Baba remember to pray over my family deliverance,financial breakthrough, restoration, healing, revival,Salary increase in Jesus mighty name amen daddy pray for me
Amen. Kupitiya maombi haya naomba kilachochote ambacho uyu movu alichochukuwa kwanini ya maisha yangu kipate kunirejeleya kuanzia sasa ni katika jina la YESU CHRISTO Amen
Kupitia maombi haya naomba mume wangu samweli akafunguliwe na alejee nyumbani kwajina la YESU naamini nitaenda kupokea tayari njema katika jina la YESU
Amen 🙏 😭😭😭😭 kwa kupitia maombi haya naomba mdogo wangu grace akafungliwe ufahamu wake upo alipo alejee nyumbani salama kwa damu ya yesu iliyomwagika msalabani Amina 🙏😭😭😭😭😭
Kibali cha kutambulika kwenye kila kitu chema. Mkoba wangu wenye pesa uliopotea kwenye ulimwengu wa roho siku ya leo ukarejeshwe kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI .Amen🙏
Amen barikiwa sana pst. Kw maombi ya nguvu,nikiwa saudi arabia hakika nimeona mkononwq bwana ukitenda mema and what I have lost I've restored it back in Jesus name Amen
Baba katika jina la Yesu kristo kupita maombi haya kila adui alikuwa anataka niwe chini yeye ndo awe chini na kupitia maombi haya nifungulie kiroho niendelee kuona kiroho na kila adui ambayo ataki maendeleo yangu eeh yesu muonyeshe wewe ni kila kitu na utaonyesha mimi ni mtoto wako katika jina la yesu kristo
Napokea ndoa yangu na mzazi mwezangu naumia sana toka nijifungue sijamuna mtoto anamwaka sana napokea mrudisha Asher maishan mwangu mimi nabint yangu tunampenda sana
Najiungamanisha na maombi haya popote alipo mwanangu yafike Kila ngome zivunjike sizamnaratike na kwajina la yesu mwanangu apate ukombozi ameen
AMEN SEBIEN🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimefunguliwa jamani asante Yesu🙏 mchungaji mungu akubariki sana
Jaman mchungaji mm nilitekwa na adui nimepokea
Amen Amen 😢 nimepokea kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth
Baba remember to pray over my family deliverance,financial breakthrough, restoration, healing, revival,Salary increase in Jesus mighty name amen daddy pray for me
Amen. Kupitiya maombi haya naomba kilachochote ambacho uyu movu alichochukuwa kwanini ya maisha yangu kipate kunirejeleya kuanzia sasa ni katika jina la YESU CHRISTO Amen
Amen😊
Amen
Naamini kwa jina la Yesu kristo naenda kupokea taarifa Nzuri kwenye maisha yangu, mahusiano yangu 🙏🏼
Wow nipo Kenya nimebsrikiwa sana
Naminiko 🇨🇩🇨🇩 nimebsrikiwa sana
Napokea...kwa...jina...la..yesu
Ameni Barikiwa roho mt mwaminifu amekutumia vema Barikiwa Bb
Amen Amen Napokea kwabaJina la Yesu Kristo Aliye Hai🙌🙌🙌🙌🙌🙇🙇🙇
Powerful prayer 😭😭😭😭
Asante sana mtumishi wa BWANA kwa maombi haya,
Kupitia maombi haya naomba mume wangu samweli akafunguliwe na alejee nyumbani kwajina la YESU naamini nitaenda kupokea tayari njema katika jina la YESU
Najiubganisha na madhabahu haya ,chochote kilichoubiwa na mwovu naomba uregesho
I received
Amen YESU kristo anaweza yote
Asante mtumishi Kwa Imani tumeponaa maeneo yoteyaliyoibiwa na shetan
Amina naomba mume wangu arudi Kwa jina la yesu
Mwanangu apate kazi kwa kupitia maombi haya amen
Maombi haya yanivushe katika mapito niliyo nayo kuhusu kanisa
Mtumishi Mungu afute madeni juu yangu
Ameen napokea ndoa yangu ikawe na ladha
Mungu akatufungue Mimi nafamilia yangu na mdogo wangu Fred akaponywe kwa damu ya yesu.
Amen ubarikiwe Sana mtumishi nimefunguliwa Kwa kina la YESU
Amina baba
Amina kwajina la yesu hakuna lolote lakunipata
Ameen,napokea uhuru Kwa jina la Yesu.
