Alikiba - Maumivu Per Day (Unofficial Release - Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6 тис.

  • @gabrielnyambu8287
    @gabrielnyambu8287 8 місяців тому +56

    2024 Ooooyooooh! maumivu per day. eti eee gonga like tukisonga

  • @254Bless
    @254Bless 4 місяці тому +28

    My favorite song always,, if you're here 2024 nipee like all the way from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kvkenzo
    @kvkenzo 7 років тому +244

    KIBA WEWE NI LEGEND NA UTABAKI KUA IVYO
    GONGA LIKE KAMA UNA MKUBALI

  • @godwinegacharo9001
    @godwinegacharo9001 4 роки тому +258

    Wangapi wanafatilia Maumivu per day, Mbio, Mshumaa, Dodo et.c etc

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 років тому +64

    Huu wimbo ulivyo mtamu haunishi hamu nani. Nani bado ana ukubali wimbo huu.gonga likes kama unaukubali😍💔💓🎤🎵♩🎙🕪🎼🎧🎧?????????

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 7 років тому +137

    Kali video ila najua umejifunza kutoka na makosa watu wanahitaj video kal kw sasa kuliko wimbo wenyewe Gonga like kw hapa kama umeikubal

  • @uwesutv9619
    @uwesutv9619 7 років тому +75

    Dah mamaeee king kiba unajua mpaka unakela nilikuwa hospitali naumwa nikivyoiskia hii ngoma daktari kaniambia nimepona kama unamkubali king kiba na kuikubali balaa jipya kabisa pita na likes kwa speed ya 4g👑👑👑👑👑

  • @diananyaga9995
    @diananyaga9995 5 років тому +34

    Dunia amekubali Alikiba ako juu yani ngoma zake ziko smart 2 Sana.

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 7 років тому +95

    kiboko yaooo king kibaa ngoma kari video simple na mandhari iko poa sana if you like it please PRAY for him

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Barnabas Stanslaus
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

    • @rickstyleboy9373
      @rickstyleboy9373 7 років тому

      ngoma ya zman

    • @stivinboniphace7855
      @stivinboniphace7855 7 років тому

      heshima king kiba Kwa bonge LA video Kali

    • @stivinboniphace7855
      @stivinboniphace7855 7 років тому

      wengine wakasome Kwanz king noma

  • @mosesouta4144
    @mosesouta4144 7 років тому +37

    Mm sielewi kiswahili lakini kiba nakukubali 1000000% nyie waswahili nielezeni asema nn na kama wamkubali huyu kingi usipite bila kilike hapa💪💪💪👑

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      moses Outa
      Hi there!
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

    • @francisdidas1667
      @francisdidas1667 7 років тому

      yani nikisikiliza huu wimbo najikuta nimesinzia gafula kwajili Ya utamu nahousikia kupita imbo huu ❤❤❤

    • @happinessnyambita8139
      @happinessnyambita8139 7 років тому +2

      moses Outa uelewi kiswahili kwaiyo apo umeandikiwa?

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 7 років тому +91

    King is back king
    Mzee asie kuwa na papara ya nyimbo unatowa pale tunapo jiisi hamu ya kula Kama upo nami gonga like ,from canada🇨🇦

  • @ahmadothuman190
    @ahmadothuman190 4 роки тому +929

    Siku ukija kutazama tena maumivu per day achia like yako

  • @ewemadetvnollywood394
    @ewemadetvnollywood394 7 років тому +329

    Hit the like button if you know kiba is the best .. Got so much love for kiba, all the way from naija (Nigeria)

  • @salimuallyjumamohamed7092
    @salimuallyjumamohamed7092 7 років тому +43

    Maumivu per day hii imekaa vzr sana,"NINAVYOPATA TABU YA DUNIA NA MWILI WANGU UMEKWISHA PIA, YOTE MALIPO YA KUPENDA ,ANAEPENDA WISHOWE ATATENDWA"
    THIS IS ALI KIBA

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому +1

      Salimu Ally Juma Mohamed Assalamualaikum!
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @shabanclement6062
    @shabanclement6062 7 років тому +70

