Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Naomb utuekee vipimo kwa maandish kwenye description box
Asantee kwa somo zuri je kwa kutumia mzani unapimaje iyo red velvet cake
Asante kwa somo zuri, naweza pata recipe kwa vipimo vya gram?
Mwl naomba yako. Mzuri cake ngoja tuonje kwa macho
Asante kwa somo dear.
Yamoto moto😋😋 asante sana madam nairudia tena hiiiMungu akubariki
Amiin my dear
Dada yangu Ubarikiwe sana sana sana jamani now naweza pika cake 🎂 kipamba ndio bado bado
Ukweli tumekula kwa macho! SioKwa utamu Huu!
😂😂
Masha Allah da ulitupotea hafla karibu tena utupe manufaa shukran
I miss you too Siri 😘
Mungu akuzidishie sana
Mziwanda_tools my dear
Asnt
Habari hii keki haifanyw ya siyag
Asante kwa somo zuri
Nataka nijifunze live je utanisaidiaje Marana Kuna vitu huwezi kujua mpaka uvione
Asante kwa video zako ila mm nina bake zinapasuka juu shida ni nn
Asant kwa somoo kipenz
😘😘
Habari dada mziwanda....hapa kwenye maziwa..kama sina maziwa naweza kuweka kitu gani cha tofauti na maziwa tafadhari!?
Nazi pia yafaa
@@mziwandabakers8297 asante dada🙏🙏
Tulikuaa tumekumis sanaaa. Dadaa.
Shukran dear
Ahsante kwa somo dear
Kwakweli tunakula kwa macho
Hahahahaaa
Kuhusu kipimo cha Unga kama Sina viko be Nina mzani Ni Kiasi gani. Receipt zako zinasaidia Sana ila kwa upande wangu ningeomba uwe unatupa kwa gram vipimo pls
Maashaallaah
Amiin
Kujifunza upishi wa keki kwenu bei gani mziwanda??
Ukiwa hauna vifaaa kama mixture unaeza kutumia mwiko
Mtuandikie vifaa ili iwe rahisi nacc kuandika
Duh mm nimefeli nimedabo vipimo kilichotokea God knows
Yeuwiii ndo nilitaka kufanya hivyo kumbe ningeumia🤣🤣🤣🤣
Nzr ..shukran..hivi Kipimo kikombe kimoja cha unga ni sawa na 250g?!
Hiyo 1 cup sio sawa na 250g hapo kwenye kikombe hiyo iliyoandikwa ni 250mls isikuchanganye
eti dada iyo Baking paper inasaidia nini?
Jaman naomba vipimo vya kutumia gram
Habari dada, mbona mimi nikiweza cocoa kwenye redvalvet, keki ikiishaiva nakuta cocoa ipo Kwa chin na juu, ule wekundu unakua katikati tuu
Jitahidi usizidishe
Rangi ya keki ndio ile inayotumiwa kwa biriani ua
Ndio
Rangi umenunua Duka lip
Asante kwa somo zuri but mixer kama hiyo, naweza ipata wapi dear
Zipo dukani
Kumix egg whites unamix kwa speed ngap? Ndogo au kubwa?
Kubwa ndio safi
Naomba kujuwa unga ulioweka yani robo umeigawa mara mbili plz unijibu
Nimetumia vikombe dear, hivyo sio nusu ya robo
Naomba nambayako ya Watsap Dadaa
Dada yangu 1 cup of flour ni sawa na gram ngapi nikitumia mzani?
250 gram
Na cocoa inakazi gani kwenye redvalvet?
Kuongeza vionjo
Hio bicarbonate of soda na vinegar inasaidia nni
Ni viungo tu inasaidia KUCHAMBUA na ladha ya uchachu
Kwenye vipimo ambao hatuna vipimo useme ni gram ngapi
Sawa
Tunaomba vipimo kwa gram
Okay
Watsap unapatikana kwa namba ipi?
baking soda inasaidia nn kwenye cake dada mziwanda
Kuweka wepesi wa keki pia kuumusha
@@mziwandabakers8297 kwahiyo madam unaeza tumia baking soda ktk cake zako ili ikae sawa au baadh ya cake tuu
Screen shoot kwenye video mbona vipo??
@@mziwandabakers8297 Andika kwenye description box ni rahisi zaidi kusoma /kuona
Naomb utuekee vipimo kwa maandish kwenye description box
Asantee kwa somo zuri je kwa kutumia mzani unapimaje iyo red velvet cake
Asante kwa somo zuri, naweza pata recipe kwa vipimo vya gram?
Mwl naomba yako. Mzuri cake ngoja tuonje kwa macho
Asante kwa somo dear.
Yamoto moto😋😋 asante sana madam nairudia tena hiii
Mungu akubariki
Amiin my dear
Dada yangu Ubarikiwe sana sana sana jamani now naweza pika cake 🎂 kipamba ndio bado bado
Ukweli tumekula kwa macho! Sio
Kwa utamu Huu!