RAIS SAMIA ALIVYOWASILI OMAN na KUPOKELEWA NA RAIS WA OMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 497

  • @abdirizakabdallah2672
    @abdirizakabdallah2672 2 роки тому +3

    271190
    جاء في "صحيح البخاري" عن أبي بكرة أنه قال:" لما بلغ النبي صلى الله عليه وسلم أن فارسا ملكوا ابنة كسرى قال: ( لن يفلح قوم ولوا أمرهم امرأة) ،
    اخوكم من الصومال

  • @umaziumaziumazi3472
    @umaziumaziumazi3472 2 роки тому +11

    Am proud of you mama ❤ am not tannzanian am from kenya but thnx for visiting us and all Africans

  • @alhajjngoliomahmud6657
    @alhajjngoliomahmud6657 2 роки тому +4

    Mashaallah tabaraka rahman Mwenyezi Mungu

  • @jamilpathan199
    @jamilpathan199 2 роки тому

    Subhan allah. Alhamdo. Lillah. Allah. Ho. Akbar. Duaa. From. India.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому +14

    Mama mjifunze hapo Oman nchi kavu jangwa inayotegemea petrol lkn ina uchumi mzuri miundo mbinu mizuri Pesa stable inayozidi thamani dola na Euro kwa miaka mingi sana,kusafi kuzuri hakuna rushwa huduma za faya pia wako vzr sana ...sisi tunakila kitu madini mengiiii tunawazidi na nchi yetu kubwaaaa kuliko wao lkn NCHI yetu hufananishi na Oman hata kidogo ..mjiulize Jua Kali hapo joto Kali hapo lkn Ac kila NYUMBA na umeme haukatiki.basi sisi tuhamie oman wao waje hapa wakae miaka 50 wabadili kisha sisi turudi.

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 2 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому +1

      Oman nchi tajiri sana waoman wa nataka kufanya kazi baridi lko miezi 6 joto miezi 6 umeme upo hana wasi wasi

    • @adilhabib8988
      @adilhabib8988 2 роки тому +1

      Unadhan petrol na tende ni uchumi mdogo oman yote ni mafuta jangwa ni mafuta lote hamuwafiki waoman Tanzania hamna ishu

    • @ibnually1512
      @ibnually1512 2 роки тому

      Ushafanya tathmini vizur mafuta yao na hayo madini yenu?

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Sahihi kabisaa lakini kumbuka ukitaka kujenga nyumba madhubuti lazima iaziye kwenye msingi kwanza ndio nyumba itakuwa madhubuti sasa tz hao viongozi wenyewe ndio wamwanzo wa kuihujumu nchi vipi tutasonga mbele nawala hofu ya Mungu hawana kabisaa ndiokwaanzaa wanahofu ya kupungua malizao nakufilisika wapo imara kuiba hata mtu akiwa swalihina vipii lakini nikiongozi mwizi hatusongi mbele na fitna ndio haisemekii huko Muhimbili ndio balaa mgonjwa ukienda majina lingine maiti sababu pesahuna utashangaa ndio inaitwa hospital kubwaa Mungu tuteteee walalahoi sasahivii ndio wanakifanyia wanavyotaka wao

  • @omaraula3448
    @omaraula3448 2 роки тому +11

    Reconnecting back Tanzania to the world 🌎🌍 congregations your excellency

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 роки тому

      Still the country goes worst the gaslione up, panya road up, ngoro crasis , people crying of hard life , etc

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 роки тому +3

    Mama nenda nao vizur hao utafaidika na nchi yko wao ni watu wazur hata wametajwa kwenye hadithi za mtume
    S.a.w

  • @akidagreenofficial5259
    @akidagreenofficial5259 2 роки тому +11

    I love so much Mama yangu I'm from Uganda. Ugandan Tanzanian.

