MIMI NA DAVIDO NI FAMILIA, NAHESHIMU MCHANGO WAKE| SASA HIVI NAFANYA SHOW KWENYE UWANJA SIYO KLABU
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Uyu Dada yupo vizuri kimaswali hongera sana dada mwandishi
Professional kabisa
Yeah 💯%🤝
That lady from Rick media she is very smart and confidence
She deserves that award of course
Wasafi mchukue huyo demu yupo smart sana
Smart kwan lazma wawe wasafi tu mkuu? ila yupo smart saana japo kitu kizuri kisambaze usikikusanye sehem moja
Sahihi
Kwsbb kauliza swali?
Hahaha aaaaassas
Huyu mdada yuko professional on her job
Mungu akubariki zaidi bro tz Ina watu baadhi hawapendi mafanikio ya mtu mwingine lakini wewe naamini uko perfect
Platinum is talking the best artist ever❤
Huyo mwandishi smart sana maswal yake konk san
This lady askes very mature questions please wasafi give her a chance 🇺🇬🇺🇬
Hapo kwenye sheikh sasa😂😂😂😂nipeni like zangu
uyU Mdada Yuko very Smart kweny Maswali 💯🎙️📺🎬 #AJEUSAFINI
NAKUBAR SANA BRO🙌🙌🙌🙌🙌💯
Smart one🎉
Mond unasubili nini kumuchukuwa uyo dada mbona it's very smart
Mondi upo vizuri sana kaka ila naimani ipo siku nita kuja apo wasafi
VISIT???
Huy Dada wawp Kwan mbna Yuko good Sana
LUKUGA THE BRAIN🧠 😇🙌🙌
Sikupingi diamond for real unazungumza fact, 👏👏👏👏
Very cutest question
brother diamond platnumz ongera sana
Hiyo nikweli kabisa ❤❤❤
Jamaa linajibu maswali kiakili nyingi mno! Sema tutafuteni hela vijana imagine Mond nowadays! Watu wapo hapo kwa sababu yake. 😅
Rick media wanafki sana kila ck wanamchambua vibaya diamond leo wapo tena na huku duh hatari
Huyu dada yuko vizur sana✅
💯%🤝
Huyu dada sauti ya Salama Ecejay.👏🏽
Dada yuko vizuri sanaa
Ukweli wanaunga mkono ndugu zao kwanza
😂😂😂Mziki wa Afrika kusini Dunian bado kwa Nigeria its just Amapiano hits for a while
Super ✨✨✨
King DIAMOND ❤❤❤❤
Simba ni wetu ❤❤❤
Simba baba uyoo mwanadada mchukueni yupo vzr Sana anagusa maswal yakee,,🔥🔥🔥
Mungu akubariki boss❤❤❤
Yup vizuri
Diamond wamoto sana katika kupangu maswali namajibu anani ananingia kwene akili ako nakujua nini unataka kuuliza ili usiulize tena 🔥🔥🔥
That's good
He was right, angalieni Komasava
Anajua sana
Dogo ana akili sana huyu
APPRECIATE
Fact my boss 🙌 😅
sana mziki unatak kujianda bil.kujianda utoboi maan yule ashake ametoboa Kwa malengo kitu Chochot kinatakiwnmalengo
💯%🤝
Hongera simba la masimba❤❤❤
SIMBA AKILI MINGI
Sure everything is about plan
Salute dangote
Nakubar Simba
Unajua sana Mond
Ushakh umevamiwa sikuizi kila mtu Ni shakh
😂😂😂😂 kwani Africa siyooo dunianiii ?😂😂😂
Ukweli kaka
How can I access the entire interview?
Mondi shikamoo wewe tanzania one by hassan velis 2030 naowa kaka uje kutumbuiza mimi nakukubal kaka masasi wanajua na mungu anajua nakukubal
Mwambino big up
Baba lau🎉
Ndo uwende saiz 😅😅😅
Huyo dada yopo safi
Kwenye music wa bongo flavour Diamond aheshimiwe amefanikiwa kiasi kikubwa kulitangaza taifa
wambeya sana hao mapaparazi na leo tena wapo na hao ndio wanamsema vbay😮
Huyu Dem Yuko poa Sana mjomba
Broo,,sie waswahili tuna hold vitu ambayo vnaathir sana progress and our growth Broo.Ila naappreciate sana your too positive that's why your maintaining your status.For that kind of big brain no body will kick on top Broo
Nilikua na swali moja tu kwanini diamond platnumz ahendi faaa show kali kama ma star wengine kujaza uwanja ukubwa kama wamina naijeria 😢😢😢 bro ujikaze basi mwakaa huuu tushushe nasisi grammy kwetu
Bado sana
HHHH🏃🏃 HHHHH
Kila mtu ana ufalme wake kwa show za ndani afrika hakuna anaemfikia diamond
💪
Huyu Dada Ana Kitu jamani
Mond uko vizur sana
Diamond ningipenda siku moja utowe ngoma na wiz khalifa
Anajua ni jinsi gani ya kuongea kwenye media bila kumdisi mtu
Point m2puuu
Uyu dada wa rick media..kiboko. @Diamond mpe kazi @Wasafi media
Owa kaka dah hua unaongea ukweli2 hata sijui kwanin hua wanakunafikia bro
Diamond ni supa
Diamond taking too long to answer just the first question 😢😢uswahili mwingi 💀
Ile kofia iloibiwa au siyo
hauna baya kaka harmoneze bila ww simba bado hajawa harmoneze kunamengi bado anahitaji kutoka kwako mzee wake tembo
Mnaosema ana Akili wote Akili zenu zimejaaa wingu la kutafakari
good boy
Nenda kwa pididy utatoka
Swali langu ni hili huyo mwana mama anafanya nini karibu yako bila kufanya lolote?
Ilo so swali
.
Anampa kampani 😅
😂😂😂😂nimecheka adi nimeliaaa hadi daaaaaaaaah yani ulivyo ulizaa Kwa upolee
😂😂 dah
Hahahahaha 😂 jaman ebu tumuulize
Simba kbali
Uwakika kaka
Simba dangotee
Nchi ngap Afrika kapiga show ???
Zote 54
We pimb xikia Simba in Africa anawajambsha hata hao#narudia kwa show za Africa he is giant of all the time..kuhs nch ngap Takp 3 nasyo za East zingne hangaika naz kujua kenge wee.no1 iverycost, no2 Cameron,no3equtorial guene bisau.nacyo club kweny viwanj nawatu wakaitk...fatilia izo ich past show zake utakuja nixhukulu kuhusu east Hana mpnzan kauwa kote pls Congolese ndo useme
Haziesabiki
Nyingi sana
Viramba
@diamondplatnumz anaongeaga fact sana jamaa
Jamaa anaongea smart Sana na anaujua music ndo maana anafanikiwa
Yup vizuri