VIDEO: KUSIMIKWA ASKOFU FILBERT MHASI JIMBO KATOLIKI TUNDURU Masasi 17.02.2019

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @queenkahindi5995
    @queenkahindi5995 3 роки тому +2

    Wow gonga like wote tulokuwepo siku hiyo,karibu baba askofu Philbert Muhas

  • @davidremmymsinjili8974
    @davidremmymsinjili8974 5 років тому +3

    Nimefurahi sana kumuona mhasham Agapiti Ndorobo na vijana wake, mhasham Libena na Mhasham Mhasi.

  • @kasembealakwe3578
    @kasembealakwe3578 3 роки тому +1

    Amina sana nimebarikiwa sana kwa utatu huu.

  • @laurenceshija558
    @laurenceshija558 5 років тому +2

    Hongera baba askofu mwenyezi akutangulie nakutakia utume mwema, tumsifu yesu kristu

  • @danielandekisye6136
    @danielandekisye6136 5 років тому +1

    Mungu akuongoze katika kuchunga kondoo wake, Hekima ya Mungu ikuongoze daima Baba Askofu wetu mteule.

  • @robertshiwa6497
    @robertshiwa6497 3 роки тому

    Mbarikiwe Sana watoto wazuri kwa uinjilishaji huu

  • @irenemassawe1257
    @irenemassawe1257 5 років тому +1

    hongera sana askofu👏👏👏👏👏👏👏👏MUNGU akutie nguvu katika utumishi wako

    • @zawadikitime233
      @zawadikitime233 5 років тому +1

      Mungu wa mbinguni ametenda kwa wana masasi

  • @raimundomarcaldecarvalho950
    @raimundomarcaldecarvalho950 3 роки тому

    O Senhor da Vida abençoe este povo irmão.

  • @rebekachanga8100
    @rebekachanga8100 5 років тому +1

    mungu akuongoze ukatende kazi ya bwana vyema

  • @nickolausjosseph9770
    @nickolausjosseph9770 5 років тому +2

    Mungu akuongoze baba

  • @المهلهلالحراصي
    @المهلهلالحراصي 5 років тому +1

    Mungu akutangulie kiongozi wetu wa dini mungu uwaite na waschana wengi waingie utawa kama huyu ulivyo muita kwenye utume wako

  • @sarahpelaji4930
    @sarahpelaji4930 5 років тому +1

    Mungu akutangulie Baba Mhasi

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 5 років тому +4

    Mungu Akuongoze Katika Uongozi Wako Mungu Akubariki Sana

    • @nouratana6463
      @nouratana6463 5 років тому

      Nabii Kacou Philippe :
      10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.

  • @agnessilago189
    @agnessilago189 5 років тому

    Mungu akuongoze katika uchungaji wako askofu mhasi

  • @nyotasingers
    @nyotasingers 5 років тому +1

    Naombeni nota za hiyo nyimbo inacheza mwanzo

  • @olyverzongo9921
    @olyverzongo9921 5 років тому

    Mungu akuongoze katika uongozi wko

  • @nyngb5
    @nyngb5 5 років тому +3

    Mungu amuongezee nguvu katika utume na kuchunga kondoo zake kwa moyo wa upendo.

    • @toahiwilfried3794
      @toahiwilfried3794 5 років тому

      Kc. 59:65 Suluhisho la matendo yote ya Shetani katika makanisa na katika maisha ya watu leo ​​haipatikani katika kitabu chochote cha Biblia isipokuwa katika kitabu cha nabii Kacou Philippe.

