Bonge La Nyau Feat Ali Kiba - Uaminifu Video (Swahili Music)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 983

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 роки тому +302

    nadhani mwaka huu 2024 kuna wenye bado twaskiza hii ngoma 🇰🇪...sema ndio

  • @halimaabdallah9567
    @halimaabdallah9567 Рік тому +36

    Nimekuja kusikia corus tam from king😍..kama umekubali weka like

  • @christianmenas9528
    @christianmenas9528 6 місяців тому +55

    Huu ngoma haichuji. Nasikiliza leo tar 24.6.2024. kama tuko pamoko gonga like hapa

  • @princeboniphace4312
    @princeboniphace4312 7 років тому +227

    sema hii chorus Alikiba aliumiza vibaya mnooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JumaMohd-fc7ju
    @JumaMohd-fc7ju 11 місяців тому +105

    2024 njoo hapa na like ya uaminifu🎉

  • @drsmartdanial3735
    @drsmartdanial3735 4 роки тому +114

    Wanao enjoy sauti ya,king hapa mu 2020,hit a like

  • @chrispinusyengo4653
    @chrispinusyengo4653 11 місяців тому +19

    2024 and still it's one of the undisputed chorus made by Ali Kiba King Kiba 👑

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 Рік тому +27

    2023 and it's still one of the undisputed chorus most made by King Kiba

  • @allymwakere
    @allymwakere Рік тому +3

    Ngoma kali mpaka sasa

  • @JohnnyHarryJoh
    @JohnnyHarryJoh 20 днів тому +3

    Hii chorus jamaaa alifanyaa kitu hatarii

  • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
    @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 11 місяців тому +59

    Tar 1-2-2024." Haueleweki Kama mvua za Dar" Kama umesikia huu mstari gonga like

  • @believeboy2150
    @believeboy2150 8 місяців тому +5

    Kiukweli bonge la nyau hii collaboration irudiwe tena broo 23/4/2024 time 00:45

  • @Abdulqafar26
    @Abdulqafar26 Рік тому +11

    Who else is listening to this masterpiece by legend Ali Kiba. 5th November 2023.

  • @amoslutgel6981
    @amoslutgel6981 8 місяців тому +10

    Tupo apa 2024 kama mpo twende sawa,👊👊

  • @willymtnmsafi8875
    @willymtnmsafi8875 6 років тому +59

    Ali kiba akiwa ,bongo music haiwezi potea

  • @luckmashallah6222
    @luckmashallah6222 Рік тому +2

    Jmn leo tar kama hii tunakumbuka vijana wa zaman

  • @MathayoMathayo-c6y
    @MathayoMathayo-c6y 10 днів тому +3

    Walio kuja kusikiliza hii tarh 25/12/2024 tujua kwa like huku tukiisaka 2025 ndugu zangu kisha mungu awabaliki

  • @AlisaBilindi
    @AlisaBilindi Рік тому +5

    Mwaka unatoka huu wimbo nimwaka nimepewa talaka ,dah hii nyimbo ilikuwa ikiniliwaza japo ulikuwa unaniliza sanaaa,,ime baki nikiusikia nayakumbuka mapito,nyimbo yangu ya kihistory kabusa

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 7 місяців тому +5

    Mimi nimekuja baada ya kuona post Facebook lakini ukweli King kiba atabaki midomoni mwa wasanii wengi sana 😍😍❤️❤🎉 umebarikiwa mchizi wa bongo table hoho ali k for real

  • @NicksonOronje
    @NicksonOronje Рік тому +1

    Ndio nakubali huu wimbo alikiba,

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 роки тому +2

    Alikiba msiwe mnamfananisha na paka yoyote Yule bongo kwenye mziki..

  • @Bintsalum
    @Bintsalum 22 дні тому +1

    Bado Nipo mm hapa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @reginawitacha7921
    @reginawitacha7921 5 років тому +37

    Kiba wewe kiboko baba chorus unaua utadhan wimbo ni wako

  • @Teambossmusic
    @Teambossmusic Рік тому +2

    Hamka mzee umesep wapi tumekumiss❤

  • @constantinnicoiconoppa587
    @constantinnicoiconoppa587 Рік тому +8

    Tuko 2023 ila bado nasikiliza wimbo huu 😂❤. Wenzangu mikono juu

  • @issakatety3535
    @issakatety3535 4 роки тому +92

    2020 bado natizama hii ngoma🔥🔥🔥

  • @ramadhankhamisali1418
    @ramadhankhamisali1418 7 років тому +27

    uaminifu....yaani ni bonge ya ngoma aise yenye ujumbe wenye kugusa maisha ya vijana ktk mapenzi...

