Martha Mwaipaja ~ Mniombee

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 911

  • @salamalupenza5082
    @salamalupenza5082 День тому +76

    Waheshimu baba na mama ili upate heri na miaka mingi duniani. Nakuomba hakuna aliye mkamilifu Martha.rudi kwenye familia yako ukayamalize.Muanze ukurasa mpya wa maisha.SAMEHE ,SAHAU,ACHILIA BADO MUNGU ANA KUSUDI NA WEWE.🙏

    • @Harryking001
      @Harryking001 День тому

      Wewe ni mchawi... Kuna mahali amekata kuheshimu... Ukiona mamako mzazi anakaa kwenye camera kuongea mwanae jua huyo mama ni mchawi kama wewe apo ....doggy

    • @erickbabu4404
      @erickbabu4404 День тому +1

      Amesema mniombee wanahisi wamekamilika wanatupa mawe jaman

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 День тому +2

      Enyi wazazi msiwchokoze watoto wenu. wakolosai 3:18-4:6 . mzazi pia anawajibu wa kuishi na mtoto vizuri, hilo ni agizo la Mungu

    • @peaceamani2877
      @peaceamani2877 День тому

      Hajarusha jiwe pahali. Amempee ushauri tu wa upendo ​@@erickbabu4404

    • @barakachristopher2504
      @barakachristopher2504 День тому

      ​@@sleeprelaxation8431inaanza amri kwanza mengine yanafata.waheshimu baba na mama ili upate heri na miaka mingi. Hakuna asiyekosea

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 2 дні тому +74

    Dada Martha pole, binafsi nakupenda sana na nimeumia sana na haya yanayoendelea huku mitandaoni yaaani!!!😭 nakuomba nenda nyumbani kwa mama mkaongee kamsikilize mama tafadhari, Mungu amekubariki wajali wa nyumbani mwako, nenda kamuangukie mamako tutafurahi sana ukifanya ivyo🙌

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 День тому +24

    Na la Mwisho kutoka kwangu mimi rekebisha mambo yako acha kuimbia watu nyimbo za mipasho badala yake imba nyimbo za kumsifu YESU KRISTO!! Ndio Bwana pekee na lazima Jina la YESU litajwe mara nyingi katika yeyote anayejinasibu kuwa mtumishi wa Mungu

  • @Kinah_lyn
    @Kinah_lyn День тому +2

    You are in my prayers servant of God❤..take heart & keep looking to Jesus

  • @johnmarye
    @johnmarye День тому +4

    Imani yako iko kwenye kipimo Nina Imani utashinda....hakuna kuanguka na hakuna kushindwa....mungu anakujua vyema hata wakikuhukumu wanafanya kazi ya Bure

  • @Stylewithkk
    @Stylewithkk 9 годин тому

    Silence is wisdom.your right ✍️ as God is teaching you humility may you not fail God's exams .Mzazi ni mungu wa pili please dada Martha shuka na nyenyekea. Mungu amefanya haya ajitwalie utukufu..umewekwa Kwanye ratili.
    Nakuombea ufaulu mtihani huu❤ from Kenya

  • @josephmbithi4327
    @josephmbithi4327 День тому +3

    Pole sana martha, haya ni mapito, usikubali yakuweke chini hata kidogo... Familia mingi zina matatizo na ayajuaye niwao na mungu wao.. unapojihisi kukata tamaa jiulize niwagapi wanakufuta na wakona ushuuda juu yako... Nakuombea mungu akupe nguvu kabisa mama yetu❤❤❤❤

  • @marriamnjoroge5788
    @marriamnjoroge5788 День тому +1

    You are a blessing to me. May God restore and protect you and the entire family from what is going on.🙏🙏♥️♥️.

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 2 дні тому +23

    Tengeneza na Mungu,
    tengeneza na mama
    Tafuta muda wako mzuri wa utulivu kakae na mama.
    maneno ya mama yamekuwa mazito na yamejaa majozi. kumbuka MAMA akitamka neno linalotoka MOYONI linatuchanganya kila mzazi wengine tumelia . MUNGU wa MBINGUNI awape NEEMA ya kuvuka
    Tunaendelea kukuombea ,kuombea familia Mungu arudishe Amani na upendo na mshikamano.

    • @DannioArts
      @DannioArts 2 години тому

      wakolosai 3:18-4:6

  • @polycarpgikenyi4514
    @polycarpgikenyi4514 День тому +1

    Mungu ako nawe....umetuhimiza muno.....God provoke her....we need her always 🎉🎉🎉❤

  • @johnsonmwilemela9035
    @johnsonmwilemela9035 2 дні тому +4

    Mungu akutendee dada angu, maneno yako na hata tone ya mazungumzo yako inaonyesha unyenyekevu wa kiwango cha juu. Ila kama kuna mgogoro wa kifamilia na una nafasi ya kuutengeneza, utengeneze dada angu. Binafsi nakupenda sana.

  • @estherntale2098
    @estherntale2098 17 годин тому +2

    Continue to be silence my sister don’t say anything to anybody, is only you and your God wisdom is not for everybody. May God bless u and protect u in Jesus name Amen. Much love from Canada ❤💪💪💪

    • @Stylewithkk
      @Stylewithkk 9 годин тому

      Silence is wisdom.your right ✍️ as God is teaching her humility may she not fail God's exams .Mzazi ni mungu wa pili please dada Martha nyenyekea. Mungu amefanya haya..umewekwa Kwa ratili.
      Nakuombea ufaulu mtihani huu❤ from Kenya

  • @jaspermuthomi6162
    @jaspermuthomi6162 2 дні тому +5

    Martha, The lord strong and mighty in battles will fight for and you shall hold you peace 🕊️ in Jesus Christ name, Amen 🙏

  • @OddaMbwilo
    @OddaMbwilo 17 годин тому

    Pole dada angu najua upo kweny wakat mgum. Lejea kweny wimbo ulio sema ushind nilazim usihof mungu ana tenda kwa haki. Nakupenda sana❤❤ tena sana tumuombe mungu akupe hekim na maalifa zaid. Usili dada angu...