    • @brandinakalinga1720
      @brandinakalinga1720 5 років тому

      Jaman wimbo unaitwaje naombeni jina la wimbo au kama. Kuna CD niambien inaitwaje kwan wimbo ni mtamu sana

  • @edwigaupendo
    @edwigaupendo 5 років тому

    Naiomba hiyo audio please please....ya Bwana Asema

  • @jamilaally9567
    @jamilaally9567 5 років тому

    ukiwa mkristo harasan pale tu ukiwan na iman ya kweli

  • @norowalter7039
    @norowalter7039 4 роки тому

    So colour ful

  • @sikatendedominique6353
    @sikatendedominique6353 5 років тому

    Mungu nimwema kila wakati

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 років тому +1

    Ilikuwa ni tukio la kihistoria jimboni kwetu TUNDURU-Masasi karibuu saanaaa mchungaji mkuu wa jimbo letu la kikatoriki TUNDURU-Masasi baba Askofu Filbert Felician Mhasi

  • @clevermgumba8284
    @clevermgumba8284 2 роки тому

    Tulibarikiwa kufanya nae kazi mahenge pamoja na baba askofu Ndorobo nikiwa natokea Iringa kwa Baba askofu Ngalalekumtwa....Mhasi anaderserve kutuongoza kiroho nikiwa chair TYCS mahenge alitupokea kama wanae nakutupa nafasi ya kufanya mabadiliko chanya....UTUME MWEMA NAWAONEA WIVU WATU WA TUNDURU KUPATA ASKOFU KIJANA

  • @toahiwilfried3794
    @toahiwilfried3794 5 років тому

    Kc. 59:65 Suluhisho la matendo yote ya Shetani katika makanisa na katika maisha ya watu leo ​​haipatikani katika kitabu chochote cha Biblia isipokuwa katika kitabu cha nabii Kacou Philippe.

  • @ramadhanimakenzi2140
    @ramadhanimakenzi2140 5 років тому +1

    Amani, mapendo na matumaini vitawale rohoni mwake

  • @gabrielshewio6599
    @gabrielshewio6599 5 років тому

    Inapendeza kabisa kuona wachungaji wanapatikana katika formal way

  • @paulinbehi9577
    @paulinbehi9577 5 років тому

    Nabii Kacou Philippe
    10. Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.

  • @nyngb5
    @nyngb5 5 років тому +7

    Tunaomba misa yote.

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 років тому +2

    Bwana asema 'chunga kondoo wangu' Roho wa Mungu akuongoze.

    • @lawrencechando7564
      @lawrencechando7564 5 років тому

      Ni kwaya gani hiyo na jina la wimbo tafadhali kama waijua

  • @henoczoundi2986
    @henoczoundi2986 5 років тому

    4. Tangu kuzaliwa kwangu mpaka 1993, niliona kila mara ya kwamba ukweli upo tu katika kanisa katolika kwa hiyo, nilipo pokea ono, ni kwa askofu wa katolika nilienda kuelezea. Na alipokuwa akisema, nilijiswali namna gani niliweza kuvutiwa na makasisi hao tangu utoto wangu? Mara hapo nikawa kabisa na kiu ya ukweli kwa hiyo mnamo mei 1993, nilikuwa mshiriki wa kanisa la wabatisti. June, nilikuwa mshiriki wa kanisa moja la kiinjili. Agosti, nilikuwa mshiriki wa kanisa linguine la kiinjili. Septemba, nilikuwa mshiriki wa kanisa linguine. Kisha tena ingine. Kisha nikabaki nyumbani sijui niende wapi. Nilifunga chakula karibu kila siku wakati mwanamke mwalimu wa shule alinipa kijitabu cha William Branham. Nilitafuta mimi binafsi na nilipata kanisa moja la kibranhamisti. Na nilibaki humo hadi machi 2002 ninapo tafuta nabii aliye hai kama William Branham.

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 5 років тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @donmoiseodje8408
    @donmoiseodje8408 5 років тому