  • @mpundempunde1722
    @mpundempunde1722 Рік тому +3

    Kiba hakika uliamua kumbariki huyu mtoto korasi ya kwenda haito tokea tena

  • @nasryshabany7204
    @nasryshabany7204 13 днів тому +1

    Ila kiba ulimpigia dogo korax Kali sana

  • @bushbernardfarius1151
    @bushbernardfarius1151 Рік тому +4

    2023 adi mwisho

  • @PaskaliSansu
    @PaskaliSansu 7 місяців тому +2

    Nyauloso umetisha Sana🔥🔥🔥🔥💢💯💯💥💢

  • @NasraKaranja
    @NasraKaranja 11 місяців тому +3

    Kiba for life 2024 14th january on a sunday am still here

  • @berryxmsani6952
    @berryxmsani6952 6 років тому +49

    Mimi hapa nakipenda sana kuona kibao hiki 2018 kitaishi akilini kuwa kitamu zaidi.Nawakilisha 254

  • @erickymecky9639
    @erickymecky9639 7 місяців тому +24

    Tuliokuja kwa ajili ya tumeona Facebook 2024 tujuane

  • @joshuakija3438
    @joshuakija3438 2 роки тому +1

    Kudadek kiba wew kweli nishida kwasaut kama hii stoki wala sing"oki nyimb pendwa 7-12-

  • @officialmrdeo8116
    @officialmrdeo8116 4 роки тому +3

    Huyu Bonge LA nyau hatakaa atoe ngoma Kali tena kama hii 🏃🏃🏃

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 8 місяців тому +5

    King kiba kaua sana hum voice over 💥💥💥💥💥

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 2 роки тому +3

    chocolate flavour yaani ww umenishinda tabia😃😃😃 it was lit bck n de dayss n still uptodate

  • @blackhe_art2070
    @blackhe_art2070 2 роки тому +23

    Alikiba's voice was the best😍😍lots of love from Kenya

  • @skynerabdulkadir6098
    @skynerabdulkadir6098 4 роки тому +8

    Bado nipo nao...hii chorus pumbaaaaaaaavu KING KIBA 2020 gonga like kwa KING KIBA.

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Рік тому +1

    Nimekuja kumuona king kiba 2023

  • @bachirncadebachir7099
    @bachirncadebachir7099 5 років тому +20

    Kiba kiba kiba we noma, 2019 ngoma bado inahiti
    From Mozambique

  • @inclyrics4384
    @inclyrics4384 3 роки тому +18

    Kama unaangalia huu Wimbo 2021, basi tambua we ni mtu mwenye Upendo sana. Mungu anakupenda sana!

  • @omargustavoomargustavo6056
    @omargustavoomargustavo6056 3 роки тому +40

    Who's here 2021 much love from 🇰🇪 a king will always be a king.... big cat you're so underrated man🔥🔥

  • @stubijosh7231
    @stubijosh7231 Рік тому +1

    Kali sana hii

  • @sashazuberyzubery7804
    @sashazuberyzubery7804 6 років тому +12

    Jomon huu wimbo naupendg mpk bs💕😘

  • @berthaaugustino7666
    @berthaaugustino7666 4 роки тому +1

    King kiba ana sauti jamani hadi raha

  • @princenewton
    @princenewton 4 роки тому +13

    Alikiba could have just done this song alone.Alikiba angeufanya huuu wimbo pekee yake like kama unakubaliana na Mimi🔥🤸 KENYA 🇰🇪

  • @jamesprotas4267
    @jamesprotas4267 4 роки тому +2

    Duuh kolasi tamu balaaaaaaaa gonga like twende sawaaaaa

  • @mammymammy241
    @mammymammy241 6 років тому +53

    Jamani kiba sautiii hivi Amina si anapata raha jamani sauti pekee inapagawisha

  • @ahammedmahruki8708
    @ahammedmahruki8708 2 роки тому +2

    Hii ngoma ingetoka kipindi hiki ingekuwa kubwa kuliko

  • @mercynelima4241
    @mercynelima4241 4 роки тому +10

    This song was supposed to be a hit,,,,the lyrics 💯✔️ everything is just perfect sijui mbona watz na wakenya hamkufanya huu wimbo ukatembea.