  • @pinkypinky1624
    @pinkypinky1624 2 дні тому +4

    Mungu wa amani na upendo, akujalie amani na afya na akufanyie heri na wepesi kwa kila lizito ulilobeba, Mungu wa rehema ainuke ajitukuze kwa ajili maisha yako, awanyamazishe maadui zako, na kila silaha yeyote ameandaliwa kinyume chako haitafaulu, Mungu afanyae njia pasipo kuwa na njia aifanye njia kwako. Malaika wa ulinzi na wa amani awe nawe Marther. AMEN.

  • @nyongesagloria1941
    @nyongesagloria1941 2 дні тому +2

    Absolutely true thats what l was waiting from .your voice concerning what has been aired out.praying for you mam

  • @LucyOgego
    @LucyOgego День тому +8

    Nakuombea sana, nakutakia maisha marefu ya furaha dada. Utashinda Kwa Jina La Yesu

  • @ErnestNjarita
    @ErnestNjarita День тому +1

    Dah pole sana dada angu Mungu atakusimamia, chamuhimu simama imara kwa Yesu yeye atakulinda na kukuvusha katika kila jambo🙏🙏

  • @SherryEverest
    @SherryEverest 2 дні тому +4

    Martha mtumishi wa Mungu binafs nakuombea kiukweli Mungu akuvushe katika kipindi hiki kuliko kujitetea kwa wanadamu jifungie chumbani kwako jitete kwa Mungu anayekujua kabla ujazaliwa Mungu hatokuacha hata hatua moja ikiwa ameweka kusudi ndani
    Tunakupenda sana ❤

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 16 годин тому +1

    Simama na Mungu utashinda. Family nyingi haya yapo sana. Ni upepo mchafu utapita tu. Hata mimi yashanikutaga lkn tofauti ni kwamba ww ni star. USIOGOPE MUNGU ATAKUVUSHA.

  • @InivocavitTumainiel
    @InivocavitTumainiel 2 дні тому +2

    Baba mwema na muumbaji wetu nina kusihi ikiwa tutajinyenyekesha mbele zako kwa moyo shukurani utatujibu, na kwakuwa unamfahamu binti yako Martha Mwaipaja na changamoto anazopitia Ktk wakati huu Katika maisha yake ninakusihi Mwokozi wa Ulimwengu Yesu Kristo Bwana wetu ingilia Kati mapito ya mtoto wako na kumwokoa Ktk mikono ya adui wa roho za watu haijalishi ni mabaya au ni mazuri kiasi gani ninakusihi Bwana ingilia kt na kumwinua mtoto wako na kumwongoza ktk upendo wa kweli na kumsafisha kwa damu yako itakasayo kati jina lako Yesu nimekusihi Amina

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 День тому +1

    Mimi nakupenda sana. Hata waseme kwamba unakula watu, mimi nitakupenda tu. Kumbuka wimbo wako wajuzi, Unae yesu, umehakikisha kwamba Jemedariko, utashinda vita. Wivu ilisha choma wengi myoyo, navile nyimbo zako ni poa sana. Waachie Mungu tu.❤❤❤❤❤❤❤

  • @paulojohn-bh2vz
    @paulojohn-bh2vz 2 дні тому +63

    Sisi tutakuombea lkn hakuna maombi mazuri kama ya mama yako mzazi dada mama ni mungu wa pili ,😢😢

    • @bnsonlinetv6132
      @bnsonlinetv6132 День тому

      muombee

    • @MercyNdanu-qd1bs
      @MercyNdanu-qd1bs День тому +1

      Martha don't worry because God is in control,usikate tamaa Kwa sababu ya magumu uliyonayo,najua Mungu anasababu na Mungu hawezi kukupatia jaribu ambalo hauwezi,naamini Mungu atatenda🙏🙏

    • @annagervas5039
      @annagervas5039 День тому +2

      Acha ukiazi wee nyau huna unalojua juu familia hii ndezi wee ,kwanza Mungu gani unaemjua wewe kifutu wewe embu mpumzishe Matha wangu kiaz wewe .

    • @BeatriceMulama-vr8xp
      @BeatriceMulama-vr8xp День тому +1

      Exactly.

    • @alicebeautiful4114
      @alicebeautiful4114 День тому

      May the LORD strengthen you ❤

  • @willynabiriga5114
    @willynabiriga5114 16 годин тому

    pole saana Martha. Mungu akuwezeshe katika kipindi kikubwa. Ni mambo ya nyakati itapita. Baki kwenye musimamo na misingi wa imani

  • @YusuphImani-j6m
    @YusuphImani-j6m 2 дні тому +2

    Asiekuelewa hauwezi jua unamaana Gani dada Matha tunakupenda Mungu akutie nguvu sana na uwe na moyo wa ushujaa. Ameen.

