ULINZI MKALI ALIONAO WAZIRI MKUU WA INDIA, ULINZI WAKE WATAJWA KUONGOZA DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 10 місяців тому +8

    Ulizi wake wale wote kwa mungu dakka 1 nyingi

    • @seifallah8277
      @seifallah8277 10 місяців тому

      Sekunde tu hamna kitu hii inaitwa danganya nafsi tu😅😅😅

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 10 місяців тому +2

      Roho ya kimasikini huwaza ujinga kwan nani kaongelea km Mungu hawezi apo

    • @elisante6838
      @elisante6838 10 місяців тому

      Unaambiwa usome uondeo ujinga kichwani unabisha,Sasa ona unakommenti ujinga

    • @SamwelSam-kg1kj
      @SamwelSam-kg1kj 10 місяців тому

      Sio dakika ni sekunde tu

    • @saidimussa-lh8pz
      @saidimussa-lh8pz 10 місяців тому

      Mungu ndomtenda haki akiamua kumchukua anamchukua kwahaki lakini walimwengu hawakutendei haki wala hawakuui kwahaki bali watadhamiria ufe kwa dhulma hivyo nilazima tujilinde dhidi Yao.

  • @maase2023
    @maase2023 10 місяців тому +4

    Huyu kwa kuwa anawakandamiza sana Muslims in India hivo hajiamiini kabisa lazima ajiwekee ulinzi sana kwa kuwa anajijua hatendi haki kwa taifa lake

    • @LawrenceKakuba-xe5zm
      @LawrenceKakuba-xe5zm 10 місяців тому

      Unauhakika na unachokiongea ndugu yangu ,kumbuka kwenye Kuna watu wenye Imani tofautitofauti

    • @LawrenceKakuba-xe5zm
      @LawrenceKakuba-xe5zm 10 місяців тому +1

      Sidhani Kuma Kuna mtu anechukia dini ya Uislamu ,hata Mimi binafsi sina chiki na dini ya Uislamu

    • @LawrenceKakuba-xe5zm
      @LawrenceKakuba-xe5zm 10 місяців тому

      Isipokua miongoni mwenu waislamu ,mjifunze kuisimamia Imani yenu bila kudharau dini nyingine ,mbona kitabu Cha kurani kipo wazi tu ndugu yangu

    • @LawrenceKakuba-xe5zm
      @LawrenceKakuba-xe5zm 10 місяців тому

      Hata Mtume aliishi na watu wa Imani tofauti kwa kuheshimiana nao

    • @VintanDismas
      @VintanDismas 10 місяців тому +1

      Kaka waziri Hana baya uyo usilete udini bila sabb

  • @DanMasoko
    @DanMasoko 10 місяців тому

    Safi sana

  • @NelsoniChamba
    @NelsoniChamba 10 місяців тому +2

    Ni haki maana uandamwa na wengi

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 10 місяців тому

    Kila nchi inautayari wake kivita utashangaa Sana pale kila nchi ikiamua kuwa tayali kwavita

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 10 місяців тому +1

    Na ulinzi wote huo mungu kaamua ni sekunde

    • @emazjassam2452
      @emazjassam2452 10 місяців тому

      sas kwani unadhani ulinzi huo ni kwasababu mungu asiwaome au😂😂

  • @lumumbadunia1921
    @lumumbadunia1921 10 місяців тому +1

    Wakwanza ❤❤❤😂🎉

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 місяці тому

    Hata yeye anawafunga wa wapinzani alafu anajipa mhura mda tena wa kugombea

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 10 місяців тому +1

    Ml36 kwa mwaka ndogo sana

  • @stonetown578
    @stonetown578 10 місяців тому

    Made in India

  • @rymax7790
    @rymax7790 10 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @user-mc9tf3mq3y
    @user-mc9tf3mq3y 10 місяців тому +1

    Tupeleke china

  • @mikidadymohammedy7603
    @mikidadymohammedy7603 10 місяців тому

    Duuh! hatar

  • @fakijecha
    @fakijecha 10 місяців тому +1

    Nchi maskini kinoma alafu anatembelea magari ya kifahari uwongozi uchizi anajijali yenye tu sio wanachi

    • @AhmedAslam-ip8mu
      @AhmedAslam-ip8mu 5 місяців тому

      nan kakwambia india ni nchi maskini upo duniani kweli?? kaangalie uchumi wao umaskni upo na utajiri mkubw upoo hatuwafikii hao jamaaa

    • @AhmedAslam-ip8mu
      @AhmedAslam-ip8mu 5 місяців тому

      pencil tunazotumi shule tu zinatokea india

  • @polycarpsanto8894
    @polycarpsanto8894 10 місяців тому +2

    yaani waziri Mkuu anspewa ulinzi mkubwa zaidi ya uluzi wa Rais

    • @VintanDismas
      @VintanDismas 10 місяців тому

      India hatuna rais tunawaziri tu

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 10 місяців тому

    acheni kukopi nakala za wengine kama zilivyo

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 10 місяців тому

    Dah nomasana uko Dunian

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 10 місяців тому

    Hao jamaa wanadaka risasi kwa mkono🤣🤣🤣

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du 10 місяців тому +1

    Unakuta wananch wanamaisha mabovu ajabu

  • @daluckyFinancialServices
    @daluckyFinancialServices 10 місяців тому

    Urwfu ni mita 500 tena wa maaskari😅😅😅

  • @VWMacV1QT
    @VWMacV1QT 10 місяців тому

    Atakufa kweli huyuuuu😮😂

  • @elbacabdoudjesh5629
    @elbacabdoudjesh5629 10 місяців тому

    Ni noma hawo wa India wa kwanza nipeni lakini....duhh sio poa

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr 10 місяців тому

    UREFU WAO NI MITA MIA NGAPI UMESEMA 🤣🤣

  • @elbacabdoudjesh5629
    @elbacabdoudjesh5629 10 місяців тому +1

    Sio poa kama rais

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 10 місяців тому

      India rais hana nguvu ila waziri ndo kila ktu 😊😊

  • @juressemabili5133
    @juressemabili5133 10 місяців тому

    Ujinga tu Mungu akisema utakufa na utakufa tu

    • @maase2023
      @maase2023 10 місяців тому

      Mjomba ukisema hivo basi hata nyumba yako mlango usifunge maana mungu akisema utaibiwa basi utaibiwa hata uweke geti la chuma au sio mjomba ! Safi sana mawazo yako