Ndaro ni mzuri kwenye kuwakilisha punch zake..ila anazo chache..ila Leonardo ana punch nyingi sana...ila ku deliver bado hayuko poa sana..ila Leonardo ni mkali zaidi..ana material mengi sana
WOTE WAMEFANYA VIZURI MNO, ila ingekua ni mtihani angefaulu LEONARDO ... ndaro alikua ana Point moja tu ya OMBAOMBA ila ameijaza nyama imekaa vizuri, ila Leonardo kaongelea vitu vingi sana vya kuhusu mkoa huo
The best roast was this because these guys are very talented and they were listening to each in order to get point eg.ndaro on Leonardo point about mirembe few minutes later he use that point to punish him
Wote wamefanya vizuri ila Leonardo ana contents nyingi na zote ni funny 😀, ndalo ame dili na content moja ya omba omba ila kaijazia imekaa poa! Are the best for sure ila Leonard salute kaka
Leonardo alikuwa na kazi rahisi coz watu wa Kigoma wana vituko vingi so kupata points nyingi ni rahisi, hata hivo kuna vingine kasahau kama ufupi, weusi n.k ila mkoa wa Dodoma kuuchambua ni ngumu coz umepewa hadhi sana na serikali, so ni rahisi kuusifia kuliko kuupondea😀
Leonardo Bado Ana Aibu Sana Jukwaani So Aongeze Confidence ... Ila Very Creative , Huyo Jamaa Wa Au Basi Anajiamini Sana Ndio Freestyle Zinakuja Kwa Urahisi.... Overall Hongereni Sana Mmejua Kunichekesha 😂
Mhhh Leonard Hana aibu Ana confidence Sana Tena Sana ukikutana nae live Yuko hvyohvyo Ila tu Ni mpole sio muongeaj Sana ndomn unamuona km hajiamin Ila very talented
@@mack_B. Watu Wa Sanaa Watakua Wamenielewa ...Aibu Sio Ya Kuangalia Camera Ndugu ,Kutawala Jukwaa Ni Kitu Muhimu Sana Kwenye Sanaa ...Kwenye Creativity NADHANI Nimesema Hapo
Aise maticha mkiona mastudent pale primary wanataniana msiwazingue, muwape support, si unaona ni ajira hii😅😅 ikiwezekana hata huko UMITASHUMTA waweke kipengele cha kutaniana🤣🤣🤣 . Ajira zipo, ila kuziweka kwenye system, kama wale wakorofi, hao ndiyo wanajeshi wenyewe sasa na mabodyguard huko wa wasanii😁😁 hii imekaaje wadau?
I wish ingekuwa kama rounds zingekuwa mbili mbili Cause mara nyingi huwa anayeanza huwa anakuwa roasted finally So ni vizuri kuwe na round mbili hata kama za dakika tatu tatu
Leonardo katawala mchezo mpaka dk 90 eeh 90+3 akatoa boko Ndaro akashinda 2-1 Ndaro ameua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leonard yuko vzr
Come back ya hatari😂
Wa kigoma tujuane😂😂😂😂
😂😂
Tupo🤝
Tupo
Ndaro katisha
Tupo
Leonard nampenda sana hana roho mbaya yaan punch za mwenzie anacheka hataki kujifanya hasikii kixhekesho
Hahaha
Mbona na nd ancheka guys
Mbn ndaro anacheka
Anashuka kwasababu hiy
Acha bias
Ndaro katembea na punch moja /mbili ya milembe na ombaomba but nado katisha...katembea na punch nyingi
Na mkubali sana Leonardo lakini Ndaro kauwa😅😅😅😆🔥
Yaan sema iv ndaro ni moto
Hit za LEONARD ZOTE KAPIGA UBISHI TUU 😂😂 SAFI SANAA
Ndaro ni mzuri kwenye kuwakilisha punch zake..ila anazo chache..ila Leonardo ana punch nyingi sana...ila ku deliver bado hayuko poa sana..ila Leonardo ni mkali zaidi..ana material mengi sana
Kwa hapo Leonardo ndo kauwa mana kaongelea points nyingi sn 🔥🙌👌
WOTE WAMEFANYA VIZURI MNO, ila ingekua ni mtihani angefaulu LEONARDO ... ndaro alikua ana Point moja tu ya OMBAOMBA ila ameijaza nyama imekaa vizuri, ila Leonardo kaongelea vitu vingi sana vya kuhusu mkoa huo
Leonard hajawh kosea ila ndaro leo kafanya poa
Daaaah mwana unachuk binafsii aisee
I think battle ya mikoa is the best, big up coy mzungu more creative man🔥