  • @lavenderswa01
    @lavenderswa01 15 годин тому

    It's well dear ❤
    God cannot leave you nor forsake you
    He is perfecting everything that is concerning you,,, you're the works of his hands mummy
    You're blessed ❤

  • @andrewsifuna5673
    @andrewsifuna5673 2 дні тому +15

    Dada kile chakufanya muhimu umwendee mama usungumuze nae hilo litakua jambo la busara sana kuliko jambo lolote
    Mungu huleta baraka kupitia wazazi wetu nasiovizuri muzazi kulalamika kwa mambo madogo kama hago
    Ni muhimu umuendee muonge
    Au kama hauwezi kuenda nyumbani umuite kwako au hata sehemu nyinginezo munaweza kupatana ili kumaliza haya
    Kisha unaweza kuweka wazi baadae mtandaoni
    Kwa sababu dawa ya moto ni moto
    Kenya🇰🇪 we love you nyimbozako tunazipenda

  • @denniebwoyy18
    @denniebwoyy18 День тому +1

    Mazeh pole sana, May you find peace en love of God, may you recover from whatever is stressing you out, Your songs bless me en brings me closer to God, Heal mamaa heal❤️ Peace out✌️🇰🇪

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 2 дні тому +9

    Martha umekua wa baraka sana kwa nafsi zetu na tunakupenda sana na kuomba rudi nyumbani enda ukapanguze majozi ambayo mama amemwaga kwa ajili yako na Mungu atakubariki sanaa❤❤❤❤❤❤❤

    • @douglaschangawa
      @douglaschangawa 2 дні тому +3

      Mwenye alifanya awe wa baraka ni nani ni mungu na mama yake uwakosea kabisa. hakuna chakulepa hapa uko na shida huyu Dada

    • @carolynewerunga9112
      @carolynewerunga9112 2 дні тому +1

      Vita inakuja kila kona dadangu,wakwenu anakugeuka Wacha Mungu akushindie yote🙏

    • @douglaschangawa
      @douglaschangawa 2 дні тому +2

      @carolynewerunga9112 nyinyi tena mko na utu huyu amekosea kwa mamake ww pia unasupport
      Ingekuwa sio mamake angekuwa hapa akikuimbia ww umekosa kikao

    • @RuthNhaluke-ut3yn
      @RuthNhaluke-ut3yn 2 дні тому +3

      Yeye ndie ansejua ukweli wote wa mambo. Ila kwa sala la mzazi alifanyie kazi. Maana mzazi ni Mungy wa pili hapa duniani. Hata tukikuombea kama hujatengeneza na Mungu wako pamoja na mzazi. Sala au maombi ya dunia nzima hayawezi kukusaidia kitu. Hebu malizana na Mungu kwanza na mzazi. Maana mpaka kuna tuhuma za mapenzi ya jinsia moja nyumba yako.Neema na kupiganiwa na Mungu kunamsaidia Mtu mwenye moyo uliopondeka

    • @RuthNhaluke-ut3yn
      @RuthNhaluke-ut3yn 2 дні тому

      @@douglaschangawa Yeye atengezeze kwanza na Munvh kisha mzazi. KUOMBEWA HAKUMDAIDII KITU KAMA JAJAMSLUZANA NA HAO WAWILI.

  • @fredwandera6848
    @fredwandera6848 День тому +1

    Maombi ni sawa dada yangu, napendezwa sana na nyimbo zako.kumbuka mawaidha ya kumsikiza mama mzazi. Gari lako la kwanza dunuani, alikupa chaukula chako cha kwanza duniani

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 День тому +3

    Mtumish wa Mungu usiogopee badooo tunaye Mungu anaitwa Mungu wa Dunia yotee nakuombeaa kwa Mungu,,,Mungu aunyamazishee upepo mbaya uvumao kutoka pandee zotee ,Angali kuna mti mmoja mwembambaa snaa upepo mkali ukijaa ule mti huinama na upepo unapokwishaa hunyanyukaa tenaa nyamaaza kmy Mfalme wa Hakii akutetee nikwel wanadam wanajua kusema lakn kawaida ya Mungu anasema lakn c kama wao Mungu akutetee mana si rahii lakn Yotee kwa Mungu yanawezekana imani yangu ni Mapenzi ya Mungu yatimizwee kwako akusaidiee snaaa akuweke mahali pa juu saanaa Ameen . Nakupnda snaa

  • @gracejapheth3476
    @gracejapheth3476 День тому

    Pole sana Martha hayo ni majaribu yatapita, hizo ni hila za muovu shetani kikubwa km yana ukwel haya kamuombe mama msamaha, pia uombe Rehema kwa Mungu yeye si mwanadamu atakusamehe na kukutetea ktk vita yako. Mungu awasaidie amani ya familia irudi tena

  • @simonmichael894
    @simonmichael894 День тому +11

    Huwezi kusema unampenda Mungu wakati humpendi jirani yako,dada acha unafiki na kumbuka kwenye hii dunia ukilala mauti utarudi kwenu wala sio huko unakopashadadia wakati huu,nakushauri ili usije ukazikwa kwa aibu rudi kwa Mama yako ukaombe radhi na hao wanaokuzunguka na kukupa kiburi wanakuponza,sikio haliwezi kuzidi kichwa hata siku moja

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p День тому

      Tena nazi haiwezi kuvunja jiwe hata siku moja

  • @gusengaachel3991
    @gusengaachel3991 14 годин тому

    Kukuombea tunakuombea Martha. Lakini ni bora ukae na Mama yako , pamoja na Beatrice muongee yaliopita, msameheane.
    Love from Rwanda