    Wallah nimefurahi sana kukutana na hii amaizing surprise, heshima kwako mzee

  • @karemboally7756
    @karemboally7756 4 роки тому +62

    Yaan hii ngoma jaman kama ndio imeachiwa leo, kama na wew umeiangalia hii ngoma 2020 nipe like

  • @ruthamimo3095
    @ruthamimo3095 6 років тому +63

    this song u liimba na visababu,, but king kiba wewe ni msiri kivyako na unajua kujipanga na mambo yako, long life king kiba

  • @princenewton
    @princenewton 7 років тому +17

    First to comment as usual +254 Kenya in the building baby 🔥 kama unamkubali king kiba wapi likes zake ngoma mbili siku moja tena kwa Mpigo. 🔥 baby

  • @japharymzulu5678
    @japharymzulu5678 7 років тому +39

    Kesho narudisha kadi wcb nahamia team kiba 4 life.....yanini maumiv per day wcb

  • @StreetBuzz
    @StreetBuzz 5 років тому +49

    maumivu per day....feelin this s'heat this 2019 kama wamkubali kaka huyu like tukisonga tuzidi kuona upendo amin

  • @shayrrakalama283
    @shayrrakalama283 7 років тому +118

    nkaumia sababu bado nakuhitaj, yale
    maumiv
    💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞

    • @allysaid9458
      @allysaid9458 5 років тому

      Shayrra Kalama naona tabusamu lako..

  • @mongalibaraka7548
    @mongalibaraka7548 7 років тому +30

    Wow karibu sana 👑 👑 👑 king kiba mfalme wetu kama huna kubali gonga like
    Form America Albuquerque

  • @barakaalan1741
    @barakaalan1741 7 років тому +24

    acha waseme wao sisi tumemaliza 👑 kiba mfalme WA bongo frever

  • @daudifaustin3874
    @daudifaustin3874 Рік тому +5

    Who feel same way as me this kind of music they been motivate me to want to go to Tanzania 🇹🇿 since in my childhood love from Uganda 🇺🇬 in opinion after Jose chameleon Ali kiba iz a legend of East African music

  • @nomad7707
    @nomad7707 6 років тому +45

    The best heartbreak song ever......Kiba mimi nikiwa hapa Nairobi nakutakia kila heri in your Music journey

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 7 років тому +29

    nmeingia UA-cam nikakuta nyimbo mbili zmepangana ya kiba na mond ya kiba ya pili ya mond ya kwanza chaajab nmejikuta nmeaanza kwa kuview nyimbo ya kiba hata cjui kwa nn😍😍😍😘 love u king

  • @nellyesendi9160
    @nellyesendi9160 7 років тому +22

    Nilikula nahitaji mane no Kama haya.... Kiba you are king.. Always has messages and your voice is so soothing yani... ❤❤ pita na like button Kama wimbo unakugusa moyo

  • @WycliffeEtee-sc6hr
    @WycliffeEtee-sc6hr 10 місяців тому +10

    Nko humu siku zote 2024❤❤❤

  • @mtambalarose3264
    @mtambalarose3264 7 років тому +16

    Jameni mi iyi sauti inanifanya nipate usingizi wa gafla one love❤ Mr. Masauti love king

  • @sheilakavita4849
    @sheilakavita4849 5 років тому +34

    Alikiba I love the song ♥️ but inanifanya nifikiriye Bali sn from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joyconstancemkangombe7611
    @joyconstancemkangombe7611 4 роки тому +35

    Bado nakuhitaji...maumivu per day😭😭😭

  • @YospinoWerah
    @YospinoWerah Рік тому +1

    Nakupenda ❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋jinalangu Rex N'ikomwanaume Nakupenda sana🌹🌹🌹🌹💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹

  • @mustijuma4770
    @mustijuma4770 7 років тому +28

    hii ngoma kali sana inakushawishi utafute mapene

  • @joelntile9078
    @joelntile9078 7 років тому +62

    Kutoka mashariki ya mbali, sijui kiswahili. Hii ndio radha halisi ya bongo fleva, safi sana.

