JENIPHER KANUMBA AFUMANIWA, AIBU KWA WAIGIZAJI
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- #Soudybrown #mwijaku
Soudy Brown UA-cam ni Nyumbani kwa Rais wa Wambea Na Popular Radio and Tv Personality “Soudy Brown” Kazi yangu ni moja tu kukupa kukuletea kila kinachoendelea kwa undani
Kama kuna Tukio umelishuhudia Mtaani au Mtandaoni na ungependa mimi na Team yangu Tulichimbe kwa Undani usisite kucheki nasi kupitia Namba ya simu +255 714 108 600 Email: makorokochostudio1@gmail.com
Je Unataka Kuona Zaidi Vipindi Vyetu? SUBSCRIBE @soudybrown
Please LIKE + SHARE with all your friends + loved ones
Soudy Brown
Whatsapp: +255 714 108 600
Instagram: / soudybrown
Facebook: / soudybrowntanzania
Twitter: / soudybrown
Tiktok: www.tiktok.com...
Nice drama, Jennifer mtoto mkali 🔥🔥🔥👊
Kwan akiwa mdg haipit
Yaan huyu mwijaku aisee anabuni vitu vya ajabu sana,ukiangalia tu yaan hikikitu hakiwezekani....Pole sana Mwijaku
mwijaku huo ujinga kuvamia watu style hii kenya warandwa vizuri sana
Aisee Leo mwijaku umenifrahisha,wamezoea kutupa habari za uongo ila Leo umenifrahisha sana hongera kwa fumanizi,ila tafuta baunsa hii kazi yako kupigwa nikufikia
Dah..nakukubali ndugu yangu..wewe ni big journalist..big up..wewe bigwa..nimekupenda sana kwa upelelezi
Duuuuuuu jenifa aibu iyo
Mmetisha wazee wa mbanga na masauti intetaiment mwijaku hii kazi inakufaa sana.
Mwijaku we Kasiri hakiii!!! Leo nimekupa salut 🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Hakuna lolote
Mwijaku kazi yko yataka ngumu kumeza yaan daaah ila hongera unapambana,ila aibu kwa jeni na masauti
Aamin aiseee......Still Jamaa anapambana Sana Juu ya kuwapambania Madada Zetu Wasipotee Etiii.....Ilhali Baadhi ya watu wamekuwa wakimsema yakuwa Jamaa Sio kitu (Mwijaku) Anapambania Sana na kusimamia katika Ukweli
Mwijaku nilikuw nakuponda ishu za utimu Sasa apo nimekuvulia kofia👏
Mwinjaku ongera make hata magufuli alifanya kazi kwa sem yake japo wegi walisema afahii ila kuna usemi tuna kumbuka mpaka leoo kuwa mtanikumbuka kwa mema soo kwa mabay kaza panapo kazwa mwinjaku 🔥🔥💪💪
share ua-cam.com/video/7gdlie51dC0/v-deo.html
Acha ufala umbea sio ivyo unamzalilisha Jennifer bure. Mwone bichwa lako
Mu mshukuru mwijaku nilikua siwajui kabisa true nimesikia leo kua kunawatu wanaitwa masaut
Duh,Masauti ana kifua cha kuvumilia,ningekuwa Mimi ninainshu zangu,wangekuja kututoa police maana Mwijagu angekula vichwa vya kutosha Fara Sana huyo
Kiukweli hata mm ningemuumiza huyu fala
Si wamepanga, bila kupangwa hiyo inshu unafikiri nani angekubali huo ujinga..!
@@ismailmasoud6001 yeah wamepanga hiyo
Kajitaidi sanaaaa
We sunaona kama ni mipango wamepanga ama hujaona??