  • @abilityemmanuel3000
    @abilityemmanuel3000 День тому +2

    pole saana,,,, mungu bado atakutumia, kwanza fahamu kama upo kwenye majaribu, na ukumbuke shatani anapokujaribu hutumia watu wa karibu sikuzote, piga moyo konde, uyashinde hayo ni majaribu, kila mtu anayomadhaifu si busara kutake advantage kwa madhaifu ya mtu,, kilichofanyika si sahihi, maana jawabu la upole hugeuza hasira na neno liumizalo huchochea ghadhabu ,,, usiku mmoja unatosha kuozesha nyama,,,

  • @PendoEmanuel-q7r
    @PendoEmanuel-q7r День тому +1

    Martha binafsi nakupenda sana mtumishi nakuombea MUNGU akupe utulivu na hekima yake ikaamue juu yako 🙏

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 День тому +2

    Dada nakuombea mungu akutie Imani Upatane na Familia yako na Urudi kumtaka Radhi Mama. Hino ni Mitihani na itapita tu. Allah awajaalie Maelewano Muishi kwa Amani na Upendo wa Mama. 🤲

  • @AdamKidume
    @AdamKidume День тому +1

    Vita si vyako bali vya mungu acha Mungu akupiganie usijaribu kupigana na mwanadamu, yupo Mungu anayejibu na kuhukumu kwa haki amini atatenda kwa haki na kila njia ya uovu itateketezwa kwa jina la yesu na ushindi ni lazima Adui hajui mungu alikokutoa Mungu atakuvusha na utakuwa salama Amina na ubarikiwe na Bwana martha mwaipaja

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 2 дні тому +13

    Mungu anasema kupitiya watuwake nyenyekeya ukayamalize ma mzazi wako

  • @Maggielady100
    @Maggielady100 23 години тому

    Martha nakuombea maana wimbo zako ziliniguza saana...hili jaribu Mungu wa amani akukutetee jinzi alivyomtetea Ayubu na kma Goliath ni Joan ataenda tu ,,, Mungu ndiye aonae ya sirini

  • @Ankaramaina95
    @Ankaramaina95 2 дні тому +8

    Martha..wewe Ni mwimbaji anatumiwa na Roho wa MUNGU..tafadhali mpende mama yako Tu..hata iwe nini

  • @LucasMaiko-g1w
    @LucasMaiko-g1w Годину тому

    Mama,Mrudie Mungu,Acha kutia huruma,maombi yanakaa kwa mtenda mema tuu.nasema haya siyo kwamba nakuchukia,kwanza sijawahi kukutana na wewe,sikujui,ila kwa yanayotembea mitandaoni,Mimi mama ni mtumishi wa Mungu,siwezi kuwa na chuki na wewe,niwe na chuki na wewe nipate nini?ila kama haya yanayotembea mitandaoni Niya kweli,tiba ya hapa mama,siyo kulalamikia,ni kumrejea Mungu wako kwa Moyo wa unyenyekevu,Si,vinginevyo.Anayekushauri vizuri,ijapokuwa inauma,huyo ndiye ndg yako.Roho ya mtu,huponywa na kweli ya Mungu,SI,vinginevyo,Amina.

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 дні тому +4

    Da martha Mungu abakujua zaidi, rudi kwa mama myaongee yaishe akusamehe, waheshim wazazi wako

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 2 дні тому +2

      Hakuna atakacho kisema aeleweke. Ametuumiza sana kwa jinsi asivyo mthamini mama yake mzazi aliyeangaika naye hivyo. No excuse. AJitafakari na amtunze mama yake. Sijawahi kuona mtu kama yeye! Lol!!

    • @KENYANQUEENOFFICIAL
      @KENYANQUEENOFFICIAL День тому

      Nipitieni guys

  • @franciscakasina
    @franciscakasina День тому

    Dada Martha hakika mimi nakupenda na moyo wangu wote 🇰🇪
    Kweli ni ya kua mengi yanaandikwa na kuzungumziwa mitandaoni lakini katika yote mungu anabaki mungu, habadiliki, halinganishwi. msubiri atajibu kwa haki na kweli. Wewe sio wa kujitetea, mungu mwenyewe anabaki kua mtetezi wako na ndiposa umenyamanza kwa wakati huu ndio aseme.
    Nakupenda Martha❤❤❤
    Tokea uzungumze kuyahusu inayotembea katika mitandao ya kijamii - tunaomba kusikia kutoka kwako pia🙏

  • @meshackamani2936
    @meshackamani2936 День тому +2

    Dada omba Mama msamaa naumsaindie Mungu atakurudia tena nauwe katika uwepo wa Mungu ❤❤❤kutii ni bora kuliko kutoa dhambiu

  • @kelvinsalasya8031
    @kelvinsalasya8031 День тому +1

    Nitakuombea
    Acha Mungu atupe neema utakuwa Sawa Kwa jina la yesu ,tunakupenda Sana dada yetu Mungu yuu pamoja nawe,🙏

  • @siahulomi1445
    @siahulomi1445 2 дні тому +10

    Martha tunakupenda we na nyimbo zako, ila kama kweli umemkosea mama ai ndug omba msamaha, moyo wako unaujua mwenyewe, kuna watu hatuna mama tunaumia kusikia wamama wanateseka, epuka laana, rudi k

  • @bridgtesarai9219
    @bridgtesarai9219 2 дні тому +1

    Sometimes its hard to explain yourself..coz no one will trust you...instead they will judge and fight you.Mungu akupigania mom,hugs❤

  • @MultiHeriel
    @MultiHeriel 2 дні тому +3

    Pole na Mungu akupe Neema Mama.
    Hata hivyo kuna mambo ya muhimu wewe mwenywe unatakiwa kuchukua hatua kujibu na kutolea ufafanuzi kama ni kweli ama sio kweli. Jaribu kutulia na andaa majibu ya kweli mbele za Mungu.
    Toa ufafanuzi juu ya mahusiano yako na Leah (Joan/Joanitha).
    Wanaokupenda wanatamani kusikia toka kwako juu ya swala la Kongo/Congo ambalo ndo linaanza kusambaa mitandaoni. Ilikuwa ni wewe au ni muimbaji mwingine ndiye alikutwa kwenye tendo kusagana live??? Hilo limetushtua na linatusononesha watanzania wote kulisikia.
    Tumia tu sentensi moja au mbili kusema ni kweli au sio kweli.

