mama jamani tulia basi tunakufa uku ivi mwinyi uko zanzibar mbona hatoki sana au ndo mama anasafiri kwa niaba sijaelewa kama unasafiri kwaajili ya mwinyi pia tuelewe alafu jk alisafiri lakini mama ushampita kwani hao wamaraisi wengine uwa nao wanasafiri sana dah jamani😢😢😢😢kwani si tumekosa wapi sasa jamani
Linus kaupiga mwingi kodi za wananch au? Maana mda anaokaa ndani ni mchache kuliko anaokaaa nje Ku spend kodi zetu, na kwa hali hii shilika la ndege lazima lipate hasara coz ndege ya biashara imegeuzwa ya ziara private.????? Ajabu Sana.
Watanzania wenzangu sijui mpewe nini mtaridhika,magu ajasafiri kipindi chake mkasema analog apart kufa sijui kuupunduliw!!leo mama halali kwa ajili yetu anaweka mambo sawa mnamsema hovyo kuweni watulivu mpeni mda ndg zangu
Mama tosha sasa hebutembelea mikoa yako mama uangalie wannachi wako wanachangamoto gani wawakilishi wako wanakudanganya hakuna lolote mama huku mtaani kilasiku afadhal ya jana
Duu kweli ipi ndege kubwa kiazi icho iwabebe watu wachache ifo ni faida ama hasara na hizo pesa ni ya watanzania ama imetoka kwa mifuko ya hao waliounga msafara ya mama kwani tuko na shida gani unatuangaikia ifo na Kuna mengi imekushinda apa Mali setu sinasombwa si ungeanzisha kutafuta alieiba hiyo jiwe ya ilioko Dubai ama una habari
ukweli nmeuweka kwenye sms yangu ya chini , lakini hii nmeiweka kma kumnafikia tu hyo mama kwani anafanya Kaz ip tofauti nakuzuguka safari sisizo za maana nakutumia hela za watanzania kwa matumiz mabaya ya fedha
Ivi, ki-ushahidi wa kima__zingira, si inaonyesha wazi ! aliondolewa? Kazi iendelee, ndo hii? Umeme wa Bwawa la Nyerele kuwashwa june 2022, sasa vipi? Inamaana mikataba mmefanya upya ili uwape hao wamarekani?
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza kumsimamia kumlinda na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wangu ewe mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza vyema raisi wangu kokote aendapo ewe mwenyezi MUNGU
Ni aibu Rais haupokelewi na Rais mwenzako,acha kulazimisha safari, wenzako wako bize na nchi zao,wewe nchi unawaachia mafisadi,
Mwacheni Raisi afanye kazi, hizo ndiyo kazi zake, ulitaka aende wapi
Wameshamchoka huyo mama
@@augustuss4503 kama na wewe umemchoka mbona unafatilia kila anachokifanya?
Anazurura sana hatulii
Swadakta sana
Maama samia karibu saana Uganda.
mama jamani tulia basi tunakufa uku ivi mwinyi uko zanzibar mbona hatoki sana au ndo mama anasafiri kwa niaba sijaelewa kama unasafiri kwaajili ya mwinyi pia tuelewe alafu jk alisafiri lakini mama ushampita kwani hao wamaraisi wengine uwa nao wanasafiri sana dah jamani😢😢😢😢kwani si tumekosa wapi sasa jamani
Mwinyi atoke kwa kupeperusha bendera ipi?
Hongeraa sanaaa mama big up
Wa TZ
Tufanye kitu.
Hapa tumepigwa.
Si ajabu huyu sio Samia.
Wazungu walishatubadilishia.
Alfu ni kama vile tumepigwa na kitu kizito kwenye ubongo🤔🤔
@@goodluckulimboka8117nanda kwa waganga
Nikiona ndege hizo nakumbuka marehemu MAGUFULI masikini ulituletea heshima TANZANIA hatutakusahau Ulitutoa haibu Tanzania
Dhuu ..
Haibu au aibu?
Bado una ndogo ya kuona marehemu kila siku.
Acha kutukumbusha enzi za utawala wa mkono wa chuma.
Usisahau visent my mama
Yangu mie macho tuu 👨🦲
Mbona sijaona rais mwingine kila bada ya siku1 anakuwa ichi za watyu?? Mbona wao hawaji kwetyu?? Duu kazi ipo
@@loyceinko8693andika vizuri wewe.
Halafu swali lako ni butu na lina matege
MAMA kazi isonge mbele chapa kazi mama utuletee zawadi
😄
Siyo Siri wa Tanzanian hapa tumepigwa.
Tume pigwa ki vipi
my mom🤗😍
Mamaa kauppiga mwingi ongera zake
Linus kaupiga mwingi kodi za wananch au? Maana mda anaokaa ndani ni mchache kuliko anaokaaa nje Ku spend kodi zetu, na kwa hali hii shilika la ndege lazima lipate hasara coz ndege ya biashara imegeuzwa ya ziara private.????? Ajabu Sana.
@@dicksonkusagabado hujasema msubirini makengeza mbowe nyie chagadema.
Ataenda mpaka UKRAINE uyu subiri muone
Hahahahaaaaa
Yani ziara nyingi sana khaa
Huyo Mama aliyempokea Mama yetu mzuri...😋😋
Mama yako yupo kwenu,huyo ni rais
She is Uganda's 3rd D Prime minister ❤
Iyo ndege inatumia lita ngapi Kwan
Mbona ndege kubwa watu wachache
Mama safiri basi na mikoani kidogo, by the way, kazi nzuri unafanya 😉
Augustus, MIKOANI yuko MAJALIWA na Makamu wa RAIS
Hi hata stulii juzi umetoka usa leo ug mungu tusaidie hili lipo nje yauwezo wetu sio kwakutembea huko
jaman munguwang
Inatosha mama
Watanzania wenzangu sijui mpewe nini mtaridhika,magu ajasafiri kipindi chake mkasema analog apart kufa sijui kuupunduliw!!leo mama halali kwa ajili yetu anaweka mambo sawa mnamsema hovyo kuweni watulivu mpeni mda ndg zangu
Mshamba wew!
