Jinsi ya kurekebisha kompyuta/laptop mbayo haioneshi chochote kwenye kioo
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #Jifunze jinsi ya kurekebisha kompyuta ambayo haioneshi chochote Kwenye kioo chako.
Tupeane maujuzi kidogo ya kuokoa fedha juu ya kurekebisha kompyuta zetu Kwenye matatizo madogo madogo
(maoni na ushauri au ukiwa una ujuzi Unapenda kuufundisha kwa jamii wasiliana Nasi @Loleza TV Kupitia @DONGO BZ +255759657353)
Kuangalia video ya kujifunza kutengeneza kompyuta
===============link=========
• Jinsi ya kurekebisha ...
/ @dongoads
Kuangalia #Video Full #mbinu za kuwa Tajiri
============link=======!=!!!
• kuwa Tajiri bila ya ku...
Usiache kusubscribe @Loleza TV / dongobzproduction
Nakubali Sana wanangu Leo mmeniokoa Sana mungu awabariki
Asante sanaa mkuu
good job
Mambo vp
Sawa
Salute
Samahani 😢lap top yangu inatoa wino upande moja utanisaidiaje😮
Computa yangu nmeweka ram 4 haiamki bado
Yangu kioo imekufa inawaka il kioo ndo aionesh
Nipe namba ya sm
Mzee umezingua yakwang ràm ipoo na inagoma
Ram IPO je iyo Ram ni nzima?..
Kama Ram ni nzima umejaribu kutumia monitor nyingine tofaut?
Je Vga cable uliyo tumia ni nzima?
Kama vyote viko Sawa #peleka Kwa fundi aliye karibu aweze kujua tatizo nn.
#Asante karibu Tena
@@dongoads Vyote vizima tatizo hapo kuna matatizo mawili la kwanza haionesh chochote ila ukiiacha kama masaa mawili au 10 inawaka
Tatizo la pili ni windo ten ukiwasha wakati wa kulog in ushamaliza kuweka password inaleta black screen sasa apo naomba utuletee tutorial za kusolve black screen
Imepita iyo nitaipandisha sio siku nyingi
Lakin Kwa upande wako tatizo bado lipo au umeshalitatua
@@dongoads na naangaika hapa kusolve ili janga🙉🙉
Pc yangu ina waka alafu kuna mda ina zima tatizo litakuwa nini.....?
Kama yangu 😢
JAMANI COMPUTER YANGU INASHIDA
Shida gani