    3. Ufunuo 16:13 inasema: «Na nikaona roho tatu chafu kutoka kinywani mwa joka kama vile vyura». Je, Ni roho gani hizo tatu za vyura katika Ufunuo 16:13? Je, ni mapepo tatu gani hawa wanaozunguka duniani? Hakujawahi kuwa na mtu aliyefunua utambulisho halisi wa mapepo haya matatu kama wanavyofanya kuhusu Ufunuo 17 ambayo ni Kanisa Katoliki la Roma.
    4. Kwa hiyo, nilifunuliwa na Malaika wa Aprili 24, 1993 kwamba utatu huu wa kishetani kama vyura ni Uislamu, Ukristo na Uyahudi. Ufunuo 16:13 inasema kwamba hizo ni roho za joka na za manabii wa uongo waliyotoka ili kushinda dunia. Uhindu na Ubuddha na dini zote pia ni za shetani lakini wale roho watatu wa vyura wa Ufunuo 16:13 ni: Uislamu, Ukristo na Uyahudi. Dini hizo tatu zajidai kuwa za Ibrahimu. Dini hizi tatu zinamwamini Musa. Dini hizi tatu haziwaamini manabii walio hai, lakini kila mmoja ajidai kuwa wa nabii ambaye hakumjua. kila mmoja wao ana kitabu chake kitakatifu. Na wale watatu hawahitaji nabii aliye hai lakini wanamngojea Masiya japo Masiya ndiye nabii. Ni mapepo tatu za vyura katika Ufunuo 16:13

  • @meckmlengule6370
    @meckmlengule6370 5 років тому

    Goood

  • @deborahkacou6026
    @deborahkacou6026 5 років тому

    9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake.

  • @charlesyao1427
    @charlesyao1427 5 років тому

    1. Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
    2. Niliongoka tarehe 24 aprili 1993 kulingana na Daneli 10:4 hadi 11 katika ono ambamo nilijikuta wima juu ya mchanga wa bahari, kisha, juu ya kipeo cha piramidi ndefu, kisha tena juu ya mchanga wa bahari mahali pengine na nikaona kutoka kilindi cha bahari lori lenye kuzeeka kuja nyuma yangu. Niligeuka na nikaona ya kwamba ndani yake kulikuwa watu hai. Walikuwa ni wanawake na moja wao alikuwa chotara
    3. Kisha, njiwa wawili wakaja kwangu na wakaenda mara tena juu ya maji. Na kukawa na patwa jua (mwezi), halafu mtu aliyefanana wingu na mwenye kushika Upanga akashuka toka Mbinguni pamoja na mwana Kondoo na dunia ikaangazwa tena. Walisimama juu ya maji na mwana Kondoo akaanza kusema nami kwa lugha isiyo julikana. Sauti yake iliingiya ndani mwangu na nikaanguka kama mfu. Nafsi yangu ikaenda kusimama pamoja nao juu ya maji wakati mwili wangu ulilazwa juu ya mchanga wa bahari. Alipo maliza kusema nami, nafsi yangu ikanirudilia na nikawa tena hai lakini sikuwaona tena.
    4. Halafu kundi la watu likanijia kutoka upande wa kuume na nikawaswali kama waliona Malaika na mwana Kondoo. Walisema : « Hapana ! ». Na nilisema: « Basi namna gani hamukuona Malaika na mwana Kondoo na yote walifanya ? ». Walijibu : « Hatukuwaona Malaika na mwana Kondoo wala hatukusikia Maneno aliyo yatamka mwana Kondoo bali tunaiamini kabisa kwani kile tulicho pewa na Mungu ambacho Shetani alichukua sasa imerudishwa kwako upya ». Nikainua macho na nikaona ngazi imesimamishwa kati ya dunia na mbingu juu ya maji na malaika walikuwa wakipanda na kushuka. Na Ono likakoma na nikahisi ile ninayoijua leo kuwa Roho Mtakatifu na nililia na nikaamini Mungu mara hapo.
    5. Siku iliyo fwata karibu saa tisa ya mchana, tulipoketi kijamaa, nikachukuliwa tena katika ono katika inchi iliyokuwa jangwa na nikaona upande wa mashariki, Maneno yakishuka toka Mbinguni yakichukuliwa juu ya mawingu. Ni baada ya maono haya mawili ndipo nilisimama kwenda kanisani mara ya kwanza.
    6. Katika ono la tatu, tulikuwa tunaketi katika chumba cha mtihani kuu ya sekondari na mchunguzi alikuwa akigawanya nakala za mtihani. Nilijiswali : « basi ninafanya hapa nini ? Sina kiwango shule cha kutosha na sasa nitaandika nini ? ». Na baadaye nikaambiwa : « Kama vile Maria alichukua mimba kwa muujiza pasipo kumjua mume, kama vile Musa alipokea moja kwa moja mambo yaliyo pitika katika uumbaji, wewe pia umepokea Maneno ya Uzima wa milele hii aprili 24, 1993 na hii ni Mungu ameamua. Wakati itakapo timia, utaelewa na utafundisha yale hukufundishwa ili yeyote atakaye amini awe na Uzima wa milele ».

