Rais Samia Afafanua Sababu za Panga Pangua za Mawaziri

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 48

  • @nataemsuya
    @nataemsuya Місяць тому +3

    Zetu dua, maana sio rahisi kuongoza watu🤲😘

  • @amonmtyani991
    @amonmtyani991 Місяць тому +3

    Hongera mh.Rais kwa uboreshaji wa baraza la mawaziri kiutendaji.
    #Matokeochanya
    #Sisinitanzania
    #DRSSH

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 Місяць тому +8

    Masauni hajafanya vizuri mambo ya ndani mpeleke makonda anaweza hata onea

  • @Isongabuhili
    @Isongabuhili Місяць тому +2

    Mama kasema serikali in ile ile, sheria ni zile zile, kazi iendelee.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Місяць тому

    Hongera mama.maendeleo tunayaona,barabara,maji,umeme hadi kijijini kwetu,reli ,shule,hospital nabima toto imerudi tena. Hongera sana mama .Kazi unaichapa

  • @isakhamisi8923
    @isakhamisi8923 Місяць тому +1

    Yote gharama hiyo kuwasafirisha hawa wote kutoka dodoma mpaka Zanzibar kwani hii shughuli c ingefanyika tu dodoma kuokoa mamilioni yaliyotumika.

  • @onehouronlinetv1893
    @onehouronlinetv1893 Місяць тому

    Kazi zipi nzuri ambazo masauni kazifanya?

  • @JuhudyMachete
    @JuhudyMachete Місяць тому +1

    Watekaji wako wapi mama kama kama Kuna kitu kinatuudhi ni WA Tanzania kutekwa na watu wasiojulikana tuna uchungu sana na wenzetu waliopotea

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 Місяць тому +3

    Hahhaaaaaa hiii nchi ngum sana

  • @AndrewMapesi
    @AndrewMapesi Місяць тому +1

    Hongera xana kwakuliona hlo ,nashukulu kwakua na taa kubwa ,haswa upande wawizara yamambo yandani ,najua kua we ni muski vu naomba mungu akupe hekima hli utoapi maamuzi yawe maamuzi ya haki yenye faraja kwa weng,

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 Місяць тому +1

    Mama wewe ni muelewa sana,nimependa sana hii salamu ya jamhuri,kwa ajili kulikuwa na watu ni viongozi wa dini lakini inapokuja kiongozi wa dini tafauti anapokuwa madarkani wanakuwa wanatoka kwenye imani zao ili kujipendekeza au kuwaridhisha viongozi husika,hii nakusalimieni kwa jamhuri ya muungano wa Tanzania imekaa sawa kabisa

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 Місяць тому +2

    Yule aliyetutaka tuhamie Burundi bado hajaenguliwa

  • @StarGwanta
    @StarGwanta Місяць тому +10

    Sikuzote kuteua ndo imekua kaz yake kubwa ndo anajiona amefanya kaz sana huku nch inateketea kwanza hotuba zako hazivutii hata chembe

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 Місяць тому

      Star...hakuvutii wewe.Sisi wengine inatuvutia

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Місяць тому

      ​@@joscamwoshezi2986hata Mimi hainivutiii

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Місяць тому

      ​@@joscamwoshezi2986hata Mimi hainivutiii

  • @thomkandonola5059
    @thomkandonola5059 Місяць тому +2

    Pongezi kwa mama kwa kuona jicho la pili kwa watendaji haoo,,,kazi ieendeleee

  • @HenrySamwel-k3x
    @HenrySamwel-k3x Місяць тому +1

    Masauni kafanya mazuri gani wakati usalama wetu uko mashakani ,watekaji hawajulikani.

  • @barozabwimba3654
    @barozabwimba3654 Місяць тому +2

    Tunataka hutuba ya watekaji wako wapi toka umetaka watafutwe hawajapatikana 2 mh rais nchi niyawananchi wanaotekwa

  • @mandileykiritokangai3042
    @mandileykiritokangai3042 Місяць тому

    Asante mama

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 Місяць тому +3

    Kila mwaka mabadiliko inafanyika haraka haraka mbona maendeleo hafanywei haraka hivyo ?

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako Місяць тому +1

    Panga pangua bila maendeleo inasaidia nn wakati hawa wateule wako hawajui maendeleo na kazi uliowapa

  • @barozabwimba3654
    @barozabwimba3654 Місяць тому +1

    Watekaji wakuwapi mkuu

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 Місяць тому +3

    hii mabadiliko ya Rais Samia atabadisha mbaka siku moja ataenda kuchukua mtu Mirembe aje apewe kazi na Watanzania wataendelea kupiga makofi na kushangilia

  • @KostaJoseph
    @KostaJoseph Місяць тому +2

    RAIS WETU KIPENZI UKO VIZURI SANA KWA KASI YA MAENDELEO YA WATU NA MIUNDO MBINU TUNAKUPENDA SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU TUNAKUPA MITANO TENA RAIS WETU

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому

    Kuna maeneo ya Dar Mpiji Magoe na Kilimanjaro Vijijini hakuna mawasiliano ya simu. Huenda shida ni minara.

  • @jacobmwalusamba4478
    @jacobmwalusamba4478 Місяць тому

    Mama kwani wazuri wa fedha anafanya vizuri?

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v Місяць тому +1

    Umi mwalimu kapelekwa wapi?nauliza

  • @Abdul-latifJuma-nr6hf
    @Abdul-latifJuma-nr6hf Місяць тому

    Wala haamkitena'mpaka kiyama

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv Місяць тому

    Natamani ukifa kesho maana huna kurazetu

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Місяць тому +3

    Mwalimu angeamka akakuta mambo yalivyo sijui angefanyaje

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 Місяць тому

      Acha upuuzi mwalimu ndio nani au Mungu

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 Місяць тому

      jitafakali ukiona nzii wanakuzonga kichwani basi akilimavii

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Місяць тому +2

    EE MUNGU NAMUOMBEA UJASIRI WA KUJIUZULU HUYU MAMA
    HIKI KITI KINAMTESA NA WANANCHI WANATESEKA
    EE MUNGU UMPE UJASIRI AAMUE TU KUJIUZULU!!!

    • @kiatu
      @kiatu Місяць тому +1

      Urais si rahisi 😢

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp Місяць тому +1

      Kwanini kuwazungusha Wale Wale wanapo onekana hawawezi wkt kuna Watanzania wengi tu na wenye elimu za kutosha kushika madaraka, wengine ni kama wamechomewa hawaguswi wengine ndio hivyo watoto wakina Fulani wakiharibu Wana hamishwa wizara nyingine kama vile ni majaribio haya Subra yavuta kheri.

  • @DanielErio-dz2rb
    @DanielErio-dz2rb Місяць тому +1

    Mambo mengine tutanongona Kwa Siri

  • @AndrewMapesi
    @AndrewMapesi Місяць тому

    Hli nch hii hipge hatua nimuda muafanka wazli huska atokane na taakuma yake hli anapo tukosea tumushtk kutokana na taaluma yake hifike mahar tuache usanii

  • @kadlovetv
    @kadlovetv Місяць тому

    Samia suluhu hassan jembe