Sarah Magesa - Wananisogeza Official Video
Вставка
- Опубліковано 8 кві 2019
- #DirectorAbson #SarahMagesa #MsalabaMEDIA
©2019 Administered by Msalaba MEDIA
Upendo, Upatanisho& Ukombozi
For Booking
+255767957191 /+255789456691
Email: msalabamedia@gmail.com
naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu ndugu na marafiki ktk Bwana kwa upendo mkubwa mnaonionesha hii si kitu kidogo kwangu. Inanipa nguvu sana ya kukaa miguuni mwa Mungu kumwomba usiku na mchani anipe neno kwa ajili yenu wana wa Mungu. NATAMANI KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHANGU LIKA MHUDUMIE MTU POPOTE ALIPO.Asante sana wadau wangu
Kila naposkiza nyimbo zako nazidi kubarikiwa sana Mungu azidi kukupa nguvu.
AMINA
Mungu akubariki dada
Lucy Kiwale Amen my dear
Ubarikiwe sana dadaa
Mungu hubadili maneno ya maadui zetu na kua baraka........Ubarikiwe
Nyimbo nzuli sana ubarikiwe dada
Whoever is watching may God bless you all🙏🙏
Thanks alot sarah
Thanks
Who is still watching Wananisogeza song 2021...thumb here please!!
Am here in 2024🥺🙏
...Thanx sis Sarah my namesake .you have made me to 😭😭 aky hii song inaongelea juu ya life yangu kipindi fulani...Glory to God of promotion
6yb me bnnnj you up hjkkllllppppphnnkkkpoppiujiiiii8
God bless you 🙏 my sister you have really touched my soul through the song
This song always give me hope when I feel depressed 😢❤️
You j
0
Hiyo song kila time na sikia nakumbuka ile time kila mtu alikuwa amenileta but God ni nani hakuniacha sasa hivi hao ndio wananitengemea wow siz be blessed tu sana...
Sarah asante kwakutoa hiyo wombo nikama ni mimi ulikuwa unatolea asante maisha yangu sai iko ju sana sikuwai juwa mamangu atawi pikia gas na kupika chapati tulikuwa tunatemewa mate sai wanaomba musahada kwangu
Nafarijika sana na wimbo huu
Huu wimbo ni Mimi aki,,
mungu amenitoa mbali pia
Ubarikiwe saa katinka maishayako dada sara
usijali
Barikiwa Sana dada wimbo mzuri Sana.💪💪💪
Huu wimbo wanitia moyo Kila kuchao ,be blessed
Walidhani sitoinuka Tena kumbe wananisogeza🙏🙏💃💃
asante mungu najua utaningarusha na kuabisha madui zangu
Barikiwa saana mtumishi wa Mungu nyimbo tamu saaaana
Asante sana six wimbo hii inanikumbusha pale mungu alinitoa ubarikiwe sana
Napenda hii Baraka za hizi muziki Mungu akubariki na kukuifadhi
Waibike sasa......walidhani watanimaliza kumbe waninisogeza
BARIKIWA SANA DADA YANGU
naipenda sana utanipa moyo sana ubarikiwe mummy
Asante dada huo wimbo imenifanya ni mshukuru Mungu because amenitoa mbali sana
Ahimidiwe.Bwana.kwakuwa.ni.mwema.sanaaa
Nice song dada mie natoka kenya hata mie ni msani mdogo bado sifika kiwango cha juu
Wimbo mzuri makini unagusa maisha ya wengi
Marshall yangu kabisa asante dada napenda nyimbo zako sana ni za mafunzo.
Hongela. Sana. Kwa. Kazi. Zuli. Sana. Huu. Wimbo. Wanifaliji. Sana.
wow!! maadui wafanyapo mabaya kwako kumbe wakusogeza kwenye utukufu asante mum
Amen am ttached so much mungu akufunulie zaidi
Napenda Sana huu wimbo,, huwa wanitia moyo Sanaa
mimi nmemuona Mungu kwenye mateso yangu
Nyimbo nzuri deep revelation in your songs. Nyimbo zako ziko na upako wà Roho mtakatifu kweli
I heard your testimony on wingu La baraka on Sunday it was Soo touching and surely there is God, being paralysed for 3 years and walk out of it strongly takes the hand of God. I am a testimony too, I suffered stomach problem for a whole year , I took medication till I become bankrupt but all was in vain, I just took a step of faith and here I am glorifying the name of God .
