ULINZI MKALI KWENYE MSAFARA WA RAIS SAMIA NCHINI OMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 115

  • @philipochipanta8532
    @philipochipanta8532 2 роки тому +17

    Tukitoka OMAN tunaenda Ukraine kufanya ziara @mama lazima atembelee DUNIA nzima

    • @dulahcharles6460
      @dulahcharles6460 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @blackdanilo6943
      @blackdanilo6943 2 роки тому

      😀😀😀😀😀👉

    • @tanzaniaafrica7019
      @tanzaniaafrica7019 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому +1

      @harimah Hassan Huna kitu kichwani ndio maana huoni subiri uwe mwanga tu roho mbaya na choyo tayari vimekujaa

    • @hemeddaud618
      @hemeddaud618 2 роки тому

      Mkosoaji hajawai kua na mji wake

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 роки тому +11

    Nimeamini kweli Ikulu yetu ilijengwa na Waalabu tena ni hawa hawa waomani na siyo wajerumani kama tunavyaminishwa wachache sana wataelewa.

    • @shadrackkamugisha4481
      @shadrackkamugisha4481 2 роки тому +1

      We kijana wawapi wewe mbona mantiki yako haina akili maana ikulu ya uingereza inafanana na ya tz kuliko ikulu nyingine yoyote, lakini sio waingereza walio ijenga

    • @peterpeter4199
      @peterpeter4199 2 роки тому

      @@shadrackkamugisha4481 o9

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 2 роки тому

      @@shadrackkamugisha4481 umejitahidi ila umeongea kwa mfano na sio reality ukweli ni kwamba 90%ya majengo ya serikali ya zamani ukanda wote wa pwani wenyewe ni waarabu

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      @@shadrackkamugisha4481 Unateseka ukiwa wapi?

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Wagalatia some of them hawatakuelewa

  • @massoudmohd7864
    @massoudmohd7864 2 роки тому +1

    mashallwah mama kwel lengo lako zur nch imeanza kunukia neema allwah akuongoze ktk kaz zko na akuafifkishe lengo lko amen..

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 роки тому +3

    Nenda mama ukatafute masilahi hawa wanopiga kelele hawajui kitu daraja la rufiji kajenga nani bela ya msada tutafika wapi waombe warabu wanapesa muhimbili mwenyewe nani ni mwarabu hata mkiwachukia wanatupa misada kila mda

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +1

    Subhanaallah roho za korosho acheni karibu Raisi Samia Omani ukisikiliza watu huto lala Vizuri enjoy 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Hawa watu hawapendeki,, na uzuri wa rais wetu hana time nao,,

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 2 роки тому +5

    Karib mama yetu🇴🇲♥️🇹🇿

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 роки тому +4

    Siyo bure huyu mama kazidi haogopi Wala hajali hali ya nchi ilivyo

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому

      Tafuta kazi ufanye wewe sio kuulaumu tu wacha choyo na roho mbaya

    • @mansoursabri4398
      @mansoursabri4398 2 роки тому

      LULANJAMD kama unaona wivu gombani uraisi kama unazani vitu rahisi
      Mama ee kama nilivyo kwambia vibagia na mashawi na Mshkakiki ndio navihitaj kutoka huko ahsante sana

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому +1

      @@mansoursabri4398 🤣🤣🤣💃bibadia tena

  • @namhassafyakwanza6630
    @namhassafyakwanza6630 2 роки тому +5

    Proud

  • @salumusalumu4338
    @salumusalumu4338 2 роки тому

    Kazi nzuri mama usigeuke nyuma... Waache wapige kelele

  • @ssur6125
    @ssur6125 2 роки тому +5

    karibu Oman mama ule tende mbichi

  • @aphonceedward6784
    @aphonceedward6784 2 роки тому +2

    Duh! Yetu macho bwana.

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 2 роки тому +1

    millard aukatafsiri video

  • @AzainTv
    @AzainTv 2 роки тому +2

    Oman hamjawahi niangusha

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Allah amewajaalia sana waoman, Mtume Muhammad S.A.W aliiombea nchi ya Oman. Mashallah oman wakarimu, wana upendo wa hali ya juu mno, wana imani,,, kwakweli nchi yao amani imetawala,,,
      Niseme tuu, kwangu mimi oman inaongoza kwa amani duniani.

