Usichezee kwaya za wakatoliki nyimbo zao ni mafuta matakatifuu wewe ni nzuri kuzisikiliza na kuzicheza kwa kunesanesa. Hongereni sana na msivunjwe moyo kwa lolote, sie wainjilishwaji tutawaombea baraka tele kwa mungu.
Nyimbo zenu nimependa sana wana katoliki wa mungu.ivi karibuni nitajiunga nanyi kuendesha injili ya bwana na kuenda kanisani.kusema ukweli nimefurahi sana kwa hii nyimboo❤❤❤❤❤
Hongera saana kwa kazi hii nzuri mno, Ndugu Dismas, dada yangu Melkyori na mdogo wangu wine ASANTE kwa kuendeleza utume kwenye kwaya yetu,, walau hizo sura nmezifahamu pamoja na wengine wote ASANTE NA HONGERA SAANA!!
Pongezi nyingi sana kwa mtunzi na kwaya kwa ujumla wimbo umepambwa na shukrani kwa gen production Mungu aendelee kuwabariki wote kwa ujumla ktk wimbo huu
Hongereni sana kwa wimbo mnzuri na wenye ujumbe mnzuri, pia mmeutendea haki katika video, Lakini wimbo ni mnzuri sawa Lakini ni mfupi sana mngeongezapo mashairi Ili ifike hata dakika saba hiviii,
Jamani wimbo mtamuuuu😊. Hongereni sana nyote mliofanikisha kazi nzuri hii.👏👏👏👏👏
Amina barikiwa sana Anastacia Muema
welcome Anne
Shimanyi, Shimanyi, Shimanyi, nimekuita mara tatu Shimanyi
Asante kwa wimbo mzuriii,Hatimaye tumepata kawimbo ka kutambulishiana🤣🤣🙏Hongeren kwa kazi nzuri mtunzi na waimbaji🙏
Palipo na shimanyi mambo shwari MUNGU akupe maisha malefu
Hongereni wimbo mazuri sana mmeimba vizuri mmechangamka ❤
Huu wimbo niliimba siku ya harusi ya baba na mama wimbo mzuri sanaaaaaa shimanyi jamn noma
Unyama Tuu 😁Amna kingine
Huu wimbo ni mtamu uko bomba hongeren vijana❤️❤️🙏
Mungu awabariki wote waimbaji Pia Tusopotiane lk na SUBSCRIBE Kwaya Mariya Goreht Viwawa Bashnet Jimbo katoliki la Mbulu
Nyimbo Tamu na tamani ni bariki ndoa duh hongereni Sana
Asante kwa kumleta kwetu..Hongereni sana Gregory mkuu ,kwaya yangu pendwaa,,Mungu awabariki sanaa
Tumsifu Yesu kristu
Wimbo mzuri atari ✝️
Usichezee kwaya za wakatoliki nyimbo zao ni mafuta matakatifuu wewe ni nzuri kuzisikiliza na kuzicheza kwa kunesanesa. Hongereni sana na msivunjwe moyo kwa lolote, sie wainjilishwaji tutawaombea baraka tele kwa mungu.
Tanzania never disappoint for real,wow ..nimeupitisha huu wimbo rasmi pia.
Good job Shimanyi na wanachoir wote😊
Hongeren sana hapa nakariri kwaajil ya ndoa yangu jana nimekesho nao
Nyimbo zenu nimependa sana wana katoliki wa mungu.ivi karibuni nitajiunga nanyi kuendesha injili ya bwana na kuenda kanisani.kusema ukweli nimefurahi sana kwa hii nyimboo❤❤❤❤❤
Karibu saaana saaaana tuhubiri injili
Karibu saaaaaanaaaaaaaaa❤🎉🙏🙏🙏🙏
Sjut..the great choir...goodjob keep it up ...watching from london
kanyimbo kakuingilia ukumbini kabisa😘😘😙😙😙😙😚
Mungu awazidishie mna sauti tamu vile waooh
Naaa nasasa namleta kwenu...
Hiki kipande kitamu sana😎😎
Pongezi kwako CGen Pro na Kwaya ya Mt Gregory Mkuu 🔥🔥🔥🔥🔥
Awesome, influential song for engagement
Waoooo wimbo mzuri sana kwakweli unabariki sanaa hongereni sana
mzee ubarikiwe aiseee tunasbr na nyimbo za sadaka
Huu wimbo ni mtamu sana jamani Hongereni🥰🥰🥰🙏
Wimbo mtamu sana nmesikiza mara kadhaa na sichoki
Nimeupenda sana wimbo huu ❤
Pongezi kwenu wafanyakazi wa The Creative Generation Production na Kwaya ya Gregory mkuu kwa kazi nzuri ya uinjilishaji Mungu awabariki🔥
Kaz nzurii saaaaaha barikiweni sanaa
wimbo mzuri sana ...mbarikiwe mnapozidi kutubariki
Mungu awajalie muyaishi mnayoyaimba na kuwa mfano WA kuigwa muwaheshimu wazazi kwani ni Mungu WA dunia muishike Sana amri ya nne ya Mungu.
Wimbo mtamu huu 😊😊
Keep it up!