    • @mariammussa2540
      @mariammussa2540 4 роки тому +1

      😆😆😆asa icho umeandika ni kiarabu au ni maandishi gan hayo😆😆😆usituchoshe bhn kwa vicheko😆😆😆😆

    • @is-hakayussuf9981
      @is-hakayussuf9981 4 роки тому

      Hahahaaa *ACHA BANGI*

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 років тому +33

    video ya kwanza kutoka kwa kiba niliyo ielewa ni hii kwa style hii nahamia rockstar4000 yoooooo

  • @kakaideson6886
    @kakaideson6886 Рік тому +2

    Alikiba always standout musician for over 22 years,
    We love you kiba
    #keepgoing

  • @humidalramialramimi4401
    @humidalramialramimi4401 7 років тому +23

    Bora kiba maumivu nimeielewa ;nini mond waka waka mbovu!

  • @jumamisinzo9234
    @jumamisinzo9234 7 років тому +65

    achatu nikae kimya maana bonge moja nyimbo. gonga like for King Kiba

  • @kanalijackson6516
    @kanalijackson6516 7 років тому +33

    Naipenda hii ngoma hakika ni nzuri team king 👑 kiba 🔥💥💥🔥💫

  • @rashidsekkayadakon409
    @rashidsekkayadakon409 5 років тому +4

    Mungu akupe miaka mingi Alikiba wabaya wapate tabu good music enjoy life

  • @wistonmwasha11
    @wistonmwasha11 6 років тому +373

    Uyu jamah ana k2 spesho kweny heard yke 2msaport jaman nakuomba uweke like apa m2 anguh wa nguvu

  • @mcwillehard5422
    @mcwillehard5422 7 років тому +23

    Daaaah... Sio kwa surprise hii!! Kama nawe ameku surprise gonga like ili tujue wangapi ametu surprise!!

    • @wanenetv9672
      @wanenetv9672 7 років тому

      mpumbavu tu hajui kitu uyo

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 7 років тому

      +Wanene Tv Alafu we unajulikan unajua Sana mpka una kera big up! ubarikiwe

  • @hassanshehata5123
    @hassanshehata5123 7 років тому +23

    ongera Sana 👑 king kiba. Yani ukitoa chuma unaweka chuma. 👏👏👏👏

  • @AbrahamKiwele
    @AbrahamKiwele 8 днів тому

    kiukweli uwandishi jamaa anajuwa sana ngomazake yani ukisikiliza unahisikwabisa kituumepata ktk maisha ,pia anaimba kwaisia Kali mbakaunae sikiliza inakutachi kwabisa 🎉🎉🎉🎉 leo 10/1/2025 nipo king 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @tohokicks7872
    @tohokicks7872 7 років тому +49

    Fan number one from Der es salaam | wapi like zangu jamani

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 7 років тому +1

      pamoj sanaaa

    • @tohokicks7872
      @tohokicks7872 7 років тому

      Khadija Khadija kabissaa hujakosea | pamoja sana tu...

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 7 років тому

      🙌🙌🙌 cna nenoo

    • @iddafr7171
      @iddafr7171 7 років тому

      +Khadija Khadija nilikuw nakutafuta kumbe upo nilitaka kushangaa nisikuone mtoto mzr kipenzi cha kiba

  • @kihushaassumani4683
    @kihushaassumani4683 7 років тому +42

    Nice king kiba im so happy to u my friend and God bless u thank u bro

  • @kizazijeuri2886
    @kizazijeuri2886 7 років тому +22

    Gonga like kama upo hapa before 1 million kabla ya 24hours

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 4 роки тому +12

    Uyu mseng anawez mpk anaboa gong like km umemuerew king kiba ❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞

  • @Manesh-123
    @Manesh-123 7 років тому +173

    alikiba tangu ngoma za hapo awali bado nakuenzi and mob love from kenya

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 7 років тому +16

    Kiba hii nyimbo nimesiliza leo zaid ya mara 20 nikisema naicha kidogo ubongo ujajiembisha wenyewe hongera sn Aise

    • @meckykanga7640
      @meckykanga7640 7 років тому

      Fadhili Laizer Hahahaaaa ubongo unajiimbisha wenyewe, aise sikulaum maana hata mm najikuta narudia tuu

  • @chockmaumba1174
    @chockmaumba1174 6 років тому +10

    akikutenda njoo kwangu mm, kiba we ni baba bonge moja LA ngoma like basi km umeikubal

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh3956 4 роки тому +12

    Anayetizama huu wimbo wa King 2020 tujuane kwa likes tafadhali👇👇. King you're always my favourite artist bro you never disappoint. Kenya 😍😍😍😍

  • @hudihu5395
    @hudihu5395 7 років тому +32

    safi sana nakubali hio kofia ya Sultan wetu "Joho" :) , nice song !!!