    • @sknapoleonshoo3145
      @sknapoleonshoo3145 2 роки тому

      Two African's kidney was stolen in Jordan....... Alot of innocent Africans who come to work in your country are being killed and tortured mercyless every day by you people . Does Allah accept this? Does Islamic teach us to do that? BLACK OR WHITE.... MUSLIM OR CHRISTIANS ARE ONE PEOPLE WORSHIPING ONE GOD IN THIS WORLD! May Allah forgive you people because YOU do not know what you are doing! ("CLEAN OUTSIDE BUT INSIDE ARE EVIL AND WICKED!")😭😭😭😭

    • @elizabethpetro1258
      @elizabethpetro1258 2 роки тому

      Sema kile umependa au anavyoruka mipaka ndio unapenda tutajie unayovutiwa nayo kwake

    • @akidagreenofficial5259
      @akidagreenofficial5259 2 роки тому

      @@elizabethpetro1258 I like everything about her Elizabeth.

    • @akidagreenofficial5259
      @akidagreenofficial5259 2 роки тому

      @@sknapoleonshoo3145 shoo who said that I'm from Jordan ?

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 2 роки тому +1

      Yetu macho ila yana mwisho doctor john akuwahi kwenda kokote jamani kwanza ni garama huku watu wanakula mlo mmoja mafuta bei IPO juu

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 роки тому +8

    Kwa viegezo vya mtume (saw) haitakiwi mtu ambae si maharim kumpa mkono na nikuvuka mipaka allah atuhifadhi

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah karibu sana mamaetu kipenzi cha watu wotee

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +10

    Karibu omani mama yetu raisi wetu

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf 4 місяці тому

    Nakupenda sana mama samia you are really Mom ❤️

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 роки тому +1

    Masha Allah karibu mama sie tuko na waoman tunaishi kama home🇴🇲🇹🇿

  • @Rahmah-dr9xd
    @Rahmah-dr9xd 2 роки тому +7

    Karibu Oman🇴🇲mama Samia🇹🇿💕

  • @msemakweli371
    @msemakweli371 2 роки тому +2

    Poleni Wamasai Ngorongoro

  • @hamoudbadrualbusaid2722
    @hamoudbadrualbusaid2722 2 роки тому +29

    Oman 🇴🇲 hakuna rais kuna mfalme kwahio kapokewa na mfalme 😄 🤣 😂 😆

  • @mkude
    @mkude 2 роки тому +2

    Mashaallah mama piga kazi

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 2 роки тому +1

    Mungu akutangulie kwa kila hatua mama Samia uongozi si lele mama

  • @umfarid247
    @umfarid247 2 роки тому +1

    Tumependa rais samiya suluh kusifia inchi yetu oman mungu amzidishie upendo oman na tanzania karibu tena oman

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 2 роки тому +13

    Oman sio rais ni Sultan kwa lugha nyepisi Mfalme na picha ya sulta Qabus kesha fariki sasa sultan Haitham🙋🏻

    • @karyori69
      @karyori69 2 роки тому

      Hii media ya kipumbavu sana studio zake zinajua mipasho na kunengua tu!

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 роки тому

      @@karyori69 yahni

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      @@karyori69 wewe mjinga

    • @karyori69
      @karyori69 2 роки тому

      @@alialamoudi9729 sasa unabisha? Juzi kapandisha mtu mashetani studio!

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 роки тому

      @@karyori69 🤣🤣🤣🤣

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 2 роки тому +3

    Mashallah Allah mlinde kipenzi changu rais wangu ninaempenda mama Samia suluhu hassan I love you very much my president 🥰

  • @abdulzaidi6043
    @abdulzaidi6043 2 роки тому +1

    Karibu mama i hope kesho tutakuwa sote Albustan maapema sana utatukuta pale

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 2 роки тому +9

    Wasafi ni media kubwa lakn mna baadhi ya waandishi wa hovyo sana wenye uelewa mdogo sana sana, OMAN ina RAIS..!????
    Aibu sana hii

  • @yassinsalum1864
    @yassinsalum1864 2 роки тому +3

    Dah Kama kugekua na tunzo ya kuzurura huyu mama ageshida huo urimbukeni unafuja pesa za walipa Kodi jitaidi umpite kikwete kwa kutembea uchukue tuzo uvuje rekodi

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 2 роки тому

      Wee pumbafu sana..kiongozi akialikwa analipiwa kila kitu hatoi pesa yako hata senti..