  • @nasserprince1991
    @nasserprince1991 6 років тому +32

    duuuu hiii ,mpaka 2018 haijaisha utamu # Mungu akipenda ntavuka nao mwaka 2019

  • @musty2025
    @musty2025 4 роки тому +21

    Kingkiba golden voice 🔥🔥🔥

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 роки тому +1

    Alikiba Chorus Kali Sanaaa nimependa hadi natamani ningezaliwa Tanzania alafu niwe mwanamuziki wallahi

  • @thisisshalirogasia3728
    @thisisshalirogasia3728 4 роки тому +28

    This song has always spoke volume to me....Alikiba huna mpinzani nakukubali forever your number one fun
    😍God bless

  • @fredrickphilomena8613
    @fredrickphilomena8613 4 роки тому +2

    Kwenye hii nyimbo napenda sehemu mbili mwanzo anapoanza bab junior na mwisho anapomaliza tena bob junior 🔥🔥🔥

  • @msechuemanuel847
    @msechuemanuel847 5 років тому +25

    Team kiba oyeeee

  • @dorahpaulin8012
    @dorahpaulin8012 3 роки тому +11

    King is favourites of all tanzanian and afrian pple worldwide talented kingkiba!🇻🇳🇿🇼🇺🇾

  • @owensankale4863
    @owensankale4863 10 місяців тому +3

    Nimekuja hapa kutafuta hii ngoma Kuna mahali inatrend 😢

  • @MagieNatse
    @MagieNatse 2 місяці тому +1

    Ngoma kali sana

  • @reubendofu1151
    @reubendofu1151 5 років тому +8

    Chorus moja mujaarabu kabisa🙏🏻

  • @anordaloyse4586
    @anordaloyse4586 10 місяців тому +2

    Yaap leo tar 11 march 2024 naisikiliza

  • @sanaipeiletungaisanahletun2801
    @sanaipeiletungaisanahletun2801 5 років тому +135

    Nani anaangalia mwaka huu 2019💪💪💪💪

  • @baj4559
    @baj4559 Рік тому +1

    Point 👈 zetu.

  • @MbalaStago-w3e
    @MbalaStago-w3e Рік тому +6

    2023 lakini bado ngoma ya Moto🔥

  • @bintykikungu6900
    @bintykikungu6900 2 роки тому +2

    Nawapenda wooote yaani mpo👍👌😘. Mia miaaaa.❤❤❤❤💌

  • @zamdajelemia5573
    @zamdajelemia5573 6 років тому +13

    Nyimbo za zamani zipo vizur

  • @estaevalisto874
    @estaevalisto874 3 роки тому +1

    Wimbo wangu Bora miaka yote kwenye frash na kila sehem aisee

  • @dianamutale1259
    @dianamutale1259 3 роки тому +5

    Hizi ndo nyimbo tofautu na zile nyegenyegezi,mala akiinama akiinuka waa,pumbafu zenu, mnaimba matusi,,2021

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @lanafelix8649
      @lanafelix8649 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mwanashamwalim-dx6wb
      @mwanashamwalim-dx6wb Рік тому

      😂😂😂😂🤸

  • @MpoyolaNyoni
    @MpoyolaNyoni 2 місяці тому +1

    Daaa nimekumbuka mbalisana

  • @naseeriddi4346
    @naseeriddi4346 2 роки тому +10

    No one like KING KIBA, 2022 bado naenjoy mauwez ya KING

  • @halimaamani4095
    @halimaamani4095 2 роки тому +1

    Bonge la collabo corus imeuwa sanaaaaa

  • @mariamissa4186
    @mariamissa4186 7 років тому +16

    duuu bonge la song bro. kibaa begap penda sana weeeeeeee ataree

  • @amaniseeb1208
    @amaniseeb1208 4 роки тому +2

    Kiba ww baba laooo👊 umenaksh vibaya mnooo 💪😍😍 sauti masha Allaah

  • @jaquelinemunish3183
    @jaquelinemunish3183 2 роки тому +8

    Nani kaja hapa kusingiza baada ya live ya roma?🥱

  • @JeremiahOkoth
    @JeremiahOkoth Рік тому +1

    Bonge la Nyau na King Kiba.

  • @zacotantrade
    @zacotantrade 11 місяців тому +4

    2024 bado hii ngoma ally kiba ananikosha

  • @jenipherlusekelo9212
    @jenipherlusekelo9212 2 роки тому +1

    Hii nyimb aina at views m1 watu awazijui nyimbo

  • @karashilibochomc2038
    @karashilibochomc2038 4 роки тому +9

    2020,Feb,17..... 12:08 a.m night!
    "Kwa mafungu Kama vile dagaa!