Ndaro and leonardo they on fire 🔥🔥🔥
*Ndaro and leonardo on fire
upande chuma upande shaba🔥🔥😂😂😂😂WOTE MMETISHA
Kituo Cha ombaomba daaa ndaro bhana 😂 mmetisha sana
Kiukweli adi sasahivi kwangu ngoma drooo mmetisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
eet kipa kalud kwao kongo vita imeisha🤣🤣👏👏
🤣🤣🤣🤣
Another kigoma vs mbeya will be🔥🔥
Leonardo is 🔥🔥
Leonard 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wote wameua 🤣sema ndaro kamaliza mchezo
Ndaro u kill the show 🤣🤣🤣
Ndaro and Leonardo is on fire🔥🔥🔥
Are
Best ni ya eliud and said said
these guyz are talented
Leonard is fire 🔥🔥🔥🔥
The best roast was this because these guys are very talented and they were listening to each in order to get point eg.ndaro on Leonardo point about mirembe few minutes later he use that point to punish him
9900090
Thanks for good talent
Ndoro na Leonard nikama comedy za mr been kwa mbali 😂😂😂😂😂😂🔥👌
Waooo meen this is very special I enjoyed a lot
Wote wamefanya vizuri ila Leonardo ana contents nyingi na zote ni funny 😀, ndalo ame dili na content moja ya omba omba ila kaijazia imekaa poa! Are the best for sure ila Leonard salute kaka
Leonardo alikuwa na kazi rahisi coz watu wa Kigoma wana vituko vingi so kupata points nyingi ni rahisi, hata hivo kuna vingine kasahau kama ufupi, weusi n.k
ila mkoa wa Dodoma kuuchambua ni ngumu coz umepewa hadhi sana na serikali, so ni rahisi kuusifia kuliko kuupondea😀
Mh
Leonardo ni Genius 😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa anii
Ahsante kwa ubunifu huu wa roastng koy
Ndaro nishida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Leonardo waha umetumaliza😅😅😅😅 but ndaro super b Sana 🤣🤣🤣🤣
asante ndaro umetuheshimisha wa kigoma hongera ndaroooo
leonaldo ameanza vibaya had nikawa naogopa
Ogopa sana kutangulizwa na gari la udongo, Yani Leonardo alianza vizuri ila Ndalo kaja kummaliza....
Umeona eeee
Ndalo is FIRE 🤣😂😂
For sure
Diamond na Baba Levo watauwa Leonardo 😂😂😂
hahahahaha...Ndarooooooooo
Uongo uongo uoooo😂😂😂😂😂😂😂
Daaah, ati jiskie upo nyumbani🤣🤣🤣🤣🤣
Ndalo is 🔥🔥😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥ameaanza kuomba mwingne 🙌🙌🙌
Ndaroooo big up Sana mkal
Wote wapo vizuri sana 😂😂 nawapa max
Ndaro tuheshimiane 😂
Ngoma dro irudiwe 😂😂😂
Ndaro umetisha blood
Ahahahahaaa...... Ziwa Tanganyika limegomea Muungano
So talented
Ndaro umeua jpo Reonard huwa ni noma thank's My country for security
Nakubali sanaa🔥🔥🔥
I love the way Leonard anakuwa serious 😂❤kichwa chini nn yn daah
Leonardo Bado Ana Aibu Sana Jukwaani So Aongeze Confidence ... Ila Very Creative , Huyo Jamaa Wa Au Basi Anajiamini Sana Ndio Freestyle Zinakuja Kwa Urahisi.... Overall Hongereni Sana Mmejua Kunichekesha 😂
Mhhh Leonard Hana aibu Ana confidence Sana Tena Sana ukikutana nae live Yuko hvyohvyo Ila tu Ni mpole sio muongeaj Sana ndomn unamuona km hajiamin Ila very talented
@@mack_B. Watu Wa Sanaa Watakua Wamenielewa ...Aibu Sio Ya Kuangalia Camera Ndugu ,Kutawala Jukwaa Ni Kitu Muhimu Sana Kwenye Sanaa ...Kwenye Creativity NADHANI Nimesema Hapo
Aise maticha mkiona mastudent pale primary wanataniana msiwazingue, muwape support, si unaona ni ajira hii😅😅 ikiwezekana hata huko UMITASHUMTA waweke kipengele cha kutaniana🤣🤣🤣 . Ajira zipo, ila kuziweka kwenye system, kama wale wakorofi, hao ndiyo wanajeshi wenyewe sasa na mabodyguard huko wa wasanii😁😁 hii imekaaje wadau?
