Shetta Feat Jux & Mr Blue - Hatufanani (Official Video) | SMS SKIZA 7917779 to 811
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- Sms 8522166 kwenda 15577 VODACOM TZ
#SHETTA #HATUFANANI #JUX #MRBLUE
Shetta Ft JUX & MR BLUE . (C) 2017 Shetta Entertainment.
HATUFANANI OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BOOMPLAY: www.boomplaymu...
MKITO: mkito.com/arti...
iTunes: itunes.apple.c...
Spotify: open.spotify.c...
Dezeer: www.deezer.com...
Written & Performed by: Shetta, Jux & Mr Blue Prod: Kimambo
Dir: Hanscana
For Bookings:
officialshetta@gmail.com | mxcartertz@gmail.com |
Follow Shetta on:
/ officialshetta
/ officialshetta
/ officialshetta
Vodacom - 8522166to 15577
Whose here 2024 ngma kali hd xx utafikili n y juzi.
Kabisaa😊
Same😂
Kama uko nataza iyi ngoma 2024 gonga hapa
Npo
Mr blue you kill it ma brooo.. Shkamooo babaaa!!! Kama umekubali apa naomba likes tafadhali
Huyu blue ni shiddda ni kabaisa ni simmmba ... gonga like kwa simmmba . Mwizi we kaaaaba
Ngoma Kali ,jamani nilikuwa kazini ndomana nimekuja nyuma nahombeni angalao ka like basi plz
2024 , Still Listening On Repeat Mode All Day🎉🎉🎉
I will always play this song as long as am alive in this world
Anayemkubaliiii Mr blue kauwaaa kwa huuu wimbo .......mzee wa kumaliziaa like zenu hapa na kama umeludiaa kusiilizaa tenaaa like na cuments.......oyeeeeeeh
Andrew Emmanuel namkubali shetta
blue kaua
Hatar
Mr blue ni habar nyengine
Daudy Onaeli mzcccccccccc
Blue baisa noma sana km unakubali like twende sawa
Aliyepiga hili beat nae ni shida
Kama unakubali gonga like twend saw
Kimambo on the beat
Wimbo bora Wa kufunga Mwaka! Km unkubali gonga like apa za wanyama watatu!
Hii sauti ya inanipa mchecheto flan hiv najikuta kama mim ndiyo mmiliki wa nyimbo kama umeikubali gonga like twende sawa
Kolabo moja matata sanaaaa, kila mmoja katendea haki kipaji chake. Big up Shetta , Big up Mzee hip hop East Africa Mr.blue blue, Big up fundi wa rnb Jux boy. Kama unakubali hakuna mzembe kwenye hii ngoma, gonga like guyzzzzz...
Jaman Mr. #Blue sio MTU mzuri daaaaah
#TeamJux mpoooooo....!!
Gonga like aiseee
Kama unawez kusimama hata mbele ya maghufuli na kumwambia kwamba humu blue kafunika gonga like hapa twende sawa
mackenzieNgolo 7mabula 😂😂😂😂🤗 meme
Still sounding fresh in 2022. Crystal clear in Nairobi, Kenya.
Jux
km unakubali blue kawafunika bonyeza hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ibrahim zuberi tena kinoma
Ibrahim zuberi nimewakubali
Sana'a Mr bluuu
Vibayaaa sanaaa
Sana wakal🔥🔥🔥🔥
254 nani tuko hapo coz ya Mr blue nipewe likes!