  • @nanounakib2943
    @nanounakib2943 7 років тому +22

    King nimeipenda sana ulivo kumbuka hii ngoma utengeneze video jamani ww fundi sana hakuna kama ww bongo

  • @edwardmwaipopo2839
    @edwardmwaipopo2839 7 років тому +134

    King kiba.
    Kama unamkubali king kiba Gonga like twende sawa

  • @carolinenjiru4555
    @carolinenjiru4555 Рік тому +2

    Who else is here mwaka ikielekea kuiisha 2023 ..king kiba all the way ❤❤

  • @godfreygeorge4471
    @godfreygeorge4471 7 років тому +52

    ndo mkali wangu kiba umetsha mzee babaaa

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 років тому +106

    Tanzania kumewaka wakati chibu hakomi king kiba nae maumivu per day! Wakenya pita na like Kama kawa 😂😂😂🇰🇪🇰🇪

    • @shayrrakalama283
      @shayrrakalama283 7 років тому +1

      myshy lysh mishy long time sijakuona kwenye movies upo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jpozp1245
      @jpozp1245 7 років тому +2

      we bro ni hataree sana big up king kiba

  • @dochdodava
    @dochdodava 7 років тому +7

    Thank you @Alikiba, We Really miss Bongo Music

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 5 років тому +7

    We love #👑kiba unajua msiki bro na kama unaamini kiba anujua mziki niachie Like plz

  • @ritamo9083
    @ritamo9083 7 років тому +15

    Watu wa kuimba kwa Kutumia lyrics tuko wapi? Much love kiba keep going bro, let the sky only be the limit
    Verse one
    Kwa ile imani ya enzi za kale
    Mi nliamini ntakufa nawe
    Ila mimi sikulaumu wewe
    Kwani Mungu ndo apangayee
    Yale yote ya zama za kalee
    Mi nilipanga kuishi na wewe
    Mwenye hali nsiye na mali
    Wenye mali wakawa na wewee
    Hukunificha matendo yako
    Machafu uliniacha nione
    Bila kujua yalisaidiaa
    Nikazoea ila nikaumiaa
    Sababu bado nakuhitajii
    Kwangu muhimu ni kama maji
    Cha ajabu bado nakuhitaji
    Atayekutenda njo kwangu mimi
    Chorus
    Yani maumivu per day (yani maumivu per day)
    Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
    Yani maumivu per day (kichwa mawazo everyday)
    Yani maumivu per day (ni yaleyale ya per day)
    Yani maumivu per day (yani maumivu everyday)
    Yani maumivu per day (oohoo)...
    Verse two
    Uko moyoni mwangu we everyday
    Bado namwomba Mungu everyday
    Uko moyoni mwangu we everyday
    Everyday ever everyday
    Nsikuwaze wewe niwaze mengine
    Labda ntakuja penda mwingine
    Ninavyopata tabu ya dunia
    Na mwili wangu umekwisha pia
    Yote malipo ya kupendaa
    Anayependa mwisho atatendwaa
    Sababu bado nakuhitajii
    Kwangu muhimu ni kama maji
    Cha ajabu bado nakuhitaji
    Atayekutenda njo kwangu mimi
    Chorus
    Repeat

  • @donacianahipoliti6884
    @donacianahipoliti6884 7 років тому +24

    simple, smart, fantastic and awasome video with talented artist. big kiba ur the king salute for u

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 6 років тому +90

    King kiba gonga like kwa ngoma kali za mfalme wa music

  • @freemanmboya9925
    @freemanmboya9925 5 років тому +54

    Hii n 2019 lakin huu utafikil mpya Acheni King abaki kuwa king nipeni likes zangu kama mpo mnatazama sahii

  • @fiafrydolyn
    @fiafrydolyn 7 років тому +13

    Utimu tuweke pembeni iki kichupa ni hatari xana! Salute sana mr. Ama miradi ayo unasemaje!!