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 2 роки тому +1

    Mama wa ziara nabado kuja mdawake uishe tutaelewa tu

  • @alexmashimba4749
    @alexmashimba4749 2 роки тому

    Ok

  • @oissaomary7458
    @oissaomary7458 2 роки тому

    Kura maisha mama ni wakati wako ikitoka hapo ludi nyumbani ufkirie utaenda wapi Tena temberea hata urusi ukaangarie nyukria vipi wanazikotroo kufika nchi wanayo taka

  • @mwanaiddi9660
    @mwanaiddi9660 2 роки тому +1

    Sasa kama wanauwana yeye aka washike mikono

  • @dianashija5674
    @dianashija5674 2 роки тому +4

    Heeee kasafiri mama kumbe

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому +3

      We ulikuwa umelala hivyo siye tukamsindikiza🤣🤣🤣🤣🤣

    • @dicksonemmi4614
      @dicksonemmi4614 2 роки тому +7

      Haha wewe hujui huyo mama wa dharura acha afanye dharura zake! Mungu libaliki kabur ya magufur amina!

    • @dianashija5674
      @dianashija5674 2 роки тому +1

      @@binhussain3445 kumbe yaaani leo nilikua usingizini kwakweli

    • @dianashija5674
      @dianashija5674 2 роки тому +2

      @@dicksonemmi4614 2025 inakuja mbivu na mbichi

    • @berthamghanga1093
      @berthamghanga1093 2 роки тому

      @@binhussain3445 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @chifumapro5066
    @chifumapro5066 2 роки тому +5

    Anazingu huyu mama kama siyo ibilis basi ndugu yake ibilis

    • @rahimaabuu8687
      @rahimaabuu8687 2 роки тому +2

      Ungejua au ungesikia kiarabu hata kidog au ungewah kufanya kaz oman ungefurah sana kusikia alichokuja kukifanyaa kwa watanzania walioko oman kikaz msipendee kuhukumu kituu bila kujua nn maan yakee, keshoo utajua aliijia nn

    • @Chachaveli
      @Chachaveli 2 роки тому +1

      😂😂😂😂💯God bless your mind stephano

    • @dulahcharles6460
      @dulahcharles6460 2 роки тому

      😀😀😀😀🤔🤔🤔

    • @kennywilliam2466
      @kennywilliam2466 2 роки тому

      @@rahimaabuu8687 inakusaidia nini hiyo ziara ya oman wewe mtanzania mwenzangu mtanganjia maarufu kama ya nyumbani kwake yana mshinda haya ya huko oman yana husu zinduka shtuka na utamaduni kapuku skuizi hazivumi tena!!

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому

      Bilisi wewe Kafiri na jogo lako ilo roho yako sura yako sawa sawa

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 2 роки тому +1

    Toka jana hatupumzikii hee amekuja tufanyeje waarabu wanahashukwa tu yaan kila saa naambiwa rais wenu kaja hee jmn

  • @kingmaingo1182
    @kingmaingo1182 2 роки тому

    Sio Mfalme ni Sultan...
    Tofautisha Mfalme na Sultan.

  • @barakaadson6627
    @barakaadson6627 2 роки тому

    Mama ukitoka hapo uende na Nigeria au unaonaje😂😂😂😂😂😂😂!!!

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Akafanye nini tena huko?? Wale boko haram wanaofadhiliwa na mabeberu sijui, si watamuua!!

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 роки тому +1

    Hapa Wanampumbaza hili Asaini mikataba kirahis

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 2 роки тому

      Sio wa roho kama wazungu wenyu😏

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Unateseka ukiwa wapi!!

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 роки тому

    Alikuwa anatamani sana siku moja kuingia ikulu ya omani,apo anajiona kama yupo zenji hivi

    • @idrisakasuwi7865
      @idrisakasuwi7865 2 роки тому

      😅😅😅 daah umenichekesha ndugu lkn si anaasili ya huko na ndugu zake wapo huko

    • @diolindanativo7268
      @diolindanativo7268 2 роки тому

      @@idrisakasuwi7865 ndo mana kaenda kuwafanyia wepesi baazi ya ndugu zake waishio omani sijui anataka kufuta swala la viza yani zazbar to omani free viza

  • @mariamiddy262
    @mariamiddy262 2 роки тому

    A d

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому

    #NONSENSE

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 роки тому

    Uyu mama bana kweli ni mzenji kawafuata uko uko

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Imekuuma sio!!