Amen najiunganisha na madhabahu haya pamoja na jamii yangu yesu naomba ukatuondolee kila nguvu zote za giza ambazo zimesimama kinyume na jamii yangu
Amen Kubwa naurejeshe kwajina la Yesu CHRiSTO Mwanazareth
Kwa maombi hayo naamini ndogo wangu Fredy anaenda kupata kazi kwa Jina la yesu
Amen Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen pastor maombi haya yananibariki sana na kunitia nguvu
Amen I received
Amen napokea urejesho kwa Jina la YESU
Pendo Matei l'chuwa ninajijuanganisha najiambatanisha ktk nguvu na neema ya mungu usiku huuu mungu
Ndai urengesho wa kazi ya mume wangu kwa jina la yesu
Katika jina la yesu twaomba na kuamini amen amen
Ubalikiwe sana pastor njoo ututembelee kanisan kwetu karibu sana baba
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Najiungamanisha popote alipo baba wa mtoto wangu namkomboa kwa damu ya yesu kristo kila kilichopotea nareshewa kwa jina la yesu kristo
Ameen nifunguliwe kwajina LA yesu
Naludisha ndoa yangu ilioyobiwa na adui naludisha kwa jina la yesu kl
Amin amin ubalikiwe San mtumish🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Nimefunguliwan kwa jina la yesu kristo
Urengesho wa ndoa yangu kwa jina la 🙏
Amina napokea kwa jina la yesu
Nalejesha kilakilicho changu nafuta roho ya kupuuzwa na kuzaraulika Amen
Asante sn pastor mungu akubariki sn
Amen napokea kwa jina la Yesu
Mchungaji nguvu za giza zinatesa sana mtumishi naomba uniombee na kuvunja ngo'me za movu shetani naitwa ester msana
Barikiwa sana mtumishi niko Kenya,na kupata vizuri
Amen, naikapate kuwa vile ulivyoomba juu yangu
Baba nimepokea uponyaji ahsante mungu akubariki
Ameen
Amina mtumish wa Mungu,
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amina mchungaji tuombee
Amina yesu asimame kwenye maisha yangu
Naomba maobezi ya urejesho Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏
Asante yesu napokea
Nimebalikiwa sana na maombi haya ya Urejesho,MUNGU akulinde Pastor🙏🙏
I received
Kwakupitia maombi haya nikarejeshwe uzima wangu
Amen BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen baba
Powerful prayer amen
Kupitia maombi haya na mleta mume wangu akafunguliwe na kila nguvu za ngiza katika maisha yakahame juu yke
Amen 🙏 😭😭😭😭 kwa kupitia maombi haya naomba mdogo wangu grace akafungliwe ufahamu wake upo alipo alejee nyumbani salama kwa damu ya yesu iliyomwagika msalabani Amina 🙏😭😭😭😭😭
Amen kupitiya maombi haya iniguse na familiya yangu na infusé d'Évora na samy
Kupitia maombi Aya kirichochukuriwa naomba mungu kilejexhe
asante pasta kwa maombi yananitia nguvu
Amen 🙏 nimepokea urejesho katika Kina la Yesu kristo 🙏
Asante bwana yesu
Amina mungu wa mbinguni nikumbuke kwa maisha yangu niondole maadui wanao tesa mtoto washindwe katika jina la yesu kresto kupitia kwa haya maombi amina
Amen🙏🙏🙏,ubarikiwe sana mcungaji
Amina mungu akubariki sana mtumishi natamani kuolewa nasiolewi wanaume wananichezea nakuniacha naomba unisaidie na maombi🙏🙏😭😭😭
😭😭😭🙇🙇🙇🙇 hadi Mimi Mungu atusaidie Kutoa Kwenye Roho za Kukataliwa
Amin nimepokea uponyaji nimerudishiwa mimba yangu iliyopotea kwa imani
Nakuomba Mungu unsaidie
Asante yesu
Kibali cha kutambulika kwenye kila kitu chema.
Mkoba wangu wenye pesa uliopotea kwenye ulimwengu wa roho siku ya leo ukarejeshwe kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI .Amen🙏
Naomba umwobee MKE WANGU gema john KIMAMBO na watoto WANGU glory and Joshua john KIMAMBO ubarikiwe Mch .
Ameen amikn nimepokea
Naomba mdogo yangu YOUMAN arejeye katika nguvu ya iyi maombi
Ameeeeeeeeeeen thanks dear God
Amen Amen
Napokea urejesho
Mungu akubariki
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen barikiwa sana pst. Kw maombi ya nguvu,nikiwa saudi arabia hakika nimeona mkononwq bwana ukitenda mema and what I have lost I've restored it back in Jesus name Amen
AMEN am very much blessed ❤
Adui...zangu..wote...waliwe..kwa....jina....la...yesu
Baba katika jina la Yesu kristo kupita maombi haya kila adui alikuwa anataka niwe chini yeye ndo awe chini na kupitia maombi haya nifungulie kiroho niendelee kuona kiroho na kila adui ambayo ataki maendeleo yangu eeh yesu muonyeshe wewe ni kila kitu na utaonyesha mimi ni mtoto wako katika jina la yesu kristo
Mungu nibariki nifungue ktk roho za madeni kwa Jina la YESU KRISTO. AMEEEN
Amen kumbwa sana napokeya yote kwa jina la yesus. Cristo aliye HAiii
Amen Amen and Amen
Amen nabarikiwa Sana🙏
Napokea
Naomba unisaidie no ya kutoa sadaka
Wanangu wote Kwa majina Yao warejeshewe vyote vilivyo haki Yao Kwa jina la Yesu🙏🙏
Napokea kufunguliwa mi pamoja na familia yangu
Napokea ndoa yangu na mzazi mwezangu naumia sana toka nijifungue sijamuna mtoto anamwaka sana napokea mrudisha Asher maishan mwangu mimi nabint yangu tunampenda sana
Amen mtumishi
Nimebarikiwa sana 🙏