Urusi yavunja ukimya kuhusu taarifa za mke wa Assad kuomba talaka baada ya mumewe kupinduliwa Syria

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @dnnyChris
    @dnnyChris 19 днів тому +21

    Wanamke ndivyo walivyo

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 18 днів тому +1

      Swadakta

    • @mgenirashidi6504
      @mgenirashidi6504 18 днів тому +1

      Alijichanganya huenda huuo mwanamke ni jasusi

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 17 днів тому

      Siyo huenda, ndivyo ilivyo. Wazungu hufanya kila kitu kwa uzalendo wa nchi zao; siyo kama sisi black Africans​@@mgenirashidi6504

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 15 днів тому


      KBSAAAAAAAAA

  • @Husseinmikola
    @Husseinmikola 19 днів тому +9

    Hao ndo wakina hawa

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk 18 днів тому +4

    Kama kweli ni mwehu,Putin amewaokoa na kifo

  • @mgenirashidi6504
    @mgenirashidi6504 18 днів тому +2

    Raisi unaoa mtu wa nchi nyingine mambo ya ajabu mwamba alijichanganya

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 17 днів тому

    Sepa mama achana na huyo mpumbavu, alivuruga mwenyewe, maisha ya uhamishoni hayana uhuru wala amani, Warusi wenyewe matapeli isitoshe tayari Assad ameshalizwa ela zake tokea hapo walishamtosa, pia iwe fundisho kwa viongozi wa Africa wakumbuke wanaongoza binadamu na siyo wanyama

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 18 днів тому +4

    Huyu Mwanamke atatoa Siri zote za Mume wake

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 17 днів тому +1

    Alijua akioa mzayuni atakua salama. Wale ni mashetani ata Arafat alioa mzayuni

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 18 днів тому +5

    Huyo mama ni mgonjwa sana, ana cancer ilitangazwa miezi kadhaa iliyopita. Inaelekea kupata matibabu ya kutosha ni issue sasahivi kutokana na wanavyoishi. Huenda Asma anafanya hivyo ili awe huru kutoka kupata matibabu.

    • @Mzawa12
      @Mzawa12 18 днів тому +1

      Kwamba Urusi hakuna hospitali kubwa za kutibia???

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 18 днів тому

      ​@@Mzawa12urusi Kuna udictetor tu kwenye matibabu wamezidiwa hata na india

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 18 днів тому

      Sikiliiza maelezo hadi mwisho. Alishapona.
      Au ugonjwa umerudi baada ya mumewe kupindiliwa?

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 18 днів тому

      ​@@robertphilip385we huna unachojua udikteta ni Nini?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 18 днів тому

      @@paschalcharles3617 we ni jinga kweli Tena pumbavu kabisa

  • @Mauya23
    @Mauya23 18 днів тому +5

    Jasusi kamaliza kazi yake anataka apeleke ripoti

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 18 днів тому +5

    Nimeenda kumu google duh bonge la dodo😋😋😋

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 18 днів тому +1

    Oeni tu, mtakachokutana nacho mtatusimulia.

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 18 днів тому +1

    Rais mjinga unamuoa mwanamke kutoka uingereza

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 18 днів тому

    Ulaya ulaya

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 18 днів тому +1

    Ndio maana mfalme wa Oman ali wahusia watu wake ala ala chungeni msije tawaliwa na mtu mwenye mke mchanganyiko wa kizungu au mzungu au ameishi sana huko.

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 18 днів тому +1

    Hawa

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 18 днів тому

    Halafu ni kichudaaa hatare mzigo bhdo ni pinya aloooh

  • @mrishojumbe4572
    @mrishojumbe4572 18 днів тому

    Kaka jilizishe kabla ujatoa mahali

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 18 днів тому +1

    PROPAGANDA ZA MAREKANI.... URUSSI KUZULI KULIKO UINGEREZA

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 18 днів тому

    Hawa bhana achana nao

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 18 днів тому

    Ukute huyo mwanamke ni CIA au MI5

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 18 днів тому

    Wanawake😂

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k 18 днів тому

    Arud fasta London atasema kila kitu

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 19 днів тому

    Duh!

  • @BunzarMarco
    @BunzarMarco 18 днів тому

    Si ukae urus si ni inchi zuri kulikoni UK London tena mama 😅😅😅😅😅😅😅

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 17 днів тому

      @@BunzarMarco hataki anataka kwao.. wazungu huwajui hapo amelala mara Moja amafikiria heri akafie kwao

  • @SomaliWeyn-c1h
    @SomaliWeyn-c1h 19 днів тому

    Hakiye ina basuka mzee

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 18 днів тому

    Hatumutaki wingereza, kwasababu atakuwa mjasusiwa urusi

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 18 днів тому +1

    Huyo tunamuachia ila akiyamungu hafiki mita 1000 mpkani mwa nchi nyingine ndege inapasuliwa ,anategwa bomu lakumuathiri yeye peke yake

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 18 днів тому

      Mfyuuuu. Fanya tuone

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 18 днів тому

      @annasolomon9855 subil

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 18 днів тому

      😂😂😂 hapo kwenye kumuathiri peke yake eneo lenye watu wengi linatuibitisha udogo wa akili yako

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 18 днів тому

      @emmadora7848 ismail hannie aliuliwaje huko tehran ,,,unaona ulivyo na akili fup kama chupi😂umekalili,,hakukua na mlipuko mkubwa

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 18 днів тому +2

    Wanawake ni wepesi wa kusahau wema ,mwanamke unaweza kumsomesha hadi chuo kikuu halafu akakusaliti,mwanamke anaweza beba mimba ya mtu mwengine yuko ndani ya ndoa halafu akakuambia yako na mume ukalea mtoto kwa kufkiria ni wako kumbe wa mume mwenzako unaweza mfanyia wema kisha akakuambia wema gani ulionifanyia toka unioe

  • @emanuelkattani9906
    @emanuelkattani9906 18 днів тому

    Mimi nakupiga shaba.

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 18 днів тому +3

    Waarabu hawaeleweki sijui wa koje unaoa mzungu

  • @kemorihomagabe-m1o
    @kemorihomagabe-m1o 19 днів тому

    kwani landan nimbinguni

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 18 днів тому

    Sepemama

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 18 днів тому

    Ao ndo wazungu bhnaa kaolewa kwa mipango maalumu na sasa washajua wap ni wap na wap kuna nn mama arud nyumban lol vita ikiibuka ty watajua wanaingilia wap wanatokea wap

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 18 днів тому +1

    Tabia za wanawake.....ameona shida mbere..mume wake case kibawo...nayeye sasa anataka kumtoloka...alitakiwa kumuyacha awuwawe kule Syria,mchenzi sana mwanamuke huyu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 18 днів тому

      Umeandika nn kwani?😂😂😂

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 19 днів тому +2

    Urusi nimatapeli

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 18 днів тому +3

      Marekani,israel namba 1 kwa utapeli na ushetani.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 18 днів тому

      @@jumamussantuiche
      Wamekutapeli nini tajiri?

  • @sporttz15
    @sporttz15 19 днів тому +3

    😂😂😂😂 fear women

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 18 днів тому

      Not all guys 🙄

    • @wadantz123
      @wadantz123 18 днів тому

      Sio wote ww acheni kuhusisha ujinga wa mmoja kwa wanawake wote

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 19 днів тому +1

    Putin nakuamini utamlinda assad

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 18 днів тому +1

    Wanawake ndy walivyo kaka pindi unapoyumba ndy unaona makucha yake