Bad
Pamoja sana mzazi apa blue ndio master
Jux nakubari korac umeuwa 👑👑
Mr B
Mbishi huyu Baisa
From Kenya and love this song,TZ show me some love
blue kumanina... mpe like yake
Mr blue is the best. And no one. I like that song
Ss wasoma comment huku twaskiliza video bila kutizama tuna comment wapi 😅😅 blue umewapotezaaaaaaaaaaaaaa ingawa jux my favorite artist lkn umemtia mfukon kabisa💪
2019 manze #kimambo the beat maker wapi likes zake, uyu dungu ni motooo❤❤❤❤
Biti la "AIBU" ya NANDY.... Flow Kali, Mr.Blue kafunika Kama Kawa Kama Dawa... Shikamoo Babaa... Likes millioni, twende sasa
Twende sana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💖💖💖💞
Daaaaa blueeeee na jux mmekill sanaaaaaaa, kama unakubaliananami gonga like palee
Mr Blue hufanyi poa bro utasema ni ngoma yako yani umefunika mamae
Jux kauwaaaaaa. Gongeni likes hapa basi
Man Sure Official blue katisha kaka
@@JohnmenaClassic Nasikia chorus la kinyama sana kaka kutoka kwa mnyama Jux kaka
jux ni.habari nyingneee
Kumbe jux anaweza kuimba kwa kuchangamka...#positive #thoughts
Sijawah kujutia kua shabik wa hawa majama watatu
Kmama unamkubali Mr. Blue na unaamini kawakalisha wote gonga LIKE hapa
Ngoma Kali mnoo
kazi mzuri sanaaaaaa
Sema Biti Lina UaIbu Fulani Hivi wa Kinandi 🔥🔥🔥🔥
#Hatufanani 🔥🔨
Blue ni shida kama unamuelewa like
Atariiiiiii
Hatriii nawakubal San jux katisha
Baba kaila hii sasa stail yko ya kurap ndo naikubal kinyama ila sio ya kubana pua Yaan kule hakukufai kabisaaaaaa
Sio ww pekeyako jombaahata mm ananikuna ile mbaya
Hiii nyimbo utafkili ya Mr blue ft Jux kama unakubaliana na mm gonga like
Sana blue kawaficha
Tamuuu kama asali Braza
HEBU NIPENI LIKES YA HIZI LYRICS ZA MR BLUE!
brother men yuko club analewa ameyumba, star nko site najenga majumba,
ukishajua unachagua right au vumba, nimekua nishajua Mungu sio ndumba
pliz be humble, huezi kuwa kimada, hujui kukatika basi changia hata mada,
ride our deal cheki bada, we go harder,chilling with the bling bling star kama gucci brother,
paka mkiona mseme, "shikamoo baba" yah i give you some more dada, osco kama vile
picha more brother, change star, hauezi change roho saba, dudu roho shada, dada sugua gaga,
mwizi wee kaba, me nahabahaba na haba kibaba mejaza kibaba
"bitch be humble"
osco = old school
chilling with the star kama gucci au prada*
naipend san..
Byser shezi wa hip hop
Baba qailah una balaa ila byser na jux sio watu wazuri kabisa
Jamani sheta amerudi kama unakubariana namimi gonga like twende sambamba tusifanane
Mr Kilaga baht
Kwani me huwa sipendwi yawa hata sipati likes na venye hiii mgomaa ni kali hiii mliweza sana Chorus nayo kaliii sana
XxxX
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏💯💯💯🤣🤣🤣
Jamaniiii like km kweliii unamkubaliiii baba khairaaaa........... TRILIONIII LIKES... 🙌🙌🙌👍👍👍👍
nyimbo ya mwaka kama unakubali ngonga like!!!! twende sawa
ramakz online how
Shikamoo baba
2022, still listening on repeat mode all day👌👌
Tunaenda nawo ❤️😘
From 254 kama unacheki hii hit bac nipe like ya 254
john wanjala yeah means wa ingo
Yap mm ni mtoto kutoka ingo brother
ukiimba na BLU mpaka umkumbushe ngoma niyako ...lau sivyoo unafunikwaaa
😀😀😀😀😀😀😀😀
Hahahaha
Hahahaha kweli
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 real man
I came to realise how good JUX is at singing a Chorus especially in collabos💣💣💥💥
achana na beat msikilize jux anavyojua halafu pita na like hum
msikize baba yao shikamoo mr blue anavyowatambia gonga like ngoma kali sana
Hiii imenuka wadau nipeni like kama 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👌
Nic
I don't understand the language but I've loved mr blue since he was 17 when he came to Uganda and I heard him on radio during an interview were he mentioned his age.
I am in Uganda Write Now But I Dont Know Kibaganda.
Mr blue is a living legend
Nani mwengine ameletwa na Byser. Representing +254
Me
Mistari yake imekomaa kisha ajua kudunda na biti
Kabaisaaaaa
👆🏽🤔🤔 kakae..
@@Abdullkheir one year later bruh😅😅😅😅
blaza meni yuko bar amelewa anayumba star niko sight najenga majumba bonge la mstari mafunzo kama yote
Kama unakubali huku ndo kunamfaa Shetta ... sio zile de.de.-de ..GONGA LIKE TUFUNGE NALO MWAKA
Danilod
Bonge langomaaa aiseee alafu awa jamaa nawapenda Sana 💥💣
Ametuthibitishia kwamba kote kote yuko vizuri
Dbash TV ua-cam.com/video/qoLv1loNf1o/v-deo.html
Ebhaanaa ee.. Diamond sio mtu wa mchezo mchezoo!!! Bofya link ujioonee
Subscribe na Share
Dbash TV sizoni
zena
Kama umerewind verse ya BLU Mara nne gonga likes
Ebana mie nimeirudia zadi ya mara 100
@@dullahhassan8940 zaidi ya moto
Kau sanaaa
yohan 254 oyaa Mr blue 💪💪
Kabisa man
Kama unaejoi goma Hilo goma laik tuingie 2020 inshallah pamoja....Gucci and pradaa
Shetta umeua...yani mazishi Hapo...love from 254...like for me men
Jux kiitikio umekitendea haki blaza
Hakoseagi uyo jux n noum
Shetta nakutambua ba mdogo!!