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Wa oman ni watu wema sana mimi nlifanya kazi huko maskat NA nchi ina uchumi watafanya kazi NA wa naye ujuzi NA uaminifu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      @@mzuvendi sawa kabisa

  • @willybasil549
    @willybasil549 2 роки тому +1

    Mashallah💖💖

  • @serengetiduma1090
    @serengetiduma1090 2 роки тому +8

    Tunauzwa tu..kweli mwenda zake tulisema ni mmbaya lakini sasa ndo akili yangu inafunguka kuona haya

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому +1

      Na bado sio wewe tu yupo mtu alimkejeli Magufuli alimuita majina yote mabaya, na alipokufa alifurahi sana cha kustaajabisha amerudi Tanzania amekaa miezi mitano tu ameondoka juzi tumekutana cha kwanza kuniambia ni nakisikia bibaya sana mpaka sasa, Magufuli kweli alifanya kazi kubwa sana na mpaka leo angekuwepo Tungekuwa mbali sana maana nimetembwa Tanzania nimeona alikuwa na nia njema mno na Tanzania.

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому

      Wacha Ujinga kwani yeye ndio wakwanza Raisi wa Tanzania kwenda Oman Nyerere alipo kwenda muliuzwa Kikwete chuki zenu kwa Samia tu roho mbaya na ujinga uliopindukia ndio zilokugandeni

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 2 роки тому +1

      Unauzwa umekuwa kahaba

    • @hubimogela9167
      @hubimogela9167 2 роки тому

      Chuki Yako Kwa aiwezi fanya wote tumchukie Amefanya kazi kubwa sana na anajitahid mnooo ukitaka kujua Ilo jaribu kuwaza Angekuwa Mama Yako Angeweza usisahau Kama yeye ni Mwanamke ukipata jibu litunze .

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 2 роки тому

      @@mustaphahassan589 😃😃😃

  • @fatammohammed2546
    @fatammohammed2546 2 роки тому +1

    Mungu afanye wepesi kwa kile kilicho mleta walah

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 2 роки тому +10

    Ayaaaaa,magu alikuwa anawatesa kumbe ss safari Kama zote jitaidi mama utapita kikwete🇹🇿🇹🇿🌹🌹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому

      😂😂😂😂🤓

    • @evelinemsaki2057
      @evelinemsaki2057 2 роки тому

      Moaka aimalize dunia yaani aisee kiukweli alikuwa hajafaidi ndege Sasa anazifaidi na kwa kuwa no mwanamke kila nchi itamwita sisi nhoja tuangalie tuu mwezi tz mwezi ulayaa

    • @evelinemsaki2057
      @evelinemsaki2057 2 роки тому +2

      Kwa kuwa waarabu wenzie hakina korona huko hakuna barakoa ila watz kila Kona aliko anavaa barakoa

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 2 роки тому

      Acheni kutaja wafu

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 роки тому +3

    Karibu mama tupo uku Oman Inshalaah kesho tutakua pamoja

  • @revinamachele2709
    @revinamachele2709 2 роки тому +1

    Naangalia nikiwa Iraq ❤️

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 роки тому +6

    Ambae hajui kiarabu aniambie nimtafsirie mazee hii lugha ni Tamu kuliko kizungu

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 роки тому +7

    Huyu mama anaimaliza hii nchi, unaweza kukuta huyu mama si Raia wa Tanzanie,, jeshi mtusaidie mali za nchi, anazilimaliza, mbona marais wenzake hawaji tanzanie,toka kawa Rais