Huyu mama ni mchapa kazi sana anajituma sana
Fanya kweli bi mkubwa Bomba la mafuta bado chenga hatuelewi
Hauna,wasaidizi,umetoka,marekni,mar,ugand
Urais Raha ..Yaani asubuhi msafara umepita Sasa umeshafika kwa Museveni
Anatangaza ndege ambazo aliangaika mwenzake kuzipata...alaf izoizo anasafiria kwenda kumsema vibaya..
Next destination wapiii tukitoka apo 😂😂
Mama anatembelea mikoa ya tanzania alitembelea mikoa waujekumani kaendamkoa wauganda yani anafanyakazi mama
walisema shirika la dege limeleta hasara mwazoni lakini kwa saiz wanatumia hzo dege kwa kma usafiri wao bnafisi duuh hii kazi kweli
Safari zimezidi khaa. Wananchi mikoani wanashida ya miundombinu izo ela angetumia hko.
Kitanda chake kimemmiss kamaliza pilika za movie yake jana leo Uganda duh pesa banaa
JPM.....
Mmmh au basi 🥴🥴🥴Tutatubu mwaka huu........!
Ndo kazi uliyochanguliwa hiyo
Unanenepa tu wananchi tunaumia
Dadeki kwa kweli ata Ku tembea shida!!!!!!
💯
Maa ke Kwanza Ncheke 😂😂😂😂 apa tumepigwa
Duuuh tena
Ila uchaguzi ujao mtatukoma amta amini maana ccm tumeichoka mmetafuna sana taifa letu
Mafuta yanaishilizia hewani nchi ita shuka kiuchumi
Uyu mama kiboko alafu anazani 2025 apewe madaraka, kila ck safari
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 10.05.2022: Sterling, Mane, Pogba, Haaland, Oxlade-Chamberlain, Adeyemi
ua-cam.com/channels/pDlQ0YVIGbm7gimRiixAoA.html
Mama kaupiga mwngi adi akaupga tn.......hya bn muda wko sa sie tutfnyaje!!
Natamani muda wako wewe mama uishe hata Leo na usirudi huko kbisa
Wapo tunamani mama aongezewe muda
Mama tosha sasa hebutembelea mikoa yako mama uangalie wannachi wako wanachangamoto gani wawakilishi wako wanakudanganya hakuna lolote mama huku mtaani kilasiku afadhal ya jana
Huyu ni tatizo kubwa
Kumekuchaaaaaaa tutaelewa tu, ndo ule tuliosema unapigwa mwingi mpaka anaondoka nao🤔🤔
Anaupiga mwingi 👽👽👽👽🥺👽👽🥺🥺👽
Duu kweli ipi ndege kubwa kiazi icho iwabebe watu wachache ifo ni faida ama hasara na hizo pesa ni ya watanzania ama imetoka kwa mifuko ya hao waliounga msafara ya mama kwani tuko na shida gani unatuangaikia ifo na Kuna mengi imekushinda apa Mali setu sinasombwa si ungeanzisha kutafuta alieiba hiyo jiwe ya ilioko Dubai ama una habari
Unaonekana mafuta ya ndege hayakupanda Bei.
Kapokewa na makamu wa rais kuna shida gani
wewe acha uogo raisi apokelewe na makamu wa rais na wakati rais wa nchi hyo yupo anafanya kazi gani hyo rais wa Uganda kwanini asiede kumpokea yeye
KOMENI WA TZ, SI WAMETAKA WAO NA LI CCM LAO. MAMA KULA BATAAAAAA!!!
mama anaupiga mwingi anatembea kwa ajili ya changamoto zetu watanzania , tumpede mama etu kwa Kaz zuri anazozifanya
We kiazi cha Dodoma sjawahi kuona
ukweli nmeuweka kwenye sms yangu ya chini , lakini hii nmeiweka kma kumnafikia tu hyo mama kwani anafanya Kaz ip tofauti nakuzuguka safari sisizo za maana nakutumia hela za watanzania kwa matumiz mabaya ya fedha
Rais wa Tanzania kwakuzurura aturii kwenye nchi yake mtiani
Rais lazima asafiri nje ya nchi msijisumbue, Kama raisi hakutani na wenzake Maraisi huyo hafai
@@selemanichambo2944 raisi ni lazima asafiri imeandikwa wapi acha kuwa mpumbavu kiasi hicho rais lazima yake nikuwatumikia wananchi.
@@selemanichambo2944 unajua wewe bado upo usingizini we jiulize hapokelewi hata na rais wenzake
@@dicksonkusaga Kama maraisi wa nchi zilizoendelea wanakuja kupigwa na mavumbi huku itakuwa sisi ambao hata Pini tunaagiza nje wacheni upuuzi
Mama kaupiga mwingi anasafiri mpaka MaRais wenzake wanamchoka. Wanashindwa hata kumpokea. Anapokelewa kienyeji enyeji hivi duh aibu iliyoje
Hamna lolotee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ivi, ki-ushahidi wa kima__zingira, si inaonyesha wazi ! aliondolewa?
Kazi iendelee, ndo hii?
Umeme wa Bwawa la Nyerele kuwashwa june 2022, sasa vipi?
Inamaana mikataba mmefanya upya ili uwape hao wamarekani?