Sasa baba mwenye anagomba nn naachaje kuirudirudia hii😀😀😀
Hiki kibao kipo. Much love from Kenya
Wimbo bora kabisa narudia na kurudia
Hongera saana kwa kazi hii nzuri mno, Ndugu Dismas, dada yangu Melkyori na mdogo wangu wine ASANTE kwa kuendeleza utume kwenye kwaya yetu,, walau hizo sura nmezifahamu pamoja na wengine wote ASANTE NA HONGERA SAANA!!
Na atangazwe, Ili heshima iwepo, na kuepusha dhambi asilia.
Shimanyi dogo lako nawafuatiria Sanaa nipoo pande za ziwa Tanganyika nakura burudani mwambie paskal nafurahia Uwepo wa C...proo
A very nice song 🤗🤗🤗💯💯💯,,wacha sasa tukatambulishane😂
Wimbo mtamu mno.❤ Nota twaeza pata wapi
Finally we have Engagement song 🥰🤗
Sure sure sure kabisa
Mwalimu Shimanyi jameni kajaliwa kipaji kizuri.. Asanteni sana
A very fantastic song, congrats to you all I like the creativity inserted in there so amazing 😍, keep on 🔥 my former choir and be blessed
Nzuri mnoo
Barikiweni sana kwa sauti zuri
Amina wimbo mzuri mbarikiwe
Unanikosha navuta taswira an kama vile namtambulisha kwel
Asante Mungu kwa kuwawezesha watumishi hawa kwazi nzuri. Ama hakika nawakumbuka sana wana SGGC.
Good and deep idea mmetoa wakati sahihi congratulations God bless your job
Hongera sana wanakwaya
Alla: mmeupiga mwingi❤
Ngoma imetulia hongereni sana
Nice song. Hongereni
Ni
Kweli wimbo upo vizuri
bonge la nyimbo hiliiiii nyieeee✍️✍️
Hongeren snaa Kaz nzur
Asanteni
Sana
Kwa
Wimbo
Huu
Wimbo tamu hakika
kazi safi hii🥰
Huu wimbo ni mtamu zaidi❤❤Hongera kwenu nyote, na Mungu awainue in the ministry.
Wimbo mzuri ❤
Sauti ya nne ♥️♥️♥️🥰
Hongera watu wa mungu
Alaaaaaaaaa. Namletaaa,,,,,, watunzi wa nyimbo Mungu awatunze.
Hongereni sana🙏🙏
Mbarikiwe wapendwa kwangu, MUNGU azidi kuwa nanyi
Hongeran kwa utume
Mtamu kweli.
Hongereni
Amina. Kazi nzuri sana. ❤
Pongezi nyingi sana kwa mtunzi na kwaya kwa ujumla wimbo umepambwa na shukrani kwa gen production Mungu aendelee kuwabariki wote kwa ujumla ktk wimbo huu
Jamani kwaya yetu!
kaz nzur jaman
Duuuuuh mmeuaa mungu awasaidie muendelee kuhubiri injilii💯💯
Hongera🔥
Hakika mungu amewajalia vipaji vya kuimba barikiweni sana...
Aw🥰
Wimbo mtamu halafu mtamu tena🔥🔥🔥 Ubunifu mkubwa mno. Shimanyi, nimekustahi enewei🤗
Hongereni sana @St.Gregory #UhimidiweMungu
wimbo zuri
Wimbo mtamu mno congratulations 👏👏
Wimbo mtamu wauuu
Nashindwa kuereza jizi huu wimbo unavo gonga mioyo yawatu
Waooo wimbo mzuri sana hongereni wanakwaya was gergory mkuu
Utamu tu💓
Hongereni Dismass na Winifrida! Uhalisia mumeuvaa vilivyo!😀😀😀
Ahsante sana MC🙏
St.John University. Hongereni sana kwa utumishi huu
Shimanyi ✅✅✅✅✅
Wimbo mtamu sana, natamani ungekuwa mrefu kidooogo
Mungu atubariki
Wimbo mzuri Sana hongera Sana shimanyi media kwa ujumla MUNGU AWABARIKI SANA
Wimbo tamu snaar naipenda
Hongera zenu nyote mmeimba vizuri vizuri vizuri sana❤❤❤
Jamaniii congratulations to you all guys, mmefanya kazi nzurii sanaa,its kind of inspirational art....mmeupiga mwingi sana
Wimbo mtamu sana. Video iko juu. Creativity
Hongereni sana kwa wimbo mnzuri na wenye ujumbe mnzuri, pia mmeutendea haki katika video, Lakini wimbo ni mnzuri sawa Lakini ni mfupi sana mngeongezapo mashairi Ili ifike hata dakika saba hiviii,
🗣🗣🗣🗣🗣🗣kazi nzuriiiiiii
Mungu awabarikii
Hongereni sana kwaya yangu ya enzi,wimbo mzuri,haya wale wenye mnataka kutambulisha muwalete tuwaone jamanii,Hongera Mr Shimanyi kwa utunzi mzuri
Wimbo mtamu Huu 👏👏👏
hongera my family St Gregory mkuu from St John University Of Tanzania + Shimanyi FM
Uwiiiiih
Very much for all group
Daaaaaaa!!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️,
Ni wimbo mzuriii saaaaana hongereni wana gregory,
Nautunza huu wimbo siku ya ndoa yangu 😋😋😋
Nzuri sana