    • @jabirmaulidi3420
      @jabirmaulidi3420 2 роки тому +2

      Matope no sense

    • @asiakheir8684
      @asiakheir8684 2 роки тому +1

      Waje wapewe nini, yy hapo haondoki bure

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 роки тому

      Mali z nchi gani Tanganyika or Zanzibar 🤣😅

    • @bajagihaji8923
      @bajagihaji8923 2 роки тому

      akili za matako

    • @hamadkhamis6572
      @hamadkhamis6572 2 роки тому

      Tuache chuki binafsi, mama kazi iendelee kama si raia basi ccm hawana akili kumtafuta mgeni na kumpa uongozi.

  • @marylibaba2589
    @marylibaba2589 2 роки тому +1

    Kwakweli mapokezi yaliyofanywa ni mazuri sana tena sana tunamwombea RAIS WETU MAMA SAMIA MWENYEZI MUNGU MPATIE HEKIMA ZOOOTE AWAPATE WATU MASHUHURI KWETU KUFANYA YALE WALIYOKUBALIA .MUNGU WALINDE VYEMA VIONGOZI WOOOTE WARUDI SALAMA .

  • @fatimawazeer701
    @fatimawazeer701 2 роки тому +2

    Mama kaja Alhamdulillah

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 роки тому +2

    Mimi ni muoman nime changanyika na mtanzania. Naipenda sana Tanzania. Naipenda sana Oman. Kote ni kwetu. Naziombea dua hizi nchi mbili, tupendane na tuelewane. Na tuwe na subira. Tanzania itainuka tu. Kwa uwezo wa ALLAH. Sichagui, cbagui. Nawapenda wote. 💕🇹🇿🇴🇲

  • @aishatarimo6194
    @aishatarimo6194 2 роки тому +3

    Wellcome mama yetu Samia Suluhu

  • @eliamfiyabo8599
    @eliamfiyabo8599 2 роки тому +1

    Big up mama

  • @swahibasportsacademy
    @swahibasportsacademy 2 роки тому

    Mama shikana na Prof Wajahkoya mfanye kazi kwa kuondoa Corruption East Africa na Africa mzima

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 роки тому +3

    Maashaallah mama yetu

  • @heriethaissa5972
    @heriethaissa5972 2 роки тому +2

    Karibu mama yetu mpendwa

  • @فخوربإسلامي-ط1ك
    @فخوربإسلامي-ط1ك 2 роки тому +1

    They have history of sayyid saeed

  • @fatimasalim597
    @fatimasalim597 2 роки тому +1

    Huku hakuna rais kuña sultan karibu sana mama etu tunafurah kukuona nchin oman pia karibu

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 роки тому +2

    mashallah ❤

  • @abdulkadirmukhtar8455
    @abdulkadirmukhtar8455 2 роки тому

    Masha alaah Mama Samiya izi nifura

  • @babamiltonkyando
    @babamiltonkyando 2 роки тому +11

    Watu wanateseka alafu wewe una safiri mdaa wote mama pesa za wananchi mama

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 2 роки тому +4

      Unateseka kwa shida zako wacha nchi ifunguliwe

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 2 роки тому

      Kwani kabla ya 2021 uliokua unakula raha au ulikua milionea

    • @cheupesewing3549
      @cheupesewing3549 2 роки тому +3

      @@jitukorofi9517 ifunguliwe na nini kwa kusafiri nchi za watu kila siku anafata nini kwenye nchi za watu anaacha kutatua matatizo ya nchi yake ana kazi ya kusafiri au aliteuliwa ili awe mtalii wa nchi za watu.

    • @merryjeremiah7533
      @merryjeremiah7533 2 роки тому

      @@cheupesewing3549 😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kakamkubwa3564
      @Kakamkubwa3564 2 роки тому +1

      Najiuliza TU why wenyewe wasije??