  • @FarajaElisha-d8q
    @FarajaElisha-d8q Рік тому +1

    Ambao bado tunausikuliza huu wimbo 2023 👋

  • @halmaabdala7221
    @halmaabdala7221 5 років тому +29

    2014 mpk 2019 bdo tupo pmj broo kukupnda ndo kitu nafikilia

    • @BadoMartense
      @BadoMartense 8 місяців тому +1

      Kabisa nakumbuka 2014 nilikuwa namalizia darasa la 8, nilikuwa naipenda saaana badae ndo ikawekwa UA-cam 2017❤

  • @haronNato
    @haronNato Місяць тому

    Ngoma ya kufunga mwaga natoka Kenya bado tunaikubali❤

  • @Chida
    @Chida 4 роки тому +3

    Big music always live long sanaaaaa magoma na masauti makali kama yoteeeee

  • @bintmohamedmuhamed6028
    @bintmohamedmuhamed6028 3 роки тому +1

    Mmmmh tam badooooo😋😋 nahaiwezi kuisha utam pongez kwawote penda sanaa 👊👊👊🤝

  • @karimuhasani1652
    @karimuhasani1652 5 років тому +182

    like kama unaucheck huu wimbo mwaka 2019 ni😡🔥

    • @husseinjafar5751
      @husseinjafar5751 5 років тому

      Yohana chuga sikuiz umekua karm

    • @roseegaly5251
      @roseegaly5251 5 років тому +2

      2020

    • @braytonimani1349
      @braytonimani1349 5 років тому

      🤣🤣 alafu king kiba Africa miusc number one kwenye hii Ngoma umeua kama team kiba like

    • @rashidimfinanga1223
      @rashidimfinanga1223 4 роки тому

      Lilikuwa bonge moja la song hasa hilo ch9rus la kiba

  • @fahadykabuhaya8994
    @fahadykabuhaya8994 4 роки тому +1

    Alikiba ni noma sana brother kwann usitoe nae ngoma nyingine

  • @selfplanet3880
    @selfplanet3880 4 роки тому +6

    Rhythmical type of song dah Kiba we ni shidaaaa!!

    • @joshuakija3438
      @joshuakija3438 2 роки тому

      Kudadek kiba wew kweli nishida kwa saut tamu kama hii kwa kiba stok ninyimbo yang pendwa 7-12-

  • @faridaoman149
    @faridaoman149 4 роки тому +2

    Alikiba sauti yako sijajua unakula nn?kwa kweli

  • @gineuspaul
    @gineuspaul 5 років тому +7

    Duuuh hii ngoma bado ipo akilin na Damuni mwangu 2019

  • @RamadhaniKAGENI-p3o
    @RamadhaniKAGENI-p3o Рік тому +1

    Hii nyimbo mm napendekeza iwenyimbo yataifa yataifa mawili Tanzania Kenya ilibamba sana 2014

  • @ibrahshowtz
    @ibrahshowtz 5 років тому +9

    Hii ndo bongofleva tunataka... muziki kama huu unaish milele sabab unaimba vitu halisi kwenye jamii. Napenda sana huu wimbo sabab una ujumbe wa moja kwa moja, sio lazima ucheze, hata kusikiliza tu inaleta raha..
    “ ulinijaza nami nikajaa nikiamini we ndo wang wa maisha
    Uliniaibisha mbele ya marafiki zang mim, uaminifu wang 100% kwako 0%, ulipenda visasi na visa kosa sio kosa unajinunisha, we ni busy kweny simu chachu kama ndimu umenichenjia kukuona kw msimu, we mwanamke una roho ya ajab, nilikuthamin moyo wako hauna adabu, haueleweki kama mvua za Dar” forever my fav verses..!!

  • @nickosammusiq
    @nickosammusiq 5 місяців тому +1

    One of the best collabo till 2024
    The best chorus

  • @rickyboykemusiq5567
    @rickyboykemusiq5567 7 місяців тому +3

    Hi chorus nitamu mbaya mbovu 😂 alikiba ako na sauti tamu huyu huwezi mchukia

  • @issadon209
    @issadon209 9 місяців тому +1

    Ili goma litaishi miaka mingi sana❤❤❤❤

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Рік тому +3

    One of the best collabos in Tanzania

  • @BadoMartense
    @BadoMartense 8 місяців тому +1

    Hii ngoma ili nivuruga sana kipindi kile ❤❤❤❤

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 років тому +11

    Naucheki tena Leo tar11/10/2019
    King na nyauloso

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 років тому +2

    Hata myaka inayo kuja inaendelea ku hiti 😘👌👌👌

    • @aishamrsmkunga2143
      @aishamrsmkunga2143 5 років тому

      Mie nausikiliza nahic kama ndo imetoja jana tu, watuna vipaji vyao.

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 роки тому +45

    2022 and it's still one of the undisputed chorus ever made by King Kiba