Kama muumba wako akakukubalia nyimbo zako, kwa Nini hawezi kukubali uriti wako katika ufalme wake? Aksanti Sana dada nyimbo zako zime gusa kila mara moyo wangu. Mungu abariki maisha zako. Mangili KALONDA David , Kolwezi RDC.
Wah...marafiki kweli ndio wauaji wako wa kesho..tazama dada anavyokaribishwa hila yeye lengo lake ni mbovu kabisa juu ya wivu...hata hivo mungu akiwa upande wako ni salama...
Aki mwenyezi azidi kukulinda na kuipanua mipaka yako ya uimbaji Dada,ujumbe huu mzito mia bin mia. Na abarikiwe yeyote yule atakayepata kukiskiza kibao hiki pia.
To everyone watching this song, may THE LORD frustrate every wicked expectations against your life. You will live to declare the goodness of THE LORD in the land of the living. Shame is not your portion.
Nakupenda sana ww dada huu Wimbo uneniimbia mm, niliambiwa sitohitim shule lakini nilitoboa, walisema stopata kaz, Leo hii ndo wanaomba kwangu, walisema staolewa lakini wao ndo alikuwa wa kwanza kuchukuwa mahali yangu, walisema stoza Leo hii nina watoto watatu, wakasema nitaishia kupanga Leo hii naitwa mama mwenye nyumba, huyu Mungu si mwanadam na pia wasubili nataka niwashangaze ili wajifunze
Kama unaskia tokea Kenya gonga like

yesu.ni.mwema.maadui.wamesha.feli
Utukufu mmoja Hadi mwingine
Kazi safy mamy
Aki mwenyezi azidi kukulinda na kuipanua mipaka yako ya uimbaji Dada,ujumbe huu mzito mia bin mia. Na abarikiwe yeyote yule atakayepata kukiskiza kibao hiki pia.
Tito from Kenya, mimi sijafa bado naishi, wewe ni wa baraka kweli.......
Kweli kabisa. Blessings ❤
Dada nabarikiwa na nyimbo zako barkiwa sana
Nyimbo nzuri yanibariki sana
To everyone watching this song, may THE LORD frustrate every wicked expectations against your life. You will live to declare the goodness of THE LORD in the land of the living. Shame is not your portion.
Those waiting for my downfall will only witness my success that is when they'll realise that God is no one else village mate
Nitalia kidogo nitanyamaza ata kama wameniumiza
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kz yako ni njema
Watasubuiri sana
My head just dancing in the car
Amina....Mungu wa Ushindi yupo Nasi
Wanaosubiri aibu yangu watasubiri sana Na bado Mungu ananipenda sana
Nyimbo za Sarah magesa huwa zinanibariki 🇰🇪🇰🇪
Waliosuburi nife. Watasubiri sana
Aminaaa injilisiti wa Mungu
So nice from Kenya ilove ur music 🎶
MUNGU AKUTUNZE MTUMISHI WA MUNGU.WIMBO NZURI SANA
Je suis ravie de joie quand je coûte tès chansons je suis au Cameroun je veux contre sa en français merci beaucoup de m'écouter
Mimi sijafa,watasubiri sana nipo na Yesu
Sarah Ubarikiwe nyimbo iko vzr Yesu akutunze zaidi
Ujumbe wa wimbo huu umenihudumia kwa kiwango kikubwa sana, nimeinuliwa tena
Amina. 🇰🇪
Amen,,,watangoja sana maadui
Watasubiri sanaaaaa.....hadi kiwarambeeee
from Kenya kakamega following you ilike the songs🔥🔥🔥🔥
Sauti nyororo inayo mtoa nyoka pangoni
My dear I love you so much God bless you so much that's true
Asante sana dada Kwa ujumbe ambao una2pa kupitia nyimbo, akika ninafarijika sana ninapo sikiliza nyimbo zako, Mungu azidi kukupigania siku zote,❤
Nakuelewa sana rafiki nyimbo zako zinaniinia
Nyimbo hiii aichosh
Wanaosubiri aibu yangu watasubiri sana, kwa jina la Yesu
Amina amina thus my song mimi cjafaa oooh after kupata accident last month mungu aliniona niliamka bila kujaruhiwa
Tumsifu bwana daima na milele
nyimbo nzuri sana
Kupigwa vita ni kawaida hainisumbui, mimi ni mti wenye matunda lazima nipigwe mawe❤️❤️❤️I love this line
Wata subiri sana!