He's the living lord of miracles
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Glory be to Almighty God
Amen 🙏🙏
Ubarikiwe dada yangu
Woow ,ni kweli kabisa ,ni Mungu tu.dadangu,binadamu si wakutumainiwa
Nashukuru mola amenipigania na pia anapigania familia yangu ..... Japo tunayapitia ila mola naomba apigane na maadui wanaopigana na familia yangu....... Huu wimbo unanikumbusha mbali sana
I love you so much you are my montor
Nimelia sana after kusikia huu wimbo kweli najifunza kutoka kwa yusuf, nilikuwa na maisha ya unyonge hata ndugu wangu wa damu alinitema lakini leo Mungu imeifuta machozi yangu katika huu wimbo naweze wambia msikate tamaa
Amen
Mimi poa niliusikia ushuhuda wako Sarah on Milele fm Na mercy mmbone Na dj the frank yaani ilinitourch Tu sana hadi nikajiita kamkutano nikasema pia nami nitainuka tena
Glory be to God..wimbo wa baraka kwangu.
Hakika kwa kazi yako yote unaitaji million views dada. Ninaona unainuliwa sana. Uimbaji wako ni tofauti saaana nawaimbaji wa sikuhizi. Barikiwa dada yangu katika Christo.
AMen utukufu kwa Mungu wetu
Sara nashukuru sana ume to oa hii wembo na inaimba nadhani unaniambia miie Niko hivo kabisa mie😭😭😭 bt Asante sana kwa hiyo wimbo I m watching from Saudi Arabia DAMMAM kenya my country thenks Sarah ❤❤❤❤
Nikweli kube walinisongeza ariririiiiiiiii😗🤗🤗🤗
It is good if you have you problem just pray because nothing is impossible to God
The story of my life 😢 2009 -2010 God am here because you are liveth. I neva new I can have a life again🙏🙏. And I learn not to worship none other than you my Lord 🙏🏿💖🙏🏿.
😭😭😭😭waaah nazidi kunyenyekea mungu ni mungu kweli,wimbo wa hizo kweli.
walizan wananiangamiza kumbe wananisogeza aaaaaa barkiwa dada yangu nyimbo kubwa sana hiii.
Amina
When I want to coment on this I just shed tears 😭😭😭😭 instead.Mungu tu ndo ananijua vyema.
Imeniguza nilikuwa nadharsuliwa kamasijapata mtoi nikabandikwa majina hayakunipendeza Bali mungu akanijalia ,walidhani nitabaki vivyohivyo but kumbe wananisogeza be blessed mum I love that song
Shukrani Kwa nyimbo zako ambazo hutupa matumaini na kutubariki
Story of my life,trust God and share only with Him your problems not with humans,just like season people change,,,despite all those wakidhani wananitupa shimoni,kumbe wananisongeza..bless you servant of God
Hongera sana Sarah. Wimbo wako unanitia sana moyo. Barikiwa mjoli wa Yesu.
Wimbo mzuri,ujumbe mzuri na sauti nzuri hongera,Mungu Wa mbinguni aendelee kukupaka mafuta,nabarikiwa sana na nyimbo zako.
Aiiih this song is talking about me 😀 who told you my story , I have never sared with anyone if not God .
God uses different ways and speaks different people to become an answer to your questions and problems 😊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣you have made me feel encouraged,,tuko wengi kumbe
I am blessed with this song
I love this song because it encourages me
Msaada wetu watoka kwa Mungu pekee.
Watesi mnamambo? Bt n poa mnasongesa MTU kwa miujiza yake,m proud of t.watesi ujumbe hapa.asante mtumishi
Sarah I have watched and listen to all your songs, and I swear to God You are blessing to the world, am blessed. thanks mama and may God continually blessed your more and more Amen. Shalom
God bless you mam sarah,am blessed with song,walidhani wananimalisa,but they were pushing me to my destiny.
Mungu akubariki Min Sarah Magesa
Hayo ndio nilipitia mwaka 2020 through this song I thank God leo wananionea haya.
Madam Sarah Mungu akuweke kiwango yeye mwenyewe alikuita fanya kazi ya Mungu bila Shaka be blessed❤
Ameen😭😭😭walidhali wananimaliza kumbe wananisongeza.