Mwijaku Muha mwezangu Nakupa pole kwa kazi ngumu yani mda wowote unaweza chezea kipigo Duuuh
😂😂😂🤣🤣huyu mtangazaji jamani...amechagua Vayolens😂😂
Wewe nae mwanamke mmoja waume wa nne usiku wa manane unafanya nini nao oo mwaijaku mwaijaku kafanya NN 😚😚🇴🇲🇹🇿🇹🇿
Kuna watu watamtukana mwijaku lakini alichofanya mwijaku ni bonge la akili Mana kwa mwenye akili ataelewa ila kama mtu hana akili ata mchukia mwijaku
Kweli kabisa
Me pia namuelewa
Nikwel Aisee.....Keep it up That Nice Job
Umewaza sanaaaaa....like you
Kweli kabisa kaz nzuri lakini mbona wadaganya huyo sio Jennifer ni actor wa kanumba
kumbe leo nimeona msantula akiwa serious😅😅endelea kaka love you from kenya
Nimependa action hii kamaa haikupangwa .....mmeikolaiz situation vixur maana hamkupaniki na mkarilax na mkainjoi .....aisee gud
Leo nimekupenda bule mwijaku .kumbe nimtata ivi
Masantura kapatikana Leo😊😊😀😀😀kumbe siyo dalali wa zunde tu
😂😂😂😂 uwiiiii mbavu zanguuu
😂😂😂 mwijakuuuu 😂😂 we atr baba 🙌🏽💔
Mwijaku msenge sana yaani hahahahah dah! 😂😂🤣
Hii kazi ya umbea sio kazi. Mwijaku maisha yako yapo hatarini. Utakuja kupigwa. Na huyo Jennifer sio mtt. Wewe muongo saana wewe. Eti ushavunja ungo?? Mwanaume mzima anauliza mwaswali ya kifala.
Ukweli Video Hi Nimeipenda Sana Awa Wanaojiita Wasanii Wenye Miziki Ya Kuiga Sauzi Kupoteza Miziki Yetu Ya Tanzania Kudadeki Zao Awana Mana Malaya Mmbwa Hao Wanaalibu Vizazi Vya Nchi Yetu Kwanza Wanausika Kupoteza Nyimbo Za Kitanzania Wanapiga Manyanga Kama Waganga Majitu Mazima Ovo Kabisa Kenyatta Anasema Kweli Watu Wa Ivo Awana Mana Uyo Mwenye Madevu Kubwa Zima Ovo
Ungekuwa ivo ata kwa wtu wengine so kwa wasaniii to Fanya ivyo ata kwa watu wasokuwa na pesa so kwa wenyr pesa maana ata wtot wengine wanapitia changa MTO iyo tena wadog at jen uyo mkubwa Fanya ivy kisha utakuwa best swadi watanzania sawa
Mwijakuuuuuuuuu nakbali sanaaaaa
Mwijaku 😂😂😂 Mimi ulivyosema Jenipher anakilanga mie hoi huku 😂😂😂🤣
Kama kunamtu kagundua kitu kama mimi tujuane ii imetengenezwa iv kwer ata wenye hoter wamuache mwijaku awazaririshe wateja et ao mabamsa wangemuacha sarama
Me naimba natumia jina diga boy tz please please naombo surpot UA-cam nyimbo zangu Kama Raha ❤na penz linawaka
Mwijaku we fundi Sana wa interview
Kik hizo, interview imehandaliwa hiyo mwijaku usituhongopee bro.
Ila imenoga sana
Umenena
Weeeeeee...kazi ipo....
Kama mnafikir mwijaku nimmbeya shauli yenu,,,,,hizi issue wanapangaga hawa
😅😅😅 Mwijaku salute kwako
Mwijaku ana kazi ngumu sana pole sana ila kupigwa na kuumizwa ni jambo la kawaida kwako
😂😂😂😂😂😂😂
masai naye fara tu
@@hamiduhamisi2371 😂mwijaku atamfuzisha kaz
Angel Nyigu🤭🤭🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤫🤫🤔💀💀💀💀💀😣💀💀💀💀💀💀👌👌👏👏👏💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🙆🙆🙆♂🙆♀💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁🤦🤦🤦♂🤦♂🤦♀🤷🤷♂🚀🚀🔒❌❌❌🔴🔴❌❌❌❌💥💥💥💥
Angel Nyigu🤭🤭🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤫🤫🤔💀💀💀💀💀😣💀💀💀💀💀💀👌👌👏👏👏💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🙆🙆🙆♂🙆♀💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁🤦🤦🤦♂🤦♂🤦♀🤷🤷♂🚀🚀🔒❌❌❌🔴🔴❌❌❌❌💥💥💥💥
Fanya kazi kakaangu ila usiharibu sifa zawenzako
Fact
Ila Mwijaku ni kichwa saana daaah hiyo kazi mimi hata bure sifanyi
Nakubali kazi yako kaka
Hahaha appreciate saana mwijaku
Umbeya wa kugombanisha mke na mume sio mzuri ww ni mwanamme sio powa.
