Alikua na nuhu mziwanda madee alikua anapiga,,, akawa na uchebe romi alikua anapiga,,, alikua na romi na huyu alikua anapiga 😂😂😂hawezi mwanaume mmoja na alikua anamsifia jamaa anajitahidi bado alikua ana chiti dooo shishi mshenzi
Siku zote mwanamke akiwa na pesa na umarufu kumzidi mwanaume ni lazima hayo yatokeye tena mwanamke atakwendesha atakavyo ila Rommy Wewe mwenye ulijuwa aina ya mwanamke uliyechagua kumuoa, take accountability too
sasa huu romy si alikua anatoka na shishi kama yupo na uchebe😅😅😅ama sasa ona gisi lipizo linauma😅😅😅shishi kwa pesa zake na bado na huo ataachana nae 😅😅 ki nipo pale
Shilole Yuko hivyo always, sasa Huyo dogo anadhani kwamba shilole pesa anatoa wapi !? Si-lazima Adange , ukikubali kuwa kibenten kubali kuwa mwanamke kuliwa nje ni kitu cha kawaida
Inawezekana kwasababu hawuwezi kuachana na mmeo leo kesho kesho yake unatuonesha boyfriend mwingine guys. Ivi wengine mnafanyaga aye?? Hata uyo wata achana tu shilole hawezi dumu kwenye ndoa
Tatizo la vijana wengi hawajui tu mtu malaya huwa haachi tabia yake ya umalaya mtu aliezoea kupitiwa pitiwa na watu tofauti hawezi kutulia tunapoanzisha mahusiano ni lazima tukubari kuwa historia ya mtu huwa inabaki pale pale
Safi sana tena watafute wavikomeshe vijaume vipuuzi kama hivi coz hayupo mwanaume shababi ataekubali kuendeshwa ila hivi vipende kula bure nkiskia vimenyooshwa naenjoy sana
@rukiaiddyyahaya9506 tumekua na jamii ya vijanaume vinavyodeka visivyojua sifa ya mwanaume ni kujiamini kisa vina walambalamba sehemu za siri hao wadada ndo vinadhani vinawamaliza na kutaka vilelewe acha votes viteswe mpaka vitie akali
Same same uyo alimchukua kwa uchebe kwa kigezo cha kuwa mpiga picha wake kumbe anadonyoa. Sasa kama ukifurahia mwenzio kuumia kuna siku na wewe utapata the same thing so jamaa asijione yeye mwema au alikua mwema wakati alileta fitna uchebe kuachana na bidada. 😂😂😂😂
Rom kama wewe alikuwa unatoka na shishi kipindi yupo na uchebe sasa unasema nini 😅😅😅 tulia zamu yako imepita😅😅😅
😂😂😂😂😂
Mi namshangaa 😂😂😂😂 na kalikuwa kana majibu mabovu Kwa uchebe Leo kanalialia nni hyu Rango kweli
Anachekash😅😅😅😅
Umesemaje viboko vinakuhusu 😂😂😂msaliti kasalitiwa😂😂😂
Ohh rangoo😂😂😂😂😂😂@@Osm90-m3j
Alikua na nuhu mziwanda madee alikua anapiga,,, akawa na uchebe romi alikua anapiga,,, alikua na romi na huyu alikua anapiga 😂😂😂hawezi mwanaume mmoja na alikua anamsifia jamaa anajitahidi bado alikua ana chiti dooo shishi mshenzi
Romy tulia2 kulia kupokezana 😂😂😂ulimtambia uchebe ulizani ww n bora kuliko yeye😂😂
Muosha huoshwa ndugu 😅unachosema hapa na uchebe alikipitia kwako pia.
