TUNAOMBA NEEMA - Kwaya Ya Moyo Mtakatifu Wa Yesu(Official Video)
Вставка
- Опубліковано 2 лют 2024
- Karibu utazame wimbo, Wakumuomba Mungu atujalie Neema Mbalimbali
Mtunzi: EDMUND MILANZI(CHINGA)
Audio: MOZEN PRO
Video: Director MDETE TM
Sound Eng. : NAZARETH AMOS
Organist: PATRICK S. MAKOYE.
#kwayakatoliki #africangospel #catholicsongs
Pongezi kwa wimbo mzuriii.. tubarikiwe pamoja. Amina
Amina. Jina la Yesu Kristo libarikiwe
Tunaomba Neema ,Tunaomba Baraka Eeee Mungu wetu wa Mbinguni....❤❤❤❤❤Asanteni sana kwa uinjilishaji......🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu ndie mgawa Neema na Baraka. Mungu ni mwema sana
🎉tunafanya kazi zetu usiku na. Mchaana 🤲🤲tunaomba neemaa tu naomba baraaka👨👩👦👦🙏
Amina sana mtumishi
Mko vizuri Sana wapendwa na kazi zuri pia mungu awajalie hizo neema na baraka zake
Ahsante sana mtumishi
Wimbo mzuri watubariki
Tunakushukuru Kwa appreciate yako
Hakika twajuwa zinatoka kwako mungu neema na baraka
Ni Mungu tu mgawa Baraka.
Nimekuwanza ohoooo Mungu ni mwema 🎉🎉
Hongerini san mungu awabariki
Mkovizur mungu awabariki sana
Thanksgiving
MUNGU ANATOSHA naakisema ndio Hakuna wakupinga kazi nzuri sanaaaaaaa❤❤❤❤
Mungu ni mwema sana
Kazi njema.Hongereni sana
Asante huo wimbo umenifariji sana
Oh great nice to hear that more blessing to your family
Mungu ni mwema kila wakati🙏🙏🙏
waoooh, ongereni🎉🎉🎉🎉 Justine kumbe ni mwalimu mzuri sana wa kutumia whiteboard. hakika elimu na baraka zitafika kote🙏🙏🙏🙏
Ahsante sana brother Mungu ni mwema
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.You have done very well
Thank you brother, be blessed
You're just the best, you sang on my wedding day and it was wonderful, may God shower you with His blessings, Amen 💖
That's great may our lord be with you with your family
Waooooo... A very well organised vocals and video. Keep up the Great job dears
Thanks a lot
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank for your appreciate 🙏🙏
Kazi nzur Sana mbarikiwe🎉
Mungu ni mwema sana
🎉kazi nzuri sana
Shukrani sana
hambahatishi mnaweza jamani
Thanks so much brother
Amina
Ujaziwe Baraka na Neema
organist daah kazi nzuri sana aise
Hey chap thank you for your appreciation and i want to give you more kudos for that.
❤❤❤❤❤❤❤
Thanks for your 💕
Hongereni san
Nice thank you
Nice ❤
Glad you like it
Neema na baraka zatoka kwa Mungu baba wa mbinguni...Eee Mungu tujalie Neema!!! Hongera sana wanakwaya!!!🎉🎉🎉
Hongereni sana Kwa uimbaji na u bunifu wa kiufundi wa video inavutia saana
Mungu ni mwema sana, tunakushukuru Kwa appreciate
Nikwa wapili🎉😂😂
Mungu Ni Mwema... Mwanzo Mzuri Wa Mwaka 2024
Namna ya ku download jamani nipitie njia gan???
Pole sana mtumishi, kwenye UA-cam kuna sehemu ya kudownload