  • @constructionwendepangab6463
    @constructionwendepangab6463 5 років тому

    Kama manabii wa Biblia, aprili 1993, mimi Kacou Philippe, mtu ambaye alikuwa hajawahi kuingia kanisa lolote, nikapokea katika ono kutembelewa na Malaika na huyo akanituma na Ujumbe kwa dunia nzima kwa utimilifu ya Matayo 25 :6 na Ufunuo 12 :14. Haya ndiyo maelezo ya uongofu wangu na maono matatu makubwa ya wito na tume jinsi niliyapokea.
    .Ujumbe huu unasema ya kwamba uislamu, ukristo na uyahudi ndizo maroho tatu za chura zinazo zungumziwa katika Ufunuo 16:13. Dini hizo tatu zajidai kuwa wa Ibrahimu. Hizo Dini tatu zaamini Musa. Dini hizo tatu haziwaamini manabii waliyo hai ila tu kila moja hujidai kuwa wa nabii ambaye hakumjuwa. Kila moja ana kitabu chake kitakatifu. Na yote tatu yanangojea Mesiya. Ndizo roho tatu za chura katika Ufunuo 16:13. Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion.
    Ni Ujumbe huu ndiyo utaenda hadi mipaka za dunia, na ni Ujumbe huu ndiyo utakaoleta kusanyiko na mateso na kuchukuliwa ya wateule.
    #ProphetKacouPhilippe goo.gl/s1X3WY

  • @paulkra8989
    @paulkra8989 5 років тому

    7. SASA ! UJUMBE HUU UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14:7 ni tofauti na Matayo 25: 6.
    8. Ujumbe huu unasema ya kwamba shauri la makanisa ulimwenguni, shauri la kiekumenika ya makanisa, vyama, miungano, shirikisho za makanisa… makanisa katolika, makanisa za kiortodoxi, makanisa za kimetodisti, Ekankar, dhehebu Horus, makanisa za kiluteri, makanisa za kianglikani, mahikari, makanisa Baptisti, rosikrusia, makanisa Nazareti, scientology, esoteric, makanisa anabaptisti, vodoo, makanisa ya wasabato, marafiki wa Yesu, misioni Emaus, maisha kilindi, mashahidi wa Yehova, mashahidi wa Yesu, makanisa foursquare.
    9. Wafreemason, makanisa pentekoste, ibada la miungu ya wainka, makanisa protestanti, Krishna, Kanisa la Kristo, méditation transcendantale, Graili, wachawi, makanisa za kiinjili, wamormoni, guru maharadji, uislamu na uyahudi na makanisa zote za uamsho na zile za urudisho… makambi za maombi, monasteri, makao ya watawa, mishoni na huduma hata wabranhamisti, yaani wale wangali wanafwata ujumbe ya William Branham, hata katika usafi wake wote, ni toharani, na nyavu za shetani kwa kuwapeleka watu jehanamu na maroho zinazo tenda katika makanisa haya siyo Roho Mtakatifu, bali mapepo za udanganyifu. Ni yale yale mapepo yaliyokuwa mitoni, mitaro, vinyago, vodoo, msitu takatifu, desturi na mapokeo, ambayo yalikuwa yakitokeza wachawi wa kiasili.
    www.philippekacou.org

  • @rosekimario8259
    @rosekimario8259 5 років тому

    Mwenye hii kwaya anirushie wasap 0753663115