😅😅😅 umewaza mbal sana
Binafsi ndaro kauaaa..!
Leonardo sio poa 😂
Show ya leo kali.Big up sn coy
You guys you are so amazing! You always made. My day you are so sweet ...all Cheka tu members❤❤❤💋
Big up Leonardo❤️❤️❤️❤️
Ndalo can have win ila Leornado is a stand up comedy genius😄😄😄 idea zake bhana daaahhh
Perfect battle😂🔥
Ndalooo homeboy you killed🔥🔥🔥🔥
Leonard kumbe mweu 🌚
Eti kigoma lazima utembee na dictionary ya french na English 🙄
hehehehehehehehehheehehehe
you made my night guys😃✊
all guys ur on fire🔥🔥 but ndaro u make may day
Kigoma ame tisha Sanaa mr ndaroo 🙌🙌🔥
Asante home boy Ndaloo👍😏🔥
Leonardo is fireeee
Nani kiongoz alisema Yesu ana mke😂😂hawajakosea kujenga milembe Dodoma🎉
Leonardo kanyooshwaaa
I wish ingekuwa kama rounds zingekuwa mbili mbili
Cause mara nyingi huwa anayeanza huwa anakuwa roasted finally
So ni vizuri kuwe na round mbili hata kama za dakika tatu tatu
Yeah umeongea la maana sana
Ndaro nouma "This is too much jokes don't dissappoint" iko poa sanaaa
Wanaangalia CHINI SANA. AIBU SI AIBU WHY ? WAWE NA CONFIDENCE. KAZI NZURI ila wanaangusha kwenye UJASIRI
Leornado made my night😂😂😂😂
Kwahyo wakaamua wamnyang'anye ndaro maiki😀
We n ligogo😄😄
@@moshirayheem8449 🤣🤣🤣🤣
PUNCH ZA KUTOSHA SANA 👊👊
Umetajwa mwanangu.. Upunguze MKITAMBI
Aza
Ndarooo🚀🚀🚀🚀🚀🚀
Yan wewe Leonard nakupenda sana Yan unatufurahisha sana❤
Da iwe hiv hiv jmn😂😂😥
Oi Mkigoma umeuwa 😂😂😝
Ndaro 13:36 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Bravoooooo!!
Mmeshajua matumiz ya mawese sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
This combination is huge 😂😂😂😂😂 hawa jamaa wanajua sana
Ndaro ume kill sana mwanangu u fire
Hahahahahaha nimependa hii
Fire 🔥
Leonardo achaneni nae kabisa aiseee..very intelligent
Amazing one😍
wajina umeuwa hhahaahaha
Big up babaa lonadol
😅😅😅😅ngoma droo
Hahaha ndaro muuuaji kweliii
Nyie jamaa mko vizuri sana safi sana wote mmetisha
This was epic battle 👏 🙌
Talented mamen unyama ni mwingi wote mmetisha
Ngoja baba levo awasikie
The combination is 🔥🔥🔥🔥
Ndalo umefanana na mpenz wangu kila nkikuangalia nacheka tuu 🥰
Et Vita imeisha😅😅😅
Mashujaa itashuka daraja coz vita imesha kipa karudi kwao
Kigoma ameuaa 👍👍👍👍👍
Leonardo amekitembeza kitabu balaa 😃😃😃
Ndaro the king