Kumbe shilole ndozake sivigeni kwake.na huyo mupya ajiandae na matukio
Hakuna mwanaume anaependa Furaha ya mwanamke baada ya kumuacha😂😂😂😂😂😂
Umejuaje
Siku zote mwanamke akiwa na pesa na umarufu kumzidi mwanaume ni lazima hayo yatokeye tena mwanamke atakwendesha atakavyo ila Rommy Wewe mwenye ulijuwa aina ya mwanamke uliyechagua kumuoa, take accountability too
Msaliti kasalitiwa 😂😂😂
Si alikuwa ana mtupia vijembe Uchebe aone sasa
Mmezid Kila mwanamke mnene Unaona Ndo wakuoa,Na Nyinyi vibenteni mmezid tegemezi,wacheni mtendwe mmezid kusubiria,
Hahaaaa uuuuuiiii tulia sindano ikuingieee ,uliona Uchebe ni mjinga alikuwa akimpiga kwa mambo hayo hayo hivyo tulia baba 😂😂😂😂
Shida zetu ndio hii, kuwepo kwenye mahusiano ama kwenye Chama fulani kwasababu ya maslahi tu na c upendo wa dhati na dhamira so kaa kimya dogo😢😢😢😢😢
Mimi nataman sana siku moja nimchungulie Shishi akiwa anaoga! Sijui hapo kati kama kunakosa SUGU. Aisee! 😬🙌🙌
😂😂😂
Nadhani sasa mmeshamuelewa uchebe kwanini alikuwa anapa vitasa vya uso
😂😂😂😂
sasa huu romy si alikua anatoka na shishi kama yupo na uchebe😅😅😅ama sasa ona gisi lipizo linauma😅😅😅shishi kwa pesa zake na bado na huo ataachana nae 😅😅 ki nipo pale
😂😂😂😂😂haaaa ila da shishi bhana ndo kusema we unawamix tu mlemle rangoni😂😂😂😂😂
Kumbe hili Bibi makhosha innalilah wainna lilah lajuun
Mimi niseme hivi shida sio ku cheat. Shilole anahitaji mwanaume anaejigambua na mwenye future na sio hawa chuma ulete .
We mwenyewe ulimchukua mikononi mwa mtu
Bas kama ni msaliti hatahuyo atasalitiwa
Una ubonge ule😂
Ulimfanyia ivo uchebe ww. Pia so acha. Doze ikuingie...
Tatizo wanapenda MISHANGAZZ😂😂😂😂😂
Sasa unalia nini ushakuwa ex
Kwani yeye kajisahau wakati shishi anamumewe uchebe tena mume wa ndoa,mbona walikuwa wanameng'enyuana haaa😂😂😂 atulie kimuingie 😂😂😂😂
Simnapenda mishangaz
Mazito kwa kweli
Mwanamme mzima kulea inafika mahali mtu anachoka upendo unaisha wanaume tafuteni pesa 😅
Ulifanywa vzr we siulimcheka uchebe ww ukaona hajui mapenzi ulipata ulicho kistahili
Shilole Yuko hivyo always, sasa Huyo dogo anadhani kwamba shilole pesa anatoa wapi !? Si-lazima Adange , ukikubali kuwa kibenten kubali kuwa mwanamke kuliwa nje ni kitu cha kawaida
Vitanda vya Muhimbili vitatumaliza,Alipokua na USHEBE Ulikuwa na Lala naye,MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU!!!
😂😂😂
Weeeeeeee 😂😆😆😆
@@AmanaHussein Kwani ni Uwongo ?
Hata kama ukisema mambo yenu ya ndani enzi hizo bado huwezi kufanya mabadiliko
Kama ulikuwa unajua si utulie baba muda wako umeisha aisee😂😂😂
Viumbe wa mungu
Yeye naye awe kama mwanaume awache kuongea mambo ya ndani😂😂
Inawezekana kwasababu hawuwezi kuachana na mmeo leo kesho kesho yake unatuonesha boyfriend mwingine guys. Ivi wengine mnafanyaga aye?? Hata uyo wata achana tu shilole hawezi dumu kwenye ndoa
Yule dada hafai shangingi sana mi simkubali hata robo 😂😂😂😂
Afu mm nilijua ana ochebe kumbe kitamboa ninavyojifanyaga sifatiliagi mambo ya watu alaf Kwan ndoa inafungwa mara ngap
Jumaaa😂😂😂😂😂😂😂eti jaman jamaa mbea wa viwango HD
Nina wasi wasi na uwana ume wake🏃🏃🏃🏃
Mwanamke akipata pesa huwa kutulia ni ngumu sana na huwa awana moyo wakuheshimu waume zao
Sasa alikua kula kulala anategemea nn nyooo akae kimya
Uchebe anasemaje
Mdada aliezoea kuonjwa onjwa na wanaume tofaut hawez acha kuonjwa sema tu itakuchukua mda kujua
Hata Mimi siku moja naamini nitamla shishiii
Shilole noma sanaa
Shilole ni km ndio alioa.