Km umegundua beat imetumika kwa nandy aibu gonga lyk twende sawaaah😅
Evarist Magige intro ya huyo producer i think ni hilo beat alaf nandy asema kimamb on the beat
ndio kabisa wala hujakosea
ilivyokuwa inaanza had nikahc kwamba inaanza nymb ya nandy aibu
Sure kabisa mm cpendi io tabia hwa producers wa ckuiz wanafyetua matofali t sshhh.... Stupid fucks
Hiyo ni intro ya producer katika beat zake
E ban ee kichupa kikali sana wanyama watatu mumeuwa sana simbaaaaaaaa!! Kama unaamini brue ndo simba OG gonga like hapa
It's true blue ndio simba from 1960's
Blue,shetta na jux..mlipanga kutuua na burudani ama😅😅 anyway loves from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Like kwa jux
Rich Samweli nihatari jux kafanya matusi jamanii
Kama Jux Kama unaamini kama mimi jux katiasha kwenye kiitikio gonga like hapa.
Jux fund xan
Nice nyimbo n nzur xnaaa
Duuuuuu Jux hatariiiii wauwe tuuuu
Wow
Kal cana
Kama umesikia beat ya nandy aibu gonga like twende sawa
Kama una mkubali *Jux Na Byser* Gonga Like Hapa.
Kabysa fully
, good job
Nyimbo Kali sanaa keep up wote
upande wa sheta safi umebadilika na kurudi tulipokumic hiyo ndio fan yako
upande wa blue bro Hakuna nyimbo uliyowahi kosea uko safi bro nakubali uwezo wako
Jux amini kibongo hapa ctaki nikufananishe na boya yeyote hujawahi niangusha salute kwako kaka
🙋
/
Aloyce Dionis salute
Aloyce Dionis no 3 mbaya
wako vizur xna cz wote wanajua kuutendea haki mziki
Hiii ndo ngoma ya kiume mamaeeeeeeh duuuuh hingoma inafaa ukiwa geto na dem🤣🤣🤣🤣🤣
Mr blue utaua mzee baba mamae hizo flow ni nyoko pia
nive
@@bellomusic4539 h
bluu amebambasa
Verse ya #mr blue nmludia mara 8 broo mkali kama nyimbo yako aisee🔥🔥🔥🔥🔥
haya bana blue si kwa floor hixo
From Mombasa 001
With love..
My every day hit💯💯💥💥 Banger🔥
duh et wanyama 3 wameacha mbuga mji unakaz . Embu gonga like hapa kweli shkamooo Baba...
Michano ya #MrBlue huwa zinanipatia demu mpya kila aki-flow 😂😂😂😂🔥🔥
Ivi we Blue a.k.a kabaisa hii nyimbo ni ya kwako au!! Usifanye ivo bhana kwenye nyimbo za watu
Wanyama wa tatu wameacha mbuga ya masai mara kenya like kama zoteee
Kama zeze vle
Beat ya wenyewe...mi naskia tu AIBU..nani pia anaskia hivyo gonga like..
mi pia naskia nandy aibu😂😂😂😂
Daaaaaaaaah Safi Sana Like kama lote hapo
Kali jux Mr bur
@@alexhebeye7451 Sana Bro
Ngoma iko sawa, ila kimambo on the beat amefeli ametumia same beat na Aibu ya Nandy 😂😂😂
I do not understand the language, but the beat maker deserves it all,i love the track, from Sierra leone 🇸🇱
It's Kiswahili ... Karibu Tanzania
Mr blue ndio kisanga hapo
Mr blue kaua uyo jux mama yangu mtoto shida shetta rudisha makali kama zaman brooo kichupa kipo vizuli brooo big up
Shikamooo babaaaa 😂😂😂😂kubali sana yaan sichoki isikilizaa like kam na ww unaikubali kama miyee
Umeua Baba qaira mbaya walioikubali hii ngoma kama gonga Like hapa
Mkoo juu wotee niliwamiss😍
beuntfly husna kasy 🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂 mutevas nimekufumania kumbe upo hadi huku
Mamy To Sikosi kiukwel Baba qaira amenifanyia kitu ambacho napenda hongera kwake
Byser blue babilon mnyama hjawahi kutufelisha fans wako arifu hongera man
Byser umenifanya hii nyimbo niirudie zaidi na zaidi bonge la creativity bado hakuna wa kukufunika ww simba 🔥
Hanscana n mkali na ww kama unamkubali Hanscana nipe like
Hatawahitokea kama Byser! Watanzania mnabahati kuwa na Mr Blu. Much love from +254
Blue is a very rare & unique talent. Tzee you're lucky to have him !