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 роки тому +5

    Two African's kidney was stolen in Jordan....... Alot of innocent Africans who come to work in your country are being killed and tortured mercyless every day by you people . Does Allah accept this? Does Islamic teach us to do that? BLACK OR WHITE.... MUSLIM OR CHRISTIANS ARE ONE PEOPLE WORSHIPING ONE GOD IN THIS WORLD! May Allah forgive you people because YOU do not know what you are doing! ("CLEAN OUTSIDE BUT INSIDE ARE EVIL AND WICKED!")😭😭😭😭

  • @abdullahal-mahruqi9610
    @abdullahal-mahruqi9610 2 роки тому +1

    Karibu saana mama Samia Suluhu Hassan na ujumbe wako

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 роки тому

    Wamenifrasha kitu kimoja tu hawajavaa barakoa saaaafi imani

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 роки тому +2

    Duh naomba siku Moja niwe raisi hata kwa ndoto Ili nione watakavyo kuwa wananipokea pokea😀

  • @leticiakagoro1544
    @leticiakagoro1544 2 роки тому +3

    Oman si Rais ni Sultan ambaye kavuka level ya mfalme.

  • @saidfhamad
    @saidfhamad 2 роки тому +2

    Wao wote waislam wanapeana mikono na mwanamke kwa sheria ipi ya kiislam au ndio serikali haina dini???

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 роки тому +1

    Mashalla samiya

  • @queenkkd8121
    @queenkkd8121 2 роки тому

    Mashallah

  • @fabianmwinyimbegu2954
    @fabianmwinyimbegu2954 2 роки тому +2

    Tunakutakia kila la heri mh Rais wetu Mama SSH

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 2 роки тому +1

    Waooo mama samia kalibu xana🤣😘😘😘

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +1

    Mama kakuja 😍😍tukutane kesho kuleee💃💃

    • @rahelifredrick8460
      @rahelifredrick8460 2 роки тому

      Jamn mtuwakilishe wengine tusiowezakufika

    • @munakhamis982
      @munakhamis982 2 роки тому

      @@rahelifredrick8460 ucjal nitakuchulia na soda yako😂😂

  • @shahidafridi7365
    @shahidafridi7365 2 роки тому

    🇮🇳🇮🇳INDIA

  • @hamoudsalum9628
    @hamoudsalum9628 2 роки тому +8

    Sio rais wa oman
    Wenzetu wana Mfalme

  • @mashaallaaabadushaok8810
    @mashaallaaabadushaok8810 2 роки тому

    MashaallaBadshaSIANATH
    AlAmeem
    Aiss
    Aiss
    Aiss
    Aiss

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 2 роки тому +1

    Ponda pesa za walipa kodi mama kufa kwaja

  • @juliuslabarani8575
    @juliuslabarani8575 2 роки тому +2

    Tija ya hizi ziara ipo kweli? Maana life linazidi kuwa gumu

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 2 роки тому +4

    Mama anaupiga mwingi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 роки тому

    Hiyo picha uloiweka ni Marehemu Sultan na sio ya Sultan wa sasa aibu tupu kwakweli kwenu

  • @fredybuhofela3628
    @fredybuhofela3628 2 роки тому

    Mbona barkoa sizioni ila tz Mibarakoa kila pahara hapo sijaona

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

    Mama Kaenda marekan alivopokelewa na wapambe tu ata eshima ajapewa kama omani wapende wanaokupenda napia uwongee na mfalme. Visa ziwe wazi nanyie msitubanie uwanja wa ndege mtuache tuje kupambana na maisha yetu

  • @saqrymo379
    @saqrymo379 2 роки тому

    Wrong heading. Kabla hujaandia make sure unaandika correct, hujui uliza. Oman hakuna President ni Sultan. Halafu umeweka picha Qaboos ambaye amefariki karibu miaka 2 sasa.

