IFAHAMU TOFAUTI YAKO NA MTU MWINGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @davidmatuhi7094
    @davidmatuhi7094 2 роки тому

    My spiritual dingi nakupata vizuri sana Masasi,,, zaidi ya kubarikiwa,,

  • @AdelaidaZachariah-id9ft
    @AdelaidaZachariah-id9ft Рік тому +1

    Powerful apostle

  • @leahmakingi9094
    @leahmakingi9094 2 роки тому +1

    Amina

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 2 роки тому

    Wasukuma tupoooo apostle tunakuelewa hakika nabarikiwa mno namafundisho yako Mungu wambinguni akubariki sana

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 2 роки тому

    Chief Apostle ubarikiwe sana,nafurahia mafundisho yako sana

  • @alicekalemela7435
    @alicekalemela7435 2 роки тому +4

    Asante sana Apostle Chief wa watu, mengi yananihusu kwa njia moja au nyingine, nimepita mapito mengi....neema ya Mungu imenitosha. Sasa hivi ata wanigalagaze kwenye tope nimeshazoea, halinisumbui, nimebadilika sana sana namshukuru Mungu kwa kuruhusu nipite...it was for my own good... nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa,kushiba na kuona njaa, kupendwa na kukataliwa, kuwa na afya na kuwa dhaifu ... kwa yote Mungu amebaki kuwa Mungu. Nimejifunza kumshukuru Mungu kwa kila Hali.... glory be to God in the Highest

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 9 місяців тому

    Asante Apostle kwa hii message yenye matumaini

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 2 роки тому

    Amen

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 2 роки тому

    Ameen ubarikiwe

  • @magesanka1708
    @magesanka1708 2 роки тому

    Asanteeeee kwa mafundisho mazuri baba🙏

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣nakuelewa sana Apostle ubarikiwe

  • @bahatisanga641
    @bahatisanga641 2 роки тому

    Nabarikiwa sana mtumishi,,,mtumishi wa MUNGU "ANOINTED MTALEMWA TV "tuwe tunaona LIVE

  • @innocentnsengimana1600
    @innocentnsengimana1600 2 роки тому

    Mungu akuongezee nguvu na mafuta

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 2 роки тому

    Amen well

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 2 роки тому

    Ameni

  • @mselimsuya6952
    @mselimsuya6952 2 роки тому

    Hakika Apostle umepiga msumari mzito kwetu Wakristo. Mungu atusaidie Kwa kweli

  • @aminasamwel8271
    @aminasamwel8271 2 роки тому

    Asante sana Chief Mungu akulinde ,akutunze wewe na familia yako na chochote cha kwako
    Ufunuo uliokuwa nao Mungu akuongeze tena na tena
    Nikimalizaga kukusikiliza natafakari nasema nasema sas atafundisha nini tena
    Unakuja na lingine muhimu zaid

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 2 роки тому

    kila wakati ninapo sikiza mahubiri ya apostle huyu lazima nipate ujumbe wakunijenga mungu aendelee kukutumia kama chombo be blessed

  • @victorialema4033
    @victorialema4033 2 роки тому +1

    Amen my chief apostle thank you🙏

  • @petrosamwel2528
    @petrosamwel2528 2 роки тому

    Thank you apostle

  • @enriqueganywamulume570
    @enriqueganywamulume570 2 роки тому

    Sema cheaf tumeisha penda . Shukrani kwa Mungu kukitumiya utu towe upumavi na ujinga. Impendeze Mungu kuku zodishiya. Be blessed

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj 2 роки тому

    ameen dady neema ya MUNGU itufunike tuwe waelewa

  • @SussanKhan-b8f
    @SussanKhan-b8f 24 дні тому

    😅😅nalia yoote

  • @catherinekatoto8278
    @catherinekatoto8278 2 роки тому +2

    Amen! Imenisaidia kujua haswaa niko upande gani ktk kutembea na Mungu wangu. Neema iendelee kunisaidia. Asante, Chief Mtumishi wa Mungu.

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 Рік тому

    Apostle hubiri na somo la mavazi Baba,yaani wanaume wapo vizuri Sana kimavazi,wanawake jamani hasa wanakwaya kweli hizo suruali sehemu yote ya siri inajichora😭😭mbona sehemu nyingine ofisi za serikali ukivaa hivyo unarudishwa je si zaidi Kwa Baba yetu wa Mbinguni?

  • @emanuelibrahimu2046
    @emanuelibrahimu2046 2 роки тому

    Hallelujah ubarikiwe na bwana ameeen

  • @OmanOman-gv8qb
    @OmanOman-gv8qb 2 роки тому

    Ameen baba Neema ya Mungu itusaidie kuelewa haya

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 2 роки тому

    Ameen Asante sana Daddy

  • @samuelbahati6252
    @samuelbahati6252 2 роки тому

    kwa kweli pasta huyu amenibariki maisha yangu. ningekuwa Tanzanie kama hili ndilo kanisa langu. sifa kwa bwana mtandao umenifanya mumoja wa kanisa hili. watanzania mumebarikiwa...Samuel from Goma DRC

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 роки тому

    Amen 🙏 amen 🙏 glory to Jesus

  • @birih8801
    @birih8801 2 роки тому

    😂😂😂, ameeeen Pst

  • @maryjoseph6571
    @maryjoseph6571 2 роки тому

    AMINA baba

  • @enriqueganywamulume570
    @enriqueganywamulume570 2 роки тому

    Ufunuo ju ya ufunuo.

  • @condradimakolonja4206
    @condradimakolonja4206 2 роки тому

    Masomo yako yananifundisha sana lkn Mimi nikiwa kwenye matatizo au mtu akinikwaza siwezi Tena KUOMBA siyo simwamini MUNGU ni kwamba nawaza naombaje WAKAti nimekwazika naomba lkn siyo kama nikiwa Sina shida nikikaa sawa namtukuza BWANA je hapo ni sawa apostle

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 2 роки тому

    2 COR 12:10🔥🔥🔥👈GOD IS TALKING TO ME🤲🤲UR GRACE IS ENOUGH/SUFFICIENT TO SUSTAIN ME🙏🙏🙏

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 2 роки тому

    My figure print not same to my twin brother.

  • @angelinanazi1748
    @angelinanazi1748 2 роки тому +1

    Amen