Waoh.....🎉 Hiii song inanijenga kiimani
Bado watasubiri saaaana
Very powerful 💪
Hakika nyimbo za huyu dada zinanguza mbingu ...hallelujah
Magesa umebarikiwa sana mamaaa keep it up...nyimbo zako zinaniinua sana kiroho na kinitia nguvu
Have 😢no words, so inspiring,,let God take chance in our daily battles ❤
Wimbo wangu pendwa sana watasubiri Barikiwa dia ujumbe mzuri sana
Watasubiri sana amina ❤❤
Barikiwa sana my sister❤❤❤❤
❤Kazi nzuri sana
Amen Amen watasubiri sana, nabarikiwa nikiwa saudi
Hallelujah glory to God hautakufa utaishi kuona ukuu ya mungu wetu God bless you mummy
Nkweli watasubrisana❤❤
Nyimbo imenigusa xna asante sana Dada kwa hii nyimbo yako yenye ujumbe mzito ,barikiwa
Wimbo mtamu
Oooh yes ,Mimi sijafa ,,madui zangu mtasubiri sana ,,YESU 🔥🔥🔥🔥🇧🇭🔥🇧🇭 Ako upande wangu wow be blessed my sister
mungu amenibeba nakuniweka juu saidi mawingu.
Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa mungu uzidi kuinuliwa kwa viwango vya juu❤
Ubarikiwe sana
Utukufu Kwake Mola
Heard hii ngoma,
for the first time, on the morning of 13/9/2023 on Citizen na nikaipenda immediately. Even the name of her was for the first time.
What a prophecy...my sister in addition I say ....waliosubiri aibu yangu watasubiri sana
mbingu imekubali wimbo wako dada, Ameen. keep pressing on
AMEN.
Baraka tele Mungu akuzidishie 🇰🇪🇰🇪 we love you
Dada Sarah the song reflect me directly...be blessed
Waliosubiri aibu yangu watasubiri saaana 😊
Nyc one Sarah would like to meet you,,, really love your songs
Powerful. Hii moto sana
Powerful
Amena Magesa good vibes
Barikiwa my dear.....
Watasubiri sna,. Amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana mama
Asante sana dada yangu mungu akusongeshe kwenye hatua nyingine.nyimbo zako ni za baraka sana kwa maisha yangu
heshima kwa dada yetu Magesha, Nyimbo tabu,mafunzo tele,baraka mingi kwake
Be blessed mtumishi
Amen watasubiri sana🙏🙏
Wow very nice good song
From Nairobi,kazisafi❤❤
watusubiri sana tena sana💃💃💃💃💃💃💃
Mungu akuinue viwango vya juu mnoo..ujumbe umenivusha dadangu!
Oooh yes my testimony 🔥🔥🔥 nipo bado
Waauuhh
I love ❤️ all your songs my dear
Especially this one ❤
Am blessed with this song kazi nzuri dadangu
Wimbo mtamu sana. Watasubiri sana hadi wachoke.
Very powerful message, waliosubiri aibu yangu watasubiri sana. Hongera dada Magesa
Ameen 💃🙋♀️
Asante sana waliosubiri nifewatasubiri sana. Baraka ❤️❤️❤️❤️
Watasubiri sana...😂😂😂
Barikiwa sana mtumishi Sarah Magesa huwa nyimbo zako hunikariki sana mungu akulinde akuinue kwa wimbaji 💪 wako barikiwa ❤
Barkiwa zaid Dada Sarah !!!!!!!🙏🙏🙏
Powerful one ❤❤🎉🎉
Amina ...it is powerful Song
Amen waliosubiri aibu yangu watasubi sana 🙏🏽barikiwa sana dada Sarah
Wimbo ulio na uzito wa maneno ya afya ya nafsi. Barikiwa sana dadangu.
Nakupenda sana ww dada huu Wimbo uneniimbia mm, niliambiwa sitohitim shule lakini nilitoboa, walisema stopata kaz, Leo hii ndo wanaomba kwangu, walisema staolewa lakini wao ndo alikuwa wa kwanza kuchukuwa mahali yangu, walisema stoza Leo hii nina watoto watatu, wakasema nitaishia kupanga Leo hii naitwa mama mwenye nyumba, huyu Mungu si mwanadam na pia wasubili nataka niwashangaze ili wajifunze
Barikiwa Sana
Barikiwa Sana
Barikiwa Sana
Barikiwa Sana
A very encouraging song, that is reality music
Sarah you are the best
Kweli kabisa watasubiri sana waah good song my sister
Wonderful song be blessed mtumishi
Amen 🙏 hakika wata subiri sana