  • @ngeymo7311
    @ngeymo7311 2 роки тому

    Duh.. Sijui Huku mikoani atakuja Lini? Kweli Royo Tua

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 2 роки тому +1

    Ila mwanahabari hiyo picha umeweka ya marehem kaboos Sasa ni haitham

  • @josephlaurent2396
    @josephlaurent2396 2 роки тому

    Ziala nyingi mbona! hatutapigwa mnada kweli.

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 роки тому +1

    Kapokelewa na Raisi au mfalme wa Oman nyinyi waandishi vipiii

  • @zzzin2291
    @zzzin2291 2 роки тому +1

    Masha Allah bola myamalize mipaka ifunguliwe me nimefulah sana mama kwenda oman

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 роки тому

      Yaani hicho ndoninachoomba mm .asiondoke bila kuliangalia hilo jamn.nahuo mkutano hili liwepo

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 2 роки тому

      Mfunguliwe muanze kutukana watu mseme mnateswa mnabakwa mnachinjwa nakuibiwa mafigo sio bora hivi walivyofunga mtapumzika makwenu jamani mbona kazi nyingi biashara ipo fanyeni muishi kwa amani

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 роки тому

      @@mamialsawafi8020 hayo ni yako siyo yetu.pia kila mtu kaandikiwa akatafute wapi ridhiki

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 2 роки тому

      @@m.mmarckus6298 yangu manini mkipewa ukweli mnahamaki wakati matusi mpaka balozi kayaskia hakuna muoman alojibu walikaa kimya ulimwengu mzima wameskia kashfa na matusi walotukanwa wa Oman kwahiyo mama Samia awaombee msamaha au vp maana hata yy ameskia yote ya mitandaoni.sasa jibu la mwarabu ndio kiboko amewafungia hakutaka nchi ichafuliwe ndio mana hakuna mtu alojibu matusi na rizki popote ipo km mungu ameandika upate Oman mbona uvumilivu hamna midomo tu kutukana watu.

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 2 роки тому

      @@m.mmarckus6298 sasa Oman hawataki matatizo walishafanya ubinaadam wakaingiza kila kabila matokeo yake wameyaona unadhani watafunguwa kuingia wafanyakazi wa nyumba hivi kumefungwa bado matusi yanaendelea ingekuwa mwarabu katukana mbona angesakwa akahukumiwa miaka 20 jela na fain juu na kipigo lakini Oman hawakutaka ushenzi jibu lao hilo safi sana

  • @sleyumomar3637
    @sleyumomar3637 2 роки тому

    Mm haya bana

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 2 роки тому +1

    Umeuwa wananchi wetu kwaajili ya waarabu. Wewe zunguka tuu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Oman ni nchi tajiri duniani mwache alete pesa kaka

  • @noelshirima4461
    @noelshirima4461 2 роки тому

    Mwambieni atutembelee hata huku kwetu moshi marangu ajue pia Tanzania kidogo

  • @theam4013
    @theam4013 2 роки тому

    Imani hakuna raisi

  • @noru9028
    @noru9028 2 роки тому +2

    Oman kuna sultan na sio rais na uyo ulomueka hapo Kwenye picha ya mbele teal ni marehemu ungemueka sultan wa ssa ingependeza zaid

    • @anime_warld2096
      @anime_warld2096 2 роки тому

      Qaboos ni wa mbele kuweka daima

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

      Wote ni sawa tu, hata Oman kwenyewe hawaondoi picha ya mfalme Qaboos.

  • @martinstarford6209
    @martinstarford6209 2 роки тому +3

    Eeh kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪 kwa kweli rais Samia ametembea hope 2025 mtamrudisha kumalizia safari

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 роки тому

      😳😃

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому

      😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😬😬😬😬

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 2 роки тому

    Mmandishi..Oman haina Rais
    Ni Falme ao Sultan

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 2 роки тому +1

    Apo wakuona kama mtumwa tu watamani wakakuuze kwa wazungu

  • @msafirimbawala3373
    @msafirimbawala3373 2 роки тому

    haya haya wazururaji

  • @hamdanalrashdi4150
    @hamdanalrashdi4150 2 роки тому

    Sisi oman tuna ufarume sio ulaisi bhana...mimi mwomani
    Sema sultani wa oman sio laisi wa oman