Walidhani wananimaliza kumbe wananisongeza 🙏🙏 barikiwa sna dadangu Sarah mungu akupe neema y kuishi maisha marefu 🙏🙏
Hallelujah! Mungu mwaminifu sana
Nashkuru sana
Walidhani wananimaliza kumbe wananisogeza ee Mungu nipe testimony na mm 😭😭🤲🙏kwenye nipo n hili jaribu naamni nitatoka kw uwezo wako Mungu
Mung akutangulie
Umeguza moyo wangu Sarah na nyimbo za sifa
Today am so much Blessed l know all will come to an end in Jesus might name Amen Amen 🙏
This song oga.may God bless U gal.u have really touched my heart
Amina.God bless you mum hakika nyimbo zako za.n bariki.na kunifariji nkiwa ,,,
🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Usidharu mtu kwaiona Leo yake mungu anamipango gani nae Kesho yake wacha mungu aitwe mungu.
Najua ipo siku ntafanya ushuuda kwa hii magumuu napitia sai😢😢
Huu ndio wimbo maadui wakiskiza wanabadilika kuwa marafiki barikiwa sana.
Moses Mulama Asante
Thank you so much woman of God,I listen to this song everyday but today av got a very deep revelation thanks to the Holy spirit.Keep up the good work God bless you so so much🙏 ...Love from Kenya💞
Wimbo huu umenigusa na kuniinua zaidi umezungumzia mapito
Barkiwa san dada
This song was sang when i was undergoing soooo much....my business my marriage but kumbe walikua wananisogeza.....I love this song.
Sarah the so much for this song...nilikua nimeluz hope in life after my husband kuniacha nakuoa another woman..life ilichange nilicome across this song kwa my friend ilinipatia nguvu now life iko good until my husband ananitafuta .kweli mungu ni mkubwa
Ubarikiwe sana mama kwa wimbo mzuri mungu akubariki sana! Ila shauri langu nikwamba, katika nyimbo zako zote jaribu kuwandaa michezo mizuri kwa wavijana wako, iwe michezo ya kumpa mungu utukufu kama nyimbo zako, inamana michezo yetu sisi wakristo isiwe kama ya kidunia, waimbaji wa nyimbo za kidunia wacheze iyo michezo na sisi pia tuicheze iyo iyo apana, sasa kutakuwa tofauti gani na sisi tunawahubiria wao?hata kuvaa kwetu kujipamba kwetu kusifanane na wanawake wa kimataifa. Asante sana kwakunielewa mtumishi wa mungu na mungu akubariki sana amena!
That's me,umeuguza moyo wangu,Ubarikiwe sana
Mungu nifungulia milango iliyofungwa Na shetani Kwa Maisha yangu..
Dah,huu wimbo jamani, MUNGU AKUTUNZE sana dadangu
Am encouraged by this song! Despite kufika mwidho kwangu.....God is coming for my rescue
Barikiwa na huu wimbo dada ubarikiwe sana
Maadui wameshindwa kabisa,nawatashindwa milele,Amina dadangu,barikiwa sana
I love the way she sings eh the passion oh!!
ukweli kapisa Mimi nimjo mwenye iyo wimbo inakusa ubarikiwe tata
Oh God you are not like men! Loneliness almost finished me! But God came through for me! Thank you for this song
Mungu Akubariki Sana mpendwa Wa Bwana, Nakutakia Baraka Za Bwana.
Uko sahihi Mtumishi Barikiwa sana Dada angu umenigusa sana naomba ata no yako By James Donald Nyantanero in Rockcity Mwanza
Nilikuwa na subiri sana videos niione hongera sana kazi nzr
I have fallen in love with your songs. I have known you through God.
Amenoooo
Na mungu akubanuwe sanasana katika Jina la yesu 🙏❤️
I see another Martha mwaipaja in you 👏👏
Can't get over this song. It's powerful and encouraging.
Me too
This really reminds me of I have gone through,indeed God is the secret teller.,thanks much for encouraging me,am so blessed.
Mungu akupe nguvu na fikira uendelee hivyo kumuabudu saidi
Wimbo huu umenibariki sana. Mungu Akubariki.
Your songs are powerful when i pay antation to your songs ther's breakthrough whn i'm praying may the lord up lift you mum.
Such a wonderful massage woman of God.I needed this today...be blessed sister in Christ
This is powerful message for those who know Kiswahili language.Be blessed woman of God.
AMEN
Walizani wAnanimaliza. Kumbe wananisogeza. Barlikiwa sana
Edwin Kihore thenks my dear. give me sport plz
imenigusa moja kwa moja, barikiwa zaidi MTUMISHI, more grace to you
Walidhani wananimaliza kumbe wangejua!!! Barikiwa sana mama.
Unaimba kwa upako Sana dada Sarah magesa, nyimbo zako zinamguso sana
Erycon Jackson sifa Kwa YESU rafiki yangu