Kwahyo na wewe unamcheat mwenzako
@belthon ishi na kuwa na ufikilio wa kisomi hapo walipo hawa cheat....
@@belthonkakuru2666 Unafahamu vitu kama hivi vinaweza sababisha maafa ndani ya nyumba za watu.
@@belthonkakuru2666 itakua hivyo
Sio kweli ni maigizo hayo, kipindi Kipo scripted hicho kutengeneza fanbase kwenye jamii 😂.
Umbea sku hizi na wanaume na midevu yote washajipachika uanawake kupga umbea mtaani,,,,,,htr sana na kila la kheri
😆😆
Thanks for the true🤝
share ua-cam.com/video/7gdlie51dC0/v-deo.html
Oyaaa mwijaku hatari Sana ❤️
Kunakazi zingine ni hatari sana kama hii ya mwijaku ipo siku atapgika vibaya
Mnaongopewa hiyo issue imepangwa,wanataka KK hakunaga kitu kama hiyo🏃🏃
@@juniorsmart2483 kweliHatamiminimeonasiyokweli
Sheria ndo inamlinda
Scripted hiyo kupata mashabiki kwenye jamii 😂.
Uyu hakuje Kenya hatajuwa hajui🤣🤣
Mwijaku na Masai leo mmepatikana Duuh nomaa
Sasa yawausu nn maisha ya mtu jameni mtakondeshwa kwa kweli
Pia sio vizuri kuonesha namba ya gari ya mtu hadharani hii haiko Sawa kiusalama
Tanzania badala ya kupromote kazi zetu tunakaa kufanya mambo haya kweli 😭🙌🏾
Qqqqqqq
Angel Nyigu🤭🤭🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤫🤫🤔💀💀💀💀💀😣💀💀💀💀💀💀👌👌👏👏👏💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🙆🙆🙆♂🙆♀💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁🤦🤦🤦♂🤦♂🤦♀🤷🤷♂🚀🚀🔒❌❌❌🔴🔴❌❌❌❌💥
Mwijaku mjinga sana anspenda sifa sana kuzua mambo ya maajabu
Ila maisha yabongo yanatisha bora tubaki mikoani.
Ivi ivyo sheria ya wapi mbona ichi zingine ayo mambo ya kipumbavu ayapo na iyo ni hotel kubwa sana
Masantula nakuon 😂😂😂😂😂💞
😂😂😂ipo siku watakukuteka we mwijaku alafu na we unamtamani Mbona umemvuta kucheza naye tafuta pesa acha umbea
Sema dada mukari she so pretty 😍
Ana uzur gan we nae, macho yako kayatoe lenzi
Ana uzur gan we nae, macho yako kayatoe lenzi
Sjui rangi tu et ndo uzuri kweli????? Najarib kuzooom lakin sion
Les Tanzanie vous êtes très intéressée kiekie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeipenda hiyo
Hahaha huyo Masai nahisi mpaka sasa hana kibarua hahaa
Ila Kama sio kk mwijak nae amempenda Jennifer maana anavyomshika kiuno halaf anasema mtoto mdg Sasa mtoto mdg ndo anashikwa kiuno hvo mpuuz tu Ila Jenifer ndo kazalilika sana
Kwanza mwijaku shukulu umekutana na walembo hawo ila usije jichanganya kwa kila mtu kama hivi utaumia kaka
nimemchukia this man instantly walai 😤😤
🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀 Mungu anipe kipaji Cha mwijaku
hii kazi mwijaku aikufai ipo siku utachakaa the way unavyo uliza maswali unamfanya mtu apanic
😂😂😂mwijaku umenifurahisha sana ulivyowaambia hao walinz et umekuja kula😅😅
Ila ww utakuja kukomeshwa siku 1. Ya nini kufatilia maisha ya watu. Ww mkeo unajua alipo mda unapokua kwenye umbea???
