MwanaFA Featuring Alikiba - Kiboko Yangu (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 14 січ 2015
- #MwanaFA #KibokoYangu #AliKiba #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091962] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
search/top/?...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Kama umekuja kusikiliza hii nyimbo 2024 like hapa tujuwane
Niko area
🔥🔥🔥🔥 Gonga like kama umefika hapa 2024
Tunaotazama mwezi huu wa
Sita gonga like hapo chini❤❤
Anae sikiliza huu Wimbo leo tr 2/6/2024 aje chap anipe like zangu
Kama wasikiliza 2024 gonga like tujuane❤
❤
2024 gonga like hapa kama Bado unarudi kusalimia hapa mjini king kiba ft Fa
Kibaaaaaa Hapa ni kiungo mchezeshaji wa hii myimbo Umetishaa
Kabsa kauwa
Tulioko hapa 2024 tukae hapa👍🏽
2023 still n love with the song 🔥🔥🔥 big up mwana fa and king kiba,,,
Sio mambo ya 2023 we always love it
Kiba 2024
Tulokuja kwaajili ya ma legendary wetu hawa #MwanaFA + #Alikiba KING 2021 tujuane hapa gonga like twende sawa✍🇹🇿🇹🇿❤❤❤
Who is here in 2024!??
Alikiba aliimba chorus ambayo hamna mtu anayeweza kuiimba
He is the king
Ever
Kabisaaaaaaaa
Kunywa sprite bariiiiiiiiid nipe lipa namba
Acha tupunguze mawazo2024 gonga like
Asee hinyimbo sichoki kuskiliza myaka yote f a kiba saliti
2023 keeping good music alive
2019 still watching tatizo 👑 kibaa like tujuane teamkiba
dr kailemboztv upo ??? Kitambo san
dr kailemboztv
This 2023 but gomaaa bado halichujiii tuuu🔥
Love ❤️ for this song Kiboko yangs like
Kibokooo Kabisaaaaa
Nilitamani wafanhe Tena ngoma
King kiba juu sana
In Mombasa Kenya still the best song by 2021 🇰🇪🌴 wapee likes...yeebaaba!
Kila mtu ana kiboko yake na sio kwa sio kwa sifa moja
2020 anyone? Old is gold
King kiba saluti kaka ngoma bado ya moto mno like kama unaenda nayo 2020 huu mwaka
Mwana fé uliwaza kueli Kwa alikiba ngoma paka Leo mbando umpia
mwana fa & king kiba mtabaki kuwa juu kwa ngoma kali hii kama nawe umeipenda gonga like
Am here in 2023 my favorite song ❤
Yani mwana fa hii ngoma yako haitoisha utamu ...much respek from 001
Corabo yangu kuwahi kutokea Tanzania
KIBA BABA YAO
Leo tarehe 17/7/2020 bdo hot kote nilipopita nimeteleza ila kwako nikoboko yngu 😊😊🤓
King is King
Love you Kiba
Waaaah 2023 mpo uku,,mziki mzuri
Mi naumizwa na Tausi mke mkubwa mi nampenda plz popote ulipo listening me i love you
Leo Tarehe 26/07/2019 Bado nasikiliza hii ngoma inanimaliza kabisa Gonga like hapa Kama upo namimi
2023 Tunasonga nayo
Tuloangalia ngoma baada ya Twitter ya #mwanaFa tujuane hapa the thing is realy 🙌🙌🙌
2023 tupo nayo hii ngoma
2023,,hii nyimbo kiboko yangu🔥💪🏻
Kama bado unaiangalia hii ngoma 2019 gonga like hapaa tujuane
Nimepita nimeteleza wewe ndo #Kiboko yangu #KingKiba #Eebaba
Gud ngoma IPO furesh
Mafundi wamekutana
Sawa mku
Sitaki kukujua😂
kama bado waskiza hi ngoma 2023 gonga like 👍
2023 na unausikiliza hii ngoma ya mh naibu waziri,,,
Gonga like za mbunge weti na King of Kings ❤❤❤ nyimbo nadhani inatoboa 2030 hii
All legend listening good music...2022🔥🔥..mwana fa &kiba.. thanks for this master piece 💙
"Kila shetani ana mbuyu wake, wewe ni mibuyu mitatu ;
ukiamua unitumikishe mwenzio nitalala na viatu;
Najionea majabu, najionea mapya mamangu;
Hakuna mapenzi hivi popote kwenye ulimwengu;
Siwezi elezea jinsi ninavyo kuzimia;
Nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia;
Nafsi yangu ishapotea siwezi hata kujitetea;
Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea…"
Duuuuuu kweli
0675093878
0715522507
P
Sitaki Mambo yaende kombo na yakienda yawai kurudi
2023 mbna ngoma bado ntamuu saaana
2020 for king
it is march 2023 still watching
Hii ndy kolabo Bora Tanzania haitotokea wale wa 01/01/2020 weka like tujuwane tunao watching this song
Kama bado waskiliza hii ngoma 2020 gonga like kwa wingi 😃😃
God music 🎶 2023 naomba like zenu nikiwa 🇲🇿 ❤
KING KIBA PROFESA WA MZIKI BONGO IMEISHA🔥
Saaaana❤❤❤❤
Kama bado unaangali hii ngoma 2020 tujuane.