    • @catherinecharles932
      @catherinecharles932 7 років тому

      fia frydolyn chuma kimeachia...minasemaga jmn hawa watu wawili kiba namondi...tuwaache tu...maana kila mtu anakacha yake..so tuwasapoti tu matusi hayafai jmn wote niwasanii wetu...tatizo team mondi wanamtisi sana.. but mi nawakubali woote wakopoa

  • @mymy7132
    @mymy7132 7 років тому +16

    Bonge la nyimbo kiba hukoseagi safiiii xana.

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 7 років тому +225

    Kama umemkubali alikiba kwa kwa wimbo huu ungana nami like twende sawa

  • @AugustinNkundimana-g1q
    @AugustinNkundimana-g1q 6 місяців тому +2

    August from in Burundi I love you sana allikiba!

  • @megjullie8520
    @megjullie8520 7 років тому +41

    This song speaks to the inner most parts of my soul.. the kind of song that stays on repeat....its a master piece!!!!! lots of love kiba...

  • @jumaomary6528
    @jumaomary6528 7 років тому +22

    Ngoma kali...video...kali...900...itapendeza zaidi Big Up..King we ndio Sura ya Africa !!🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Juma Omary Sema wewe inakuwaje?
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @tausiyusuph7282
    @tausiyusuph7282 7 років тому +24

    Nakupenda 😗😗sauti tu mie mpaka nakojoa 😙😙😙😙lovely mtu wa WATU 😗😗

  • @markoneofthebestmutuku6764
    @markoneofthebestmutuku6764 3 місяці тому +8

    Kama umekuja tena kutazama maumivu per day nipe likes

  • @joetchatv1453
    @joetchatv1453 7 років тому +10

    That's why R KERRY Called you king of RNB HAKUKOSEA u deserve broo

  • @pirashoman6600
    @pirashoman6600 7 років тому +176

    kipindi hiki hii nyimbo inaniumiza sana daaa kiba ww noma sana

  • @furahamadina1665
    @furahamadina1665 7 років тому +8

    hadi Canada tunakupataa king kibaaaaaa Shukrani kwa wimbooo mzuriiii

  • @nicelyrutakyamilwa4388
    @nicelyrutakyamilwa4388 4 роки тому +2

    Upo moyon mwangu.......dah hii song inanifanya nilie daily.....

  • @vedastogenius45
    @vedastogenius45 7 років тому +10

    Daah maumivu ila utumwa katika mapenzi ni kitu cha hovyo saana

  • @sabasshayo8414
    @sabasshayo8414 7 років тому +16

    Hii style yako ndio ilifanyaga nikapenda mziki wako....I'm glad umeirudia Leo in 2017 na wenye kujua mziki tumekuelewa sanaaaa

  • @hungking3567
    @hungking3567 7 років тому +11

    Saut maashallha ❤ maneno kuntu my lovely King mmmh sijutii kuwa tm kiba,❤❤❤🔥🔥🔥🔥💯👌💪😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @hushamkalinde4242
    @hushamkalinde4242 10 місяців тому +1

    Alikiba is the king of vocals in Tanzania,likes for him pliz🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alexgeorge187
    @alexgeorge187 7 років тому +11

    Gonga like if you have seen JOHO 001. Sultan mwenyewe... much love King Kiba

  • @amosramjaane314
    @amosramjaane314 7 років тому +13

    Kweli mfalme wa Bongo fleva. Wimbo umekua km mpya! Salute mzee%

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 7 років тому

      Amos Ram Jaane
      Mambo vipi?
      Karibu kwenye channel yangu hapa UA-cam jina Ilo hapo chini au click kwenye picha yangu hapo litakupeleka kwenye channel yangu.
      Bila kusahau SUBSCRIBE basi mniunge mkono bila kinyongo

  • @philiposhilingi8066
    @philiposhilingi8066 7 років тому +10

    Team markia was nguvu mkaisome namba big up king #kiba

  • @swabrahnaigaga7171
    @swabrahnaigaga7171 2 роки тому +4

    The king of bongo i don’t understand Swahili but i love his music i can sing this song and feel it without knowing the meaning much love from Uganda 🇺🇬

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 7 років тому +18

    Oh my God nimekuwa late kusema kitu, wallah Alikiba ur untouchable i lov u for free, ur the best among the rest, this video is so hot ever, really apart from the sweetness of the song mixed by the smooth sound ov u, the beat used is really more dan crutial, fireeeeeeeeeeee☺☺☺😄😄😄😁😁😁😁😁🎉🎉🎉🎊🎊

  • @safielmsuya4673
    @safielmsuya4673 7 років тому +50

    kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dah bora hata sasa naisikia ladha ya mziki mtamu

  • @edwineduz9306
    @edwineduz9306 7 років тому +373

    Tanzania Nzima, Hakuna anaye kipaji Kama 👑 Kiba.Wangapi wanakubaliana nami......

