HONGERA BABA ASKOFU MKUU ISACK AMANI JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @neemamlemwa8074
    @neemamlemwa8074 4 роки тому

    Nataman kumrudia mung wangu kwa hizi nyimbo nmekumbuka mbal sana

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 6 років тому +2

    Hongera Baba Askofu Mungu akuongoze vyema ktk kazi ya Utume wako

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 10 місяців тому

    Nakumbuka hii misa nilikua Arusha tech mwaka wa pili daaaah siku zinaenda sana

  • @saveragomo6896
    @saveragomo6896 6 років тому +2

    Hongera Baba Askofu Isack Imaan karibu Arusha ,Mungu akuongoze katika utume wako

  • @lucythadey2928
    @lucythadey2928 6 років тому +1

    hongera Sana baba askofu isaac Amani tuta kukumbuka Sana Wana jimbo la moshi

  • @josephrobart7648
    @josephrobart7648 5 років тому +2

    Hongera Sana baba yetu

  • @graysonjohn1080
    @graysonjohn1080 6 років тому +2

    inapendeza saana Mungu akuongoze katika utume wako

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 6 років тому

    Nafurahi sana kuona Rais wangu akihudhuria matukio mbali mbali ya kanisa Mungu ambariki na kumuongoza vyema katika kazi ya kulijenga taifa

  • @mariethapesha593
    @mariethapesha593 6 років тому +1

    Hongera sana Baba Askofu Aizack Amani

    • @tedyshayo661
      @tedyshayo661 5 років тому

      Hongera Sana baba askofu amani katika wito wakoo

  • @chengelugomela9405
    @chengelugomela9405 5 років тому

    Hongera sana Mungu akuongoze

  • @safaritourtravel7501
    @safaritourtravel7501 6 років тому +2

    Hongera baba.

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 6 років тому +2

    Hongera sana, naona na Wamissionary wa Afrika (White Fathers) wameudhuria hapo. Na rozary zao kubwa shingoni inapendeza sana kwa kweli.

    • @gastorymsaki5689
      @gastorymsaki5689 6 років тому +1

      Hongera sana baba. Mungu akuongeze kuwachunga kondoo uliokabidhiwa.

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 6 років тому

      Gastory Msaki, kwa kweli inapendeza sana ni jambo la kheri

  • @amosihendry6372
    @amosihendry6372 6 років тому +1

    Mungu azidi kukupa maisha marefu baba askofu Izack Aman

  • @rinahmichael944
    @rinahmichael944 6 років тому +1

    Hongera baba askofu mkuu

  • @josesang1432
    @josesang1432 5 років тому

    Hongera baba askofu

  • @mwanakaikazejoniur262
    @mwanakaikazejoniur262 5 років тому

    Hongera baba Isack

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 6 років тому +2

    Mungu akubariki siku zote za Huduma Takatifu. HONGERA BABA.

  • @andreayohane5800
    @andreayohane5800 2 роки тому

    Lawrence kameja

  • @faridauk4467
    @faridauk4467 6 років тому +2

    Inapendeza kwakwery adiraha

  • @neemamlemwa8074
    @neemamlemwa8074 4 роки тому

    Inanikumbusha pindi bado naimba kwaya

  • @faridauk4467
    @faridauk4467 6 років тому +2

    Wachawee

  • @safaritourtravel7501
    @safaritourtravel7501 6 років тому

    Idara tunaomba tuweke angalau misa yote kama wanavyofanya Vatican Media