hii song ni y sheta lakin ayo madini alowapa wakina jux na bluee mpaka nawapa shikamooo mababaaa jux na bluee
Safi sana Shetta BabaQaylah Bonge la Ngoma Hatariiiiiii
Mpaka mkiniona mseme shikamooo baaba.............wanyamaaaa wote wamaacha mbuga mji unakaz
*Wapi Likes Za Wakenya In The House?*
Tuko apa💥💥
Era Stars hapa
Tuko hapaa
Tuko,, mombasa kenya Raha
....na tukose
Wanyama wa 3 walioacha mbuga duuuh cio Poa mji utapata tabu sana 😎
😂😂😂oi oi oi hii ngoma bila upendeleo imetendewa haki # Shette ,Jux & Mr blue kila MTU kafanya jukum lake hii ngoma ni noma gonga like twende sawa
Mr blue big up bro am ur die hard fan from 254
DJ MOLES MIX MASTER ua-cam.com/video/fRZUwJFbDZY/v-deo.html
JUX UMEFANYA KAZI YAKO IPASAVYO
GQTVONLINE kizazi saaaana
GQTVONLINE kaz nimeikubali funga mwaka
Kizazi Sana
anae sikiliza ngoma hiii 2020 tia like
Lazima hiyo SHIKAMOO BABA waitoe wewe ndio SIMBAAAAAAAAAAAAAAA yule mwengine labda paka ama simba jike
Shikamoo baba
Ukiachana na hilo beat la aibu ngoma ni Kaliiiii
wezi
@@geofreyjerus9882 nan kaibiwa
+Arnold Mushy nyimbo inaitwa aibu alieimba nandy
Can't get enough of Blue. We loooooooove you Mr. Blue. 254 tunakukubali. Respect✌
ukimshirikisha Blue tu wimbo ushakua hit kabla hata haimba ama kuchana
Kumbe ume ona na ww 😀😀
Kama unasikiliza huku unapitia comments zao gonga likes hapa Chini👇👇😂😂😂
🔥💯
Can't stop listening 🎧 to this song.
This is one of the best collaboration in Africa.
Shetta,jux,ft Mr Blue.
This was fire 🔥🔥🔥🔥🔥.🇨🇩🇿🇦🇨🇦
Woow hii pekee wasafi wanapata tabu full dose maze hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥like ya +254 hapa twende kimamba hiyo colabo imeweza kweli #legendsofalltime
#hatufanani
#baisa#jux#shetta in building bonge la chupa
Sasa Wasaf wanahusikaje tena apa?! Alafu nyie maboya wengne vichwa maji saaanaa kumamamako
Sasa wasafi wameingiaje hapaa.. acha ukilazaaa
turbwoy turbwoy 💥💥💥
What does happen again to talk about Wasafi?
Mr. 🔵
#TheLegend
🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🏾🙌🏾🙌🏾👉🏿💯
Shetta signature is dope men..shetta to shetta !!
mrblueeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Unavo dance mwisho Nomaaasaaaana
Kazi nzuri wajina wangu. Kusema za ukweli mmeuwa sana ila Blue ni balaa.
Shkamooni 2018 hii lzm imuuwe mtu
Jux dah
VIBUDU ua-cam.com/video/fRZUwJFbDZY/v-deo.html
Blue kawapoteza
Oya wanangu hii ilikua bonge la ngoma kudus kwa Shetta (Baba Katika),Juma Jux (African Boy),Mr. Blue (Byser) Pull Up komaeni washkaji
Iam the Man Tena Super Kwa Kuchakachua K, Hujui Kukatika Changia Hata Mada, Mpaka mkiniona Mseme Shikamoo Baba,
Wanaopenda Mistari Kwenzi Twende, Oooooh Hatutaki Kufanana Nao
ua-cam.com/video/wEmsyvo04rU/v-deo.html
Aisha san sheta
Kwani hizi likess mnalipia jamani mbona mi sijawai pata nipeni ata chache wadau