    • @MultiHeriel
      @MultiHeriel 2 дні тому +3

      Kuna mambo mengine mfano kumtunza Mama hayo sio kuombewa ni wewe mwenyewe kuchukua hatua kuomba msamaha na pia kukutana na Mama yako.
      Katika kipindi hiki kigumu usiache Mama anahojiwa na kila mtu

    • @lovek6593
      @lovek6593 День тому +1

      Yaa watu hawamuelewi kufikia sasa.shutuma zimekua nyingi na yy hajajibu.so kutokujibu kuna madhara kwake juu ndio watu wanaendelea kuamini na kinachitokea na kumponda kila kona

  • @Mariaeboso
    @Mariaeboso День тому

    Mungu akutetee dadangu maaana wanadamu tuna mtazamo tofauti , tunanena pasipo kujua chanzo cha neno ila Mungu ndiye anayejua ndani mwetu.

  • @Samarah-it1pk
    @Samarah-it1pk 2 дні тому +2

    Msiogope kwa maana hakuna neno lililofichwa ambalo halitafunuliwa usiogope dada yangu tengeneza tu na MUNGU pale unatakiwa kutengeneza af bas umemaliza
    wala usiwajibu walimwengu MUNGU mwenyewe ataweka bayana yeye ni KWELI🙏❤️, na. Anasema pia usiwaogope wauuao mwili wasiweze kuiangamiza na roho, kamwe MUNGU hawez kuwaacha waguse roho yako, utavuka salama ayubu alivuka na wewe utavuka kwa USHINDI🙏❤️❤️❤️❤️❤️

  • @nelsonmunga1145
    @nelsonmunga1145 День тому +1

    Kunae Mungu mbinguni dadangu anaejibu maombi na mchozi yako atayafuta.wimbo wako wa JEMEDARI ndio jibu lako❤❤

  • @anipendalupaya8247
    @anipendalupaya8247 2 дні тому +2

    Nyimbo zako Martha zimekuwa kumbukumbu kubwa kwangu wakati wa safari zangu za utafutaji. Mungu akawe mlinzi wako katika haya unayopitia. Kama binadamu nakushauri kwa macho na masikio ya nyama, tengeneza na mama.

  • @emilymubarikiwa4586
    @emilymubarikiwa4586 День тому +1

    Nakupenda dear😭😭😭 Mungu akutie nguvu wakati huu mgumu... Lugha ya Mungu, haki yake itasema... More grace sister. ... Emily Fred from kenya❤❤❤❤

  • @MagdaleneMukanda
    @MagdaleneMukanda День тому +5

    Martha tinakupenda na amri kuu ni upendo ila kando na maombi yetu kama marafiki maombi ya mama ni zaidi anakujua zaidi ya tunavyo kujua mkubali awe mwombezi na mama pia.

  • @ZawadiMwachondoma
    @ZawadiMwachondoma День тому

    Wazungu walisema truth is in the hand of beholder let them talk because they are able to speak may the mercy of the lord speak for you. Martha usijali nabii haheshimiwi kwao. Wewe si wa kwanza na hutakua wa mwisho Yesu mwenyewe aliwalisha na walipo shiba walimtukana,wakamtemea mate wakaona haitoshi wakamusulubisha na hata kwenye bibilia hakuna nabii ama mtume alie ishi maisha ya mteremko na hata wengine ndugu zao ndio waliowaumiza lkn kwa kua mungu ni mwaminifu aliwasaidia ( history ya Yusuf) My dear promotion zetu sisi watumishi huja kwa maumivu acha tunda la roho liendelee kuchipuka moyoni mwako na usichoke kuwasamehe.

  • @SafiMasemo-x3n
    @SafiMasemo-x3n 2 дні тому +22

    Mimi kama Mimi siomimitu lkn hata mumewangu huwatunazipenda sana nyimbo zako dada lkn tunajikuta tunakata tamaa kumuona mama yako mzazi akilia mbele ya umati wawatu ningekuomba kwamba Tengeneza na mama kishautengeneze na mungu mama ni mungu wahapa dunia maandiko yanenawazi kuhusu wazazi🙏

    • @olivermwakyonya5683
      @olivermwakyonya5683 День тому +8

      Unapoandika Mungu anza na herufi kubwa

    • @KENYANQUEENOFFICIAL
      @KENYANQUEENOFFICIAL День тому

      Nipitieni guys

    • @faithwega9628
      @faithwega9628 День тому

      Mungu akulinde dada wewe ni wabaraka sana sana I decree Psalms 91 to you & family peace joy looong life is yr portion

    • @faithwega9628
      @faithwega9628 День тому

      In Jesus mighty matchless name

  • @YUSUPHMNGOYA-ke4ib
    @YUSUPHMNGOYA-ke4ib День тому

    Pole sana Matha kwa unayopitia hicho kipindi ulichonacho Sasa hakitakaa milele kitapita salama.
    Na mimi nitakuombea mpaka nione mwisho wa hili.