    • @diolindanativo7268
      @diolindanativo7268 2 роки тому

      @@SMG109L imeniuma sana uyu mama nchi haiwezi,kwaza akuna kiongozi wa kike,mana wanamperekesha sana viongozi wa kiume kila siku wanafanya makosa ila afanyi kitu,anahofu ya mungu,kwa kweli hataweza kuongoza miaka10

  • @alfredmhana235
    @alfredmhana235 2 роки тому +1

    Piga kubwa jpm kuondoka.

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 lughaaaaa

  • @jumaalex3942
    @jumaalex3942 2 роки тому +3

    Sisi hatukatai kusafiri pamoja nakusafiri tatuamigogoro yawananchi wewe Raisi unauwezo wakuongeatu nenomoja watu wangoro ngoro wakakaa kwaamani

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 2 роки тому +1

    Simpendi kabisa sababu hajari wanaichi wake yeye anajari tu kusafiri tu wakati huko alipo wafanya kazi hatuna masilahi mazuri kama wengine nyumbani kaacha watu wanauwana yeye hana habari

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 роки тому

      Hao watu si wanauwana kwa makusudi yeye ndie aliewatima wauwane kwani?

    • @a.a.a.s8322
      @a.a.a.s8322 2 роки тому

      Usipo Mpenda wewe watampenda wengine. Acheni chuki ambazo hazina msingi. Tanzania ni umoja upendo, na Amani. Acha mahusiano yaimarishwe kwa ziara kama hizi.

    • @malimimojo4940
      @malimimojo4940 2 роки тому

      Sio wewe tuu. Wabongo wengi hatumpendi, hadi wanawake wenzie wamsema vibaya.

    • @salhakristina9434
      @salhakristina9434 2 роки тому

      @@maryamalli9090 ivi kwa mfano wewe ndio mama watoto wako wakigombana utasema hayo maneno au ingekuwa ni familia yako ndio wamekufa umesema hayo maneno?

    • @salhakristina9434
      @salhakristina9434 2 роки тому

      @@a.a.a.s8322 kwani nini kakuambia usimpende huyo mama yako ? Na Tanzania yako?

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 2 роки тому

    Magufuri tumeshakumic rip

    • @moneytv524
      @moneytv524 2 роки тому

      Mutabaki iviv kila siku magu RIP😅😅😅

  • @Chachaveli
    @Chachaveli 2 роки тому +3

    Teteeni wamaasai huko ngorongoro, sio kufurahia magari na misafara anayopewa na miongoni mwa wale wanaowafurusha wamaasai… to hell

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      Acha roho mbaya na chuki.,,waambie na wenzio wenye chuki waache mara moja,, Kualikwa kwake oman huyu mama yetu imekua gumzo sana,,,
      Mama piga kazi, hawa wanaokuchukia usiwajali.

    • @Chachaveli
      @Chachaveli 2 роки тому

      @@SMG109L yatakukuta tu… tanzania was once among the greatest nations of africa…used to wonder how it got here.. now i know its because of people like you.. now let impunity lead you…
      The president is not a rapper so she doesn’t need to be doing world tours… she can delegate some of these meetings to important government officials

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      @@Chachaveli sasa unamuandikia nani kiingereza humu!! Au wewe ni mzungu mmasai kutoka kenya au yahudi ulietumwa kumkashifu mama yetu!!! Acha chuki. Fanya kazi ulishe familia yako.

    • @Chachaveli
      @Chachaveli 2 роки тому

      😂😂😂anyway
      Maslahi ya mwananchi ndio kipaumbele cha serikali… sisi ndo economy
      Nimesema na nasema tena mama sio msanii hahitaji kuzunguka dunia nzima wala kwa rafiki zote wa tanzania, kuna watu serikalini ambao wapo kwenye hizo nchi.. na wapo wengine nchini wanaweza kutumwa
      LONG LIVE THE IDEAS OF PAN AFRICANS…

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      @@Chachaveli Usimpangie cha kufanya,, yeye ni rais na anajua anachofanya. Wakati ameenda marekani hakuzungumziwa wala kulaumia hicho, ameenda UK hivyo hivyo, GHANA n.k hivyo hivyo. Lakini ameenda oman na ni kwa sababu wale ni waarabu na ni waislamu imekua gumzo sana,, na isitoshe akaonana na ndugu zake kuwajulia hali zao, ikawatachi sana, vile vile ameenda makkah kwa ajili ya umra imewatachi.