😂😂..tumemkuta uchebe anacheka vbya mnoo
😂😂😂😂😂
Mnashindwa kuwatafuta wanawake wa rika zenu mnaenda kufata pesa tulieni hivyow hivyow
Sa we ulikuwa unalelew afu unalalamika wabongo bhn
Mmmmh
Huyu dada awe makini yasije kumkuta yaliyomkuta Dida
Tutafute pesa wanaume wenzangu
Ukimfanyia mbaya mwenzio nawe utafanyiwa
Shilole anawaibia nyota hawa vijana na hawajui...maskini!!!
Km uligundua hilo unatwambia hili tufanyaje sasa
Msaliti nae usalities
Uyu c ndo alie simamia ugov wa ali kiba kpnd kile
Malaya habadiliki walah hta ukamtoa kimboka na ukambadilishia maisha ila bdo atarudi barabaran😅😅
Yaani siku atari. Ukiwa na hela unampata kijana yyote unaye mtaka
Tatizo la vijana wengi hawajui tu mtu malaya huwa haachi tabia yake ya umalaya mtu aliezoea kupitiwa pitiwa na watu tofauti hawezi kutulia tunapoanzisha mahusiano ni lazima tukubari kuwa historia ya mtu huwa inabaki pale pale
Sasa weshaachana inahusianana nini? Kuongelea haya
Shilole unavyo mpata ndivyo utakavyo achananae maana.......
Uyu cndo alikuwa anajinasibu kuwa lijali
Mwqnamke huq achit kwq bahati mbayq htq siku moja
Duuu pol3 sana
Kwani hulikuwa ujui usimuwamini mwanamke siku zote
Wana umetutafute hela sasa yann yote. Hy anashanga nin
Naanza kumuamini mange kwa mbali
Wanawake tafuteni hela ili muwe kama shishi
Safi sana tena watafute wavikomeshe vijaume vipuuzi kama hivi coz hayupo mwanaume shababi ataekubali kuendeshwa ila hivi vipende kula bure nkiskia vimenyooshwa naenjoy sana
Lakn so kwa kunyanduliwa na Kila mwanaume ukiipata iyo hela utafute t mtu unaenda nae
@@FahadAbubakari-y3f hahaha
@rukiaiddyyahaya9506 tumekua na jamii ya vijanaume vinavyodeka visivyojua sifa ya mwanaume ni kujiamini kisa vina walambalamba sehemu za siri hao wadada ndo vinadhani vinawamaliza na kutaka vilelewe acha votes viteswe mpaka vitie akali
Yan unasaritiwa bado unaendelea kua nae unaachwa unaanza kulalamika.upumbavu kabisa
😂😂😂😂
Umwambie una helaaaaa😂😂😂
waandishi siku hizi hawasubiri wewe ubalance stori wanatoa hivo hivo hii ni hatari tumeona kwa mwaipaja
What if you stayed quite mr . Useless
Siumeenda sasa kelele za nini wewe tulia
😂😂
Mmmmmh
Acha hizo wee mume ulitakiwa uvumilie ya mke sio kuhadithia ya mkeo..unajidhalilisha wewe
Me sishangai bwana wanawake wa singida hawajatulia hta kidogo,
shishi wa Tabora
Ndo iyo iyo singida ni Malaya sana Tena umekosea so wanawake TU wote mpaka wanaume Yan ukikutana na hz mutu maji utaita mma akiyamungu
Sio wa singida huyo
@MwantumuAbdy hata house girl wa singida usiombe kumpata, hata rafiki tu, sio umalaya tu, hawasomekagi kwenye mambo mengi.
Hyu mwana mama kwa Sheria za wenzetu asha kamatwa na kufunguliwa mashitaka ya unyanyasaji wa kimapenzi dhidi ya vijana walio chini ya miaka25.
Sasa kama ulikuwa unalelewa unafikir hizo pesa alizokuwa anakupa anazitoa wap? Acha kulalamika kijana, tafuta hela 😂 Muache shilole wa watu
Same same uyo alimchukua kwa uchebe kwa kigezo cha kuwa mpiga picha wake kumbe anadonyoa.
Sasa kama ukifurahia mwenzio kuumia kuna siku na wewe utapata the same thing so jamaa asijione yeye mwema au alikua mwema wakati alileta fitna uchebe kuachana na bidada.
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 kutesa zam kwa.zam jino kwa jino😂😂😂😂ila shishi unawamix tu
@@maryamChumas Huyu shishi apewe tuzo tu