  • @sylvialumwagi3691
    @sylvialumwagi3691 2 дні тому +2

    Usichoke kuomba dada Martha mungu Yupo atakupigania 🙏🙏🙏Nakuombea amani ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 День тому +1

    Mungu Yuko nawe Dada Martha tunakuombea majaribu yatashindwa ...tunakupenda sana na nyimbo zako kutoka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fridafrancis1960
    @fridafrancis1960 День тому +27

    Martha kule mama anakupenda sana hawezi hata kutaja jina lako anakuita mwanangu

  • @ElizabethChilikona
    @ElizabethChilikona День тому +1

    Waaah ninaumwa ni kama hii yote ni yangu, tunakuombea gifts zako sisiende aki hii ni kazi ya shetani lakini utashinda dadangu ingia katika vita via kiriho utashida bure nyota yako inawindwa polepole ,lakini ukiona hivo unaenda next level,lakini mtafute mama dear Martha nakupenda sana

  • @MaryMpemba
    @MaryMpemba 2 дні тому +2

    Ninakuombea matha, nakuelewa sana, na mungu akupiganie na kufanyie wepesi wa mapito yako.

  • @roseyongolo302
    @roseyongolo302 День тому +1

    Martha mdogo wangu kurekebisha njia zako ni muhimu sana,,,maana umetrend kea mabaya mengi,,mama ni MUNGU wa dunia,,tengeneza,,sisi hatujui yanayosemwa juu yako lkn ukweli unaijua wewe,,,pamoja na kutaka kuombewa,,tengeneza,,,

    • @DannioArts
      @DannioArts 2 години тому

      na una uhakika na wakisemacho au kuropokwa tu?

  • @Maggiechosen
    @Maggiechosen День тому +2

    Mungu anakuelewa zaidi ya sisi wanadamu wenye mapungufu mengi dada, acha wema wake ujihirishe kwa haya mambo 🙏

  • @MaluliDominick
    @MaluliDominick День тому

    Mtumishi wa MUNGU Martha Mwaipaja naomba soma katika Biblia kitabu cha kutoka 14:14, na MUNGU mwenyewe akuvushe salama katika hiyo bahari ya Shamu unayoipitia kwa kipindi hiki cha kimtandao. Amen!

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 2 дні тому +4

    Matha kama wanachokisema ni cha ukwel my friend tubu kwa Mungu wako na kwa mama yako na Mungu wa mbinguni atakutetea, lakini kama kinachosemwa ni cha uongo songa mbele , usiogope Yesu anakupenda nakuombea sana

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 2 дні тому +1

      Mama yake hakusema uongo. No way. Kwa kweli sijawahi kutegemea anaweza kuwa hivyo. Arudi kwa mamake ASAP

    • @jacquelinendambuki3196
      @jacquelinendambuki3196 День тому

      Mama na baba wa kambo wameongea she's feeling guilty am not judging her lakini wameongea ukweli atubu she'll be free .

  • @Hellenah_Sufii
    @Hellenah_Sufii 2 дні тому +1

    Mom Martha nakupenda sana. Umekuwa my prayer item. May God give you victory. Peace of God be with you

  • @Princess-Margie
    @Princess-Margie 2 дні тому +4

    Mungu akukumbuke na akutete katika jina la Yesu🙏🙏🙏

  • @Michaelchadrack01
    @Michaelchadrack01 13 годин тому +1

    YESU ALISEMA UTAWAKATAA BABAMAMANANDUZAKO NA KUNI FUATA MIMI WALA HAUTA POTEA MAANA MIMI NIJIA NAUZIMA. ANIFWATAYE HATAPOTEA KAMWE MBALI ATAKUWA NAUZIMA WAMILELE.
    MARTHA SIKILIZA TU MOYOWAKO FUATA TU MOYOWAKO BILA MAJUTO.
    mmojawao aka sema mwalimu, naomba uniruhusu nika waage familia yangu ; naye akamwania mukuli akitazama nyuma naye hafai hata kwau falme wangu. UWONGO USIUPE MWANGA,
    ILA UKWELI NI MUNGU MZIMA MAANAYEYE NDIEKWELI.

  • @MillyYulemmoja
    @MillyYulemmoja День тому +4

    Im from kenya but machozi ya mamako martha imeniliza sana😢,, nimemtizama nikilia,, rudi kwa mamaako muombe msamaha nawe pia utakuwa huru,,, huyo shetani aliye ingia kwa maisha yako mkatae😢😢

  • @josephnyakina6799
    @josephnyakina6799 8 годин тому

    Mungu ni wa utaratibu, acha kutafuta huruma kwa mashabiki, tafuta suluhisho la tatizo.