  • @mudighurayra
    @mudighurayra 2 роки тому +1

    Muandishi Raisi wa oman uliwah kumuona wapi

  • @mereybajrey8418
    @mereybajrey8418 Рік тому

    Oman ina Rais? Ama kweli kuna satu vilaza. Just simple research

  • @omanigaming6430
    @omanigaming6430 2 роки тому

    Karibu mom

  • @ahmedmbarouk3463
    @ahmedmbarouk3463 2 роки тому +1

    Mama ilikua uvae baibui moja Kali sana

  • @abdillahhaji7454
    @abdillahhaji7454 2 роки тому

    Mama inabidii uje na huku Saudi Arabia

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 2 роки тому +1

    Thanks for respect Oman ungeanza na hawa marekani alipokelewa na wadau wa utalii hahahaha

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Hawana adabu hao wa amrika hawakumpokea NA rsisi wao

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Ila sultan haitham sio kwa mishavu hiyo 😂😂😂kama. Umeficha tende😉😉😉😉welcome. Mama. Samia wetu wnao tupo tunapambana na haliz zetu

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 роки тому

    Mama

  • @abdullahihussein6836
    @abdullahihussein6836 2 роки тому

    Kumbe Oman Ina Raisi?

  • @mashaallaaabadushaok8810
    @mashaallaaabadushaok8810 2 роки тому

    🇮🇳🇴🇲🇸🇦BadshaMashaalla

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 роки тому

    Awo unaowatembelea watakuja lini nchini kwako mama

  • @jumaalex3942
    @jumaalex3942 2 роки тому +1

    Kwakweli huuni uzuni watu wanakufa ngoro ngoro mkubwaanazunguka kwawaarabu watu wabaya

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 2 роки тому

      Ulitak Rais akashike mtutu au Kwan Rais mwenyewe ndie kkongozi yaan nyie akili hakuna

    • @jumaalex3942
      @jumaalex3942 2 роки тому

      Wewe ndio una akili kwasababu unajibukitu ambacho kikowazi yeye Raisi akisema waachwe waishi uko akuna polisi ataenda kupigana nawamasai lakiniwewe inaonyesha ujuimamlaka ya Raisi ndiounajibukijinga

  • @rogatianmtenga7265
    @rogatianmtenga7265 2 роки тому

    Amends Nyumbani huyo

  • @mouzamohmad8743
    @mouzamohmad8743 2 роки тому +1

    Karibu mama Samia tumefurahi kujakututembelea. Lakini nikiwa kama ni ndugu yako muislam nakusihi uveye baibu ungependeza zaid

    • @farajapaul7908
      @farajapaul7908 2 роки тому

      Yah angependeza sana wangeonekana kama mfalme na malkia

    • @mbaroukhamza8508
      @mbaroukhamza8508 2 роки тому

      Avae baibui kwani kaja kutangaza dini.

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 роки тому

      @@mbaroukhamza8508 hahahaha bora umemjibu ana kiherehere sana

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 роки тому

      Umesikia kaja matangani au kaja kufanya kazi iliyomleta na kurudi

  • @habiburashidi8158
    @habiburashidi8158 2 роки тому

    shamba kama nini hili nungu nungu

  • @fauziashabibu1467
    @fauziashabibu1467 Рік тому

    Kwanin wanaburuza bendera chini

  • @majirioisaya1546
    @majirioisaya1546 2 роки тому +2

    Hatuna mtu hapo

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 2 роки тому

    wasafi media mbona mnaweka picha ya Sultan Qaboos aliyefariki 2020! sasa hivi kiongozi wa nchi ya Oman ni Haitham Tarik..

  • @sabihanasreen8128
    @sabihanasreen8128 2 роки тому

    5