengo lako ni jengine na saiz ndio wajiosha
Wewe umejuaje?
Waziri yupo sahihi makonda bhana sijui ana tatizo gani akaombewe ana pepo la kuropoka !
Upo sahihi muheshimiwa mkuu wa mkoa wa dsm.
Upo smart Sana Kaka.
Mm huwa namuelewa Sana Kaka.
KAMA MLIKUWA NA UHAKIKA MLITAKIWA KUMFATA.
KUTAJA MTU KWENYE MEDIA NI KUVUNJA TARATIBU ZA MAADILI
Makonda anaona mbali sanaaaaaaaa
Inshallah tujipange October katika uchaguzi huenda tukapata viongozi wenye mtazamo mpya
True
Makonda kasema ukweli ubaya upo wapi? Wakati kuna mbwa mwitu walimzushia rais wetu magonjwa hews.
Juzi ametoka kuongea kua mkoa wake Kuna much know wengi sana alisema yeye mwenyew kwa mdomo wake kua anaeruhusiwa kutangaza wagonjwa ni wazir mkuu,wazir wa afya na rais tu Sasa yeye ninan ....naomba nijibu tafadhar
@@zyelezyeleboy9757 tatizo domo lina matege
@@zyelezyeleboy9757 yy ni mkuu wa mkoa na mwenye kiti wa kamati ya ulinzi na usalama, pia anaweza kuwajibika Kama mkoa wake haufanyi vzr katika Mambo mbali mbali
Wel say mkuu safi sanaa
huyu jamaa ajawahi kukubali kosa
Yuko sahihi mkuu wa mkoa fatilieni ameongea ukweli mkubwa sana
Yuko poa sana
Angewaacha wafe tu watu wengine Viburi unawaacha akifa mmoja watajifunza , unaficha kwani ukimwi uwo
Huyu jamaa ni mjinga tu sanaaa
Makonda kajibu vizuri sana ...big up RC
Upo sahihi kaka, tusamehe wanadamu hatuishiwi maneno
Makonda nakuelewaga sana ,chapa kaz mm Niko mbali na huo mkoa lakin nakukubal baraaaa
Good Makonda
Kuna msemo usemao "fikiri kabla ya kutenda" kiongozi anabeba dhamana ya watu hapaswi kupayuka,sasa huyu bwana anakoelekea ni kubaya mno .
MITHALI 22:3 Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa
Eeeee MUNGU 🤲🤲🤲🤲Tafadhali jibu maombi yangu mpige kofi moja huyu jeuri mtu moja ntakuomba MUNGU ili akumbuke kuna MUNGU.
kweli bhana umeongea Hapo ukweli
Wewe ulicho ongea mwanza sicho ume jisuuza haukuwa sawa lakini Leo umeongea Na wewe achana Na afya kuzungumza kuhusu afya ni um mwalimu Na uongozi wake Na siyo weww unayumba makonda