Hapo sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watanzania mnapenda umbeya😜😜we umekosa tu kuma
Hi ndio poa wanawake wajuwe waume zao tabia zao loyalty test tz
Mzee baba wachane kupingwa ni kawaida tu😂😂😂😂😂😂
Mwijaku: Mimi nilivyokuwa mnaafeeq😅.
Qur-an: Hakika wanaafiq watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hawtompata yeyote wa kuwanusuru.
Mtoto moto wengine wanapata pesa
Acha kelele
😅😅😅😅😅😅😅😅💔
hahahahahahahahaah
Naaam swadkt
Mbona kazi hii ni ngumu hivi
Huyu jamaa fala sanaa
Daa Mwijaku unachokifanya wala hakipendezi kabisaaaaa
Masantula 😂😂😂🔥🔥🔥🔥
😁😁Mwijaku we noma asee yan kipondo hukiogopi🤣, ila hongera bro kwa mazuri uliyomshauri Jenny🤝🏾.
11:35 KWANI wee umetokea wapi.....yaani hapa tunaenda NENO-KWA-NENO
Na kubali broo mwijaku
Huyu ndio yule bikira😂😂😂😂
Yéyé nibikira
Ila Jenifer mzuri anajua kudeka wow
😃😃😁😁😁😁😁😁 mi nimekuja kula, hii nchi ina serikali ukinipigaaaaa
Fresh
Kwa akili tu ya niliyozaliwa nayo hawa jamaaa wameitana pale kuitangaza tu hiyooo nyimbo yaooo we baunza anamzuia mwijaku wanasema muchie aje
V
Bhrjrjj
Mwijaku we noumaaaa kweli
hawa jamaa wanapanga mchongo mzima ndo maana hata masauti alipo muona mwijaku akamuita kwahiyo hapo hakuna uwasilia wowote
Mm kiukweli mwijaku simpendiii mpk naomba tobaaa 😂😂😂
Mimi naona Kama masauti alieleana na mwijaku Ili aoneshe kwamba yupo Jenifer
True
Kweli kabisa
Naam kusaka pesa huko na mwijaku kwa mikiki ndio sehem yake sasa
Dah kwl
Very True......she need to be very smart/careful...some of these character developers will take her kindness for weakness....innocent girl she doesn't know they just played her......they want to shine on her name😢😞
Nyie wapuzi kweli 😂 😂😂😂😂
Daaaaaaa huyu hafai kwenye industry hiii kabisa ujingaaa 😭😭😭😭 unatia aibu kabisaaaaaaaaaa mwijaku mwijaku mwijaku daaaaaaa unaharibu industry hiii
Mwinjaku mmbeya hatari❤❤❤
Yani mwijako haogopi hata daah hatishiki kidume your so Smart
Smart 🤓 wa nyoko😏
Kwahili mwinjaku nimekusifu sana piga kazi awo mabaunza njaa tu
Ni moja ya aina ya watu wa kigoma..wasiogopa kabsa
Hajakutana na watu wanao jua haki yao...
@@andrewmaasinde8934 kichwan uko na shahaaaawa tu badala ya ubongo
@@belak999 wewe ndio uko hivyo kichwani
Msalimia masatula
Angel Nyigu🤭🤭🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤫🤫🤔💀💀💀💀💀😣💀💀💀💀💀💀👌👌👏👏👏💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🙆🙆🙆♂🙆♀💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁💁🤦🤦🤦♂🤦♂🤦♀🤷🤷♂🚀🚀🔒❌❌❌🔴🔴❌❌❌❌💥💥💥💥
Masantula nakupenda ivyo ulivyo mtizama umenimaliza
Hii Kiki imepangwa kabisa mpaka Masai kapangwa
Masantula bro zipoke salamu toka kanairo
Huyu jeniffer pia yupo huyu kinajifnya kipole usiku wote huo waranda usiku.
TENA HAO WAPOLE MMMMMH....SHIDAAAAAAA😂😂😂
Chawa kama chawa umetisha
Mwijaku anajihami na Serkali anaogopa kupigwa.
Mwenyew kalegea mpaka kuongea awezii na Savana🤣🤣🤣
Baunsaaa pigaa hiloo li mwambwamweee
Ndio kazi yake hapo mwenzake hayupo pangebana hapo
Kuna same time mwijaku anafurahisha jamani 😁😁😁😁