Jinsi ya kutatua tatizo la USB kutosoma kwenye PC au Computer

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @ZephaniaMkalawa
    @ZephaniaMkalawa 11 місяців тому +1

    Shukran sana boss

  • @mwanaishanurudini4871
    @mwanaishanurudini4871 3 місяці тому

    Boss Kwang potable device haipo nafanyaje? Masada plz

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому

    shukrani sana sasa ndugu yangu ili tatizo lilikuwa linanisumbua ila nilivyotizama hii video nimetatua tatizo

    • @VCO_online
      @VCO_online  2 роки тому

      Poleee sanaa... Don't forget to subscribe.
      You're welcome...

    • @efronmarvo3007
      @efronmarvo3007 11 місяців тому

      @@VCO_online mim yanakuja maguo mengi sio matatu nakatika hayo mengi nimeangalia hiyo MTP haipo

  • @bujepatv7154
    @bujepatv7154 Рік тому +1

    Shida maneno haya onekani vizuri

    • @VCO_online
      @VCO_online  Рік тому

      Ni kweli, jitaidi kusikiliza sauti itakusaidia.

  • @AngelaJustine-x9m
    @AngelaJustine-x9m 5 місяців тому

    Portable device kwangu haiji

  • @maryjerome6649
    @maryjerome6649 Рік тому +1

    Shida yangu ni kwamba imesoma alafu storage haionekani yaani inasema this file is empty nifanyaje

    • @VCO_online
      @VCO_online  Рік тому

      Allow simu kusoma files kweny computer yako... Ukishachomeka USB, pangusa simu yako kushuka chini then utaon option ya kuruhusu simu ioneshe nini kwenye computer yako.

  • @SedaxAlly-v3p
    @SedaxAlly-v3p Рік тому +1

    Kaka naweka simu inaperaka charge tuu haiconnect

    • @VCO_online
      @VCO_online  Рік тому

      Baada ya kufungua THIS PC au MY COMPUTER ... Utaona simu yko apo, na kama simu yako haijaonekana, fuata maelekezo ya video hii itasoma...na uhakikishe umeiruhusu simu yako ku access mashine yako.

  • @efronmarvo3007
    @efronmarvo3007 11 місяців тому

    mimi yanakuja machaguo meng alafu siioni hiyo Mtp usb device naweza chagua kipi badala ya hiyo

  • @AngelaJustine-x9m
    @AngelaJustine-x9m 5 місяців тому

    Portable device kwangu haiji