Meneja wa Awilo afunguka alivyotumia Mil.500 kwenye movie aliyoigiza Harmonize, Awilo, H.Baba

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 40

  • @hermankagya6377
    @hermankagya6377 2 роки тому

    Kaka hongera sana kwa Kazi nzuri na kujitaidi kutuletea Radha ya vitu mbalimbali But kuhusu uchukuaji wa picha Mjongeo Uyo amezingua sana

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому +3

    Nic interview big up jah bress Bundara

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 2 роки тому +2

    Huyu jamaa anajua sana tena sana kama mtu ataka kuwa msanii wa kuimba basi ajifunze kitu hapa

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 2 роки тому +4

    Thanks Sky nimependa sana the way you organised this.

  • @christinenjeri6146
    @christinenjeri6146 2 роки тому +3

    Wa kwanza🇧🇭🇰🇪

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 роки тому

    Pamoja SANA 💪🙌

  • @helenahiro1402
    @helenahiro1402 2 роки тому

    WELL DONE

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 роки тому

    Nasikia sauti za watoto wakipiga kelele! Jamani mmesikia?😁😁😁😁

  • @aphroovevo
    @aphroovevo 2 роки тому +3

    sns on top

  • @gipsonstivin864
    @gipsonstivin864 2 роки тому

    Jeshiiiii for every body

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 роки тому +1

    Huyu jamaa kama muongo vile ,,!!

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 2 роки тому

    11:34 RIP Magu

  • @prankandcomedytv8705
    @prankandcomedytv8705 2 роки тому +5

    Cameraman didn't clean in front of camera before shooting.the image isn't clear.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 роки тому

    Kamera man nenda kasome
    Kumbe spika mnaweka za juu kama kushuti muvi Alaa

  • @christopherhilary9453
    @christopherhilary9453 2 роки тому +3

    Na hapo h baba atakuja sema movi yake kama sio hakulipwa

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 2 роки тому

      H bb atasema kauza nyumba 5 kuchangia hiyo movie maana kwenye wimbo kasema kauza gari 5 kusaidia 🤔😏

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 2 роки тому

    Video quality haijakaa poa kabisa mr sky

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому

    This is interview u do Fred

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 роки тому +1

    🙏🇧🇮

  • @foxbwoy6250
    @foxbwoy6250 2 роки тому

    #Bigfizzo🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ramadhanmohamed8781
    @ramadhanmohamed8781 2 роки тому

    Sky na kuelewa san

  • @ibrahmchomvu8278
    @ibrahmchomvu8278 2 роки тому +2

    kubwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @aar1376able
    @aar1376able 2 роки тому +2

    Uwanka fizzo.aragapfa.atabonye.imana

  • @FatimaFatima-wk1jk
    @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому +5

    Huyu Harmonize mtatoa roho sasa jamani kila interview ni konde konde

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 роки тому +1

      Ndo anatrend Kwa Sasa Kuliko Diamond kiki yake na Zuchu ndo inazidi kumshusha kimuziki

    • @manyaraboy
      @manyaraboy 2 роки тому

      Pia harmo wenda akawepo kwenye hiyo movie ya a life to regret

  • @azdabeautysaloon
    @azdabeautysaloon 2 роки тому +2

    Habari yako kaka SKY samahani naomba nisaidie nina channel yangu ambayo tayari imeanza kuingiza pesa ,sasa nilikua naomba unipe mwongozo pale kwenye Adsense sehemu ya kujaza tarifa za benk chini kuna sehemu ya intermediary bank je kwa equity Bank naitajika kujaza iyo intermediary bank number tafadhari 🙏🙏🙏

    • @jamesobedy3940
      @jamesobedy3940 2 роки тому +1

      Subiri jibu 🙏

    • @AfroCoverstz
      @AfroCoverstz 2 роки тому +1

      Intermediary Bank name ni Optional.. haina haja ya kuijaza

    • @azdabeautysaloon
      @azdabeautysaloon 2 роки тому +1

      Ahasante sana sana kaka 🙏🙏🙏ngoja sasa ni Link my Bank Account na Adsense 🙏🙏🙏👏👏👏

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 роки тому

    Alieona bastola tujuane

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 роки тому +2

    Nani kaona bastora aniambie