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz 2 дні тому +3

    Kunavitu kwenye maisha hauwezi kuvikwepa hataiweje maombi tu ndio njia ya kutuliza moyo na kuleta Amani❤

  • @Ronaldkimbio001
    @Ronaldkimbio001 День тому

    Nmejifunza sana kupitia Martha kupitia nyimbo zake, Nisikate tamaa, jaribu kwa mtu si kwamba ni mtenda dhambi na nyimbo nyingi Ila juzi kuskia trending news Kwamba martha ili na lile niliskia kuvunjika moyo sana siamini huyu ndie martha nimjuae, Anyway we love you Martha from Kenya n we wish all will be well,,☺

  • @SiloEuphrasie
    @SiloEuphrasie 2 дні тому +92

    Dada muti mzuri huwezi kotoa matunda machungu,ijapokuwa kuna tatizo huwezi kumkana mamako mzazi,mpaka aliye naku kuomba msamaha bila kuku kosea,unataka watu wakukubali ila kumbuka ilo kukubaliwa na watu haiwezi ondoa tatazo na mabaya yanakuja mbele, please dada mungu ni mwema hata kama ulivurugwa na shetani kumbuka wewe ni wa yesu piga magoti kwaku juta,muombe mungu msamaha na mamako mzazi nawe uta kuwa uru,ili usije ukapoteza kazi kubwa uliofanya hata mimi mkongomani na dunia mzima tuna barikiwa na kazi zako za uimbaji, shetani aondoke kwenye maisha yako katika jina la yesu kristo,mungu akauponye moyo wako kama vile alivyo kubali kuokowa wengi kupitiya uimbaji wako,dada Martha tunakupenda mungu akusamehe na akuokoe na kila nguvu za shetani kwa jina la yesu kristo amen

  • @Oissoemit-u7s
    @Oissoemit-u7s День тому +1

    Pole Sana Bunti yetu Martha acha Mungu asimame mwenyewe.endelea kumtukuza Mungu huu ni wakati wa kunyenyekea sana sana.

  • @Theuniverse318
    @Theuniverse318 2 дні тому +3

    Kila kitu kitakuwa poa ,In Jesus name ❤AMEN . KENYA PAMOJA NAWE 😢😢 but wah😮vituko naumbea wa wanadamu ila mungu na wewe❤

  • @WilliminaOjiambo
    @WilliminaOjiambo 21 годину тому

    Usijali mpaka mafuta wa bwana Mungu yu pamoja na wewe mpaka hadi mwisho wa dahari bariki wa sana❤❤

  • @MeMee-v7o
    @MeMee-v7o День тому +8

    1 Timotheo 5:8
    Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini
    Unapitia wakati mgumu sana maana wenda kuna vitisho vya kuvuja kwa mambo yako binafsi kutoka kwa joan,sikiliza sauti ya Mungu,ushindi ni lazima,shituka unatumiwa vibaya, umefungwa hakika,na sio kidogo na alie kufunga ni shetani,toka katika kifungo, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu ❤

  • @ChristopheKabongo-o1q
    @ChristopheKabongo-o1q День тому

    Yesu kristo mungu aliye hayi akutowe umo gizani akutowe kuzimu avute jinalako kuzimu aliyandika katika kitabu ça uzima yesu kristo mungu mwenyenguvu avunje izoshartizote zakutokusaidiya mama Yako kwajina la yesu Kristo mungu aliye hayi tena nimwenye nguvu kulikohuyo ibilisi shetani atokendani yamakanisa kwajina layesu amena

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 2 дні тому +9

    Mm na kusihi mtumishi,ingia kwenye maombi ya Toba siku 3 ,simamia zaburi ya 51 na 23,kisha nende Kwa mama na zawadi nzuri ukamwombe msamaha, na uwachilie kila mtu moyoni mwako.mm ni mts Mungu.

  • @EverlyneKasidi-h1t
    @EverlyneKasidi-h1t 4 години тому

    Usikate tamaa I like the song,yafuate maandiko ulyoyatumia katika huu wimbo

  • @ashamasaza4096
    @ashamasaza4096 2 дні тому +4

    Kwa nafasi ulionayo mama ako alivyo ni tofauti fanya uende nyumban muweke mama ako sawa yeye ndio Mungu wako wa hapa dunian

  • @sumaphilipo9952
    @sumaphilipo9952 День тому

    Da martha mm nakuelewa sana duuh Pole kitakacho tuvusha hapo ni toba tuu Mungu yupo na anafanya kazi

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 2 дні тому +2

    Dada tunaomba utoke naweee uongee maana wakati wa kukaa kimya umeisha huu ni wakati wa kuongea yote unayojua kuhusu bity na mama ongea na ww acha kukaa kimya ❤❤❤

  • @ElizabethChilikona
    @ElizabethChilikona 20 годин тому +1

    Wengine wanasema wewe uimbi ukimtaja yesu na wimbo ambayo umuimba three weeks ago umemtaja yesu,ile ya ninae yesu aki wanadamu before uroboke maneno jiangalie kwanza sana mnaumisa moyo wa martha martha sana

  • @neemaelia3436
    @neemaelia3436 2 дні тому +3

    Sisi tuna kuombea lra mtoe Uyo Binti Apo kwako maana yeye ndio Chanzo Alafu Rudi kwa mamaako Mkae Mmaroze tofauti zenu mamaako Ni Mungu wa piti dada Marfha Usijisaurishe Shauriako....

  • @margaretonderi3931
    @margaretonderi3931 2 дні тому +1

    Receive the Devine mercy from the lord jesus christ my mentor stay strong you will win the battle 💪

  • @omasogreatfamily5395
    @omasogreatfamily5395 2 дні тому +4

    Mungu yupi....kuna mungu wengi Sana?