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 років тому +2

      I believe

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 7 років тому +2

      diamond kamzidi kiba

    • @abdirahmanabdirahman4951
      @abdirahmanabdirahman4951 7 років тому +2

      No freeky way...kiba is de best

    • @frankjully5457
      @frankjully5457 7 років тому

      the best ni diamond hii nyimbo INA Muda haijafika hata views milion moja wakati diamond nyimbo mwezi INA views million Tisa tubishane kwa hoja kiba kazidiwa hadi followers instagram na tweeter na diamond

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 років тому +2

      amn anaye pinqa kinq

  • @JumaMbappe-c1y
    @JumaMbappe-c1y 5 днів тому

    Alikiba anajua kuimba sana me nitazama ngoma zaka mwaka yote maana hakuna anae mfikia sasa kwa mistar yaka

  • @joanauma2344
    @joanauma2344 7 років тому +70

    Apana weka Chuki... kama imekubali ipe like... Mengi SUMU

    • @yasinisaidi1190
      @yasinisaidi1190 7 років тому +1

      Huy ndo king kibaa hongela sana bonge langoma bonge la video

  • @ibrahimjama9104
    @ibrahimjama9104 7 років тому +100

    Music is the greatest communication in the world. Even if people don't understand the language that you're singing in, they still know good music when they hear it.

  • @elizabethsamwel5502
    @elizabethsamwel5502 6 років тому +16

    Since primary school when I first heard your song Cinderella, followed by the rest, I always wished to shake your hand Alkiba and tell you how much I loved your music and why, unfortunately even the older I have never had a chance..... Damn sweet, strong message, a lovely voice,... You are worthy everything

  • @elizabethsamwel5502
    @elizabethsamwel5502 4 роки тому +2

    Alkiba if you can see this,I pray that someday I see you and just shake your hand....your Cinderella song got into my memory when I was in primary school and till now you're my favorite

  • @nyikarappa8604
    @nyikarappa8604 7 років тому +142

    jaman team 👑 mko wapi hadi masaa 8 tuko na view 30 k tumelala bado kama uko Pamoja na mm achia like yako hapa 👑 kiba

  • @juliethbenjamin3833
    @juliethbenjamin3833 7 років тому +19

    waoooo I can't explain king kiba ur voice is for real be blessed

  • @frankiekalogi5617
    @frankiekalogi5617 7 років тому +12

    #ali kibaaaa jamaniiii unakeraaaa daaaah wimbo umeubikiri tenaaa! watajipanga wapinzani! 😂😂😂😂😂😂👑

    • @KhadijaKhadija-mk6jf
      @KhadijaKhadija-mk6jf 7 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👑Asante kwake yy

  • @idaiaseverino3769
    @idaiaseverino3769 Рік тому +4

    Najikuta niko hapa 2023

  • @veronicawoisso5332
    @veronicawoisso5332 7 років тому +27

    Kiba nyimbo zako zina ujumbe mzito sana na hujawahi kosea. Ujumbe mzuri, Sauti nzuri na Video nzuri.

  • @andulilemwanyamaki9190
    @andulilemwanyamaki9190 7 років тому +25

    Its unofficial but make my heart bum bum ....... ..wakuache miaka 100000000000000

  • @melicodas
    @melicodas 7 років тому +16

    hivi ndio vitu tunataka shabiki zako
    gonga like twende pa1 #kingkiba

    • @issahamisi9501
      @issahamisi9501 7 років тому +1

      hio ngoma weka mbali na watoto ni nzuri

  • @toninito1311
    @toninito1311 3 роки тому +4

    God ....i luv this song think its "one of"the best songs from the king studio el presidente