DIAMOND alidhulumu TUZO ya HARMONIZE? Mwijaku afunguka haya mapya kuhusu jambo hilo, mjini pazito

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 45

  • @gideonchipepo8405
    @gideonchipepo8405 18 днів тому +8

    Pole sana mwaijaku usipoangalia ata deal's umeshaanza kuzikosa kisa chuki uliyonayo.

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 18 днів тому +9

    Baba levo ni 🔥🔥🔥
    The best influencer of east africa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 18 днів тому

      Kwako ww tuzo kaandaa mama ake una tegemea ata chukua nani

  • @fredmapunda
    @fredmapunda 18 днів тому +6

    Sasa kaka yangu mwemba uwezi fanya chocolate bila kumzungumzia diamond

  • @lennylegaston713
    @lennylegaston713 18 днів тому +6

    Machawa ....ifike mda ...mkueee ...tunajua mnatafuta ugaliii...vyemaa...lakini..isiwe....kumsema mtuu....ssa hapo siunatengeneza ogomvii..baina ya diamond....na Harmonize .....chuki za Nini na kimsing....huyo ni baba akee ...atabaki kuwa baba ake.....

  • @JamesLuis-y2c
    @JamesLuis-y2c 18 днів тому +5

    Upuuuzi

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 18 днів тому

    Mshenzi mwijaku pamoja na hao watangazaji walokua na ujinga kuuliza masuala yasio pahala pake.

  • @ZuenaRamadhani
    @ZuenaRamadhani 18 днів тому +4

    Ndo maan baba levo ataendelea kupiga bao hujielewi na elim yako

  • @gracemnyani6848
    @gracemnyani6848 18 днів тому +11

    mwijaku ni failure pole kwa hiyo kampuni kudeal na huyu mpuuzi

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 18 днів тому

    Pole kwa kampuni i can't say more

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 18 днів тому

    Kumbe babalevooo ni mwiziiii kweliiii kaiba simu

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 18 днів тому +7

    Mwijaku Kila Siku nikumtaja Diamond why ?

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 18 днів тому +3

    Mtu tuzo una mdhulumu vipi?

  • @sumamixy556
    @sumamixy556 18 днів тому +1

    😂😂upepo wa mwijaku umefika mwisho bila kumtaja diamond au baba levo hamna kitu apo♻️

  • @khalifafadhili6950
    @khalifafadhili6950 18 днів тому +3

    Mwijaku huna hoja

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 18 днів тому

    Watu bana ivi I nawa una kwakuwa mwijaku amepata deal muca mungu angushwi nakelele Zamasiku kfr 😂😂😂oyee mwijaku

  • @jeremiahmwanyika869
    @jeremiahmwanyika869 18 днів тому

    Washajua bila kutaja jina la diamond hawawezi kufanikiwa

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 18 днів тому +3

    Hili jamaa aijielewi

  • @ChireGriffin
    @ChireGriffin 18 днів тому +6

    Eti unfortunately........kama lugha za watu ngumu Wacha mbwa ww

  • @fabianlaurent6144
    @fabianlaurent6144 18 днів тому +1

    Mwijaku anakuwa kama vile sio mwanaume tutamvalisha dera

  • @MICHAELWILLIAM-p7h
    @MICHAELWILLIAM-p7h 18 днів тому

    We ni nyau

  • @HamissSimba
    @HamissSimba 18 днів тому

    Unfortunately mmmh!!!!!!

  • @zaikokingnil7727
    @zaikokingnil7727 18 днів тому

    Hiyo kampuni haiendi popote na huyo mbwa kichwa mviringo

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 18 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 18 днів тому +2

    Huu ndo ujinga wa huyu jamaa.hapo tayari keshampa mtu milage, wewe ni balozi hapo.kuna haja gani kumzungumzia mtu.
    Failure

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 18 днів тому +2

    Kizungu hujui wewe halafu wasema uko na degree mbili😴

  • @makamejuma6959
    @makamejuma6959 18 днів тому

    Anawakosesha wateja huyo Mwijaku anapo muongelea Diamond vibaya kwani asilimia kubwa ya mashabiki wake ndio wateja wa hizo bidhaa ss akiwa anamuongelea vibaya ata na mashabiki wake hawatanunua

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 18 днів тому

    Wanahabari musome yaani nyote mmeshindwa kumuuliza maswali huyo mchina

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 18 днів тому +2

    Nasibu yuakushinda kuongea kizungu wewe mpuuzi

  • @erickmwanjalila7994
    @erickmwanjalila7994 18 днів тому

    Sitaki kusema ila jamaa huyu hanaga ubunifu wowote katika market

  • @comm611
    @comm611 18 днів тому

    anamtaja. simba. anataka. atrendi

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 17 днів тому

    HIVI WAANDISHI HUWA MNALIPWA KWENYE CONFERENCE KAMA HIZI??? SABABU WANAJITANGAZA TROUGH YOUR PLATFORMS NA HAWA INFLUENCERS HAWAWEZI TOBOA BILA WAANDISHI…IFIKE KIPINDI KAMA HAMCHAJI MUWE MNACHAJI SAWA KABISA NA HAWA INFLUENCERS..just an opinion

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 18 днів тому

    Kwamba hajui kua hapo ni Ubungo? Kweli huyu ni mabungo 🤣🤣

  • @NivasonAndrew
    @NivasonAndrew 17 днів тому

    Yani uyu jamaa bila diamond kumbe anakosa content kabisa

  • @kakaidd_afrika
    @kakaidd_afrika 18 днів тому

    Unfortunately 😂😂😂😂😂

  • @BahatiPascal-t6i
    @BahatiPascal-t6i 18 днів тому

    Meijaku hanakosa waandishi Ndo wanatatizo

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 18 днів тому

    Mbona hili jamaa halishitakiwi na wcb ??????????

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 18 днів тому +1

      Mbona bibi levo ashitaki na konde boy ajalibuu tuna ichukua wcb mzm wame mtukana sana konde boy chokowewe

    • @khadijabbykhadijabby1389
      @khadijabbykhadijabby1389 18 днів тому

      ​@@RomanMwinyichoka ni mamako shenzi type makende yko ya fangasi