Mimi nimefata hatua zote. Ila kuna matatuzo haya nimekutana nayo 1. Bluetooth haifanyi kazi 2. Nyimbo zinagoma kucheza 3. Inagoma kuinstall apps 4. Naunganisha simu kwa usb inaconnect lkn siwez kuhamisha data kuingiza au kutoa kwenye pc maana haionekani Nini tatizo?
Jinsi ya kutengeneza Bootable USB => ua-cam.com/video/IJKeQkaEc7A/v-deo.html
Braza yangu inazingua
asantee sana, umeokoaa Hela ambayo ningempa fundi , nitabet
karibu
Nimekubar mzee nimepata darasa
Powa keep it up
Man kwangu bdo unaxumbua xan broo
Shida nini?
Ahsante sana mkuu Kwa elimu
Ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana mkuu
Hi po saf kabisa
Ubalikiwe sana
Amina, Na karibu
Vp kwenye kupiga window je internet unatumia
Dahhh nashida na ww sana
Aisee leo ndio naona hii comment, bado una shida nami?
Kuna option moja ya ktoa fraxh mbn hujaonexha iil nijue ni stage ip kati ya izo inahitj ktoa flash drive 😮@@teknolojia360
Ahsante sana brother! Naomba kuuliza hivi naweza kupata Windows kwenye Internet yaani naweza kupakua Windows bila kutoa kwa mwingine?
Kaka hili swali ulijibiwa
Kwenye lenovo unabonyeza f ngap
nimekuelewa mzee
f2 kwenye lenovo
Salute mzee
Ukiwa unaweka ikifikia stage gani unatakiwa utoe flash ???
Ila kwel mbn hajaonesha xxa 😮
saf sanaaa
Kuna PC zngne hazikutuhxu kuenflea mpaka uformat
Uko vzuri mkuu
Tam sana
Samahan naomba video ya kuboot flash
ua-cam.com/video/IJKeQkaEc7A/v-deo.html
Vp kiongoz
Poa, vipi?
Ok
Jinsi gan ya kutoka uko kweny boot il icjludxhe tena
Kwema kiongozi mimi natumia Samsung Chrome os vp unaweza weka window 11
Inawezekana. Cheki hii video ua-cam.com/video/hIa-D9kZnnU/v-deo.html
sema unakalilisha watu inabid uwe una fafanua iki manake nini ukifanya kinatokea iv mzee baharia
Nimehipenda
Ahsante
Nahitijikuwa mnyema kwenye copyut
jifunze
Hizo key unapataje mtaalamu kama ni window 8?
Kwan ww upo wapi? Mm na computer yanyu monitor yanu ina matatizo
Mimi nimefata hatua zote. Ila kuna matatuzo haya nimekutana nayo
1. Bluetooth haifanyi kazi
2. Nyimbo zinagoma kucheza
3. Inagoma kuinstall apps
4. Naunganisha simu kwa usb inaconnect lkn siwez kuhamisha data kuingiza au kutoa kwenye pc maana haionekani
Nini tatizo?
Mhhh
Ivi laptop ya kununua ambayo imetumika nini cha kuangalia kabla sijailipia
Tizama hii video hapa ua-cam.com/video/v3FK9E1oyX4/v-deo.html
Bro unatumia wsp tuwasiliane
Hujibu comment
Samahani, muda mwingine nakuwa sipo online. Kama una swali niullize telegram hapa t.me/teknolojia360Chat ntakujibu mapema iwezekanavyo
Pmj
nipe number yako kwa misaada mingine
Nicheki telegram t.me/sylvanux
nimeku bal
Huna group whatsap broo
Kaka naomba number ya Whatsapp
Nicheki telegram t.me/sylvanux