    • @rodgersshitobelo7607
      @rodgersshitobelo7607 2 дні тому +6

      Umesema kweli ndugu
      Atuambie Mungu ambae atasikia maombi ya wasio na mahusiano mazuri wazazi wao

  • @Nyotasimulizi
    @Nyotasimulizi День тому

    Dada ili maumivu yaondoke kwanza same samehe na ujisamehe mwenyewe Kisha rudi nyumbani katengeneze naamini mambo yatakaa Sawa mwambie nyakati ngumu hazidumu najuwa wewe unaukweli wote na kunamahari umeshajifunza nyote niseme mnamakosa na hakuna mwenye haki acha neema ya Mungu ilitetee jambo hili..pole sana na Mungu akutie nguvu.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 День тому +9

    Hakuna maombi mpaka umrudie mungu wako na mama yako 💔

    • @hafsalucky1088
      @hafsalucky1088 День тому

      Sawa kabisa Amrudie Mungu na mama yake✔️

  • @MagnifiqueMat-w6e
    @MagnifiqueMat-w6e День тому

    Martha nakupenda na najua Kama unajulikana mbinguni .
    Najua kile unahitaji kwa sasa ni maombi na watu ambao wana maneno ya upendo Mungu uwazidishe ili wasimame na wewe katika wakati huu mgumu
    Mungu anayejua shida yako tena aliye na Nguvu zote basi amalize shida yako.na kupenda na nitaendelea kukupenda

  • @sizbentahatieno9635
    @sizbentahatieno9635 День тому +5

    Hapana Martha wewe umekosa sana ule ni mamako kweli😭😭 nakupenda lakini hiyo Mambo yako imenivunja moyo, ndio maana sijawai mpenda huyu msichana jaon nakanga nyoke

    • @IvanMocha
      @IvanMocha День тому

      Mbona mnamlaumu mathra,kwani batrice hawezi kumtunza mama yake!?Kila kitu Martha!?

    • @sizbentahatieno9635
      @sizbentahatieno9635 День тому

      ​@@IvanMochamamako ni mamako Mimi natamani niwe na mama lakini sana, wewe natetea nani kweli makosa ni makosa

    • @IvanMocha
      @IvanMocha День тому

      @@sizbentahatieno9635 sijamtetea,but mbona hamumuoni betrice au yeye hastaili kumtunza mama yakeee!?hata biblia imesema enyi wazazi msiwachokoze watoto wenu wasije wakavunjika Moyo,Mimi naamini Kuna siku Martha atakuja kuongea Kwa undani

    • @mirriammulinge2213
      @mirriammulinge2213 День тому

      Hatuongelelei kutunzwa Kwa mama tunaongelelea kumtoroka na kutomsikiza.

    • @sizbentahatieno9635
      @sizbentahatieno9635 День тому

      @mirriammulinge2213 hiyo ndiyo chanzo zahizi zote

  • @DennisMuema-m5r
    @DennisMuema-m5r 5 годин тому +1

    Isaya 3:10 MUNGU atakutetea Mtumishi wa MUNGU ❤❤

  • @johnmmasa
    @johnmmasa 2 дні тому +2

    MUNGU awe na wewe Madam, Sio rahisi Utavuka🔥🙌

  • @YahayaMeshinya
    @YahayaMeshinya День тому

    Ni kwelii mioyo yetu inachrurizika damu kwa sababu ya mateso na maumivu na huzuni ya mioyo.
    Basi Mungu akusaidie uguse pindo lake na hizo Nguvu za Roho mtakatifu zitakwenda kukauaha hiyo damu na kuachilia uponyaji yaani Amani katika Jina la Yesu Kristo . Ameen.
    # Kama Kuna mtu asiyetenda dhambi miongoni mwetu basi awe wa kwanza kukupiga mawe.
    # Rehema # Huruma# upendo wa Mungu.

  • @TweveSinkonde
    @TweveSinkonde День тому +8

    kama unaamini uyu binti ni mpumbavu gonga like apa kwa sababu siko zote baraka huwa zinatoka kwa wazaz acha ushamba ww

    • @jadetoto
      @jadetoto День тому +2

      Mpumbavu wewe kuvamia vya watu

    • @hubimogela9167
      @hubimogela9167 День тому

      ​@@jadetotowewe ndiyo dagaaa kuku wewe huyu Martha asijitetee ameyataka mwenyewe

  • @ClaudeMinani-md4ru
    @ClaudeMinani-md4ru 2 дні тому +1

    Pole sana dada,ktk Dunia ya Leo Kuna changamoto za aina yake wewe tulia muda wenyewe utatoa ukweli, just have a free mind na Mungu awe pamoja nawe!

  • @Kaylyn-z6y
    @Kaylyn-z6y 2 дні тому +6

    Martha we love you na kubalii Mali zote ziende lakini umutumikiee Mungu katika roho na kweli. Tunajuaa wewe ni lesbiani lakini Mungu ni wa rehema

    • @ruthdavie1175
      @ruthdavie1175 2 дні тому

      Really? Lesbian afu ameokoka😢

    • @56manya
      @56manya 2 дні тому

      Guys be careful know one day before God we all must stand and give the true account of every word we spoke.

    • @olivermwakyonya5683
      @olivermwakyonya5683 День тому

      Mungu anza na herufi kubwa mpendwa

    • @Kaylyn-z6y
      @Kaylyn-z6y День тому

      @olivermwakyonya5683 Yeah.Thank you😅

    • @Kaylyn-z6y
      @Kaylyn-z6y День тому +1

      @@ruthdavie1175 ameokoka wapi? Her songs ni za kujitetea and not praising God.... Listen to her music za hivii karibuni she has never mention Jesus anywhere! In occult they hate the name Jesus but someone is allowed to mention God or god

  • @ambelen1745
    @ambelen1745 2 дні тому +2

    Tunakupenda dada...tunakuombea Yesu akutie nguvu kwa nyakati unazopitia...❤