SIKUTAKA KUSHIRIKI KWENYE TUZO ZA NDANI KWASABABU HAZIKUWA KWENYE MISINGI YA HAKI, WANAONEANA HURUMA
Вставка
- Опубліковано 10 кві 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Diamond Platnumz ni Brand kubwa... Heshima kwake SIMBA 🙏👍🇹🇿
Ninachompendea SIMBA hanaga no comment kwenye interviews zake safi sana broo
Diamond we ni mfalme wa muziki wetu wa bongo una mpinzani🔥🦁🙌
Mwamba huyu apa
❤
Diamond platnumz unaongea point tupo naomba ufungue kitua au darasa kuwafundisha wasanii wengine hizo mbinu za kutoboa kwenye kila jambo kuna research,strategies
Dah umetema cheche zilizo pita umuri wako hongera sana simba
Yoo bro Simba zilipendwa you are best
Mzee wa busara love ❤you mond ❤❤ from DRCCONGO🇨🇩
Mondi wetu from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuna kupenda
This is Lion 🦁 of Africa 🌍🎉 from Mozambique 🇲🇿❤
Nakupa maua yako bado upo hai🎉🎉🎉🎉
Diamond hakun kam ww na mm nataman kuw kam ww 💯💯💯
Kweli mondi kwenye suala la tuzo Kuna figisu sana
😂😂😂 huyu Mwamba ana Akili saana kwenye muziki huu nimegundua alivoeleza kwenye collabo za Drcongo daah❤🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Diamond umewachana vzr sana umewachana sanaaaaa
Tuzo ni biashara za watu diamond bora ulivyoachana nazo ila ile shuu ni kalii mnooooo hapa bongo sijaona nyimbo ya kusumbua shuu
Oyaaaaaa😅😅😂😂 kwa kamati hapo nmeeelew,,hata mmi niliwagomea mamae
Huyu ndie simba sasa,acha yule mwengine aliye pigwa makofi na waha😂😂 platnumz
Simba umeongea vyema utekelezaji unatakiwa juu ya ushirikiano wa wasani wa home
Mheshimiwa Damasi Ndumbaro ni waziri wa sanaa,, michezo na utamaduni sio habri habri ni mheshimiwa Nappe mosese nhauye naomba kuwasilisha mkuu.
😊noooma
MONDI, KAKA UKO SAWA SANA WW NI MKWELI HUNA FINTINA, WW NA MWAKINYO MKO SAWA HONGERENI
Nice one diamond platnumz.
good
Kama umesikia kwangwaru akiitaja Simba gonga
Bonge la msanii anajitambua
Jamani ndo kusema Simba amekua kwa Kila kitu au..,Maana anawajibu kiakili sana skuhizi Hawa wauliza maswali ya kichochezi
Havikuhusu
Jamaa ana penya congo
👌
Congo ilikuwa katika inchi ambazo zilikuwa na mziki mkubwa dunia ilikuwa kabisa hiyo ni ukweli kaka🙏🏽
💯%🤝
😂😂😂sema baba angu fct🙌
Vraiment 🇨🇩
Fact
Kuna kwangwaru. Waambie simba Waambie
Mwamba umewakomesha wauliza maswali ya kijinga
Hakuna swali la kijinga brother kila swali lina jibu lake
Fanya kazi acha ma comment za vilema
kabisa yan
❤❤❤ simbaaaaaaa
Siiimba 1
Huyu ndo simba ogooopa
True
✊
Master mind
Et kha
Umeongea vzr Tanzania kugumu ata wachezaji wa ndani najua wanakutana na mambo mengi sanaaa
Mwomba anaonekana alikaziwa sana kwenye masuala ya rushwa
Na Wana ile ngoja tugawe kdogo kdogo wote wapate
Shehe😂
Shehe 😅
Unaongea point sana simba
Umri huu Mimi kha!😂😂😂
😂
Akiri ming simba
Akiri mingi au Akili mingi?
Jinga kabisa unaandika kiswahili cha kiluga chenu
😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna lolote kazi majigambo tu ila hana jpya tena abaki tu kusaidia wengne aachane na mziki kwa sasa
Hujui kitu kima wewe
Acha makasiriko na chuki utakuwa mchawi ufanani nae mondi
Nikwel sifanan nae pia hata ww ni km mm tu huna lolote
Kweli mondi kwenye suala la tuzo Kuna figisu sana