Kama ndio unaiskilza tena leo 2023 like again @mwana fa
2023 still on it , nani yuko apa like mimi 2023
"Kila shetani ana mbuyu wake, wewe ni mibuyu mitatu ;
ukiamua unitumikishe mwenzio nitalala na viatu;
Najionea majabu, najionea mapya mamangu;
Hakuna mapenzi hivi popote kwenye ulimwengu;
Siwezi elezea jinsi ninavyo kuzimia;
Nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia;
Mwana FA unajua mpaka unakera, big up brother. siwaelewi wanao dislike wimbo kama huu.. Good music FA
Mwana FA tunakutambua pande hii🇰🇪...ngoma tunaicheza miaka yote💯💯💯💯
2023 stil touching my heart! Who’s here with now?
2020 still the best... 🔥
Yup 🔥🔥
Tupoooo
kabisa
@@freddysila664 ŕrŕŕrrŕrrrrrr
@@freddysila664 rr
Kama kawaida yake Mwana FA huwa hakoseagi thanks bro uko vizuri sana!!
kiba m najua we aukosei piga kazi kaka we jembe
That video vixen manze enyewe ni kiboko 🙌👏
Kama bado unaiskiliza mwaka huu 2090 gonga like twende sawa😁
2024 wengine wanajribu wanajua kitanchotokea 😂
This one will forever have me💆♀️
bonge la ngoma haichuji miaka💯💯💯
Two men of different class ..big up guys
2023 hemu tujuane
kiba u just killed it wacha kina diamond wanengue na tarabu we needed such hits biiiiiiiiiiiiiiiiig up bro pia ww nikiboko ya kamama kangu
Gonga like kama bado unaangalia still 2021🔥🔥
Am still here 2023
2021 still the best love collaboration ever🙌
Kama wasikiliza 2021 gonga like tujuane🤣
Mamb
Wee wasema 2021 😂😂😂 mimi naskiza 2023
Okay
@@forlantaylor7589💪💪
Mpaka leo 2024
King kiba wewe aujawahi kukosea ata siku moja
2022 bado goma linabamba...nipe like kama bado unausikiliza wimbo huu mkali kinoma!
2020 bado ni ngoma yangu pendwa
aise kiba ni kiboko yao! faa! no comment! a living legend ❤
Usimfananishe kiba na utopolo wowote hapa bongo
😂😂😂😂
Oyaaa oyaaaa 🔥 2023 tuko hapa
2023 bado inawika
2021 bado nasikiliza hii ngoma
2021 still best like hapa twende sawa
Wimbo bora zaidi wa wapenzi
2020 Anyone✊🏻
18 January 2019 🔥🔥🔥 shikamoo kiba
Nipo hapa nasikiliza 2023 gonga like km tupo pamoja
Nipo hapa baada ya mwa FA kuwa naibu waziri nasikiliza 2023🙏🙏🙏 hongera kaka mwana FA
2021 nasikiliza huu wimbo. Like
King for real 💯
Leo kaapishwa kama naibu Waziri Wa sanaa
What a history 2023
King 👑 kiba
Am could KING 👑 𝑓𝑎𝑖𝑧𝑎𝑙 mwenyewe
Dah huu mdude unasifa kama zoote
0.gonga like
1.hauchoshi
2.mtamu
3.unaeleweka
4......
5.......
Kiboko yangu the best song ever🔥🔥🔥🔥
Equally. 🤝
2023 mko wapi
Hii ngoma nisheeddah FA & King Kiba wametisha kinoumer..!
2021 Kama bado unaisikiliza gonga like apa😋😋😋
Hii track ni deadly...mwana f a na king alikiba...big up en forward ever..kazi nzuri Sana
Kwahyo ali kiba naww ndo umeamua kutembea na roho yangu
Kiba hii umeniuwa Sana naanza kukubari