- 15
- 31 694
VCO online
Tanzania
Приєднався 30 гру 2017
My channel will assist to learn on the use of computer and mobile phones as well as simple settings. So this channel offers online training Services.
Jinsi ya kupunguza matumizi ya bando (data)
Settings za kufanya kwenye simu ili isimalize MBs bila sababu.
Переглядів: 2 058
Відео
Jinsi ya kutumia bando la mwenzako (wi-fi & hotspot)
Переглядів 12 тис.2 роки тому
Hapa utajifunza kuingia mtandaoni ukiwa huna bando, na rafiki yako anabando.. utamwomba .. akikuruhusu fanya yaliyoainishwa katika video hii...
Distribution of world mining regions
Переглядів 312 роки тому
Jionee aina mbalimbali za madini na nchi zinazoongoza kwa uchimbaji wa madini hayo.
MY GRADUATION AT THE UNIVERSITY OF DODOMA UDOM NOV 2019
Переглядів 1145 років тому
An excellence place for learning.
Jinsi ya kutatua tatizo la USB kutosoma kwenye PC au Computer
Переглядів 5 тис.5 років тому
Video hii itakusaidia kuunganisha USB na PC yako au Computer kiurahisi. Tizama hapa ujue nini cha kufanya pale PC yako inapogoma kusoma USB WIRE.
JINSI YA KUWEKA AUTOMATIC TABLE OF CONTENT KWENYE KAZI YAKO.
Переглядів 8 тис.5 років тому
Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kuelewa hatua za kufuata pale unapokuwa unataka kuweka automatic table of content kwenye kazi yako. Hivyo jaribu kufatilia video hii kwa karibu ukiwa na PC au Computer yako pembeni kwaajili ya kuweza kufuatisha vitendo.
HOW TO INSERT PAGE NUMBERS IN MS WORD.
Переглядів 945 років тому
Video hii itakusaidia jinsi ya kuseti page namba kwenye kazi yako kama utakavyo. Yaani baadhi ya page ziwe na page namba na zingine zisiwe na page namba na kubadili format ya page number pia.
Wimbo wa Taifa
Переглядів 2,2 тис.5 років тому
Wimbo huu ulioambatana na bendera ya Taifa letu la Tanzania unaonesha uzalendo wa Nchi yetu na maombi kwa Mora juu ya Taifa letu la Tanzania. Ipende Nchi yako na Onesha uzalendo kwa Nchi yako, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Magufuli awasili na kupewa salamu ya heshima kwenye maonyesho ya miaka 54 ya muungano: DODOMA 2018.
Переглядів 1226 років тому
Ndelwa, V. D
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
Переглядів 2167 років тому
Usipate shida juu ya kufika Chuo Kikuu cha Dodoma na Viunga vyake, Ramani hii itakuongoza hadi kufika UDOM.
Mm nahitaj namba ako ya whtwap pleas unielekez vzr Kun seting niliifua lain moja haisom
Kaka mbona ukishafanya ayo yote zile edi zinabaki kuwa na lang ya blue na zinasogea mwanzo tunafanyaje kuziludisha kati na kubadilisha Blue kwend kuw kawaida??
Unajua kufundisha mwalimu,asante mwaya
Asante sanaa kaka
You're welcome...
Boss Kwang potable device haipo nafanyaje? Masada plz
Asante sana🙏
Portable device kwangu haiji
Portable device kwangu haiji
Thanks very much
Samaani Nan jinsi yaw kuweka page namba kwenye after table of yaani table of contents isiwe na namba ila kazi inayofuata iwe na namba
Sijakuelewa, sorry.
ua-cam.com/video/WkwDMEvUZIM/v-deo.htmlsi=U5KJLeIDZpk40P3Z Check it.. may assist you.
Keep up a good work
𝘈𝘴𝘢𝘯𝘵𝘦 𝘬𝘸𝘢 𝘴𝘰𝘮𝘰 𝘻𝘶𝘳𝘪 𝘬𝘢𝘬𝘢 👏
Amen 🎉
mimi yanakuja machaguo meng alafu siioni hiyo Mtp usb device naweza chagua kipi badala ya hiyo
Shukran sana boss
Kaka ubarikiwe sana umenipa knowledge nzuri
Shida yangu ni kwamba imesoma alafu storage haionekani yaani inasema this file is empty nifanyaje
Allow simu kusoma files kweny computer yako... Ukishachomeka USB, pangusa simu yako kushuka chini then utaon option ya kuruhusu simu ioneshe nini kwenye computer yako.
Kaka naweka simu inaperaka charge tuu haiconnect
Baada ya kufungua THIS PC au MY COMPUTER ... Utaona simu yko apo, na kama simu yako haijaonekana, fuata maelekezo ya video hii itasoma...na uhakikishe umeiruhusu simu yako ku access mashine yako.
Shida maneno haya onekani vizuri
Ni kweli, jitaidi kusikiliza sauti itakusaidia.
shukrani sana sasa ndugu yangu ili tatizo lilikuwa linanisumbua ila nilivyotizama hii video nimetatua tatizo
Poleee sanaa... Don't forget to subscribe. You're welcome...
@@VCO_online mim yanakuja maguo mengi sio matatu nakatika hayo mengi nimeangalia hiyo MTP haipo
Asante Sanaa, unajua kufundisha
Souti
Good job! Keep it up!
Great video! Thank you.
Awesome, keep it up.
hii ni hatari kwa afyaaa....!
hahaha...! vemaa sanaa.
big up boy....!